KEKI UNGA NUSU KILO/CAKE RECIPE 500G FLOUR

  Рет қаралды 217,455

Mziwanda Bakers

Mziwanda Bakers

Күн бұрын

Пікірлер: 297
@Gladness-j7j
@Gladness-j7j 5 ай бұрын
Asante sna mwl mzr unafundisha taratiiiibu watu wanaelewa,nzr sn barikiwa❤
@euniceandrew6581
@euniceandrew6581 3 ай бұрын
Asante sana mwl nimekuelewa shida yangu kubwa ilikuwa kupamba Sasa natumia kifaa Gani Cha kupamba Uzito nimeelewa vifaa ndo tatizo
@VenanceGoodluck
@VenanceGoodluck 15 күн бұрын
Asante kwa somo zuri❤
@lucymwiga5373
@lucymwiga5373 2 жыл бұрын
Asante Dada angu nimejaribu jamaaani nimeambiwa nimeweza na walioonja
@DeboraMunga-i3b
@DeboraMunga-i3b 6 ай бұрын
Ahsante dada imetoka vizuri kweli kwel
@salmazuberi-pd2zn
@salmazuberi-pd2zn Жыл бұрын
Dada hongera kwa kazi nzur samahani naomba vipimo sijaviona
@wilfredmremi8274
@wilfredmremi8274 Жыл бұрын
Hongera kwa somo nzuri la kutengeza keki
@kabonakabona8121
@kabonakabona8121 11 ай бұрын
Nimetengeneza cake nzuuuri asante sanaaa kipenzi chetu ,,,ila kupamba ndo zilo😅😅😅
@tumwaminigeorge6032
@tumwaminigeorge6032 Жыл бұрын
Ubarikiwe Sana Sana SoMo linaeleweka vizuri mno
@salmazuberi-pd2zn
@salmazuberi-pd2zn Жыл бұрын
Dada hongera kwa kazi nzur darasa lako ni lini na lin mimi ni mgeni napenda kujifunza
@halimaleila2323
@halimaleila2323 2 жыл бұрын
Na kufatiriya san nikiwa burundi🇧🇮ipo siku mojatu nitaanza iyi byashara juu nafurahiya san Asante dd yangu
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 2 жыл бұрын
Karibu sana dada
@JasminHussein-j8l
@JasminHussein-j8l 4 ай бұрын
Yan nm nmelewa mp nmeelew tena alhamdullah Allah akubarik saaana❤
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 ай бұрын
Ameen ❤️
@joynermgalilwa4978
@joynermgalilwa4978 3 ай бұрын
Asante Sana kwa mafundisho mazuri,hizi sufuria zinapatikana kwenu?bei sh ngapi?
@irenejames7725
@irenejames7725 3 жыл бұрын
My dear nimepika leo daaahhh imetoka nzuri saaaan shukran 😘
@LuciaElias-zy6ur
@LuciaElias-zy6ur 9 ай бұрын
Nawapenda sana❤
@kulthumshilinde4760
@kulthumshilinde4760 2 жыл бұрын
Asante nitajaribu na kukupa mrejesho
@mwanaidmohamed3321
@mwanaidmohamed3321 3 жыл бұрын
Wow nimebake imetoka vizurii sana
@rehemavincent5034
@rehemavincent5034 3 жыл бұрын
Yammy😋 but naomba kujua uli pre heat kwa muda gani na moto wa kiasi gani??
@AnnaJoseph-mt1co
@AnnaJoseph-mt1co 8 ай бұрын
Maelekezo ni mazuri sana nitajalibu
@Salbatrani12
@Salbatrani12 Жыл бұрын
Asante sana sijaona vipimo
@elinatenga6507
@elinatenga6507 Жыл бұрын
Nimekuwa nikichanganikiwa thanks a lot my Dear.
