DR.SULLE NATOA ZAWADI YA GARI LANGU ATAKAYE JIBU SWALI HILI/MBINGU ILI.......

  Рет қаралды 177,668

ISLAAH ISLAMIC  TV

ISLAAH ISLAMIC TV

Күн бұрын

#drsulle #tanzania #islaamic #trending

Пікірлер: 418
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika 10 ай бұрын
Tutaenda Mbugani kwa jina la Yesu kristo mwokozi. YESU alitoka Mbinguni mwanzo wa Elimu na vyote. Amen.
@emmyndunge6406
@emmyndunge6406 9 ай бұрын
Kabisa
@salminathuman3023
@salminathuman3023 8 ай бұрын
Mbugani😂😂
@KhamisAli-r1w
@KhamisAli-r1w Ай бұрын
Mbuga ya Serengeti, ngorongoro au manyara!!???.
@johnkwetukia9585
@johnkwetukia9585 Жыл бұрын
Yesu alisema kipofu akimuongoza kipofu mwenzake wote watatumbukia shimoni
@MirajiMajii
@MirajiMajii 8 ай бұрын
Allah atujalie sote waislamu tufe katika dini yetu sahihi ndani ya mioyo yetu amiin thumma ❤❤🎉🎉
@JamesMatiko-i2z
@JamesMatiko-i2z 9 ай бұрын
Pole sana kwa Dr sule mambo ya kimungu hayana usmi
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika 10 ай бұрын
Msifu Yesu kristo mwokozi wako. Amen.
@nafisatwahir
@nafisatwahir 6 ай бұрын
Imekutachi sanaa pole
@EricManirakiza-g6d
@EricManirakiza-g6d Жыл бұрын
Sheikh Allah akujalie mayisha malefu tuzidi kufata mafundisho kutoka elimuyako🙏❤️💯
@mnyamwezijuma1140
@mnyamwezijuma1140 11 ай бұрын
Wewe utakua Ni kafiri
@mnyamwezijuma1140
@mnyamwezijuma1140 11 ай бұрын
Uelewa wako Ni mdogo Sana
@maase2023
@maase2023 11 ай бұрын
Watanzania sisi kila anaevaa kanzu na kofia basi ni shehe hivo lazima aungwe mkono
@nafisatwahir
@nafisatwahir 6 ай бұрын
Mmmh poleni imewagusa😂😂😂
@rashidibrahim8316
@rashidibrahim8316 Жыл бұрын
Dr Sule mungu akupe umri mrefu na kila utakacho fidunya wa akheira.
@zwuenakhalfan2098
@zwuenakhalfan2098 Жыл бұрын
Mashaallah Dr Al haji Sule Mungu akubarik na akupe umri tuwill wa Afya uzidi kutupa elmu Allahu Akbar swala Al Nabii Mohamad (SWA) AMIIN
@ZumairaHasani
@ZumairaHasani 11 ай бұрын
Mung akupe mwixho mwema
@MwajumaZeddy-un3lx
@MwajumaZeddy-un3lx 11 ай бұрын
shekh allah akulinde navijicho nakupe umri mrefu
@ndayisengashabani-d3h
@ndayisengashabani-d3h 10 ай бұрын
Assalam ghalayikum warahmatullah wabarakatuh Allah akwongeze umuri ukiwa mwema na kutowo elimu amina
@mangeraalbert7982
@mangeraalbert7982 Жыл бұрын
Mzee wetu uko fiti sana❤, ALHAMDULILLAH.
