No video

POLISI LAWAMANI TENA! WADAIWA KUMKATA MGUU OSTADH na KUCHUKUA MILIONI 7 -YULE ALIYESOTA JELA MIAKA10

  Рет қаралды 56,379

Global TV  Online

Global TV Online

7 ай бұрын

POLISI LAWAMANI TENA! WADAIWA KUMKATA MGUU OSTADH na KUCHUKUA MILIONI 7 -YULE ALIYESOTA JELA MIAKA10...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 285
@globaltv_online
@globaltv_online 7 ай бұрын
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@user-zs4xz1vv4o
@user-zs4xz1vv4o 7 ай бұрын
Pole sana ustadhi Allah Yuko pamojanawe hao mapolisi niwashenzi sana hao tumewachoka hasa hatunalakufanya ila Allah anacho chakuwafanya umbwa hao
@awadhally1052
@awadhally1052 7 ай бұрын
Kwel kabisaaa Allah atawalipizia kama walivo mfanyia shehee inshallah
@hassnsalim5156
@hassnsalim5156 7 ай бұрын
Waislam tujitowe kwa huyu mtu inauma sana zaidi ya sana
@user-cf7rk6co7e
@user-cf7rk6co7e 6 ай бұрын
Usiseme huyu wote ni binadamu tusaidoane tuinue sauti zetu apewe pesa zake basi
@zulekhasaeed6046
@zulekhasaeed6046 3 ай бұрын
Watuwatweswa sana tanzaniya hakinyigi hazitendeki polisi wanachukuwa shariya vibaya
@user-gn8zs4qx2y
@user-gn8zs4qx2y 7 ай бұрын
Usipoipata haki duniani inshaalah utapata mbele ya haki mungu ndio mwenye kuhesabu
@user-uz5cu7cr9h
@user-uz5cu7cr9h 7 ай бұрын
18:26
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 7 ай бұрын
Hakika
@maryamabdullah9169
@maryamabdullah9169 7 ай бұрын
Dhuluma kubwa Allah yuko pamoja na wewe
@kilimanjaro77international26
@kilimanjaro77international26 6 ай бұрын
UPUUZI huo wa kikoloni eti tutaenda paradise tukipata shida duniani, bullshit
@user-su7np6sn7s
@user-su7np6sn7s 7 ай бұрын
Yaani mpaka natokwa na machozi daaah!!! Pole sana bro ALLAH yupo pamoja na wewe atakulipia tu hapahapa Duniani kwa ulivyoonelewa Swali sana na inua mikono yako mbinguni Mungu ataitikia Dua zako IN SHA'ALLAH
@abdulsaid1721
@abdulsaid1721 5 ай бұрын
Tunamuomba. Allah. Akuvue kwa. Hili. Na. Jengine. Pia. Allah. Ni. Muadilifu anajua yaliofichikana. Atahukumu kwa. Mahakama. Ya. Mbinguni kwa kila. Aliye. Stahiki. Ameen
@johnnnko5814
@johnnnko5814 7 ай бұрын
Duuh inauma sana. Pole sana Mkuu. Mungu anajua la kufanya...
@user-gw4vv5uh9z
@user-gw4vv5uh9z 7 ай бұрын
Pole sana imani yako imekuponza Mungu atakutetea na Mama atakusaidia utalipwa haki zako zote na fidia ilipwe kubwa sana umekatwa mguu pole sana Serikali ilipe fidia kubwa Taifa linakujali na litakusaidia Kaka tunakupenda woe Watanzania
@user-jv1ch4tr8q
@user-jv1ch4tr8q 3 ай бұрын
Imani haijamponza alikuwa anatetea haki yake kwani angekubali ndo angeachiwa ukikubali ukikataa watakuuwa tu km wamekuamlia ila hawamshindi mungu ndo mana yupo hai hadi leo
@abdulshakuru3992
@abdulshakuru3992 7 ай бұрын
Pole sana shekh wangu Allah utakulipia
@KhamisHaji-pw4jo
@KhamisHaji-pw4jo 7 ай бұрын
Kuaeni na subra sote tutaenda kuhukumiwa waacheni watunyanyase ila mwenye nguvu Allah,,,, Allahu-akbar ☝️
@melkiorykweka438
@melkiorykweka438 7 ай бұрын
Hamza alikua sahihi tu kuwauwa polisi kama mambo ndo hivi 😢 bora jeshi la polisi lifutwe kitengo hicho kitokee jwtz
@user-uc8ei8kn3l
@user-uc8ei8kn3l 7 ай бұрын
Amza akuwa mjinga aliwalipua kudadadeki walimdhulumu pesa na dhahabu za mamilion akaona dawa yak ni kuwaua tu
@user-df6ui9ro8s
@user-df6ui9ro8s 6 ай бұрын
Kabisa me siwqpendi viongoz matapel
@SALEHSALEH-lk5jr
@SALEHSALEH-lk5jr 6 ай бұрын
Na jwtz ni wazuri kwasababu hawafungamani sana na raia lkn huenda nao wakawa wabaya zaidi pale tu watapokabidhiwa majukumu ya polisi
@marrypius576
@marrypius576 7 ай бұрын
Mungu atakulip kaka angu hao polis hawatoishi kwa amani maishani mwao
@awadhally1052
@awadhally1052 7 ай бұрын
Kwel kabisa Amiin
@gilbertshirima2684
@gilbertshirima2684 7 ай бұрын
Nimeumia sana sana😢 Watu wanateseka sana kwenye hii nchi.