@baiduhawa565
@baiduhawa565 3 жыл бұрын
Ahsante, mimi nimepata jibu kwann keki yangu inakuwa na mafuta mengi, Allah bariq
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 жыл бұрын
Amiin
@FahhsgsFagvdhd
@FahhsgsFagvdhd 6 ай бұрын
Nakuelewa sana aunt yangu
@pastordriver9474
@pastordriver9474 Жыл бұрын
Hongera
@BelindaMushi
@BelindaMushi 2 ай бұрын
Dada Asante nusu inatumia mayai mangapi
@pendotimothy8067
@pendotimothy8067 2 жыл бұрын
Mi sjaziona hizo vipimo my dear
@kuruthumuhakimu4142
@kuruthumuhakimu4142 Жыл бұрын
Angalia hpo kweny title utaon kam kialam hk km v kimeilekea juu kibonyeze
@mtumaijumaabdallah9764
@mtumaijumaabdallah9764 7 ай бұрын
Bonyeza neno more
@mtumaijumaabdallah9764
@mtumaijumaabdallah9764 7 ай бұрын
Bonyeza neno more
@fkhalfan31
@fkhalfan31 Жыл бұрын
Dada cake zako nzuri nimejaribu asante sana😊
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 6 ай бұрын
Hongera sana
@aminajaliwa6427
@aminajaliwa6427 10 ай бұрын
Shukran 🙏
@salmanali3708
@salmanali3708 3 жыл бұрын
Masha allah nimeelewa vizuri na naiona ni nzuri
@aishamussa9586
@aishamussa9586 2 жыл бұрын
Hongera na mm ntajaribu
@annaramadhan9740
@annaramadhan9740 3 жыл бұрын
Asante sana nilijaribu recipe ya tin inch 6 keki ilitoka vizuri sana
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 жыл бұрын
Hongera dear
@neydaoscar4208
@neydaoscar4208 2 жыл бұрын
Tin inch inapik keki kias gn
@neydaoscar4208
@neydaoscar4208 2 жыл бұрын
6
@zuenabadi4877
@zuenabadi4877 3 жыл бұрын
Asante habity napenda sana vipimo va grms
@suleimanmohamed5822
@suleimanmohamed5822 Жыл бұрын
Dadadarasalakonilininapendakujifunza
@salmazuberi-pd2zn
@salmazuberi-pd2zn Жыл бұрын
Dada hongera kwa kazi nzur samahani sijaona vipimo
@witnessemmanuel2332
@witnessemmanuel2332 3 жыл бұрын
Nashukuru kwa somo Ila mbona natafuta vipimo sivioni
@simplyzacky
@simplyzacky 9 ай бұрын
Naomba kujua hapo oven moto umeweka chini na juu au chini peke yake?
@MwamvuaMadulu
@MwamvuaMadulu Жыл бұрын
Good
@lovenessemmanuel5795
@lovenessemmanuel5795 2 жыл бұрын
Kazi nzuri dear nimekuelewa.
@joanbyoma3043
@joanbyoma3043 2 жыл бұрын
Mbona hukuweka kipimo Cha baking powder na bircabonate of soda?? Au Ni kile kile ulichotumoa kwenye cake ya mafuta ya kupikia madam??
@saumukibupa9432
@saumukibupa9432 2 жыл бұрын
Ameweka soma hapo chini
@anastaziabeno6062
@anastaziabeno6062 Жыл бұрын
Asante hio tin umetumia inch ngapi
@irenegomanga8654
@irenegomanga8654 3 жыл бұрын
Asante sana dada nimejaribu hiyo keki imetoka vzr sana .naomba utuwekee na ya kilo🙏
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 жыл бұрын
Sawa dear
@tabuhassan3754
@tabuhassan3754 2 жыл бұрын
Habari Asante kwamafunzo uwa napika Kila siku cake inmprov lakini Leo naona km aipo SW mpenzi sijui nimekosea wapi mpaka Jana nimepika
@sarahmunyuku4328
@sarahmunyuku4328 3 жыл бұрын
Asante dada kwa darasa, ivi unga nzuri wa kutengenezea cake ni upi?