@Zuhuraseifukaranje
@Zuhuraseifukaranje 8 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu, Kwa tunaoelewa tunajua uislam ndy Kila kitu hai wengine ni WA bishi tyu hatuwez kukasilika ote
@aminasugale6586
@aminasugale6586 11 ай бұрын
MashAllah SubhanAllah Allah akuzidishie elmu doctor!Ameen
@salimkarisa2849
@salimkarisa2849 Жыл бұрын
MashaAllah shekhe wetu. Mafunzo yako mazuri sana.Naomba kujaribu swali lako moja hilo la arshi ya Allah ilikuwa juu ya maji kabla ya kuumbwa mbingu. Maji yalikuwa hali ya kigesi, maana maji yakiwa katika hali ya kigesi hayahitajii chombo.
@HusseinKoja-ww7gi
@HusseinKoja-ww7gi Жыл бұрын
Tunaelezwa mbingu zipo 7 na ardhi ni 7 na tunaamini mbingu zipo juu swali juu ya mbingu ya saba kuna nini na chini ya ardhi ya 7 kuna nini
@SociedadeSust1234
@SociedadeSust1234 Жыл бұрын
Allah akuifadh Dr sulle
@ommykhan1748
@ommykhan1748 Жыл бұрын
#Allah akuzidishie 🙏Asante kwa #elimu !!🙏🙏
@allythabiti8150
@allythabiti8150 10 ай бұрын
Duh sheikh uko vzr.
@SwediKatuga
@SwediKatuga 9 ай бұрын
Maashaallah shekheletuu iloo
@saraaa9830
@saraaa9830 11 ай бұрын
Asante sana
@nshimyumuremyieric8434
@nshimyumuremyieric8434 Ай бұрын
Wewe muwongo sana Yesu kasoma kumbe wewe muwongo kbsa
@emmyndunge6406
@emmyndunge6406 9 ай бұрын
Mungu aede shule ako n elimu y kutosha
@LawrenceNduva
@LawrenceNduva 8 ай бұрын
True say be blessed
@mohamedikassimu7016
@mohamedikassimu7016 10 ай бұрын
Allah aendlee kukubark shekh
@eshasalim5496
@eshasalim5496 Жыл бұрын
Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH! ALLAHU AKBAR WALILLAHI AL HAMDU ❤
@HalifaSaidi-x1h
@HalifaSaidi-x1h 11 ай бұрын
Maashaallah Allah akulipe kwa kiwango akitakacho kukulipa
@kilofaqacumar6294
@kilofaqacumar6294 Жыл бұрын
Sisi kama watu wa mkoa kaskasini mwa keñya tunaunga mkono sh sule mungu akuzidisie afya na umri kutufundisha waislamu
@maase2023
@maase2023 11 ай бұрын
Ww nawe ulichojifunza ni nn hapo? Au mnapenda kusifia sifia tu hata bila kusoma! Au hamsomi na kuijua quraan nyie?
@nafisatwahir
@nafisatwahir 6 ай бұрын
​@@maase2023sasa ww waumwa na nini ukweli au sifa??chakusifiwa kisifiwe tu upo jomba
@maase2023
@maase2023 6 ай бұрын
@@nafisatwahir sijajua maelezo yako yanalenga nn maana huielezi vizuri
@nshimyumuremyieric8434
@nshimyumuremyieric8434 Ай бұрын
Dr Sule Amini Yesu kwasababu Ni Mungu Muhammed amezikwa huko uwarabuni utamusifu age nabado anasubiria kwenda kurizwa zabi zake ?