@daudymlauletv8489
@daudymlauletv8489 7 ай бұрын
Adui wa muisilam ni muisilam mwenziwe pole sana sheikh walio kuchoma ni viongozi mamluki wa kiisilamu ambao hawana nia njema na uisilamu yawezekana ulikua mlinzi mzuri wa mali za uisilamu ikawakera wapigaji wakakuundia zengwe
@chikujuma18
@chikujuma18 7 ай бұрын
Mwenyezi mungu asimame nawe upate haki yako inshallah
@marykennedymarwa1641
@marykennedymarwa1641 6 ай бұрын
Nafikiri ,unatakiwa kulipwa fidia ya kusingiziwa kesi ya uongo , huyu baba arudishiwe haki yake na fidia za kukatwa mguu. Pole sana ndugu
@jasmintanga2474
@jasmintanga2474 6 ай бұрын
Yan hapo ndo atakua kalipwa haki yke yan km anawajua hao police vzur sura na majina serikali ifuatilie hao wote walotoa ushahid sio wote wachukuliwa hatua yan mtu katumikia miaka yote hyo alafu anakuja kuambiwa kirahic tu umeachiwa kwa sabab ushahid haujawa na mashiko kweli asaa,!? Serikali ikiamua kufuatilia jambo haishindwi lazma huyu kaka apate haki yake km kweli hii nchi ya amani, inasikitisha sana Allah aendelee kukupa subra uipate haki yko
@saidially1573
@saidially1573 7 ай бұрын
Daa ndugu yangu katika imani kwanza pore sana piri tatizo sio pesa tatizo ni hicho kiungo urichopewa na mungu wao watakirudishaje
@estachengula3902
@estachengula3902 7 ай бұрын
Pole shehe mungu wa mbinguni atawahukumu
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 7 ай бұрын
Police wa Tanzania waonevu sana iyo ndo Tabia yao ya kubambikia watu kesi asilimia 80 waliokua Gerezani kesi co zao,ndo maana Police wengi wanakufa Maskini kwa dhulma
@Serenawilson11
@Serenawilson11 6 ай бұрын
Walai dear yan nikikumbuka mm yaliyonikutaga 😢ni mungu tu
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 6 ай бұрын
@@Serenawilson11 wanafanya dhulma sana pole walah
@user-uc8ei8kn3l
@user-uc8ei8kn3l 7 ай бұрын
Dah ,,roho yangu imeniuma sana tena sana
@OnlyRuky
@OnlyRuky 7 ай бұрын
Jamani Number zake zina pita hapo tumchangie kila atakayejaaliwa
@misomisomisoji7722
@misomisomisoji7722 7 ай бұрын
Hili jeshi la Polisi ni lakihuni, hii yote inatokana na uongozi mbaya wa inchi.
