Uko na mchezo mama..hujipe di..unafaa Kutandikwa..maisha nu yako why stomach such people..tembea
@freshiermuniu86438 ай бұрын
Njoki kai wohetwo kúu ni Mikwa?? Why are you letting your kids see all that madness.
@lynnmwangi19238 ай бұрын
Njoki hata kuchoka juu ana provider wa ,husiki hata nyumba anaita mtu amwoshe so pesa ndio ina mhold causeangetaka hata Saudi ama Qatar afanye job na kama yeye ni salonist aende Qatar afanye job huko Kuna hair stylist wengi na pia Ako na mom n dad ,huyu ni mvivu
@Kaluukayu87508 ай бұрын
@freshiermuniu8643 woooiii once alikua ameolewa na kabila hao watu hufanga ata huweza ona kitu like unateswa kuna kitu inaendelea unaona zote but kujitoa inakua noma sama kwanza kaa si mtu wa kuomba vitu tu zinaendelea lakini setani amekufunga akili.
@damarisnjerichege1008 ай бұрын
Pole sana 😢...but ladies we should be empowered ndio tusikae in such environment in the name of children.God give you a way
@NjoguWaNganga8 ай бұрын
Njoki has been let down by her family. His brothers and sisters who knows her story should have evacuated her immediately, and offer her social and economic support. Sometimes families are a big letdown.
@liliannjue17687 ай бұрын
Mnapo comment jua pia mental breakdown is real perhaps hio ndio shida njoki Ako nayo 😢
@freshiermuniu86438 ай бұрын
We break those chains and destroy witchcraft in the name of Jesus! Be set free with your children. May God fight your battles in JMN!!!
@dinahwangari72348 ай бұрын
I agree juu how do you stay after all that na bado hutoki? We declare freedom
@jacintawanjiru67638 ай бұрын
Amen
@AgnesWaithira-rk4eh8 ай бұрын
Ebu ask her what is still holding her back in that "marriage"....coz aje sasa ati analetewa nguo za mapupu na anaosha.. how now,aki sawa kweli...
@shirowkihara65778 ай бұрын
After half an hour don't think I want to finish watching this 😢😢coz like seriously what's wrong with this lady,why is she making her her children to go all these traumatic situations,,pia huyu mama hayuko sawa 😢😢a real woman won't put her children under such disgusting situations 😣😣
@Puritywawira-t3v8 ай бұрын
Njoki Ako na story kama yangu ,,,,bt Mimi nilijitoa wee niliona nitakufa,,,nilikuwa nimeolewa na mluya waaah ,,,Kila wakati anatembea na mike kwangu ,,,alafu ananituzi bele ya mike weeee hard time
@lizburton98338 ай бұрын
This is so bad, please this lady should leave this marriage completely, may God have mercy for this woman, she pass through alot
@ritaroggs8 ай бұрын
With all due Respects... this woman.has let us mothers down..no child shd go.thru this. This is a lazy lady who Dsnt want to wrk n feed her kids. Av been a single mom.for 18yrs!!! Am.a mother.of.3.... my.marriage didnt work n we parted ways. Am so dissapointed!!!!...hii story haileti shangwe.... 😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@gracewahu87418 ай бұрын
It's easy to say Njoki ni mjinga but my people you forget she in in a family of people who use uchawi she may sound sobber when speaking but believe me pia amefungwa akili to stay there , how can she know her mother inlaw tried to kill her with a leso then afterwards the same mother inlaw brings her food without to think she Eats weeeeeeeee she needs prayers more of her mind to be free 🙏
@eunicewairimu5188 ай бұрын
Women,lets learn to love ourselves,hukuogopa magojwa ya zinaa?
@maryshiru84368 ай бұрын
Wewe mama Acha ujinga what are you still doing there!!!!!!!!.... For the sake of your kids toa watoto wako in that environment.
@maggegachoki96883 ай бұрын
Ati Hana otherwise 😂😂 Surely
@FaithMwangi-tp1rs8 ай бұрын
Anaeza kua amefugwa,,rem hiyo mambo ya lesson"God amsaidie atoroke na watoi,,
@thukuwanjiku8328 ай бұрын
Njoki anafaa makofi tatu??? Hii story anafaa apeanange akiwa nbali... Bado ako hapo? Akifanya nini? Is she disabled or something that she cant provide for kids... She's getting on my nerves...
