Huyu Ndiye Mbwana Samatta Kabla ya Kuwa Staa -Part 1

  Рет қаралды 151,805

Global TV  Online

Global TV Online

8 жыл бұрын

SUBSCRIBE NOW / uwazi1
Huyu Ndiye Mbwana Samatta Kabla ya Kuwa Staa -Part 1
Mbwana Ally Samata amezaliwaTarehe 7 mwenzi wa 1 mwaka 1992 katika mkoa wa Dar es salam. Katika maisha yake ya soka alianza kucheza mpira katika klabu ya African Lyon kwa muda wa miaka miwili kutoka 2008 hadi 2010 alipohamia katika klabu ya Simba na kucheza mwaka mmja tu.
Mwaka 2011 alihamia katika klabu ya Congo ambayo ni TP Mazembe aliweza kufunga magoli 60 pia katika timu ya taifa ya Taifa stars amefunga magoli 9. Samatta anajulikana sana katika mji wa Lubumbashi kwa kuwa alifunga magoli sita katika mashindano ya ligi ya mabingwa Africa na kuiwezesha Mazembe kutwaa kombe hilo.
Samata amekuwa mfungaji bora katika ligi ya mabingwa Africa pia Tarehe 7 mwenzi wa 1 mwaka 2016 Samata ameteuliwa kuwa mchezaji bora wa Africa kwa wachezaji wa ndani pia ni mtanzania wa kwanza kutwaa taji hilo la ligi ya mabingwa Africa pamoja na Thomas Ulimwengu.
Klabu ya KRC Genk anayocheza nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta inatajwa kuwa miongoni mwa vilabu tajiri ndani ya Ligi Kuu Ubelgiji, ila kwa mujibu wa www.xpats.com, wachezaji wengi wao Ubelgiji hulipwa kati ya euro 25000 hadi 50000 kwa mwezi.
KWa sasa, Samatta ni mwanamichezo anayeshika nafasi ya pili kwa kulipwa mshahara mkubwa nyuma ya Hasheem Thabeet ambaye alikuwa akichukua mshahara hadi dola 200,000 kwa mwezi wakati akikipiga ndani ya NBA na sasa hata kama amepunguziwa kwa kuwa yuko ligi ya chini, haiwezi kuwa chini ya dola 100,000 kwa mwezi.
Kupata video nyingine kama hizi SUBSCRIBE kwenye channel yetu kwa jubofya link ifuatayo / uwazi1
/ uwazi1
/ uwazi1
WEBSITE: globalpublishers.co.tz/
FACEBOOK: / globalpublis. .
TWITTER: / globalhabari
INSTAGRAM: / globalpubli. .
Mbwana Samatta. Mbwana Samatta.

Пікірлер: 14
@jacobcharles9009
@jacobcharles9009 4 жыл бұрын
Mwandishi mbona unaropoka tuu Anauliza una watoto wangap anaambiwa Nina watoto 9 wawili wamefariki nasema ok Safi Sana.
@tumemanyema3523
@tumemanyema3523 4 жыл бұрын
Hongera sana bwana samata
@atosharubennteze3035
@atosharubennteze3035 5 жыл бұрын
Mungu amsaidie Sana Samata afike mbali
@anthonymalecela7887
@anthonymalecela7887 4 жыл бұрын
We mwandishi chenga kweli , kenge kabisa wewe
@gogolamavi
@gogolamavi 4 жыл бұрын
Mwandishi bom
@norascombedule1057
@norascombedule1057 6 жыл бұрын
daah
@valentine9079
@valentine9079 4 жыл бұрын
daaah reporter kajifue tena
@eliabymlaule5979
@eliabymlaule5979 4 жыл бұрын
Ndo maswali gan hayo
@meshaephraim6885
@meshaephraim6885 5 жыл бұрын
mesha
@laurencpius2980
@laurencpius2980 6 жыл бұрын
Maya city Simba fc
@mrishosekiondo8870
@mrishosekiondo8870 5 жыл бұрын
laurenc pius
@valentine9079
@valentine9079 4 жыл бұрын
reporter: "una watoto wangapi" mzee samagoal:" jumlaaaa na watoto 9 lakin wawil walifariki wamebaki 7...... reporter: ok saafi kabiSAAA! WTF
@pambasr2345
@pambasr2345 4 жыл бұрын
pale unapomuhoji mtu aliyekuzidi umri na ufahamu mara elfu!
Wezi WAKAMATWA ARUSHAA....UWIII....Ona KINACHOTOKEAAA!!
20:48
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 38 М.
КАХА и Джин 2
00:36
К-Media
Рет қаралды 4 МЛН
Why? 😭 #shorts by Leisi Crazy
00:16
Leisi Crazy
Рет қаралды 46 МЛН
UFUGAJI WA KISASA WA SAMAKI KWENYE MABWAWA
9:36
Mbeyainfo TV
Рет қаралды 7 М.
Huyu Ndiye Mbwana Samatta Kabla ya Kuwa Staa -Part 2
10:57
Global TV Online
Рет қаралды 15 М.
African Skills Hits Different 😂🔥
0:38
Bsm Edits 20
Рет қаралды 4,5 МЛН
UFC 302: Пресс-конференция
22:48
UFC Eurasia
Рет қаралды 669 М.
НИКТО НЕ ОБРАТИЛ ВНИМАНИЕ НА ЭТО❓️🤯
0:19
Профессор ПельменАрти💀
Рет қаралды 4 МЛН
Hansi Flick’s dream Barca. 😎
0:36
hamid sahari
Рет қаралды 1,9 МЛН
Почему Неймар боялся Роналду? 😬
0:52
Спортивные Моменты
Рет қаралды 850 М.