Huyu ndiye MAFIA anayeitisha ECUADOR! Adolfo Macías FITO: Polisi na Wanajeshi wanatambua BALAA lake

  Рет қаралды 37,093

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

6 ай бұрын

Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe
play.google.com/store/apps/de...

Пікірлер: 71
@yayananajota5838
@yayananajota5838 6 ай бұрын
Ecuador one of dangerous place to be,, in Latin America fo long tyme,, frm Vanuatu we get u🇫🇯
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 6 ай бұрын
MAKALA hizi sipendi kuzikosa kusikiliza, na msimuliaji nae Mashallah 💕
@malimanyanja562
@malimanyanja562 6 ай бұрын
Samaha dada naomba no yako
@sadamissa5687
@sadamissa5687 6 ай бұрын
Fredric Bundala sky worker daah nakukubali sana toka nakua nakusikiliza bro Allah akuweke sana
@user-xl4uc5px9j
@user-xl4uc5px9j 6 ай бұрын
CNN ya Tz ni @simulizi na sauti hongera sana skywalker
@sonnyr1899
@sonnyr1899 6 ай бұрын
Hawa jama wanapesa na kuepuka kuwa mtumwa sio jambo rahisi. Bank za nchi zao zinawategemea. Ukitaka kuwafahamu tazama tu Netflix kuna Series zao. Narcos. El chappo
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 6 ай бұрын
Huyu jamaa sio wa kawaida hata kidogo, sema kudos to rais, he is a Man
@user-eb7oi2bx6s
@user-eb7oi2bx6s 6 ай бұрын
Fredy ww ni nyoko kwenye kutangaza sauti yako inatosha kufundishia chuo kikuu🔥🔥
@mohamedismail2662
@mohamedismail2662 6 ай бұрын
Fredric Bundala sky worker good work keep it up
@tiffanyakramJr822
@tiffanyakramJr822 6 ай бұрын
Asanteee bro!🙏👏👏
@user-ng6ep3hi4c
@user-ng6ep3hi4c 6 ай бұрын
Tatizo South America na latin America viongozi wa serikali wote mafia
@allahisone6386
@allahisone6386 6 ай бұрын
😁🤦😁
@starjay3052
@starjay3052 6 ай бұрын
watu kama awa me ndio nawakubali ata kazi nafanya nae tu kiroho safi roho yake kama yangu tu
@stanastana3199
@stanastana3199 6 ай бұрын
Ausio
@edwardtrigga5701
@edwardtrigga5701 6 ай бұрын
We una roho gani loser tu acha kuangalia sana movie
@edwardtrigga5701
@edwardtrigga5701 6 ай бұрын
Unajisifia kuwa na roho mbaya una akili kweli?!
@isdorchuvu6280
@isdorchuvu6280 6 ай бұрын
Dawa za kulevya Ni sumu nenda kaangalie mtaani vijana wanavyoangamia , watu wanaouza dawa za kulevya hawastaili hata kuishi hawana tofauti na mchawi tu .
@johnrevocatus9955
@johnrevocatus9955 6 ай бұрын
😂😂😂​@@edwardtrigga5701
@hezronjoseph405
@hezronjoseph405 6 ай бұрын
Ajichanganye tanzania, watu wapandishwe vyeo😮😮😮
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 6 ай бұрын
Hao panya rodi wanawasumbuwa
@hezronjoseph405
@hezronjoseph405 6 ай бұрын
@@alzawahirabdallah2299 nazani watu wasio julikana umewasahau🤔🤔
@bernardjustine6524
@bernardjustine6524 6 ай бұрын
Ungekua unaandika kama hii makala ni 360 maana nakikubali sana kipindi japo ni ngumu kujua kama hii ni makala 360 @simulizinasauti