@VeronicaDunbar8 ай бұрын
Unaweza kumu advice bila kumtusi. Ulemavu si wa viungo pekee. Chunga mdomo wako usijiroge. Ombea nwenzako. Sio kumkejeli.
@EstherNjoroge-g6m8 ай бұрын
Huyu mama ya kijana ndio ameroga huyu musichana hapa nimaobi tuu
@Blessed4168 ай бұрын
Uyu niakiga😮
@annnyambura36348 ай бұрын
Wanyoike lakini huyu mama hajafichwa.She can easily be recognised even with her voice
@VeronicaDunbar8 ай бұрын
Uso wake unaonekana frm time to time, akigeuka. But, amesema hajali hata bwana or in-law wakijua. Saa ingine husemwa: 'Fear is the enemy'.
@muthonimureithi36658 ай бұрын
Mi ata na admire nywele yake simniambie ni gani?
@linahmaina86048 ай бұрын
Endelea kukaa huko ungoje kifo😢😢
@Awakenministryhome8 ай бұрын
Hata wewe ni kujaribu,,,unafanya nini huko kweli,,,,siwezi heri niwe chokola na watoto wangu.
@damariswangari18068 ай бұрын
Weeeeeh, haha hatiri kihiko,mbona ukae kwa marriage kama hii? move out n trust God.this is to much
@Puritywawira-t3v8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂wacha tuu nicheke juu nilitoka huko ,,,pole njoki my husband alisiku mike 😅 anakuja kwangu nilikuwa na pika ku😂😂😂😂
@mercyk26728 ай бұрын
She falls to realize how much control she has over this situation. She can walk away and live a fulfilling life. He'll be ordered to pay child support since there's enough evidence that he's an unfit father.
@paulinenjeriwaweru75498 ай бұрын
This lady has taken too long to decide angetoka kitabo alee watoto wake
@priscillarnjeri78748 ай бұрын
True angetoka kitambo.
@jacintawanjiru67638 ай бұрын
Kukorogewa..hangejijua
@VeronicaDunbar8 ай бұрын
Ali risk kupatwa na aids. But, hatujui. Kenya sijui km kuna shelters za kusaidia wanawake waondokee mateso na kujipanga kujikalisha.
@VeronicaDunbar8 ай бұрын
Haku take too long. Huu ni wakati wa Mungu. This is the day that the Lord has made.
@anitababy67508 ай бұрын
1998😳😳 after 9 years take Uber story za Jaba.ky wasting my WiFi .telling lies to get michango online bure kabisa
@itsjuliam3 ай бұрын
Im 45 minutes into the interview. I keep waiting to hear about her leaving with her children, to no avail. Has she been bewitched? Because what is this??? She sounds so comfortable. Unaomba Mungu utoke, but what part are YOU playing in making that move? Wanyoike, do you have a follow-up to this story?
@beritanthenya29097 ай бұрын
This a very difficult watch! I cannot fathom the level of self-loathe in this woman. Why Njoki???!!!
@EstherNyambura-r6c8 ай бұрын
Am sorry to say this bt hata ww uko na kasoro, unaeza kaa hakutambui kama wife na unamfulia hadi mafi, if kama hashughuliki na watoto unafanya nn huko
@qrellissa21278 ай бұрын
My exact question
@kamiessie7 ай бұрын
I wonder 😡
@Usercintahcin8 ай бұрын
Njoki nikii maa,tiga gwitigira ciana niukurera
@johnkihwaga53768 ай бұрын
My sister maisha ni yako sio ya wazazi wako toka huko mbio na usiangalie nyuma
@MaryAnn-zk7ef8 ай бұрын
Shida ya sisi .wanawake tunafumilia .juu ya shida...wamama...tutafute job...
@lydiakariuki57898 ай бұрын
My advice to this lady is to leave that Place with immediate effect. I don't know what she waiting.
@BetyNjue8 ай бұрын
Hio ni ujinga uko nae kwani umefungiliwa hapo siu toke uende unajifanya mzuri ndio nini ifanyika wewe kaa hapo na stress kifo ndio itakutoa huko jinga wewe....unahaibisha wamama kwani how desperate ur.....
@monienjeri30426 ай бұрын
Unamwita mjinga, wewe mwerevu Shukuru Mungu, circumstances occurs..... Mtu huelevuka kivyake.... so yy si mjinga ni wakati wa kutoka haujafika.....