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 жыл бұрын
Ppf mzuri zaidi
@rehemachipwaza5907
@rehemachipwaza5907 2 жыл бұрын
Asant Dada yaan nimeamin keki ni kufuata vipimo
@fatmeeothman
@fatmeeothman Ай бұрын
Sababu ya keki kutoka ugali
@MaggieAloyce
@MaggieAloyce 11 ай бұрын
Sukar lazma iwe nyeupe?
@ednajeremiah928
@ednajeremiah928 2 жыл бұрын
Kazi nzuri dear
@SUZANAYAHAYA-sw6kr
@SUZANAYAHAYA-sw6kr Ай бұрын
dada hawaweki amira?
@kautharadnani9666
@kautharadnani9666 3 жыл бұрын
Shukran nimepika leo kwa recip hii imetoka bomba naku tag inster😍😍
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 жыл бұрын
Karibu sana na hongera
@felistamfugale7472
@felistamfugale7472 3 жыл бұрын
Hyo mashine inauzwa sh, ngap?
@justinanyenyembe-td5mw
@justinanyenyembe-td5mw Жыл бұрын
Hiyo keki nusu kg inahitaji Mayai mangapi?
@DesderiaNdimbo
@DesderiaNdimbo Жыл бұрын
Kama Sina machine ya kuchangania, nikitumia mwiko anachangany Kwa Muda gani dada?
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 3 жыл бұрын
Shukran mamay leo umenipatia haswaa kipenzi masha Allah
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 жыл бұрын
😘
@asmaaahmada6239
@asmaaahmada6239 Жыл бұрын
Ahsante sana lakink uwe pia unavitaja vipimo wakati unapika ingekuwa vizuri zaidi na itapendeza
@christinapeter7131
@christinapeter7131 2 жыл бұрын
Hello Mziwanda bakery nina swali hili. Keki ya 8 nchi moto 170 na keki ya 8 nchi moto 170 inakuwaje? Au ni aina ya oven? Aksante.
@NassorSaid-kx2zv
@NassorSaid-kx2zv 9 ай бұрын
Maziwa unachemsha kwanza?
@sophychamuriho6435
@sophychamuriho6435 3 жыл бұрын
Asante sana
@bihawaomari833
@bihawaomari833 2 жыл бұрын
Safi sana
@jenipherkilugala8393
@jenipherkilugala8393 3 жыл бұрын
Kazi nzuri hongera dada swali langu Ni, mm nikipika cake haipandi juu nakosea kwenye kipimo cha baking powder Au moto?
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 жыл бұрын
Huenda unaweka mchanganyiko wako kwenye chombo kikubwa zaidi na hivyo kupelekea kuacha kupanda
@jenipherkilugala8393
@jenipherkilugala8393 3 жыл бұрын
@@mziwandabakers8297labda ntalifanyia kazi
@ZakiaOthman-ip3oi
@ZakiaOthman-ip3oi Жыл бұрын
Habari mbona vipimo sivioni
@hidayaabdurahman7539
@hidayaabdurahman7539 3 жыл бұрын
Shukran Sana nilikuwa nalisubir hili darasa, badala ya maziwa kitu gani kingine naweza kutumia kwenye hi recipe?
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 жыл бұрын
Tui la nazi itapendeza 😋😋
@wadidazone5759
@wadidazone5759 3 жыл бұрын
Ngoja nijaribu so nice
@rachelosujack6909
@rachelosujack6909 2 жыл бұрын
Nzuri sana ila naomba recipe sijaona
@mishimwakoi495
@mishimwakoi495 3 жыл бұрын
ahsante sana daa ,nimependa
@zakiajuma2130
@zakiajuma2130 Жыл бұрын
Nimependa sana pia naomba recipe ya 1kg
@adventinasevelin5402
@adventinasevelin5402 Жыл бұрын
Kama sina maziwa na nazi je naweza tumia maji kiasi gan
@christinapeter7131
@christinapeter7131 3 жыл бұрын
Mimi sipaoni mbona ni sehemu ipi hiyo?