@fcbooktest1154
@fcbooktest1154 Жыл бұрын
Polee sana shehe
@mosesbarofa4419
@mosesbarofa4419 11 ай бұрын
We shabikia kile moyo wko kinapenda lakin yesu na muhamad n vtu viwili tofauti
@ummyomina
@ummyomina Жыл бұрын
Mashallah Tabarakalah
@NichrousFrolian-gk1cr
@NichrousFrolian-gk1cr Жыл бұрын
Mpuuzi mkubwa wew
@SostenesNgonela
@SostenesNgonela 10 ай бұрын
Wabongo wanaamin huyu anaejisifia kwakuwa na magar SS hatuna shida yagar tunataka wokovu mungu na gar lako tofaut
@qh3rm0h4m3d
@qh3rm0h4m3d 11 ай бұрын
Allahu Akbar ✨
@KimbilimaSocial-dy9cl
@KimbilimaSocial-dy9cl Жыл бұрын
Asalam aleykum Mtumswalie mtu wetu Mohammed swalalau haleywa Salam
@MirajiMajii
@MirajiMajii 8 ай бұрын
Allahumma swali Al Mohammad
@MosesKaponda-wx5vy
@MosesKaponda-wx5vy Жыл бұрын
Wewe ieshem sana Imani ya watu ebu fundisha waisilamu wenzeo huko kwasababu huko Kuna watu wanao taka msada pia
@CharlesMangumba
@CharlesMangumba 7 ай бұрын
Mm takujibu, ila kwa sababu umejipanga kubisha utakubali,, takujibu swali la jua,
@AbubakarSadik-f1m
@AbubakarSadik-f1m 9 ай бұрын
Abubakar.sadiki.adam...wa..zanzibar..tumswalie...mtumeeee.❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@ImaniMfugale-hy6tm
@ImaniMfugale-hy6tm 5 ай бұрын
Yesu hakusoma shule ila elimu alzaliwa nayo
@sururukabwari
@sururukabwari 8 ай бұрын
Waambiyekweli Dr sule
@jumasabuni3297
@jumasabuni3297 11 ай бұрын
Sh haueleweki jaman ww acha kpga porojo na Mungu wa Mbinguni akusaidie uufahamu ukweli kwa kufunuliwa na Roho Mtakatifu, lakini punguza kiburi na ufahamu wako ktk mambo ya Kiroho
@Discover70
@Discover70 7 ай бұрын
Yesu alikuwa anaweza soma na kuandika
@omanoman2044
@omanoman2044 Жыл бұрын
Maashaallah tuko pamoja
@bennyjoram9030
@bennyjoram9030 11 ай бұрын
amina
@MakrinaLuoga
@MakrinaLuoga Жыл бұрын
TORATI. 18:18. 19. Hakuwa na haja ya kusoma. Maana mungu aliyatia maneno. Yake. Kinywani mwake yesu Kristo someni hiyo torati mtambue mamlaka aliyo nayo na yoyote Yule asiye msikiliza atakachotendewa
@VitusMakala
@VitusMakala 5 ай бұрын
Na ndiomana anasema elimu sio Hadi uende darasani
@hassansammy1076
@hassansammy1076 11 ай бұрын
Mashaallah ❤️
@AbubakarSadik-f1m
@AbubakarSadik-f1m 9 ай бұрын
Tumswalie..mtume.....❤❤❤❤❤
@SwediKatuga
@SwediKatuga 9 ай бұрын
Alahumaswali aalamuhamad
@abuuzakariyalibumba6303
@abuuzakariyalibumba6303 Жыл бұрын
Masikini weeeee sule unawaongopea watu
@Punda284
@Punda284 Жыл бұрын
Mambo ya kumcha Mungu Ni ya kiroho,ukitaka kuyaeleza Kwa njia ya shule lazima mwisho uchanganyikiwe,ulisema vizuri,Yesu Kristo Na Muhamad ndiyo wenye elimu,mwisho umeharibu imechukua mjibu Kwa walioenda shule ukaacha ya Muhamad Na Yesu Kristo.
@hamoudrushenya8565
@hamoudrushenya8565 Жыл бұрын
Ndo maana wajiita punda,uelewa wako mdogo mnoo,hao unaowaita wenye elimu wanatoa ufafanuzi na utafiti baada ya elimu kubwa walioipata kutoka Kwa Muhammad na Yesu(vitabu vitakatifu),bila kuwepo hivyo vitabu,wasingeweza fanya lolote.
