VIDEO KUTOKA KOREA: RAIS SAMIA ALIVYOWASILI na KUPOKELEWA kwa HESHIMA HII KUBWA - CHEKI MSAFARA...

  Рет қаралды 43,939

Global TV  Online

Global TV Online

Ай бұрын

VIDEO KUTOKA KOREA: RAIS SAMIA ALIVYOWASILI na KUPOKELEWA kwa HESHIMA HII KUBWA - CHEKI MSAFARA....
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 97
@globaltv_online
@globaltv_online 28 күн бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@mohdbrown
@mohdbrown 28 күн бұрын
Samia in korea thats amazing,,wapi likes za mama
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 28 күн бұрын
Daah😢😢
@aminata3702
@aminata3702 28 күн бұрын
Not amazing
@fatmamansour2764
@fatmamansour2764 28 күн бұрын
Hongera zako mama Allah akufanyie wepesi kila hatua yako unayopita
@fatmamansour2764
@fatmamansour2764 28 күн бұрын
Mama kaza kamba usiwe na hofu Allah yupo pamoja na wewe tunaona matunda yako ❤❤
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 28 күн бұрын
Love mama ukija naomba nikuone ,nina shida ya kaz nina lampuni ya ujenzi mwanamke mwenzako sipat kaz . ila najua ipo siku nitakuona nikueleze ninamna gani nataka kaz na kusaidia yatima ndo lengo langu kubwa
@AtuganileAsubisye
@AtuganileAsubisye 28 күн бұрын
Mama niletee zawadii💕💕
@VictorDominick-qg5qq
@VictorDominick-qg5qq 28 күн бұрын
Nimesikia kosimita yani ahsante kwa kiswahili 🇰🇷🇹🇿🙏🇹🇿🇹🇿🇰🇷🇰🇷
@mkude
@mkude 28 күн бұрын
Hongera mama Samia piga kazi
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 28 күн бұрын
Respect kwake mama na kwa wa korea walivyompokea
@hawa6052
@hawa6052 28 күн бұрын
Hongera Mama
@MaugadoMaugado
@MaugadoMaugado 28 күн бұрын
congratulations mom y2
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 28 күн бұрын
Kila la kher mama yangu mh Rais wangu
@jacksonruitiari9245
@jacksonruitiari9245 28 күн бұрын
Hope wakenya wataiona hii filamu.
@shaban6644
@shaban6644 28 күн бұрын
Mama ni mwanaharakti sana.
@gracerishandumilema278
@gracerishandumilema278 15 күн бұрын
Mama usisahau connection ❤
@KeffaKibaara
@KeffaKibaara 27 күн бұрын
Rais wetu kenya anatembea na air force one na Apache ch60 black hawk..ilhali shule hazina vioo😭😂🤣🤣🤣
@JackSolomon-oy7kb
@JackSolomon-oy7kb 27 күн бұрын
Safi Sana mama 🎉 mungu akupe maisha malefu
@safiaothman5175
@safiaothman5175 28 күн бұрын
Hongera mama ,mitano tena.Naomba zawadi ya Tv.
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 28 күн бұрын
Korea ziko 2 kusini na kaskazini jamani duh
@raymondmichael8805
@raymondmichael8805 28 күн бұрын
Magufuli hata hakuweza kusafiri japo ndege yeye alizinunua wananchi ni wengi wakitanzania wanaoteseka na halingumu ya maisha Rest in peace President MAGUFULI
@user-kh7bc4js1m
@user-kh7bc4js1m 28 күн бұрын
Mmmmmh hayo tu alikatazwa?
