Ulichokifundisha ndio uhalisia dada, nimejaribu imetoka vizuri sana. Asante dada. Mungu akuongozee mambo yako ufanikiwe zaidi. Ameen. Lots of luv 😘
@zaitunilyimo90123 жыл бұрын
Thank you so much my sis nimepata tabu butter cream zinavimba baada ya kuremba keki nimejaribu yako cake imekauka nimefurahi sana unafundisha kitu halisi haufichi fichi kama wengine. Mwenyezi Mungu akubariki sana sana 🙏❤
@aminaayubu62733 жыл бұрын
hasate sana nimejua kosa langu nini
@angelvalerian29272 жыл бұрын
Yaan huyu dada Mungu amuwwke
@julianaawuor90072 жыл бұрын
iko xwa kabisa
@MercySabila Жыл бұрын
@@angelvalerian2927❤❤
@rebecasitta747810 ай бұрын
Mungu ambariki sana huyu dada
@EddaNkelame4 ай бұрын
Asante dada,Mungu akubariki sana.Wengi wenye ujuzi ni wachoyo.Wanadai FEDHA nyingi ili waweze kuelimisha umma. Stay blessed.
@mziwandabakers82974 ай бұрын
❤❤
@zulekharamadhan2016 Жыл бұрын
YAANI MUNGU AKUWEKE AKUZIDISHIE UMRI UZIDI KUTUFUNDISHA MIMI HAPA KUTOKA KENYA MOMBASA NIMEJUA KUPIKA CAKE KWA SABABU YAKO NIMEFATA HATUA BAADA YA HATUA NA NDIO MARA ILIKUA MARA YA KWANZA MWAKA JUZI SAI NATENGEZA CAKE NAUZA NIKIKWAMA NAINGIA KWA YU TUBE ZAKO MOJA BAADA YA INGINE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ MUCH LOVE MY DEAR
@sharifamrisho80123 жыл бұрын
Unajua hadi unakera safi sana mungu akulipe kubwa kuliko ulilofanya sio mchoyo my
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
😉
@elizabethedward37493 жыл бұрын
Mungu abariki kazi ya mikono yako, najifunza mengi sana kutoka kwako🙏🏼🙏🏼❤❤
@khadijaseif3897 Жыл бұрын
Mimi naomba vipimo vya icing butter mfano keki ya robo nitumie vipimo gani na keki ya nusu nitumie vipimo gani vya butter icing ambayo itatosha kupamba keki yang
@ukhtyshery89703 ай бұрын
Kweli haswaà
@adellamlay933411 ай бұрын
Asante Sana dear nimejifunza kitu maana Mimi niliambiwa nitie limao kidogo Ndiyo itakuwa ngumu kumbe si lazima.
@SalomeYamo4 ай бұрын
Woooow unajuaa hongeraa. Naomba kujua hiyo icing Suger zinauzwaje bei yake . Mana mm nilijuaa sukari za kawaida tu
@mziwandabakers82974 ай бұрын
3000 mpka 4000 inategemea mkoa uliopo
@aminamollel57253 жыл бұрын
Ahsante sana tena sanaaaaaaa, ilikiwa inamisumbua sana hii
@halimaleila23232 жыл бұрын
Asante dd ninakufatiriya nikiwa 🇧🇮 nikijariwa kupata mutaji NITAKUTAFUT iri unijuze zaidi❤️
@suleiyumabdul24862 жыл бұрын
kitu cha kwanza ulicho weka sijakujua ni nini iko
@emmynilesh87423 жыл бұрын
Ubarikiwe mpnz wangu nilikua napata shida kweli kumbe n rahis namna hii hailavyuuuuu❤️😘😘
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
😘😘😘
@kingalpha78553 жыл бұрын
@@mziwandabakers8297 nice dear
@kingalpha78553 жыл бұрын
@@mziwandabakers8297 huweki ladha
@hidayandimini90364 ай бұрын
Asante na hongera kwa darasa zuri, Allah akupe umri mrefu na akuvushe na maradhi amiiin
@mziwandabakers82974 ай бұрын
Ameen yaa rabb Allah atulipe sote
@agnesmagehema5767 ай бұрын
Nakupenda mziwanda bakery Mungu akubariki sana
@EverlyneRutto-rc6on7 ай бұрын
Asante sana Kwa mafundisho nitafanya hivi kuremba keki Kisha nikupe matokeo 👍
@HalimaFikirini8 ай бұрын
Iko perfect kabisa 8:55 ❤
@eliasshekalage92323 жыл бұрын
Maji unatumia ya moto au baridi love
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Baridi kawaida
@evaizengo8082 жыл бұрын
Najifunza sana , natafuta naanzajw kuwa mtengenezaji mzuri na msabambazaji
@emillianapaulo4622 жыл бұрын
asante sana dada kwa somo,hili.mungu akuinue.kazi yako.