@consolathacolnely972
@consolathacolnely972 2 жыл бұрын
Cjaona vipimo my dear
@fatmamansour676
@fatmamansour676 2 жыл бұрын
Pls nimsaidie tray yangu urefu nchi11 upana nchi 8 rectangle je naweza fanya ya size gani?
@firstnesjonathan7214
@firstnesjonathan7214 2 жыл бұрын
Mbn Sjaona vipimo
@janetbungu5227
@janetbungu5227 6 ай бұрын
Nashukuru ila vipimo havionekani, sijui why umevificha tutajifunza vip sasa dear?
@selinamajumba2197
@selinamajumba2197 3 жыл бұрын
Asante sana nimeelwa ila naomba kuliza hapo kwenye kukoroga unga huwezi kukologa na jembe kwa unga wa nusu kilo
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 жыл бұрын
Yeah unaweza tu bila shaka ila kwa speed ndogo tafadhali
@GodfreyGman
@GodfreyGman 3 ай бұрын
Sjaona vipimo mie
@shamimulazaro9518
@shamimulazaro9518 Ай бұрын
Angalia vizr
@maureenmbinile1655
@maureenmbinile1655 2 жыл бұрын
Eti Kati ya gas oven na electric,ipi inabeki vizuri?
@TazamiaCharles
@TazamiaCharles 2 ай бұрын
me bado cjavion vipimo
@ummy4870
@ummy4870 2 жыл бұрын
Umetumia ngano ipi dear?
@SarahMichael-j5g
@SarahMichael-j5g 10 ай бұрын
Nice
@jeremiamsagati8575
@jeremiamsagati8575 2 жыл бұрын
Jmn mm najifunza Ila naona wengine hawaweki maziwa
@HabibaWillbroad
@HabibaWillbroad 11 ай бұрын
Darasa la cake mnapatkana wapi?
@rehemachipwaza5907
@rehemachipwaza5907 2 жыл бұрын
Dada kwa mfano nikitaka ya kupika ya kuuza yaan nakata vipande inawahi kuharibika kwa sababu ya maziwa?
@joannembaja6053
@joannembaja6053 3 жыл бұрын
Hupatiani vipimo,degree ya kuoka keki na pia maziwa niyabaridi au Moto..kazi nzuri hongera
@maryamrashid862
@maryamrashid862 3 жыл бұрын
Maziwa yawe room temperature yasiwe baridi wala moto
@irenewairimu1068
@irenewairimu1068 3 жыл бұрын
I really i like it,i have to try these,thanks for shareing.
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 жыл бұрын
Karibu
@DOTOCHARLES-so7rh
@DOTOCHARLES-so7rh Жыл бұрын
Hii ukipamba unauza beigan
@owenkimasha7602
@owenkimasha7602 Жыл бұрын
Nimejaribu keki ya mayai matatu but ilididimia hapo kati kukatitia kabisa afu haikuchambuka..nilikwama wapi boss
@ummy4870
@ummy4870 2 жыл бұрын
Sukari pia uliyotumia ni ya kawaidaa au?
@darlinaAthuman
@darlinaAthuman Жыл бұрын
I'm trying ntakupa feedback japo kweny mahitaj cna flavour ckujua😂
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 Жыл бұрын
Flavour sio lazima,go ahead nasubiri mrejesho
@neydaoscar4208
@neydaoscar4208 2 жыл бұрын
Hello mumy kwa nni keki inkua na mafuta??
@rehemanassoro7563
@rehemanassoro7563 10 ай бұрын
Vipimo vipo wapi?
@neemadaniel3805
@neemadaniel3805 11 ай бұрын
Mbona sioni vipimo jmn
@edinamasunga7473
@edinamasunga7473 3 жыл бұрын
Asante sana ,naomba kujua keki ya robo, unapikia tin ya nchi ngap?