@jombadulla
@jombadulla 28 күн бұрын
shaur yake,maisha mafupi
@swalehemusa4546
@swalehemusa4546 28 күн бұрын
Africa haitakaa iendelee mpaka ipate viongozi wa zalendo kma Ibrahim traore rest in peace rais wa miaka yote wa Tanzania nchi imerudi kwenye madudu atuzioni zile ziara zako ulizokuwa unazifanya kutatua kero za wananchi
@swalehemusa4546
@swalehemusa4546 28 күн бұрын
Africa itabakia kuwa koloni la wazungu Kwa sababu ya viongozi wa shenzi wasiojali maskini wa nchini mwake
@hanifamziray277
@hanifamziray277 28 күн бұрын
Mpk.raha mama hana baya usisahau zawadi ya cm
@cabylake2320
@cabylake2320 28 күн бұрын
Mashaallah
@USAIDforHomelessPeopleOfUK
@USAIDforHomelessPeopleOfUK 26 күн бұрын
Yes TANZANIA NEEDS MONEY 💰✌️
@komuhsengo9796
@komuhsengo9796 28 күн бұрын
Hivi kwanini tusifanye msafara mdogo kama huu hapa nyumbani badala ya magari mrengo wakati matajiri wanatumia gari 5 tu, ushauri tu
@BrianMuroki-xp1uu
@BrianMuroki-xp1uu 26 күн бұрын
They couldn't find a better background song.
@MohamadHamza-hb2qv
@MohamadHamza-hb2qv 28 күн бұрын
Wabongo wapo huko
@user-qq2xr9dt8w
@user-qq2xr9dt8w 28 күн бұрын
South Korea, North ni kiduku
@user-wr1iu5re2c
@user-wr1iu5re2c 27 күн бұрын
Mama ww na father k Nani katembea sana
@user-xv4tl8iv4l
@user-xv4tl8iv4l 24 күн бұрын
Anyang aseyoo. Othman imnida. Kimchi❤
@kesterkanyala7718
@kesterkanyala7718 28 күн бұрын
NI PONGEZI SANA: ILA KUNA SWALI MOJA. - KWA NINI ,VIONGOZI WA HUKO NCHI ZA NJE,HAWANA VITAMBI AU MWILI MZITO...ILA HUKU KWETU...DAAAH...NDIO BALAA...VITAMBI MBELE ,MBELE?
@nourannouuran3514
@nourannouuran3514 27 күн бұрын
Aaah!mama jamaanh!nakupenda mama
@DoroselaBijandi-os9bn
@DoroselaBijandi-os9bn 28 күн бұрын
Sterling wa royal tour
@SamsonHamis-rp6by
@SamsonHamis-rp6by 28 күн бұрын
Mama wasalimie bts
@stevenialbert5033
@stevenialbert5033 27 күн бұрын
Anatafuna pesa za nchi huy mama
@amoskatana702
@amoskatana702 28 күн бұрын
Afrika yang'ang'aniwa tena, umoja wa nchi za Afrika na kujumlishwa kwa wananchi sio wanasiasa pekee litakua jambo muhimu sana mara hii, kuhakikishia Afrika yenyewe na watu wake inafaidi zaidi
@AdamSaffi211
@AdamSaffi211 28 күн бұрын
In Korea, mama atalete neema, labda 2090. Nchi zote zina matatizo y uchumi. Hizo hela za safari would build a Muhimbili in each village. Samia anakula nchi as if there is no tomorrow! Poleni
@afropanorama4730
@afropanorama4730 26 күн бұрын
hawa ndio marafiki,sio EU na USA
@egdldm4981
@egdldm4981 27 күн бұрын
Amepokelewa kijijini.😮
@Mrmohadi.OFFICIAL
@Mrmohadi.OFFICIAL 24 күн бұрын
Mbona kwa wenzetu akuna mambo mengi barabarani
@frashconnect.1
@frashconnect.1 28 күн бұрын
background Music it show we are not serious
@ladislausmoris9638
@ladislausmoris9638 28 күн бұрын
Mmmmmmmm
@asiaruhasha5561
@asiaruhasha5561 28 күн бұрын
Nitumie form
@user-xv4tl8iv4l
@user-xv4tl8iv4l 24 күн бұрын
Hamsamida mama
@chumizola1847
@chumizola1847 27 күн бұрын
Mmmh ndege hii si ya raisi kwa nini kuwe na matumizi kama haya?
@nouraynaasheikhunkabir3749
@nouraynaasheikhunkabir3749 28 күн бұрын
Uzuri wa Raisi wa Tanzania anapoenda safari zake kimataifa hakodi ndege kama majirani Zetu Kenya 😂😂😂😂, Tuna ndege zetu
@muksinimbaruku1233
@muksinimbaruku1233 27 күн бұрын
Watoto wa mafisadi wanashangilia tu.
