Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya marehemu askofu evaristo marcus chengula amina
@daudimitimingi69506 жыл бұрын
Mwenyezi mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amina
@christophercravery1026 жыл бұрын
Rahaa ya milele umpe ehee bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani Amina
@franciscakimbe81244 жыл бұрын
pumzika kwa amani our bishop
@lucyjohn79045 жыл бұрын
Da alinipatisha kipaimara askofu wangu huyo
@stanslausnyaulingo59226 жыл бұрын
kazi ya mungu haina makosa
@rosemvamba44006 жыл бұрын
Apumzike kwa aman Askofu wetu
@gracearusa90526 жыл бұрын
Tujiombee wenyewe yake yameisha n mm na ww
@elizamatilia3726 жыл бұрын
MUNGU WETU NI MWEMA SANA NDIO MAANA WOTE TUKO TUNAISHI NA KUVUTA PUMZI UPENDELEO HUWABARIKI WENYE DHAMBI NA WASIO NA DHAMBI
@pascallyimo51066 жыл бұрын
Mnaoandika maneno yasiyofaa humu,acheni mara 1,watu tuko kwenye majonzi,hayo ya sijui wafu kuzikwa kanisani,sio mahala pake,kama ulitaka ufafanuzi ungeuliza wakati mwingine na kwa watu husika...lkn pia hujalazimishwa kusali roma,kama unaona roma wako tofauti kasali kwingine,makanisa yako mengi tu.
@johaneshaule43785 ай бұрын
Unakuta Babu yake kazikwa na ngozi
@haulevincent88246 жыл бұрын
Huu ni ubatili ndugu zangu katika Imani ya haki...
@suzanafabian66596 жыл бұрын
kwani VIP ww.?
@daudimaembe33606 жыл бұрын
Ubatili unatoka wapi?kaburi la Petro mtume liko ndani ya kanisa la mt.Petro pale Roma chini ya kiti cha papa.
@المهلهلالحراصي5 жыл бұрын
Muulizeni yy alitaka akazikwe nyumbani kwake au vip mbona haeleweki huyu kaka mtu ameshazikwe ameshazikwe sasa yy anataka nn huku kwenye media aende akafufue basi akamzeke anapotaka yy
@cosmasmpwage31556 жыл бұрын
Ila sio kwa kuzikwa kanisani.... Yesu rudi mapema utufafanulie 😩
@henricokanogu22236 жыл бұрын
Ulitaka azikwe wapi nyumbani kwako
@rainermsafiri3436 жыл бұрын
Hujielewi Wala hujui imani ya kanisa na hutambui mafundisho ya kanisa ila unaelewa dini biashara
@josephsiwila45515 жыл бұрын
Ulitaka tuzike chumbani kwako! Acha imani za watu
@jovinarybwoma73076 жыл бұрын
Apumzike kwa amani
@margareosoro18755 жыл бұрын
May your soul rest in peace
@komanyavitalis40856 жыл бұрын
Baki na imani yako nami nibaki na imani yangu ya kanisa takatifu katoliki la roma.Nyie mnaobeza endeleeni na makanisa yenu ya kudandia pasipokujua lolote na kukalili mistari ya biblia kwakutokujua maana yake.Tusichoshane kabisa.😉😉
@madolaclassic92476 жыл бұрын
Nyinyi mnaosema kuzikwa kwenye nyuma ya Mungu ni dhambi nani aliyekwambia? Kama alikuwa anafanya kazi ya Mungu ni dhambi kuzikwa kwenye nyumba ya mungu? Nyinyi sio watoliki, hamjashiba imani.Haya mafundisho ya kisasa ya medhehebu yaliyoanzishwa na watu, yanawapoteza!
@saramduma21586 жыл бұрын
apumzike kwa peace
@haulevincent88246 жыл бұрын
Kumbuka kuna sala ambazo ni chukizo kwa Mungu na acheni kuzifanya sheria kuwa rahisi hivyo.
@frankmwajombe66816 жыл бұрын
Huyu anayejiita mkatoriki halafu hajui taratibu za kikatoriki hana sababu ya kuwa kwenye kanisa la kikatoriki yafaa aende huko kwenye maksnisa ya mafuta ya upako mtadanganyika sana mpaka mkome
@traudkamugisha80516 жыл бұрын
Wewe unaesema ni mkatoliki wewe sio mkatoliki taratibu za kanisa huzijui wala haikuusu watasali wanaotambua hilo, Kanisa katoliki linamisingi yake wewe unaeropoka sali hukohuko kwao pilipili usiokula yakuwashia nini??