@awadhally1052
@awadhally1052 7 ай бұрын
Kwel kabisaa
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 7 ай бұрын
Police mungu anawaona msifikili mtaishi milele
@MellanieKay
@MellanieKay 7 ай бұрын
Pole sana
@MauBonde
@MauBonde Ай бұрын
Pole sana sheikh tatitzo la serikali yetu mfumo wa polisi mahakama magereza wanaendelea na mfumo ule ule aliotiachia mkoloni
@FrolFrol-qq4vk
@FrolFrol-qq4vk 7 ай бұрын
Pole sana kaka mungu yupo pamoja na wewe
@al-mamarial-mamari5457
@al-mamarial-mamari5457 7 ай бұрын
حسبي الله ونعم الوكيل
@dismaslalubare4196
@dismaslalubare4196 7 ай бұрын
Mama samia.apige simu moja tu. Kwa kamanda masejo tunamuamini masejo hela zako zitapatikana....hata kama amestaafu huyo askari aliekupekua atafuatwa Mali zake ziuzwe upewe haki.zako ...pole sana kaka
@ThomasErro
@ThomasErro Ай бұрын
pole sana, Mungu akulipe ktk maisha yako, ikiwa ww umesingiziwa kwa jambo hilo unalotuhumiwa nacho
@AliAbdalla-lb8su
@AliAbdalla-lb8su 6 ай бұрын
Hii nchi ina wahuni sana wanaolalamikia serikali ni wengi sasa kuna haja gani kua na sheria bora tuishi tu na uongozi wa kifalme mtu mmoja ndio mwenye maamuzi
@methodkigenda4635
@methodkigenda4635 14 күн бұрын
Pole Sana. Polisi Mungu aliwajua toka zaman Ndo Marana akawaweka katika maandiko yake. Taifa lolote linalotegemea polisi mungu mnaona na Kusikia haya. Lakini uku uraiani ni hatari sana.
@user-bw8lt8wy1i
@user-bw8lt8wy1i 7 ай бұрын
Pole Sana kaka yangu mungu atakuona
@HabibuKiyondo
@HabibuKiyondo 6 ай бұрын
Pole sana shekhe allha atakulipa nahao walio fanya ivo malipo niapaapa dunian kwa mungu ni esabu
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 7 ай бұрын
Hao ni Polisi wa madikteta kazi zao kutesa wananchi.
@MdNasr-jm8pj
@MdNasr-jm8pj 7 ай бұрын
Tanzania mnawadhalilisha sana viongoz wa kiislam 😢
@hawakiza6067
@hawakiza6067 7 ай бұрын
Sana
@gilbertshirima2684
@gilbertshirima2684 7 ай бұрын
Acheni Udini. Hii nchi uonevu umejaa kila kona na tunapaswa kwa pamoja kulaani matendo maovu dhidi ya raia wema
@FridayMwassa
@FridayMwassa 7 ай бұрын
Mbona mlikuwa mnashangilia pale mchungaji mbarikiwa mwakipesile alipofungwa
@MdNasr-jm8pj
@MdNasr-jm8pj 7 ай бұрын
@@FridayMwassa huna haya ww hakuna kitu km icho
@Ernestlaiza
@Ernestlaiza 7 ай бұрын
​@@MdNasr-jm8pj walahi mko na udine sana sana waislamu mko roho mbaya
@zwinaalhabsi664
@zwinaalhabsi664 7 ай бұрын
Allah atakulipia haki yako hapa hapa duniani kabla ya akhera inshaallah
@DeBoy-oy2jg
@DeBoy-oy2jg 5 ай бұрын
Aamin yarabbil'alamin
@jacobmwalituke8981
@jacobmwalituke8981 7 ай бұрын
Columba hebu omba kazi itv au azam bwana,we ni mkubwa inatosha hufai kuwa global,unahitajika uende media kubwa
@AbdillahMngoya-zj5or
@AbdillahMngoya-zj5or 7 ай бұрын
jamaa kweli anajua aende media kubwa
@zwinaalhabsi664
@zwinaalhabsi664 7 ай бұрын
Allah atakulipia haki yako hapa hapa duniani kabla ya keshoakhera inshaallah
@MrKhatibu
@MrKhatibu 6 ай бұрын
Hapana police wazirudishe pesa zake.
@user-ny2fu8bu2u
@user-ny2fu8bu2u 3 ай бұрын
Pole sana mungu atlifanyia kazi
@user-zk1ho5ig2c
@user-zk1ho5ig2c 7 ай бұрын
Nitumieni namba zake nikipata hela Ntamtumia pesa huyu kaka Mungu Amsaidie dunia inavituko.
@lupefiascojr.1896
@lupefiascojr.1896 7 ай бұрын
Imeniuma sana Mimi hii ni Tanzania kweli
@user-rs7cf9lb5w
@user-rs7cf9lb5w 6 ай бұрын
Pole sana ustadh hakika mungu atakulipia polisi ni washenzi sana
@KassimuTitu-nu6jn
@KassimuTitu-nu6jn 7 ай бұрын
Police walaaniwe kabisa kwan wanatesa sana raia
@user-pb4en4te7m
@user-pb4en4te7m 7 ай бұрын
Kwakweli ni uonevu inahudhunisha, Serikali imhurumie kwa ulemavu alioupata, na kumpatia haki yake.