@agnesmtenga68203 жыл бұрын
Nimeipenda,nitajaribu na nitakupa mrejesho
@shadyamnanka13423 жыл бұрын
Mashaallah Aunt navutiwa sana na ninapenda kujua kupika keki pia nahitaji kufundishwa kuazia kupika keki na nk na mie niko mwanza naomba niwe mwanafunzi wako nakupataj?
@kiwengaambari133110 ай бұрын
Waweza kutumia Brenda ya juis
@victoriakabota49762 жыл бұрын
Yani we ni mwalim mzuri tunakuelewa sana
@ZiadaKhamisi4 ай бұрын
Habari nafurahi unavyotufundisha mm napata changamoto kwenye kupamba kwa kutumia butter keki haiwi nzuri
@mziwandabakers82974 ай бұрын
Tutafanya mazoezi mengi
@ChristinaKimaro6 ай бұрын
Unajua Kupika keki dada yangu mungu akubariki
@RahmahDuah-gn8xm11 ай бұрын
Mashallah mm nimgeni kwenye chanel yako ila nimependa sana my Shukurani
@mariaduwe206622 күн бұрын
Box moja ya icingi sugar, gram 500, inapamba keki ngapi?
@witnesspeter66022 жыл бұрын
Nashukuru kwa somo,je naweza funikia hiyo na maua hiyohiyo
@JoanMusa-l9b Жыл бұрын
Good stuff I like it
@neemaclemence18962 жыл бұрын
Asante xn dada napenda xn darasa lako mumy mpo vzur xn yan
@HalimaFikirini8 ай бұрын
Iko perfect kabisa
@SilvesterEliasАй бұрын
Asante mwaya ubarikiwe
@MARIAMALPHONCE-p9u19 күн бұрын
Mimi ni mgeni nisaidiye vipimo mi nashindwa nisaidiye dada mzuri
@WitnessHamza-c4z28 күн бұрын
Samahani na ile inayokuwa nyeupe unaweka rangi au?
@MamyTriple-gc5dy Жыл бұрын
Nmekupenda sanaa
@salmandege39613 жыл бұрын
Asante sana mzuwanda mi nilijaribu ikakauka ikawa ngumu kumbe nilikosea sana
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Jifunze zaidi ili ufanikishe dear
@NeemaTemba-x1x5 ай бұрын
Asantee dada Kwa somo sasa kwenye keki ya robo naweka icing sugar kias gan? Halfu luhusu rangi nawekaje sasa
@CarolineChedi Жыл бұрын
Asante.niliweka maji mengi nilivyopamba ikayeyuka.je rangi ya unga inafaa kwenye cream butter?
@winnieshayo18262 жыл бұрын
Salute kwako many, ur de best
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
❤❤
@matildalukumai65202 жыл бұрын
Mambo dear naomba msada oven yangu ni hizi ndogo kuset moto nimeshindwa keki haziivi. Naomba msaada niset ngapi juu na chini niset moto ngapi na kwa dakika ngapi?
@DorineAgaziva5 ай бұрын
Nimekupata vizuri sana
@anithageorge16410 ай бұрын
Naomb kufahamu hyo machine unayotumia n ipi na machine nzur ya kuchapia ni ipi?
@HadijaOmary-xv6kd10 ай бұрын
Asant my nimejifunza
@raudhatmohammed19272 жыл бұрын
Mashallah Dada napenda kumjuwa kupamba keki nitaanza kujifunza Na kufuatilia
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
Karibu
@RealityShowithLue4 ай бұрын
Thank you for the recipe
@violanyamwihura75733 жыл бұрын
Thank you very much for your tutorials. Which margarine brand are you using, blue band?