@PaulineNguitui-ke6vf6 ай бұрын
Pls don't judge this woman she has sacrificed herself for her kids she's a good mother pray for her. Na wewe mama talk to God n he will help you
@MwangiShee-hv6ps8 ай бұрын
Noakorirwo wari muthiurure onawe, tondu niurakioneka ta wi sawa
It's true ulijiingiza mwenyewe you didn't have to get married to him cos of the baby
@lydiahmwangi67228 ай бұрын
Mama ningekuwa hapo karibu na ww ningekuchapa makofi ma mbili ww, hatakama umefungwa ama hujui vile unafanya mm kwangu nimekasirika. Ulipo jua mumeo vle alivyo ndivyo ungetoka kwan umesahau Mungu jamani, huna uridhi hapo kama ndio unangonja kisha ujue kile amabacho utatoka nacho nikilio na maisha yenye mbaya kuliko vle unakaa, nn unafanya hapo????? Unakosea watoto wako na tena ujue unakosea sana.
@FaithWangariWangari-jf1eg8 ай бұрын
lydiahmwangi ningekusaidia kumchapa..something need common sense bona uko hapo bado really 🤔
@lydiahmwangi67228 ай бұрын
@@FaithWangariWangari-jf1eg thenkyu sweet
@Rachel-lq8sz8 ай бұрын
Njoki ena mutwe mwega kweli??? Nilitoka na 4 kids na Hadi wa Leo GOD is very faithful,tiga urimu wee njoki😮😮
@rachelwanjiku31138 ай бұрын
Walai mimi niko na watatu,why spoil your kids future coz ww ni lazy ati kuprovide wacha ujinga
@waridim92498 ай бұрын
Ûrogetûo maita merî, mwarî ûyû, Mwathani agakûhonokia, na ndûrî wetha gwa gûthiî?!😧 Ndûcoke kwanyu ona aciari marî arûarû. Aria na arîa mûciaranîirûo nao.
@AgnesWaithira-rk4eh8 ай бұрын
Nikii ureka kwa ngoma na ngoma iyo...
@VeronicaDunbar8 ай бұрын
Pastor anaitisha pesa nyingi kuvunja mathabahu mabaya ya gaysim? Huyo si Pastor wa kweli. Ni Wolf in sheep's clothing. Program imetokea sasa. Pastor atakae kukuombea bila kukuitisha hata ndururu, atatokea na kuku contact. Meanwhile, wewe endelea kujiombea. Mungu pia, atasisikia maombi yako. Amina.
@susankaburu45278 ай бұрын
Hana tofauti na gay.
@nancygiteru63098 ай бұрын
Most pastors will not see heaven
@EstherNyambura-r6c8 ай бұрын
Ww mwenye una expose watoto wko kwa mambo hayo coz if ulijua kitambo na sa hii hadi wazazi hawakutambui unangoja nn?
@sophiakimanichannel19038 ай бұрын
huyu mama shida yake nini, anangojea huko kutoka mtoto asaliwe mtu akijua anaishi na mnyama,, ndio asiitwe single, nkt tuko wengi na tunalea watoto peke yetu
@lucykimani38438 ай бұрын
Vijana wa twenty years ndio wanampea pesa,,mara yeye ndio analala na vijana,mara ameolewa,,, which is which now!!!!!
@sophiakimanichannel19038 ай бұрын
hiyo uso inaonekana vizuri sana
@monienjeri30426 ай бұрын
Comment sections is giving me migraines, yani wanawake wengi wanafokea huyu madam.... Kuna kufungwa akili, mtu hajioni akiwa wa dhamana..... depression ikipata mtu haonangi bivu walai mbichi... At 26:nimejijazia huyu alikorogewa na mother inlaw... So guy's stop bashing her......
@margretnjuguna29498 ай бұрын
Mabo zigine jamani na mtu ako tuu hapo naweza eda kama gari ya miraa
@susankaburu45278 ай бұрын
Huyo jamaa kuna kitu alikupea, ujue vizuri ni gay na unafumilia.reke nemwo
@paulnganga12207 ай бұрын
I will still echo what others have said with all due respect: hujipendi na unafaa viboko. Nimejam hata.
@cateliz65588 ай бұрын
Tukusaidie aje na hutaki kutoka?