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 28 күн бұрын
nmekja kugunduwa akli za watanzania bado sanaa kodi zetu znatmka bila maana yoyote kaz yenu kmsfia tuu
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 27 күн бұрын
Hii Korea yawapi kaskazini au Kusini hamjasema
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 28 күн бұрын
Hivi akupata ajali huyu samia!!
@ponsianomnyaru9140
@ponsianomnyaru9140 25 күн бұрын
Mama anaupiga mwingi huko Sasa mama kizmkaz
@roberttarimo4956
@roberttarimo4956 28 күн бұрын
Samia don’t sale out country
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 28 күн бұрын
Na ndan ya hyo ndege utakuta wako kumi tu,hv si garama kubwa Sana ndege kwenda na kurudi kutoka Korea?mm sjui ingekuwa pkpk Ningejua inatumia mafuta Kia's gan
@Nuru-zr2yv
@Nuru-zr2yv 28 күн бұрын
Ulitaka aende kwa miguu😂😂
@alexitosimpatico5996
@alexitosimpatico5996 28 күн бұрын
Dar korea ni lita lakimbili na nusu inachoma boeng lita moja sh elfu 3 piga hesabu mwnyewe
@mkude
@mkude 28 күн бұрын
Unapokwenda nchi kama hizo kuna faida kubwa tutapata kuliko hata hizo gharama za mafuta.
@staanstaan8722
@staanstaan8722 28 күн бұрын
Vizuri unanielewa na bajeti ya pikipiki so usisumbuke sana
@EdwardMghuna-rg8rx
@EdwardMghuna-rg8rx 28 күн бұрын
Korea ipi rais wetu kaenda
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 28 күн бұрын
Korea kusini
@kambamazig02024
@kambamazig02024 28 күн бұрын
Korea kusini!
@paschaljuma3312
@paschaljuma3312 28 күн бұрын
Hiyo si inajulikana moja kwa moja kusini
@yussufyussuf7686
@yussufyussuf7686 27 күн бұрын
Dah africa tue na aibu jmn 🏌️na hii mikopo
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 28 күн бұрын
NDO MAANA TUNASEMA TUNUNUE NDEGE YA RAIS HIVI NYIE MNAO PINGA HAMUON KAMA TUNATUMIA GHARAMA KUBWA KUJAZA MAFUTA HILO LINDEGE LOTE EM SELIKAL FANYEN MAAMUZI MSIWASIKILIZE HAO WAPINZAN WANAO PINGA SWALA HILI😢😢😢😢
@robertphilip385
@robertphilip385 28 күн бұрын
Sasa ukienda na ndege kubwa hiv utaombaje msaada?
@user-lv1ki7nn7t
@user-lv1ki7nn7t 28 күн бұрын
Acheni ujinga nyie tatizo sisi tumekalia kuwazia misaada tu kama vile walemavu wakati tungejipanga tungeweza kujitegemea vyema kabisa Burkina Faso wanatushindaje kwa mfano ?ni aibu kubwa alafu inaabidi tubadilike Kila siku tunawazia mikopo uchwara tu sisi Wana ccm inabidi tubadilike Ili kuliponya taifa Mimi siungi mkono hata kidogo upumbavu wa kuwazia misaada hasa u Inayotolewa na nchi za mashoga Hawa daa Korea kusini hakuna kitu mhe nenda Korea kaskazini msidanganywe eti wale masikini sio kweli
@user-ys3gt8lp5h
@user-ys3gt8lp5h 28 күн бұрын
Wanunue ndege kwaajri gan
@katwigayona8041
@katwigayona8041 28 күн бұрын
Nimeamini watu weupe wanambinu nyingi sana za kuliteka bara la afrika na kuwa mikononi mwao. Wanatumia kila mbinu za kuhakkkisha mwafrika anaingia kwenye 18 zao. Mambo haya kuyajua kiundani inahitaji hekima ya hali ya juu sana, nje ya hapo utaona kama hao watu wanahitaji sana kulikomboa bara la afrika , kumbe wanalao jambo.
@mkude
@mkude 28 күн бұрын
Ulichoongea hakiendani na hili tukio,akili yako Iko timamu kweli wewe,mama kaenda Korea,na Korea sio weupe.hivi utapataje maendeleo ulisema ujitenge?