@manjeonline1779
@manjeonline1779 6 ай бұрын
He is cute 🥰 😢😢
@vibetz9991
@vibetz9991 6 ай бұрын
Yote Tisa,,,,,,, kumi Hizo nchi zina pisi Kali kmmmk
@wilsonmaduhu4921
@wilsonmaduhu4921 6 ай бұрын
Mtu hatar sana huyo....
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni 6 ай бұрын
Hatari sana
@yohanadavid6724
@yohanadavid6724 6 ай бұрын
Ninafurai sana ninapo iona Makala 360, Makala yenye kujuza na yenye uchambufi yakinifu inanifanya nizidi kua shabiki na mfuatiliaji namba moja wa SNS.
@adolphmwangoje2887
@adolphmwangoje2887 6 ай бұрын
😂😂😂😂 wakina ado htli Sana
@user-qp8ud5me2t
@user-qp8ud5me2t 6 ай бұрын
asante kwa tarifa sky worker
@doricelugundiza4849
@doricelugundiza4849 6 ай бұрын
Handsome🥰🥰🥰
@user-gg2yv6sz2l
@user-gg2yv6sz2l 6 ай бұрын
Ulipotea Sana kaka
@bajosdamour2347
@bajosdamour2347 6 ай бұрын
Tumekua tumemiss hii kitu aisee😭😭
@awazioga1823
@awazioga1823 6 ай бұрын
Hao magereza ni timu yake fito yaani wote ni WA Moja
@user-oo3np9be8m
@user-oo3np9be8m 6 ай бұрын
Sky unajua adi una keraaaa😂😂😂
@vibetz9991
@vibetz9991 6 ай бұрын
Nilimuona kigamboni anavuka pantoni
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 6 ай бұрын
Raisi wa iyo nchi haki ana kazi ngumu sana 😢😢😢
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 4 ай бұрын
Tatizo katiba zao zimamnyima mamlaka rais.Hao jamaa wasingesurvive kama sheria zao zingekua hazina loop of henle ndugu.
@user-wc5jc8vp6u
@user-wc5jc8vp6u 6 ай бұрын
🙏🙏
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 6 ай бұрын
👍👊✌️。
@emmanueljohn5162
@emmanueljohn5162 6 ай бұрын
Serikal nzima iko kwny payroll yake....sio mafia sema anajua kula na serikali na kuilipa zaidi top bureucrats
@issanaseeb7699
@issanaseeb7699 6 ай бұрын
Natamani kuwa mafia Tz
@binyuraezbon-uq4tz
@binyuraezbon-uq4tz 6 ай бұрын
Hahahahahah
@kaditokenya6873
@kaditokenya6873 6 ай бұрын
Taarifa msomaji nampa maua yake lakini huyu mafia aletwe Kenya atanyooka tu
@binyuraezbon-uq4tz
@binyuraezbon-uq4tz 6 ай бұрын
Hahahahahah
@binyuraezbon-uq4tz
@binyuraezbon-uq4tz 6 ай бұрын
Mmeshindwa kuzuia waandamanaji mtawaweza hao ma mafia
@kaditokenya6873
@kaditokenya6873 6 ай бұрын
Kuandamana sio vita aje tu aone tulivyopinda si unaona waandamanaji wanadil na police lakini jesh haliingilii maswala ya kipuzi
@binyuraezbon-uq4tz
@binyuraezbon-uq4tz 6 ай бұрын
Wasomali tuu wako wanawatoa jasho sembuse hao Latin Americans unachekesha ww
@LevinaMichael-oy8cu
@LevinaMichael-oy8cu 6 ай бұрын
Utakuta kashafika mbali hatari
@BigZhumbe
@BigZhumbe 6 ай бұрын
Jamaa wamoto balaa amekua tishio kwa nchi nzima.
@stanastana3199
@stanastana3199 6 ай бұрын
Huwa napenda hawa jamaa sana,akina el chapo,pablo,el mayo.....wako wengi sana
@isdorchuvu6280
@isdorchuvu6280 6 ай бұрын