@rashidibrahim8316
@rashidibrahim8316 Жыл бұрын
Kweli lakini wakristo hamfuati ya yesu
@ramzanqarim4977
@ramzanqarim4977 11 ай бұрын
Maswali mengine pia ni kufanya watu wasome so kusema atatoa kitu ni kufanya mtu aweze na upeo wa elimu ya dini so sio vibya maana hata shule unaweza kuambia ukipata swali utapewa buku.
@kituburemsangi7316
@kituburemsangi7316 11 ай бұрын
Mungu ndiye Nuru na alitamka tu na ikawa Nuru ,bila kuwepo kwa Jua na mwezi.soma vizuri mwanzo 1:1-4.
@TabuOdhiamboOmiya
@TabuOdhiamboOmiya 10 ай бұрын
Wewe ndio huende usome huyu sheikh amepita kiwango chako
@RehemaMohammed-wv3ke
@RehemaMohammed-wv3ke 11 ай бұрын
Maashallah Maashallah 💓 ❤
@Oman-z4q
@Oman-z4q Жыл бұрын
Mashallaah nilitaman yasiishe haraka aya mawaidh
@NaomiRaphael-z4w
@NaomiRaphael-z4w 7 ай бұрын
Freemason wazwaz jamn hizi ni ck za mwisho wanakuja kupotosha wa2 mungu wa mbinguni awasamee
@isaackmlayy6228
@isaackmlayy6228 9 ай бұрын
yesu alikuwa anajua kusoma na kuandika Muhammad alikuwa hajui kusoma
@SEBEKUSAMAMGUTU-c4f
@SEBEKUSAMAMGUTU-c4f 9 ай бұрын
Dokta ukovizuri Allah akulipe
@zeitunMohammed
@zeitunMohammed Жыл бұрын
Maashaallah
@husseinshehuna68
@husseinshehuna68 Жыл бұрын
Swali liko wapi??? Kukaa kusikiliza watu Kama Hawa porojo nyingi hakuna utakachojifunza... والله المستعان Rekebisha aqida yako ewe mwislamu usibabaishwe na porojo nyingi.
@musalumbi8490
@musalumbi8490 10 ай бұрын
Dr. Sule nakupinga vikali sana kuhusu Yesu na Muhammad kutosoma. Yesu alisomea sheria za Kiyahudi na Taurat. Haijalishi ikiwa alikaa darasani au la, alibobea katika kuifahamu Taurat ndio maana akawa miongoni mwa manabii walioitwa waalimu bora. Mtume Muhammad alibahatika kumpata mwalimu bora kuliko waalimu wote ulimwenguni, naye ni Jibril a.s ambaye kutoka kwake aliisoma Qur'ani na kuwa mwalimu bora zaidi kuliko mwalimu yeyote
@daudmtoba191
@daudmtoba191 7 ай бұрын
Sisi wakristo tuna Amin yesu ni mwana wa mungu Aya nyinyi waislam mna Amin Muhammad ni mwana wanan
@Onlyforfun1992tube
@Onlyforfun1992tube 6 ай бұрын
Mungu anazaa si ndio ? Je ni mwanaume au mwanamke na mungu anakaaga leba?
@IdrisMsafiri
@IdrisMsafiri 11 ай бұрын
Tumswalie mtume Muhammad s.a.w
@JuliusMarangu-l1q
@JuliusMarangu-l1q 10 ай бұрын
Ulisa pastor dacha akuchabuye
@EmmanuelMandela-f7k
@EmmanuelMandela-f7k 11 ай бұрын
Shikeni sana elimu asiendazake maana ndoufunguo wamaisha sasa wew umesoma unawadanganya wenzako wasiende shule hamna kitu
@Ustadhtwahirbinshabani
@Ustadhtwahirbinshabani 11 ай бұрын
Allah aendeleye kutupeshia ufaamu wa dini yake
@MichaelMathew-ke6bi
@MichaelMathew-ke6bi 11 ай бұрын
Mambo ya Mungu aise yaache kama yalivyo.