@fatmatwalib8408 Жыл бұрын
Hongera na ahsante sana Hii unaiweza kuitunza kwa muda gani?wenye friji au nje ya friji?
@RayCutee78 ай бұрын
Dada mm bado nashindwa kutengeneza kabisa eti
@yasintamtui86093 жыл бұрын
Asante dear. Kwa recipe hii inaweza kukaa mda gani kwa matumizi
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Yaani life span yake ni 1 month kwa matumizi inapamba keki mbili
@yasintamtui86093 жыл бұрын
@@mziwandabakers8297 shukrani
@florenceadhiambo862211 ай бұрын
I still have a problem with the cream. Could u please repeat the lecture once more. Thank u.
@fatimamohammed3463 Жыл бұрын
Thank you nikfanya my cakes melt fast if stays out of the fridge is it because I put it on the fridge?
@jacklinejohn73802 жыл бұрын
Hello madam mm nimekuwa nikkfuatilia sana but changamoto yng kubwa ni kuhusu kupika keki yaan nikipka keki huwa inakuwa na mlima for sure siipend hii hali na time nyng huwa inapsuka na kuvujia kweny ile mipasuko kitu ambacho kinafanya keki ichelewe kuiva hayo maeneo
@pulcheriamayombo5780 Жыл бұрын
Nimependa ufundishaji wako napenda nunua noso rose Maya ya na ten gene za and?
@DianaDioskori7 ай бұрын
Wow❤❤
@yappylunyali81453 жыл бұрын
Je naweza tumia kimbo kutengenezea butter?
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Unaweza bila shida
@zippyphoepy9507 Жыл бұрын
Siz Kwan huwa tunaeka maji I thought we mix butter and icing sugar only until ikue white and fluffy
@ireneraphael33512 жыл бұрын
unaweza tumia brenda
@sisitadumshamba77542 жыл бұрын
Asant dadaangu je naweza kuipaki sehemu na ikakaa ata mwezi bila kuharbika
@VeslinMswandulu2 ай бұрын
Dada nahitaji kujifunza utengenezaji wa keki unapatikana wapi?
@dayanayahya26672 жыл бұрын
Butter cream yang inakua na chenga chenga haiwi soft ivo
@dinajunior97903 жыл бұрын
Nilipata changamoto butter cream haikauki ngojea nikatumie njia yako mungu akutunze
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Nasubiri mrejesho wako hapa
@AhmedSaid-wc7fv2 жыл бұрын
Dada asante sana kwa mafunzo sijajaribu bado ila swali langu ni kwamba hata hizi blueband za kupima si naweza kutumia?
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
Ndio zinafaa
@SilvesterEliasАй бұрын
Badala ya maji naweza nikaweka maziwa?
@janethmunisi71992 жыл бұрын
Asante ntajaribu kutengeneza
@hossanajosiah57162 жыл бұрын
Naweza tumia kimbo?? Badala ya blueband pls help
@jumagodi91163 жыл бұрын
MMI bado dada kabisa tatizo vipimo nakosea sujui
@BENTAAUMA-v2y Жыл бұрын
Na kama sina popping bag substitute ni???
@mjenisspace2 ай бұрын
hi there,is the magarine supposed to be salted?
@mziwandabakers82972 ай бұрын
It is salted already
@subra72152 жыл бұрын
Shukran Sana,ili nauliza which is gd is it butter cream or whipping cream
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
It depends on the ones need, both are good accordingly
@subra72152 жыл бұрын
@@mziwandabakers8297 thnkx dear
@rehemarajabu493 жыл бұрын
Iv Radha unayoweka kwenye keki,unaweza kuweka Radha nyingine kwenye buttercream namaanish mbili tofauti
@eliwanguminja5933 жыл бұрын
Yes inawezekan kabisa my dear mfano umetumia ladha ya strawberry kwa keki kwenye buttercream unaweza weka buble gum
@irinesimiyu67728 ай бұрын
Can you use blue and?