Wewe endelea kuwapenda ,lakini si unajua madhara ya hicho wanachokiuza au ?? Nenda mtaani utaona mateja wanavyoangamia.
@babuafya3446
@babuafya3446 6 ай бұрын
dawa dogo tu wapitishe sheria ya kuwapiga risasi
@user-uo8xw9kr4b
@user-uo8xw9kr4b 6 ай бұрын
Ata ukiua mmoja wengne wapo watoto wao pia wanarithi hio biashara jamaa zao man ni matajir kuliko hat serikal zao
@raphaelkaswahili323
@raphaelkaswahili323 6 ай бұрын
Askari 3600 kwa mtu mmoja tu? Aaa weeee Tz hatuna huo ujinga huuliwi hadharani ila utapotea kimya kimya
@syntaxsaintezzer5547
@syntaxsaintezzer5547 6 ай бұрын
Weweeeee panya road tuh wanasumbua uku ! 😂
@raphaelkaswahili323
@raphaelkaswahili323 6 ай бұрын
@@syntaxsaintezzer5547 wako wapi mpaka Sasa ? Alafu elewa Fito ni tukio la kitaifa ambapo shughuli zote ninasimama kwajili ya Fito 1 ,,,,,panya wako wanamalizagwa na mgambo pekee
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 6 ай бұрын
Jamani ni handsomee😅
@jumaabas6837
@jumaabas6837 5 ай бұрын
Uzinziii tuuuu
@sadamissa5687
@sadamissa5687 6 ай бұрын
Bongo wangeshamuua😅😅😅
@sanoureyaliwadoakaroyo1696
@sanoureyaliwadoakaroyo1696 6 ай бұрын
Haoo Jamaa Ni Matajiri Hatarii Pia Wana Ukaribu na Wakubwa Serkalin Sio kma unavyo Fikiria Wewe
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 6 ай бұрын
Bongo wako hawauliwi ng'o hawa ndo wabeba nnchi😂😂
@PeterMalima-fc4tf
@PeterMalima-fc4tf 6 ай бұрын
Nyie mnawachukulia poa hao watu na wao Wana majeshi Kwa mfano Sinaloa cartel ya El Chapo Guzman Ina wanajeshi zaidi ya 4000 ilo ni genge tu la drugs lord na anawapata jeshini wanaochwa baada ya mafunzo anawasign kwenye genge na wanapewa mafunzo tena ya kijeshi na Wana silaa nzuri na hatari kuliko ata polisi na wanajeshi WA mexico,Kuna siku polisi walijichanganya kumkamata mtoto WA El Chapo,genge liliingia mtaani na kuanza kuua watu na kuchoma Mali za watu Hali iliyopelekea rais WA mexico kuwaamlisha polisi wamuachie
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni 6 ай бұрын
Weee hao jamaa wasikie tuu
@binyuraezbon-uq4tz
@binyuraezbon-uq4tz 6 ай бұрын
Yan ww unaona nchi yako ni moja kati ya nchi serious hahahaha unachekesha
@jeremiahmwanyanje5012
@jeremiahmwanyanje5012 6 ай бұрын
jamani mnamsahau Esmael "El Mayo "Zambada makala yake Mwamba sana Zaid ya dolla ml 15 zimewekwa na US wakina Pablo na El Chapo tumezikia sana kiongozi tupe iyo mkuu tumeiomba sana
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 10 МЛН
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 9 МЛН
Now THIS is entertainment! 🤣
00:59
America's Got Talent
Рет қаралды 40 МЛН
POLISI DSM YAWANASA WAUZAJI WA DAWA ZA KULEVYA DSM
9:55
Millard Ayo
Рет қаралды 125 М.
The Day Ronaldinho Showed Zidane Who Is The Boss.
14:05
RDHDComps
Рет қаралды 42 МЛН
Ong Bak | Fight Club Scene
15:05
Cinewatch
Рет қаралды 67 МЛН