@suzanafabian66596 жыл бұрын
mjinga gani tena kaalibu
@pascallyimo51066 жыл бұрын
Pumzika kwa amani baba
@haulevincent88246 жыл бұрын
Tumsifu Yesu kristo Mm nina swali hivi ni kwanini na kwasababu ipi inayofanya Mtu mfu azikwe ndani ya kanisa la Mungu. Ikiwa yeye alishasema Nyumba yangu ni Nyumba ya sala sasa kwann Askofu azikwe ndani na wala sio nje ya kanisa? Je sala hizo zitakua haki kwa Mungu?
@daudimaembe33606 жыл бұрын
Askofu ni mali ya jimbo lile analolitumikia kutakatifuza na kubariki.Na lile kanisa kuu kilimo kiti cha kiaskofu Cathedral ni ishara ya jimbo zima.Hivyo anapokufa mhashamu huyu sharti azikwe ndani ya kanisa lile kuu linalowakilisha jimbo zima.Aidha hii haijaanza leo,juu makaburi ya mitume wa Yesu kuna makanisa.Mfano kanisa la mtakatifu Petro,nk.Wewe ndiwe Petro na juu ya mwamba huo nitalijenga kanisa langu.Sasa sala ya imani inatufundisha kusadiki maneno yote linayosadiki na linayofundisha kanisa takatifu la Roma.Kama husadiki unatakiwa kwenda kungineko.Asante.
@haulevincent88246 жыл бұрын
@@daudimaembe3360 hata wewe pia ni mali ya kanisa na ndio maana unazikwa na kanisa hakuna asie mali ya kanisa kuna baadhi ya mambo ni ya kuongea walipita mitume na manabii wenye heri lakini kwa majibu yako sio sawa kubali ukweli tu..
@suzanafabian66596 жыл бұрын
umekusudia.nenda....katafute pesa kwa njia ya udanganyifu.mnajiita wachungaji.kumbe utapeli tu
@daudimaembe33606 жыл бұрын
+Haule Vincent Mimi nasadiki kwa kanisa takatifu katoliki la mitume,nasadiki na mambo yake yoooote na siwezipinga chochote kile kinachofundishwa nalo.Kama kuna mahali sielewi nitakwenda kuuliza kwa mababa wa kanisa watanielewesha nitaelewa siyo kufunzwa mtu asiyeelewa chochote.
@florentinamapambaon486 жыл бұрын
Kuongezea kwa comments nyingine, kwa kurejea mantiki yako ya kwamba Yesu alisema "nyumba yake ni nyumba ya sala" kwa wakatoliki mazishi ni sala pia. Maana tunamshukuru Mungu kwa zawadi ya Maisha aliyompa ndugu yetu, tunamsihi ampokee katika makao alomwandalia, na tunamuomba Mungu pia atujalie kutambua ufupi wa Maisha yetu hapa duniani.
@haulevincent88246 жыл бұрын
Mm ni mroma lakini kwa haya mm siwezi kusali kanisa lililo na wafu ndani yake.....muhubiri asema aliekufa amekufa na vitu vyake vyote na wala haki chini ya jua sasa sisi twafanya machukizo yalio makuu kwa mbele za Bwana
@sixmundnjuyuwi91216 жыл бұрын
nenda kaxali unakoona wew wako xahh kwan nan kakulazimixha uxali Roma na hujui uliambiwa kanixa ni imn ya mtyu
@daudimaembe33606 жыл бұрын
Uzuri kanisa katoliki halijawahi kumlazimisha mtu kulifuata.Kama unaona askofu kuzikwa kanisani ni kero,heri utoke ukasali unakojua.Mimi napenda mtu anayependa kuuliza kwamba,kwa nini maaskofu wa kanisa katoliki huzikwa kanisani?Huyo kidogo ana akili.
@haulevincent88246 жыл бұрын
@@daudimaembe3360 acha kuzunguza vitu ambavyo sivyo sasa maana ya juu wa mwamba huu nitalijenga kanisa kwahio ndio azikwe ndani ukatoliki sio u Mungu na hata ukisoma biblia Mungu anakataza juu ya mafundisho ya Mwanadam sasa baadhi yake ndio hayo sasa kama ni mali ya jimbo wakifa maaskofu mia watazikwa wap? Hali sio ukatoliki hali ni juu ya sheria zilizo wekwa na viongozi wa kikatoliki ambazo huju kizifuta nyinginezo sio haki kuzika ndani Ya Nyumba ya sala Yesu kristo ambae ndie Bwana na mwokozi wa maisha yetu hakuzikwa hekaluni wala Yohana wala petro wala paulo...
@haulevincent88246 жыл бұрын
@@sixmundnjuyuwi9121 ndio nitasali kwani sala sio mpaka unione wewe bali Mungu wangu ndio anajua lakini kumbuka makatazo ya biblia na sio uishi kwa ubishi soma sana biblia tena sana....