@user-ie2sr4fi4k
@user-ie2sr4fi4k 7 ай бұрын
Hinaskitisha sana
@abdallahkassim8600
@abdallahkassim8600 7 ай бұрын
Mungu atakulipia hapahapa duniani mungu yupo na wewe
@abdunasiriathumani9011
@abdunasiriathumani9011 7 ай бұрын
Dunia tu hii tunapita Kuna maisha baada ya hapa enyi wenye kudhulumu watu
@saidibanda8347
@saidibanda8347 6 ай бұрын
Daaaaah nchiiii kuna watu wanateseka sana😢😢😢😢😢
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 7 ай бұрын
Mungu atawalaani ape kila aina ya maradhi
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 7 ай бұрын
Polis siwapendi maana rushwa wanayopokea wanabadili ukweli uwe uongo na uongo uwe ukweli tena na maneno ya dhihaka
@josephfrank4446
@josephfrank4446 7 ай бұрын
Pole kaka pole sana
@MdNasr-jm8pj
@MdNasr-jm8pj 7 ай бұрын
Na magaid ni waislam jmn vbaya ivyo msiwapake watu ugaid loooh Laana za Allah ziwqfikie 😢
@user-zq9jc5sw7t
@user-zq9jc5sw7t 7 ай бұрын
Pole.sana.nshallah.alla.yupo
@charlesbutera897
@charlesbutera897 7 ай бұрын
Ndo maana siwapendi polisi yaani 😢baadhi Yao Siyo watu wazuri
@josephmasanja8584
@josephmasanja8584 6 ай бұрын
Tatizo lingine LA kuhusishwa na ughaidi ni kule kuamini dini pamoja na kuamini saana mila desturi na tamaduni za kigeni kupitiliza!!!
@user-ij9te1ck9p
@user-ij9te1ck9p 3 ай бұрын
Laahaula walaa kuwwata illaa Billa!.Mungu amemuwekea mwanadam njia mbili:- immaa shakiran waimmaa kafuura, njia ya kushukuru na njia ya kukufuru.hukulazimishwa kufuata njia sahihi ya M/Mungu Kila mtu ana uhuru WA kuabudu,fata unachokiamini na kukiabudu hutamuona muislam anakuja kukubughudhi ila usiumie unapoona wenzako wakiabudu njia sahihi. "Lakum diinukum waliadiin". Nyinyi mna dini yenu na sisi tuna dini yetu.
@issamatola2031
@issamatola2031 7 ай бұрын
Police ndio maaana wanakufa masikini sana
@user-zk1ho5ig2c
@user-zk1ho5ig2c 7 ай бұрын
Masikin mungu afanye wepes upate usaidizi inshaallah
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 7 ай бұрын
Mungu mkubwa mungu mkubwa
@carolinannhaule8187
@carolinannhaule8187 7 ай бұрын
Chalamila yuko wapi mwamba namkubali atakusahidia Tanzania iko wapi haki za kinadamu zitendeke police nao wakihukaji wakamatwe
@abdallahkassim8600
@abdallahkassim8600 7 ай бұрын
Inauma sna kwli rais wetu tunakuomba usaidie hii hali inauma sna
@LoshilaaMollel-qh5pb
@LoshilaaMollel-qh5pb 7 ай бұрын
Jamani nyie police acheni unyanyazaji kuwanyanyaza wananchi
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 7 ай бұрын
Innalillah wainnah lillah lajuun,daaaa pole sana ustadhi umeongea kwa uchungu mnoooo wallah wamekuludisha nyuma mno
@christiancalvin2183
@christiancalvin2183 7 ай бұрын
Sema polisi wanamalalamiko ya watu wengi sana
@meryshekoloa961
@meryshekoloa961 3 ай бұрын
Ostadhi pole tulikua pamoja nilikamatwa na mchicha nikapewa uhujumu kipindi kile Lulu kajala mimi sero no 5 lulu no 1 mungu hatakuacha
@japeramadhan
@japeramadhan 6 ай бұрын
Mungu atakulipia
@AishaTarimo
@AishaTarimo 7 ай бұрын
Daaah,,,😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢Mungu atakulipa hapa hapa duniani
@awadhally1052
@awadhally1052 7 ай бұрын
Na kesho ahera Allah atamlipia ishaallah
@user-kn5pb5xp5y
@user-kn5pb5xp5y 6 ай бұрын
pole sana malipo hapahapa
@aishahazary4097
@aishahazary4097 7 ай бұрын
Walahy hii inauma mno.Ila haki pekee iko kwa ALLAH.