@amisimayani2645
@amisimayani2645 Ай бұрын
Yesu ana jua kusoma na kuandika si kama muhamad Kwani yesu alisoma na akahandika
@JoshuaMwamala-z1g
@JoshuaMwamala-z1g 10 ай бұрын
Ndo swali hili?pole sana hata ukijibiwa uwez elewa maana upo ktk giza.
@nafisatwahir
@nafisatwahir 6 ай бұрын
Muwashitaa basi 😂😂😂😂
@mangeraalbert7982
@mangeraalbert7982 Жыл бұрын
Nehema kubwa sheikh wetu.
@zenaahmedi8857
@zenaahmedi8857 Жыл бұрын
Asalaam aleykum warahmatullahi wabarakaatuh 😘
@barzaqtradingcompany8541
@barzaqtradingcompany8541 Жыл бұрын
أَنَّمَا إِلَٰهُكُمْ إِلَٰهٌ وَاحِدٌ ۖ فَمَن كَانَ يَرْجُو لِقَاءَ رَبِّهِ فَلْيَعْمَلْ عَمَلًا صَالِحًا وَلَا يُشْرِكْ بِعِبَادَةِ رَبِّهِ أَحَدًا
@abubakarmkude5247
@abubakarmkude5247 11 ай бұрын
insha'Allah
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 11 ай бұрын
ADAMU IBRAHIM MUSA YESU NA MUHAMMAD WOTE NI MTUME WA ALLAH INSHALLAH MUNGU ATUJAZIE IMANI,
@Nily-kz3db
@Nily-kz3db Жыл бұрын
Allahu Akbar
@danielmpelegwa5014
@danielmpelegwa5014 7 ай бұрын
Dini inayochangamana na majini na viongoz wake waganga wa vitabu wanaamulu majini kwa kitabu hicho alafu wanategemea kuiona pepo, never njia ni kristo YESU, Only that.
@godfreyalex5319
@godfreyalex5319 7 ай бұрын
Tumsifu Yesu kristo, Bwana Yesu asifiwe, Mungu ni mwema kila wakati na kila wakati Mungu ni mwema. Yaani nyie watu wa Mohammad mnataka kumpeleka Mungu shule? Mmelaaaniwa? Yohana 1:1-4, Yohana 1:10-11
@MwalimuPeter
@MwalimuPeter 10 ай бұрын
Jibu jepesi, 😂😂 vya wakristo waachie wakristo na vya waislamu waachie wenyewe pia ❤
@BoraApartments
@BoraApartments 8 ай бұрын
Swali Hilo namajibu yake mngu akipenda ntakufundisha
@frankaydeclassique6618
@frankaydeclassique6618 11 ай бұрын
Nabii Muhammad (s.a.w)alisomeshwa na Jibril alayhi ssalaam
@princeacama401
@princeacama401 10 ай бұрын
Uongo wenu
@DaisyMutai-nw4qf
@DaisyMutai-nw4qf 7 ай бұрын
Mohammed mwenyewe akuwai juwa kusoma Wala kuandika na mnamfwata,sai mnajidai na elimu 😂😂😂
@CharlesMangumba
@CharlesMangumba 7 ай бұрын
Hapo kwenye majua mengi umetupiga baba, hao wana sayansi niwaongo, hata ukataa kuwa hakuna Mungu,
@NininahazweDondivin
@NininahazweDondivin 9 ай бұрын
Allah ametaka kuonesha ufalme wake
@abdulmwakubambanya9091
@abdulmwakubambanya9091 Жыл бұрын
Sheikh elimu amna kwako
@saimonjoseph2833
@saimonjoseph2833 10 ай бұрын
Weislam bhana wabaguzi sna wana mambo ya ajabu kutwakucha wanaponda dini yaki kristo harafu wakristo walivo wastaarabu hawataki kujibishana wakristo hawana roho kama hiyo roho yakichawi mnashindwa kumsifu Mungu na mtume wenu mna pondea dini yawenzenu vile hamjielewi
@LammarSairin
@LammarSairin 10 ай бұрын
Alosema mtume hana adabu mungu amsamehe makosa yake
@ShabaniNdonde
@ShabaniNdonde Жыл бұрын
Subaana laha
@hamisisalimu6908
@hamisisalimu6908 Жыл бұрын
Mashallah
@mutumwinkaashura1897
@mutumwinkaashura1897 Жыл бұрын
Ma Sha Allah, Ila lazima uwe umepitia darasani ili uwe na Elimu ama kuhusu Mitume wao walifundishwa na Malaika hao Ndio walimu wao, Ima katika hizi zama ili ujulikane kuwa wewe ni msomi laziam uwe umepitia madrasa ukakaa Na mwalimu ao walimu.