@LaikaJ0008 ай бұрын
Naomba vigezo vya kujiunga
@Nuswaiba-fw8hr Жыл бұрын
Thanks 👍👍
@IreneUvambeАй бұрын
Kuna ainazingine za icing sugar azigandi mbona
@ChrsCharles3 ай бұрын
Asante dada yangu haikauki ntajalibu hii
@KhadijahMndeme9 ай бұрын
Somo zuri napenda kuuliza unaweza kuigawa hii recipe
@beatriceopondo48 Жыл бұрын
Baada ya kutengeneza keki Nini hufuata haswa ya pili
@ambitiousqueen2545 Жыл бұрын
Niulizee waezatumiaa mafuta ya Kimbo ya kupika??
@rosemarypeter92323 жыл бұрын
Ahsanteee umenifunza kitu
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Karibu
@HalimaFikirini8 ай бұрын
Samahani dada naomba ivo vipimo vya icing butter
@AbdallahKareem-j5n Жыл бұрын
Asante sana nimejifunza
@violetshayo32394 ай бұрын
Hello mami na je kwa box ya ice sugar gm 500 margarine niweke kiasi gani??
@mziwandabakers82974 ай бұрын
100g
@DOTOCHARLES-so7rh Жыл бұрын
Unaweza kutumia Kimbo na mompishi kwa vipimo hivi?
@ruthpastory95213 жыл бұрын
Asante dear kwa somo,swali langu kama hyo butter nataka kuandikia maua na kufunikia cake naeza igawa?inafaa pia kufunikia?
@JacquelineMatiku-fy1nt Жыл бұрын
Pia naona ulifundisha butter icing kwa kutumia whipping cream.kwaio unaeza tumia both icing sugar na whipping kutengeneza butter icing?
@mziwandabakers8297 Жыл бұрын
Unaweza tumia njia zote mbili ila kila moja inatabia tofauti
@HurumSanko6 ай бұрын
Asanteee dada na jee, kwenye keki robo natumia vipimo gani
@selinamwakiluma79683 жыл бұрын
je naweza kutumia maziwa kipimo hichohicho badal ya maji?
@hadijaburuhan2 ай бұрын
Dada nakupenda Bure Huwa unaelekeza Hadi raha
@mziwandabakers82972 ай бұрын
Karibu dear
@aminasuleiman70842 жыл бұрын
Hbr mm nauliza hiv unaweza kutengeneza icing sugar kwa sukar ya kawaida na isichuruzike
@GladysNyakinyua-w2q2 ай бұрын
Hello am new here how many tablespoons of butter plz
@NasraraRashidiАй бұрын
Ubarikiwe ila mm nikiandaa butter cream lazima inakua na vichenga chenga kiac kwamba nikipambia keki nikipitisha kitana km vile imekwaruzwa cjajua nakosea wap na vipimo nafuata
@rosemagawa8011 Жыл бұрын
Madam Latha lazima utumie Moja tu.
@mziwandabakers8297 Жыл бұрын
Ata mbili tatu ila kwa uchache isizidi
@mamyswedy Жыл бұрын
Asante sana ubalikiwe
@Ibrahimandasonibwt6yb Жыл бұрын
Mfan keki nusu blubend naweka kiasi gani na icing box moja au
@sostenesswai7783 жыл бұрын
naomba kuuliza nikiweka maj ya chungwa badala ya ljmao nisahihii
@SuzyKibendela7 ай бұрын
Ahsante sana ntakupa matokeo
@SekelaMwangosi5 ай бұрын
Mm huwa nikipamba keki ile icing inabanduka hata kama ni nzito cjui nakosea wap naomba kujua
@fetychina3273 Жыл бұрын
Maji ni yabaridi au yamoto??
@TinahThadeo3 ай бұрын
Unaweza weka maziwa?
@mziwandabakers82973 ай бұрын
Unaweza ila maziwa hayakai hai muda mrefu
@vocavitymsuya84383 жыл бұрын
Nahitaji foundat iliyo tayari?na ni bei gani?
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
15,000 karibu
@dianamkapa33243 жыл бұрын
Unafundisha vizur sana... nakupenda bure ❤️
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
❤
@renathajames25403 жыл бұрын
Asante sana naomba kujifunza keki mbali za biashara kuanzia za kuuza 500 , robo,nusu,kilo,nk asante