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 жыл бұрын
7" dear
@edinamasunga7473
@edinamasunga7473 3 жыл бұрын
Shukran
@fatumasaidi1806
@fatumasaidi1806 Жыл бұрын
Wengine atuna vifaa ukisema kikombe kimoja atuelewi tuambie kwa mils
@jamilasarah5478
@jamilasarah5478 Жыл бұрын
Nusu ya unga unatumiya mayayi ngapi na unaweka vijiko vingapi vya baking powder
@nolimittvonline6822
@nolimittvonline6822 2 жыл бұрын
Mimi nataka no yako ili nije unipe mafunzo kwa vitendo na kupamba napenda nifanye kazi hii
@lulunzasule1730
@lulunzasule1730 2 жыл бұрын
hlw dear naomba vipimo sahihi kwa nusu
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 2 жыл бұрын
Hivi umeona sio sahihi dear?
@irenejackson3020
@irenejackson3020 2 жыл бұрын
Na je kwenye ku bake unaweka juu na chini au chini tu !?
@umfarid247
@umfarid247 3 жыл бұрын
Asalaam aleykum kwanza utaweka moto wa chini alafu moto wa juu ama unawasha oven moto wa juu na chini
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 жыл бұрын
Inategemea na oven masharti yake ila hapa unawaka pote kwa wakati mmoja
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 жыл бұрын
Alayka salaam
@SalmaMohamedi-v1r
@SalmaMohamedi-v1r 6 ай бұрын
Vipimo sijaviona
@JudithHebuka
@JudithHebuka 5 күн бұрын
Keki ya nusu mayai mangapi na sukari kiasi Gani bekingi poda vijiko vingapi
@hamadmwanja2412
@hamadmwanja2412 2 жыл бұрын
Hayo ni maziwa ya unga au ya maji?
@christinaleonard3695
@christinaleonard3695 2 жыл бұрын
Eti unaweza kuchanganya vitu kwa kutumia Brenda?
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 2 жыл бұрын
Ni sawa ila inasheria zake
@ballnellybakers
@ballnellybakers 8 ай бұрын
Naomba vipimo jaman mimi sijaviona
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 6 ай бұрын
Check hapo juu ya like utaona kamshale bonyeza utaona dear
@nasembanisaghurwe7497
@nasembanisaghurwe7497 3 жыл бұрын
Shukran sana madam
@HildaManyanga
@HildaManyanga 11 ай бұрын
Nikikoroga n upende mwingine inakuaje dada
@mariamhashim2847
@mariamhashim2847 2 жыл бұрын
Mayai umetumia mangp
How to make Vanilla Sponge Cake / fluffy cake Recipe / Easy Cake / Genoise
7:32
쿠킹씨 Cooking See
Рет қаралды 46 МЛН
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН
Moist & Fudgy Chocolate Cake with Everyday Ingredients
8:03
CookingAtHome
Рет қаралды 1,1 МЛН
HUTONUNUA MKATE TENA  BAADA YA KUANGALIA VIDEO HII
6:21
keki plus
Рет қаралды 1,7 МЛН
CAKE WITH A BLENDER WITHOUT OVEN
5:02
Rozy's Kitchen
Рет қаралды 1,6 МЛН
KEKI YA UNGA ROBO TATU 750g FLOUR CAKE
14:04
Mziwanda Bakers
Рет қаралды 16 М.
KEKI ZA BIASHARA UNGA KILO NA NUSU
11:57
Mziwanda Bakers
Рет қаралды 166 М.
Turn 2 Eggs Into Fluffy Japanese Soufflé Pancakes!
5:26
CookingAtHome
Рет қаралды 1,5 МЛН
KEKI YA NAZI RAHISI SANA/COCONUT CAKE RECIPE
9:52
Mziwanda Bakers
Рет қаралды 45 М.