@hamishatibu1007
@hamishatibu1007 Жыл бұрын
unaweza ukatoa aya pamoja na shule ambayo malaika waliwafundisha?
@mutumwinkaashura1897
@mutumwinkaashura1897 Жыл бұрын
@@hamishatibu1007 shule ili iitwe shule inahitaji mwalim na mwanafunzi na kisomo, hivyo ndivyo vitu vikuu vimeunda shule hauwezi kuwa msomi bila Kukaa mbele ya mwalim, isipokuwa tu mipangilio ya shule ndo imetafautiana.
@maestrojnr3505
@maestrojnr3505 10 ай бұрын
​@@mutumwinkaashura1897Malaika walitowa Elimu wapi?
@Paul-dy8nu
@Paul-dy8nu 11 ай бұрын
Hakuna atakaye ingia ufalme wa Mungu bila ya kupitia kwa mwanawe yesu kristo umsifu muhamed ama ngombe mbali njia ni moja kupitia mwanawe yesu kristo aliye kunja kurundisha uhusiano wa Mungu na binandamu kwa kuwa huo uhusiano ulikua umeharimbiwa na shetani maanake Mungu akamtoa mwanawe wa kipekee
@KhamisAli-r1w
@KhamisAli-r1w Ай бұрын
Mungu hana mtoto, mkubali mungu na ukubali yesu (issa) ni mtume wa mungu na umfate kiumbe bora kuliko wote yaani MUHAMMAD.
@Paul-dy8nu
@Paul-dy8nu Ай бұрын
@@KhamisAli-r1w Uko sawa kweli ,unajua unachokisema Mnafuata mafundisho ya shetani kwanini simguate yesu kristo mkaridhi ufalme wa mbinguni Na msipo fanya ivo bila shaka ni motoni sikudanganyi
@saidichikojo6489
@saidichikojo6489 Жыл бұрын
Great
@stephanebulambo3855
@stephanebulambo3855 11 ай бұрын
Wewe kila ukitowa swali anaye jibiya unampa zawadi la gari nikusema wewe una ma gari mengi na mimi nakwambiya kuwa wewe ni rafiki wa ulimwengu kwa kuwa kila unachokiitaji ulimwengu unakupatiya ila juwa kuwa wewe ni aduwi wa Mungu.
@HadiaMisheck
@HadiaMisheck 10 ай бұрын
❤❤
@MesalimRashid
@MesalimRashid Жыл бұрын
Mtume Mohamad s.a.w kasoma mwalimu wake Jibril a.s.
@EmmanuelMandela-f7k
@EmmanuelMandela-f7k 11 ай бұрын
Mbona swali huuliza
@Herimornchriston
@Herimornchriston 10 ай бұрын
Jaman hatutaki ufahari wakidunia? Gari la nini sheikh ? Uliza swali acha ahadi za kidunia katika mambo yaKimungu !!!
