Pole sana dada angu Mungu akutie nguvu yeye ni mume Wa wawajane
@ElidaJackson2 ай бұрын
Pole sana mke wa marehemu mme yupo ameenda kwa baba yetu mbinguni hivyo utamuona cku ya mwisho ,Mungu akutie nguvu amesema yeye ni mme wa wajane
@josephatjoseph17552 ай бұрын
Tustamke vitu ambavyo hatuna uhakika huo unakuwa kama uongo hatujui alipo ni Mungu tu ndo anajua. Mungu tu ndio anajua maisha yake ya nnje na ya ndani.Yesu Kristo atupe mwisho mwema
@WinnieKasambala2 ай бұрын
Ni katika kutiyana moyotu mpendwa minavyoona
@LizNjeri-n2p2 ай бұрын
It's not easy mke mwenzangu.mungu akufariji
@NdayishimiyeEvelyne-ws6ts2 ай бұрын
Pole dada mungu akupe ujasiri dada inauma mamy
@sirielsamweli2 ай бұрын
Poleni sanaaaa
@MALIMIZIGANI2 ай бұрын
Poleni sana mfariji wetu yupo aendelee kuwatia nguvu hususani mke na watoto wake uhakika mungu kashapanga njia kwani yeye ndiye mfariji mkuu
@LeilaAdija2 ай бұрын
Pole Sana mke wa marehemu mungu yuponawe hatokuacha kamwe
Nikweli ananza ukrasa mpya sana basi kifo ni fumbo tu lakn mungu wetu atamsimamia maana karibu hilo nizito mungu umpe wepesi huyu dada pamoja na familia yake na watoto
@magrethyeremia22792 ай бұрын
Jmn inaumaa saaana saana,Mungu azidi kumpa nguvu jmn😭😭😭😭
@mamakebrighton13372 ай бұрын
Pole mwayaaa pola mnooo
@RechoMathias2 ай бұрын
Pole Sana jipe moyo wote ni njia moja tu
@MILLICENTAFULA2 ай бұрын
Condolences to you great pple of zabron may the Lord b ua Piller on dhic period,,,we love uuuuuu4rm 🇰🇪 R.I.P Jose😢
@OressMichael2 ай бұрын
1:40 1:40
@veronicathomas94222 ай бұрын
Pole sana jaman mke ww ni mama na baba Mungu akutie nguvu yoote mtazame Mungu
@NeemaMakogoto2 ай бұрын
Mungu akawe mfariji mkuu kwenu zabron singers
@ElidaJackson2 ай бұрын
Natoaa pole kwa wafiwa woteee Mungu awatie Nguvu ya kusahau yaliyopita
@marymdika4392 ай бұрын
Poleni sana
@TausiMokiwa2 ай бұрын
Hakika inauma sana poleni wanafamiliya kwamsiba mzito ningumu kuamini ila inatulazimu tuamin tu
@Mamshika2 ай бұрын
Du! Pole sana inauma sana 😢
@BeatriceMwaura-lg6ru2 ай бұрын
Oooo my God so sorry to the family rip
@LeahMajura2 ай бұрын
Mungu mpe ujasiri huyu mke wa marehemu
@ELIASMANCHAN2 ай бұрын
Rest easy 💔 man
@jescageorge-fv8yt2 ай бұрын
Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu
@reginas18322 ай бұрын
Mungu awe mfariji wenu katika kipindi hiki
@tuikezeezra13152 ай бұрын
Du maisha haya😭😭😭😭😭
@GrceLaurentkaboigora2 ай бұрын
Kumbe mpeshamvalisha vyeupe???
@marykarebeti94102 ай бұрын
Wee chizy eehh??
@ShabanMainde2 ай бұрын
Nyeupe tena😅
@MariamThomas-bg4rc2 ай бұрын
😭😭😭
@Ericana-il7nu2 ай бұрын
Dah.huyu mwamba kafa! hivi nikweli
@gloryibrahim80202 ай бұрын
Maumivu ni makubwa mnoo pole mke wa marehemu Yesu ndo msaad wako pole kwa family ndug marafik 😭😭😭😭💔