@marionmsoo18408 ай бұрын
U hapo juu ya pesa😅😅😅
@veronicanjoki2417 ай бұрын
Njoki my namesake hakuna Njoki mjinga bona unatuangusha Kenya ni big unakaa huko ukingoja kifo come out pia sisi tunahurstle gulf na tuko na vijana wazima nanijaso letu kuwafikisha hapo but wewe ni kma bado uko na feeling's zake coz bona ukae kwake open ur eye's wacha hizo
@mercynyamburandegwa7768 ай бұрын
I have so many questions??before ulisema bwana yako hakubali mende church why now ati unaenda church
@gladysgitau74588 ай бұрын
Mwanamke ni kujituma,ingekuwa mimi hao watoto wangekuwa hata na majina zingine.I can't torelate such nonsense.Mimi ningoje kifo in the name of marriage? God forbid.She is the only one who can make her decision.
@RUTHKINYANJUI-un8zn8 ай бұрын
All those years..what are you waiting for kwani umefungwa ama umecementiwa hapo??
@doreenshii5636 ай бұрын
Huyu mumama amekaa huko ju ya pesa,ni mlazy hataki kukaa maisha ya kujitegemea
@winniejoy38588 ай бұрын
Hii ni ujinga siezi entertain ,, kma mwanaume Hana haja na Mimi naenda tu
@b.39408 ай бұрын
Njoki, Atiatia? Ati muruguo akorire ithe akihaicwo ni Irungu na ti Irungu Kang’ata? Uuui! Nduuuri ici. Icio niciakiria njano.
@JoyceMwangi-jo9nh7 ай бұрын
some parents though mtoto wako anapitia mambo kaa haya unasema avumilie
@JanetCross-c1r8 ай бұрын
Njoki toka huko ndio watoto wako wapone pliz
@milkawaithira87578 ай бұрын
Weuh na ukiuliwa dio wachukue watoto think twice
@marywangui68127 ай бұрын
What does she mean that hana otherwise....huyu wanyoke mpelekee rev wa kamutiini ndo a delivered amefungwa na mother in law
@ElizabethWainaina-c7c7 ай бұрын
Wapi hapo? Kamutiini pliz
@monienjeri30426 ай бұрын
Unaongea ukweli
@mbugihofmann89798 ай бұрын
Like seriously nikii uraria riu.ndungi move on? Wimukigu kairitu
@priscillarnjeri78748 ай бұрын
Kwani mnavumilia mashinda ya aina gain? Some are beyond.
@elizabethnduta10858 ай бұрын
Si wanataka kuuitwa housewifes
@sheena88688 ай бұрын
Ww nataka uzabwe kofi mbili ufunguke macho
@AnnaNjoroge-c4d8 ай бұрын
hi,ici nacio niciarega mitheko😯😯
@Racheal-m6x8 ай бұрын
riu wee maa uguteithio atia wi ugikuyu kana wimuciarithanio tundu gikuyu nitwedete ciana citu muno nii nyeje irima tuikarage matikone maundu ta mau uma kuu nigetha ciana ihone meciria
@liliannjue17687 ай бұрын
Pastor pia wakora lazima walipwe yesu alilipisha nani ndio aombe
@mwariwanjeri93918 ай бұрын
Swali langu ni..njoki hungoja nini ndio atoke kwa huyo mwanaume , na aliambiwa wazi hawako pamoja na huyo mwanaume , ama alikorogeawa na hakui
@margaretkamau30958 ай бұрын
Wewe whats wrong with you,be hata mama nguo for the sanity of your mind.
@catherinegitau90537 ай бұрын
Nikii mugiraga gwa kavira na nigwo matumenete😮😢
@Beatricefaltermeierfktv8 ай бұрын
Amen Amen 🙏🏻
@elizabethnduta10858 ай бұрын
Bona wanawake mnajiforce kwa ndoa ati dio muitwe housewives.ukikaa single utakufaa
@rechomunini27307 ай бұрын
Halafu ukaendelea kumzalia.... what-if,just what if ashaanza kufunza vijana wako gayism thro enticing them with money n gifts????🤔🤔🤔🤔
@kkm21028 ай бұрын
Sasa wewe sister, kwani are you blind? Why has it taken you such a long time to decide that there was no marriage? I don't blame you but seek protection. That man will end up killing you. Watch this space.
@VeronicaDunbar8 ай бұрын
Unamuombea mabaya kwa nini? Ati; 'Watch this space'. Wewe ukihapiwa kitu kibaya utafurahi?