@khalidmdimu4177
@khalidmdimu4177 7 ай бұрын
Polis ni wauaji wenye kibali cha kikazi ndo maana nawaogopa kuliko hata majambazi ''langa''
@user-hq5mo3dx7l
@user-hq5mo3dx7l Ай бұрын
Pole kaka hata sjamalizia inauma.sana
@AyoubNehemia
@AyoubNehemia 5 ай бұрын
Mwenyezi Mungu,ndie,atakae wahukum,wanaiona kuwa dunia yote wameikamata wao,inawapasa kujuwa kuwa kuna kufa na,watajibu nini siku ya mwisho,mshukuru Mungu kwa,kila jambo
@samiraabdimahamed4449
@samiraabdimahamed4449 7 ай бұрын
Nchi imekuwa ya dhuluma sana kwa kweli. RIP MAGU 😭😭😭😭😭😭 sikuhizi kwa kubandika watu kesi na kuuwawa imekuwa rahisi sana. Yaani sasaivi ukiwa na matatizo kitu cha polisi unakiogopa kabisa.
@GodfreyShayo-ix5be
@GodfreyShayo-ix5be 7 ай бұрын
Hiyo ni toka 2014 siyo karibuni
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 7 ай бұрын
Waislam wameanza kufyekwa tokea kipindi cha Mkapa , Tena kipindi cha Magu siwezi Sema apumzike tu kwa Amani, hata wale Uhamso walikuwa wanaliwa timing tu wafyekwe ila Mungu ndio mpangaji wa yote
@peterjengela1770
@peterjengela1770 7 ай бұрын
Hayo yalitokea wakati wa utawala wa Jakaya
@MussaSuleiman-ui9fy
@MussaSuleiman-ui9fy 7 ай бұрын
Hao polisi wapo waliochukua hizo pesa wapo na pesa zipo wazitoe wampe mwenyewe. Dhuluma hazifai na mguu mliokata mnunulie wabandia Ili na yeye apate hata kusogea na mumpe bajaji muogopeni mungu muumba
@acrambilqees8638
@acrambilqees8638 6 ай бұрын
Eeeh mwenyezi mungu mtukufu muumba mbingu na ardhi nakuomba utoe hukumu ya yakitendo hiki cha huyu mja alichofanyiwa inshallah. Ila inauma sana tena sana yaani hiki kitendo cha kupoteza kiungo mi ndio kilichoniuma sana yaaani inshallah mwenyezi mungu yu pamoja nasi
@EshaHamd-ed9yv
@EshaHamd-ed9yv 7 ай бұрын
Allah wasaidie waja wako hawa uwasaidie kila hatua Dua Ugaidi ni anayeuwa au anayeuliwa Allah ndiye mlipaji
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 7 ай бұрын
Pole SANA Jamani. Mapolisi SIJUI wamekula Nini kwetu. TANZANIA. WOTE NI njaaa ya magendooo. WALUDISHE PESA ZA BABA WA WATU ZAMBIIII. WALANIWEEE. ILA NI KAMA SIASA HIIIOOOOO WALAI. WATESAJI HAO WALUDISHE PESA ZA BABA HUYOOO ZAMBIIII SANA. KAZI GANIII HIIII WANA NYANYASA WATU.😢😰😭😭😭😭😭🥳😭
@zakariaissa7574
@zakariaissa7574 5 ай бұрын
Pole sana ndugu haya nimapito tu mungu atakulipa zaidi
@hayunahabibu4951
@hayunahabibu4951 7 ай бұрын
Pole saana inauma Allah hatakulipia
@user-zl4ch7kz3b
@user-zl4ch7kz3b 6 ай бұрын
Mungu yupo na tunamuamini San na atawalipa hao police kwa walichokufanyia mungu hapendi mtu kuonewa
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 7 ай бұрын
Waislam sana wanaonewa
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 7 ай бұрын
Hao mapolisi wanfaa washtzkiwe, na kama hawashtakiwi hapo hakuna segikali inayofuata sheria.