@KhamisAmour-u5n
@KhamisAmour-u5n 9 ай бұрын
Makafiri waoo ni moto tuuu uko akheraa
@Asyakisura
@Asyakisura 10 ай бұрын
🤲🕋
@andrewkissava9184
@andrewkissava9184 11 ай бұрын
Jinga hili
@RashidKaoneka-bj8mm
@RashidKaoneka-bj8mm 10 ай бұрын
Usije ukajinyonga mwenzio msomi
@ElishaSaiti-c5j
@ElishaSaiti-c5j 6 ай бұрын
Anatukana sheee wasilamu awanamajibu
@lastsilwimba664
@lastsilwimba664 Жыл бұрын
Waislamu sawa mnamtafuta Mungu. Lakini anaye haribu uislamu wenu ni ---- I.S .. Islamic state.
@mwassamwassa7264
@mwassamwassa7264 Жыл бұрын
Ungejua kwamba hayo makundi yanasapotiwa na dini yao ungekaa kimya,siku Boko Haram wakichukua Nigeria na kuiongoza kidini ndipo utajua kwamba waislam wote walikuwa nyuma yao,
@yusuphhassan9619
@yusuphhassan9619 Жыл бұрын
Hao IS ni ni miongoni mwa vikundi vimetengenezwa na makafiri kwa lengo la kuchafua uislam,lakini uislam ni nuru hauwezi kuifunika Mungu mwenyewe ameahidi kuilinda
@aishahazary4097
@aishahazary4097 Жыл бұрын
Sisi tunafuata qur,an hatufuati islamic state.
@saidibuye8859
@saidibuye8859 Жыл бұрын
Al-qaida, I.S, Boko Haram na vikundi vyote vinavyojinasibu na uislam , hao si waislam ni makundi yalio tengenezwa na wazungu
@sharfumbarouk6168
@sharfumbarouk6168 Жыл бұрын
Ni hakika kabisa
@carolihando6271
@carolihando6271 11 ай бұрын
Huhaelewi mambo, acha kuwapumbaza watu. Linganisha mafundisho ya mwana wa Mungu na yale binadamu. Siku atakaporudi mwana wa Mungu yapo utajibu
@HalifaSaidi-x1h
@HalifaSaidi-x1h 11 ай бұрын
Wewe ndo uwelewi acha wanao elewa wasikilize
@BenLaw_2003
@BenLaw_2003 Жыл бұрын
Neema ya mungu yatosha kukusafisha na udhalimu wote ulionao
@ShamilaAbdul-n8b
@ShamilaAbdul-n8b 11 ай бұрын
@hamishatibu1007
@hamishatibu1007 Жыл бұрын
uishi.miaka mingi Dr.
@AbuuLuhaidaan
@AbuuLuhaidaan Жыл бұрын
mbona hilo swali halija tolewa hilo lisilojibika
@jonasimwanzi3632
@jonasimwanzi3632 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@maase2023
@maase2023 11 ай бұрын
Nikuulize tena?
@Sempreapostandonaverdade989
@Sempreapostandonaverdade989 11 ай бұрын
Hamna kitu hapa
DR.SULLE MIMI NAISHI MAISHA MAZURI KUSHINDA WABUNGE NA MAWAZIRI
11:56
ISLAAH ISLAMIC TV
Рет қаралды 105 М.
HABARI NJEMA DR.SULLE AONGEZA FAMILIA/MBEYA SASA NI NYUMBANI
26:57
ISLAAH ISLAMIC TV
Рет қаралды 1,6 М.
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 12 МЛН
She's very CREATIVE💡💦 #camping #survival #bushcraft #outdoors #lifehack
00:26
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 114 МЛН
DR.SULLE AWANYOOSHA WAISLAMU BADILIKENI ACHENI/
16:30
ISLAAH ISLAMIC TV
Рет қаралды 6 М.
🔴LIVE :DR.SULLE MWANADAMU WA KWANZA ALIKUA MWEUSI SIYO MWEUPE/HISTORIA
59:53
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 12 МЛН