@women.69678 ай бұрын
Umekorogewa hapo na simiti? Pigwa upate akili pia.
@lilianwangombe33538 ай бұрын
Nasiujaribu kutafuta KAZI ujikalize uleee watoto wako coz nikama hawezi badirika.
@MagretKarioki8 ай бұрын
I don't understand this lady, why is she still there , she is saying even if her husband tell her to leave ako na kwao na siatoke aende.God have mercy break the chains for her dear God
@linahmaina86048 ай бұрын
Njoki wewe ni mjinga sana
@monienjeri30426 ай бұрын
Si mjinga....
@liliannjue17687 ай бұрын
Njoki toka huko na kama huna mahali ya kukaa kuja kwangu
@JaneKim-kw4kz7 ай бұрын
Weweninani
@winicatewainaina44568 ай бұрын
Unaongea sana bro ...wacha story I flow
@stevinkimyson19298 ай бұрын
It doesn't sound like a genuine story, and I'm very sorry, but if that's the case, then I feel so sorry for her, I failed miserably to understand how she would persevere that nonsense for all that long.
@damariswangari18068 ай бұрын
This is pure nonsense,unaweza aje place kama hiyo uko unaweza shuka watu nywele, uko na kwenyu na wewe sio orphan,hii ni ujinga
@loisewanjohi16248 ай бұрын
@@damariswangari1806hii story inanikasirisha vibaya sana ,kienye kinamkarisha hapo sijui ni nini
@jennifercremer10548 ай бұрын
Girls! Financial freedom is everything, this woman is being treated like dirt bcs she depends on her musenge husband yani shoga. Women work for your own money.
@elizabethmwikali17098 ай бұрын
Sasa nani hatakutoa kama si uamuzi wako,wee kaa rada
@florencemakatum-lp7un8 ай бұрын
Sura nayo tumeona kabisa,Njoki if you love your kids since you don't love yourself,just leave and go back to your parents,however poor you are. You will die of depression if you don't take care.
@florencegachukia56418 ай бұрын
Why can't you move out? What are you doing there? Be strong in the Lord and start your own life. It's better to eat githeri or ngwaci through out with happiness.
@gracekuria47678 ай бұрын
It's not a must she leave ,she has kids ..who said wanaume wanaharibia wasichana maisha then they leave with the kids....ala....the lady can take proper steps and that man leave...let him go start life with his masenge na huko ala!
@Edgybhthjklew8 ай бұрын
Waarh MUNGU wangu 😢
@rebeccamwangi30278 ай бұрын
Something is wrong with her .khai ahuriirwo micumari kuu
@JanewanjiruKinyanjui-e2g8 ай бұрын
Njoki even your family members don't love you at all. They can't help you even your sisters. Utashida hapo ukisema alikuwastia time. Ngojea kifo hapo
@henrykairo18498 ай бұрын
Ungiri mwari wa maitu ingiamba gukuhura mbaaara tondu onawe ndurahuthira hakiri toka kwa hiyo mboma mbio mpaka kwa babako
@davidmburu-ti1kp8 ай бұрын
Ni uchawi bana ,ni wambia wachane na baluya hawasie
@Beatricefaltermeierfktv8 ай бұрын
Uuuhi pore sana 😢
@florencekiingati81988 ай бұрын
This is serious. Why can't you just walk out of marriage
@shikohshikoh83806 ай бұрын
Hello you are not okay woman your kids will blame you umefugiliwa na Kamba?
@mercykariithi79198 ай бұрын
My sister Mungu akusaidie Sana uliolewa kwa wachawi mama wa kijana ni mchawi ndio maana kijana wake ni gay
@VeronicaDunbar8 ай бұрын
Imeandikwa wapi kwa bibilia ati mama akiwa mchawi, mtoto wake anakua gay?
@davidmburu-ti1kp8 ай бұрын
Hiyo uwongo
@josephinekongu97728 ай бұрын
Si kwa ubaya but hii story iko na hiccups
@davidmburu-ti1kp8 ай бұрын
Mau ni maheni
@rachelnjeri51898 ай бұрын
Mutumia uyu ekwenda guteithio na mahoya
@ElizabethWainaina-c7c7 ай бұрын
Funika uso yake vizuri
@RK-xv1si7 ай бұрын
Toka uko na watoto Wako please don’t be stupid my sister!