@staanstaan8722
@staanstaan8722 28 күн бұрын
Una akili nyengine zaid ya hzi bro?
@katwigayona8041
@katwigayona8041 28 күн бұрын
@@mkude ndo maana nikasema wenye akili pekee ndio wenye uwezo wa kuyajua haya,, wewe huna akili utayajuaje,, kwahiyo Korea inawatu weusi au? Kwahiyo Korea inakaliwa na waafrika? Akili huna wewe
@katwigayona8041
@katwigayona8041 28 күн бұрын
Huelewi hata yanayoendelea,, kukuelimisha wewe ni kama nawapa mbwa chakula cha watoto,, kwahiyo baki na kile unachokifahamu
@mkude
@mkude 28 күн бұрын
@@katwigayona8041 ok sawa wewe unaakili sanaa gombea urais tutakupigia kura.
@isaacorengo1404
@isaacorengo1404 28 күн бұрын
Korea gani? Kaskazini au
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 28 күн бұрын
Kusini
@user-nd5uf6lw4g
@user-nd5uf6lw4g 28 күн бұрын
Kusini
@ombenijulius4640
@ombenijulius4640 28 күн бұрын
Kaskazini haingilik kizembe
@jumashedafa
@jumashedafa 28 күн бұрын
Wandugu wa kenya mukuje mujifunz uchumi hapa kwa Samia na hauzi roho zetu hahahah
@wemaMichael-fr4th
@wemaMichael-fr4th 28 күн бұрын
malikia wa anga
@mokitaa8750
@mokitaa8750 28 күн бұрын
Hii Korea hipi ya kingjomping
@ombenijulius4640
@ombenijulius4640 28 күн бұрын
Sio ya kim we ya kim haingiliki kizembe mtata
@malietamalieta9658
@malietamalieta9658 28 күн бұрын
kafata nn uko Sasa sisi uku tinateseka na sukari😂😂
@user-sh8xp5dn3w
@user-sh8xp5dn3w 28 күн бұрын
MAMA NAOMNA NIKUONE
@robertphilip385
@robertphilip385 28 күн бұрын
Niaibu kwenda na ndege kubwa kama hii halafu unaenda kupiga ukware
@fauzishabani2622
@fauzishabani2622 28 күн бұрын
Imepemdeza
@user-vl4rz6lf6d
@user-vl4rz6lf6d 28 күн бұрын
Acheni I Shamba nyie mnaopinga rais kutumia ndege kubwa nyie Mnajua faida italayopatikana katika ziara hii? Acheni kumfanya kiongozi Hana akili nyie
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 28 күн бұрын
🚮
@valerianrwebandiza754
@valerianrwebandiza754 28 күн бұрын
Historia inaonyesha kuwa Kikwete alifanya ziara hiyo nchini Korea na akafanikiwa kupewa mkopo wa masharti nafuu kwa ajili ya ujenzi wa hospitali ya Mloganzira na daraja la Tanzanite!
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 28 күн бұрын
Mawazo ya mikopo ni mfu, tuwaze kodi. Mikopo ni kodi za wengine
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 28 күн бұрын
Pumbavu tanganyika inaweza bila mikopo
@valerianrwebandiza754
@valerianrwebandiza754 28 күн бұрын
​@@majaliwabwitonde6900. Sidhani unachokiongea kama umekitafakari kwa kina ndugu yangu!
МАМА И STANDOFF 2 😳 !FAKE GUN! #shorts
00:34
INNA SERG
Рет қаралды 3,6 МЛН
Пробую самое сладкое вещество во Вселенной
00:41
WHO DO I LOVE MOST?
00:22
dednahype
Рет қаралды 75 МЛН
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 112 МЛН
President William Ruto arrived at Laikipia Airbase to mark the KDF Day.
18:05
Camtech Communication Services
Рет қаралды 669 М.
Ijue familia ya Rais Samia Suluhu -mume, watoto na historia yake
13:38
Zanzibar Kamili TV
Рет қаралды 939 М.
МАМА И STANDOFF 2 😳 !FAKE GUN! #shorts
00:34
INNA SERG
Рет қаралды 3,6 МЛН