IGP WAMBURA AVUNJA UKIMYA - AJIBU kwa NINI ASKARI WANAUA PANYA ROAD DAR ES SAALAM...

  Рет қаралды 7,755

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер
@globaltv_online
@globaltv_online 11 ай бұрын
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@ndiditheodore8272
@ndiditheodore8272 11 ай бұрын
Kwa mauaji haya ya watoto mnapaswa kujiuzulu, wewe na waziri wako.
@Jakutai
@Jakutai 11 ай бұрын
Panya Road sio kamanda nyie endeleeni nao tu, hasa huko dsm
@MagaliKiswili-bj6yz
@MagaliKiswili-bj6yz 11 ай бұрын
Panya rod aruusiwi kufikishwa mahakamani
@Jakutai
@Jakutai 11 ай бұрын
Hakuna kujiuzuru kamanda songa mbele
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 11 ай бұрын
Askar piga risas hawo panya road fresh tuu
@stanleyfocas8250
@stanleyfocas8250 11 ай бұрын
Mzee wangu panya huwa wasumbufu Sana atanikimkuta ndani Mimi nauwa Sasa panya wawe mtaani waachwe apana mwagamoto kwenye vichwa yao
@denisrukangula2227
@denisrukangula2227 11 ай бұрын
Auaye kwa upanga naye Atauawa kwa upanga
@IssaNasir-v2e
@IssaNasir-v2e 11 ай бұрын
Uweni muwapunguze tu
@mussaabobakar7537
@mussaabobakar7537 11 ай бұрын
Wanao laum polc wote hawakutana wale jamaa usk ni hatar jaman wauwe ata kama sie polic wamalizane nae polic hawez kuuwa mtu bila ya kupewa maelezo na watu jan raia
@athumanbalozi9748
@athumanbalozi9748 11 ай бұрын
Panyarodi noma wasikietu Borat wakauwawa
@LeonardMussa-c4o
@LeonardMussa-c4o 11 ай бұрын
Panya road ni wajinga tu hawana akili.wamemuona mama ni mpole sana eti! Mbona kipindi cha hayati magufuli waliacha upanya road wakawa raia wema!?
@bebebebe5677
@bebebebe5677 11 ай бұрын
Ten mm ata silaumu askari Akiua panya road ni fraha san
@OfficialA83640
@OfficialA83640 11 ай бұрын
Tatizo mnaua wengine sio panya road yaani mtu akiwa na chuki na mjumbe au mwenyekiti basi mnamuweka kwenye hesabu ya panya road mm nachukia mnawaacha wahalifu wanatutobolea madirisha yetu yapo km nyavu zakuvulia samaki
@andreap.assenga8480
@andreap.assenga8480 11 ай бұрын
Panya yeyote ni hatari sana ipaswa wauwawe mapema kuepusha madara makubwa mbeleni
@tabatakinyerezi2842
@tabatakinyerezi2842 11 ай бұрын
Bado atujakuerewa vizuri
@VeronicaAdam-lx8yd
@VeronicaAdam-lx8yd 11 ай бұрын
Hujamuelew ww Achamkury afany Kaz tuliomtum wat wa Mara
@Youngchimodzi823
@Youngchimodzi823 11 ай бұрын
Kuua hata kama panya road bila hukumu ya mahakama ni hatari, lkn hatari na mbaya zaidi ni pale unaua baadaye inakuja kujulikana kwamba hakuwa panya Road halafu neno reasonable force ni tata kulitafasiri, definition na vipimo vyako havieleweki halafu tunatibu dalili badala ya chanzo na sababu za uwepo wa panya Road ni nini? Kama majambazi yanayotumia silaha Kali kama pistol,SMG na Ak 47 yanakamwatwa kupelekwa mahakama I na kufungwa kwanini watumia nondo wawe changamoto zaidi? Sipendi uhalifu wowote including hao panya Road maana mwisho wa siku wanadhuru raia wasio na hatia lkn kukamata uwe mwenyewe,kuassess risk/threat wewe mwenyewe na kutafasiti reasonable force wewe mwenyewe, na kutoa amri ya kuua ni wewe mwenyewe hapo ndio panatoa hofu,unilateral action kuanzia mwanzo Hadi mwisho na sijisikii vizuridamu ya mtanzania yoyote Ile kumwagilia awe panya road au la. Kuna sababu nyingi sana zinazalisha panya road tuzitambue,tuziorodheshe,tutambue ufumbuzi wake na Tuchukue hatua haraka kama nchi. Police nao wanaotenda haki walindwe wanaingiza visasi na mambo Yao binafsi wabanwe. Haipendezi panya road amuue police na police amuue panya road aaah wote ni watoto wa nchi hii. Society ilaumiwe kwa kuzalisha panya road na wahalifu wengine ndani na nje ya serikali,eg panya road wenyewe,white collar crimes etc