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 7 ай бұрын
DAH BINAADAMU ANAMTESAJE MWENZIE HIVII JAMANII 😢😢😢😢😢😢NI TANZANIA KWELI AU 😮😮😮😮😮😮😮😮
@user-uc8ei8kn3l
@user-uc8ei8kn3l 7 ай бұрын
Yaani acha tu
@AmisseSulemane-sb4re
@AmisseSulemane-sb4re 7 ай бұрын
Ina lilah waina ilah rajiun
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 7 ай бұрын
😂😂😂😂 matako bar aise pole sana
@SaidMkambo
@SaidMkambo Ай бұрын
Polesana
@samirazuberi186
@samirazuberi186 4 ай бұрын
Eti hujakoma tutakurudisha huko huko 😭😭😭nyie kwa mungu kuna adhabu 😪
@kilimanjaro77international26
@kilimanjaro77international26 6 ай бұрын
Mungu ibariki afrika
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 7 ай бұрын
Maaskari ni fuel of hellfire ,,,maisha mafupi yaduniani yanawapa kiburi
@user-vq5ut3rx7m
@user-vq5ut3rx7m 6 ай бұрын
Pole sana kakangu nimelia kwa uchungu 😢😢😢mungu halali na haki yako utaipata inshallah...hasibu Allah wali mli hakimu ☝️
@ramadhanmwandambotuntufye5972
@ramadhanmwandambotuntufye5972 7 ай бұрын
Innalillah wainna ilayhi rajiun, hasbna llah waniimal wakil
@austridhaule8747
@austridhaule8747 7 ай бұрын
Mimi mtoto wangu akiniambia anataka awe polisi nitamlaani mpaka kifo changu.
@ApostleEmmanuelLyimo
@ApostleEmmanuelLyimo 6 ай бұрын
Ugaidi Ni mbaya Sana unaleta athari kubwa Sana .tunaweza tukawalaumu policy lakini yakitokea matendo kama hayo tunaanza tena kuitaji Masada wa vyombo vya usalama
@susananyasani6526
@susananyasani6526 5 ай бұрын
Badala ya Polisi kumlinda Mwanadamu huiba Vitu vyao na kuwatesa pole sana waliharibu maisha yako yote hari hii ifikishwe mbele ya Umoja wa Mataifa adhabu kama hili hairuhusiwa katika Dunia nzima haya yote ni Machozi tu Mungu ni mkubwa
@tabithaeppyness3867
@tabithaeppyness3867 7 ай бұрын
Haki itatendeka Mungu hapendi kuona machozi mtu anayedhurumiwa watalipa
@user-yy1rf1de5u
@user-yy1rf1de5u 6 ай бұрын
Dah hii ndo Tanzania yetu nchin ambayo tunaaminii inaamani lakin wananchi wa Hali ya chini tunateseka tunachagua watu tukiamin wametuzidi ilii watuongoze lakini wanatukandamiza ni kherii tungebakii kwa mkolon tupigwe fimbo tuuwawee kuliko kinyanyasana wenyewe ..Tunasema hatuna ukabila lakini nchii hii Ina matajir na maskini,..maskin tunateseka sanaaa
@user-yv3jk5bl2p
@user-yv3jk5bl2p 6 ай бұрын
Yani inauma sana wengi wameumizwa sana na jeshi hili la polisi
@officialtinnyaltezza9878
@officialtinnyaltezza9878 7 ай бұрын
Kwan broo ulikuwa na viashiria gani had yakafikia huko????
@jumanesaidi7635
@jumanesaidi7635 3 ай бұрын
Mama Tz kisiwa cha amani, Shuhudia mateso haya, wayapatayo wanao, bila ushahidi masikini ! uko wapi, ukatili, unyanyasaji, na dhuruma kama hizi, hata huko kusikokua visiwa vya amani.
@rayahamisi118
@rayahamisi118 7 ай бұрын
😢😢😢wanataka watolewe mabusha walahi
@user-rk8ei3gx9e
@user-rk8ei3gx9e 7 ай бұрын
pole sana
@zainabmbarak1043
@zainabmbarak1043 6 ай бұрын
Mungu awalipe kinachostahili hapq hapq duniani akhera maesabu tena awalipe haswaa
ROLLING DOWN
00:20
Natan por Aí
Рет қаралды 6 МЛН
Box jumping challenge, who stepped on the trap? #FunnyFamily #PartyGames
00:31
Family Games Media
Рет қаралды 29 МЛН
Советы на всё лето 4 @postworkllc
00:23
История одного вокалиста
Рет қаралды 5 МЛН
Mwanzo Mwisho Lissu Afunguka Kilichotokea Mbeya
23:21
The Chanzo
Рет қаралды 27 М.
ROLLING DOWN
00:20
Natan por Aí
Рет қаралды 6 МЛН