@Jakutai
@Jakutai 11 ай бұрын
Kamanda yupo sawa tu, huwajui hao madogo
@thobiasshigela9046
@thobiasshigela9046 11 ай бұрын
Uaaaaa
@MichaelMlija
@MichaelMlija 11 ай бұрын
Wanyang,a.nywe.mapanga.kwarisasi.wabaya.wanaua.raia.wasio.nahatia
@AhmednasirMohamed-le3ht
@AhmednasirMohamed-le3ht 11 ай бұрын
Mmh 🤔 unahalilisha kuuwa? Nnauhakika hata akiwa baunsa wa kilo200 akipigwa risasi Moja ya mguu hawezi kufurukuta kupambana
@cloudngoko.2679
@cloudngoko.2679 11 ай бұрын
Wewe kibuyu kweli yani panya road akikutana na mtu hamuachi salama mtu yani wakisha kujeruhi kama wakikuacha masaa bila kupelekwa hospital unakufa. Sasa police ampate alafu amchekelee tu aje kujeruhi tena watu ndo furaha yenu? Na mtu huyu akienda jera wazazi wao huenda kuwawekea zamana na kisha kuja kuendeleza uhalifu. Acha police wawapitie tu pale wanapojilizisha kuwa hujeruhi watu.
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 11 ай бұрын
Panya rodi wauaetu mbon wao ways watu
@CalistusTitus-s5o
@CalistusTitus-s5o 11 ай бұрын
Kwa maelezo yako tu bado aitosherezi sheria inasemaje? Ukiona polisi wanakimbilia kuuwa ujue uwezo wao wa interijensia umepungua. Mimi sipendi panya rodi lakini kwa nini wimbi la panya road? Je tangu panya road wameuwawa sana je imekuwa suruhisho? Mbona bado awaachi? Kama taifa tuwe na mjadala mkubwa awa ni vijana wanateketea na wanaona maisha raisi ni kujiingiza kwenye uharifu huu. Elimu inahitajika lakini wakati serikali isikwepe jukumu la kuhakikisha fursa za ajira kwa vijana. Vinginevyo hali itakuwa mbaya na lawama watapewa jeshi la polisi. Muhimu kufahamu kwamba polisi ni wachache sana. Awezi kila mmoja wakahakikisha usalama wake kama taifa mjadala mkubwa unahitajika. Siyo tu kuwatenga na kuwavuta majina mabaya. Hali ya kuwa ni watoto wetu je tuna wasaidiaje?
@josephosborne3072
@josephosborne3072 11 ай бұрын
Kabla hujasema namna ya kutokomeza panya road, jiulize kwann uarfu hauishi??? Jibu utakalopata ni sawa sawa na jib la kwann panya Rd wanauawa lkn hawaishi??.. kikubw taarfa tu na kusaidiana na walinzi wengne mbal na hawa polisi,
@PoorBilionaire
@PoorBilionaire 11 ай бұрын
Kwann jela zna kazgan hatakama ni waharifu ndomana kuna jera ili wajifunze
@bebebebe5677
@bebebebe5677 11 ай бұрын
Ndug panya road akienda jera akilud anakua mbay mno
@omaryseshambi6468
@omaryseshambi6468 11 ай бұрын
Swahiba ikitokea nduguyako kavamiwa nahawa Jamaa hutatoa wazo lakuamkia mahakamani.utauliza ikiwa kunarisasi zaakiba ukalipe kisasi.nimakatili kuliko ujiavyo
@edsongamuga7375
@edsongamuga7375 11 ай бұрын
Pele watoto wako huko jela wajifunze
@georgesteven5185
@georgesteven5185 11 ай бұрын
Panya road ua tu qumammake hakuna kuwatia jela wakitoka wanaleta ujambazi zaidi hata aliyo ufanya
@abdulikilala5902
@abdulikilala5902 11 ай бұрын
Ww unajitambua kweli?
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 11 ай бұрын
Ueni tu jamni
@AliyCk
@AliyCk 11 ай бұрын
We sema tu uwen ipo siku watakuuwa nawewe kwa kuhisi ni panya road nakubar panya road so watu wazuri lakn askari wetu wanakuwa watu kwa kuhisi sasa hiyo ni mbaya watakuja wakuotee nawew huna hili wala lile
@ChristianMkumbo-ix2ke
@ChristianMkumbo-ix2ke 11 ай бұрын
Nchi zilizo edeleya sasa hivi hauna kazi
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
Сестра обхитрила!
00:17
Victoria Portfolio
Рет қаралды 958 М.
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН