Allah akupe umri mrefu akujaalie mwisho mwema Dunian na kesho Akhera
@DodoNgoie Жыл бұрын
Merci bcp pour ne apprendre que Dieu vs bénisse je suis en RDC
@graciaawezaye25402 жыл бұрын
asante Mwenyezi Mungu aendeleye kuku zidishiya
@maryamkali95483 жыл бұрын
Mashaa Allah jaazakallah kheri Ameen ln shaa Allah
@annamariko81603 жыл бұрын
Mashaallah jazaka Allah khaira fikum
@omarisarai76993 жыл бұрын
Aslm alk, Shukran sheikh ,kuna kipindi Sheikh ulimea nyumba niliyokuwa naishi ,nikaudunga msumari ukaanza kutoa mapapai, yakawa yanaiva na kuyala japo ladha yake si tamu vile.je nlifanya vibaya
@lkshmykomar54723 жыл бұрын
Mashallahu mungu akubark shehe wetu akupe klalenye hery naww Amina
@salamaseif40323 жыл бұрын
Mwenyezimungu akupe neema tele na uishi maisha malefu ishalah
@mohammedkaisar83 Жыл бұрын
Mashallah sheikh nimekuelewa saana Sasa niufatiliaji tuuu
@muhamedyhakimu82252 жыл бұрын
Shukrani mungu akuwekeye kwenye mizani yako yamema
Awww,mimi niko Congo Kinshasa namba misahafu niko namatrasa
@hamidaomar4303 жыл бұрын
Subhanna allah
@muhamedyhakimu82252 жыл бұрын
Nijuze izo aya zaharaja mungu atakulipa
@prisilachuwa38503 жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@guhgghhg85923 жыл бұрын
Allah akbar asante sheikh
@hamidaomar4303 жыл бұрын
Allah atuwezeshe kufanya kheri nyingi
@zainabmohammed13053 жыл бұрын
Shukrani sana shek
@user-ws7fb8ph9q10 ай бұрын
Mashaallah ❤❤❤
@osamashakeeb71943 жыл бұрын
Masha Allah ❤
@SophiaBalagomwa-hx9gb Жыл бұрын
Allah akulipe milele❤❤❤❤❤
@mwanamkasiroho9138 Жыл бұрын
Aslam alkum warahmatullah wabaraktuh kwa mfano hujui kusoma
@mukaipeter21862 жыл бұрын
Asante barikiwa
@halemasuliman-js8ug2 ай бұрын
Asante shehe
@linetkerubo76732 жыл бұрын
Thanks alot
@personcriticalthinking71622 жыл бұрын
Amen
@salimsalim84213 жыл бұрын
Waalekum msalam warah matuAllah wabaraqat
@khadijamsafiri48333 жыл бұрын
Mashaalah
@bekawadartvmisigirisingida5683 жыл бұрын
Elimu nzuri sana
@maimunafredrick56303 жыл бұрын
Naam shukurn sheikh ila. Nko na swali hayo mafuta wajipaka kwa mda gani au sku ngapi?
@harisononyango81353 жыл бұрын
Halloo nimefurahia Sana mafundisho yako lakini sasa kwa wsio kuwa waislamu watatumia kivipi mahana kuna mahali pakusomea kitabu ya kiislami
@nibigiramwajuma79253 жыл бұрын
Asante
@moshiponola52762 жыл бұрын
Shehe asante. Colowani si kusoma nitafanyake
@kawawamaige2973 Жыл бұрын
Nimekubari shekih
@madinaabc48253 жыл бұрын
Shukuran sheikh
@muhammadhussein23473 жыл бұрын
Mashaallah sheikh
@sophiasanga52183 жыл бұрын
Maashaallah hongera
@rassorabbat87613 жыл бұрын
Jazakallahu kheir
@wilkistermose Жыл бұрын
Na wenye sio waislaam?
@jenipherkavusha16613 жыл бұрын
Amina
@abdallahkawambwa90413 жыл бұрын
Shekhe maelezo mengi sana
@YassiniMsaudia-et3by22 күн бұрын
Ahsant sana
@AhmedAli-xw6xf3 жыл бұрын
Shk mungu akbrk
@mohammedkaisar833 жыл бұрын
Allha atakulipaa inshaallah
@evacekasaija39123 жыл бұрын
Barakalau fiku
@maedamustafa51032 жыл бұрын
Jaman asante
@salmafaraj65443 жыл бұрын
Aslm alkm..sheikh wangu mm nnaombi kwako naomba ukitoa mada km hizi utuondolee hizo sauti za edit tafadhali tutapata utulivu wa kukuskiliza vzr zaidi..shukran..wabilahi tawfiq
@alfajrtvtzonline93153 жыл бұрын
In shaa Allah
@BernadineKyaki11 ай бұрын
Shehe tushukuru kwadawa mimi Niko kongo
@kelvnprojestus73133 жыл бұрын
Sasa m2 ambae hana uwezo wa kusoma izo haya anafanyaje
@shimafuad68683 жыл бұрын
Kama unamjua mtu hajapata kizazi na hospitali kishapima Hana tatizo lolote mpe huo mpapai Duma viua vyake Kule kileleni achemshe PAMOJA na mizizi yake atie na chvi kidogo anywe inshallah atafunguka kw UWEZO wa Allah ikiwa alifungwa kizazi kichawi
@salumbig70033 жыл бұрын
Mashalla
@edenedena3083 жыл бұрын
Okay thank u...mm sio mwislamu ntasisomeaje sasa hayo maneno
@stellakins37703 жыл бұрын
Useme wewe Mimi ndio sielewi kabisa
@johariramadhan52363 жыл бұрын
Umu youtobu kuna dua tofauti andia ruqiya dua zitakuja tele basi utasikiliza ww unanuia shida zako
@LumièreSamson8 ай бұрын
Ahsant
@rashidikiumba87682 жыл бұрын
Mashaalwah
@user-xh9bu6yb5w Жыл бұрын
Juice iyo ya mpapai unachemsha ao unatumia kama ilivyo?
@OlivierKey-xk1ih11 ай бұрын
Mbona sisiwengine hatuko waislame tuta swalinamnagani
@suleimansalum55863 жыл бұрын
Ok
@kalemagafredrick60253 жыл бұрын
Bei ya Msahamu mmoja ni Tsh.Ngapi?.
@alfajrtvtzonline93153 жыл бұрын
Tsh. 6000
@MaryIsaka-tf7xc Жыл бұрын
Nimeyapenda mafundusho yako
@daulatibrahim77653 жыл бұрын
Mashallah
@customarts692410 ай бұрын
Dawa ya Figo nigani
@shamsasaid98863 жыл бұрын
Hizo Aya za kusoma ni zipi surah gani za kufungua vifungo? Nieleweshe samahna lkn
@musashija13903 жыл бұрын
Naam, hapo katufumba.
@muhamedyhakimu82252 жыл бұрын
Mutusaidiye duwa yakupandikiziya chakula shambani ili nipate mazawo mengi kwenye kilimo
@rizikisebe8903 жыл бұрын
Naomba namba ya m pesa kwa sababu niko mbani na naeza kutuma pesa mkanunulia uko uko
@lesthermulagha66873 жыл бұрын
Je Mimi mkristo nasoma vifungu gani katika biblia
@kingsolomoni Жыл бұрын
Unamuomba hata kwa lugha yako allah anasikia
@erastitesha9433 жыл бұрын
Kama mkristo je unafanyej shekh wng?
@teodoronkapalaye91536 ай бұрын
Assate kwakujua faida yapapai
@khadijamohamed2093 жыл бұрын
shekhe smhn naomb dawa y kuongza hamu y tendo le ndoa
@user-dq4dm3yq9g6 ай бұрын
Mwarimu unajikinga vip iliwachawi wasikuchezey
@muhamedyhakimu82252 жыл бұрын
Nauliza mwalim izoaya utazisomeya apo utaweza ukasomeya zile ibitwalu sihiri nakama siyo izo naomba unijulishe kwaajili yamwenyezimungu nijuze izo aya
@androshissa28283 жыл бұрын
Mash'allah
@masoudalriyamy62983 жыл бұрын
Bibilia wakati weke umepita utatumia vipi wakati umesha pita
@user-ow6lr7lo4h5 ай бұрын
Wasiy dini hiy
@benmayega1024 Жыл бұрын
Kueleza kwa wakiristo
@karumeveronika65602 жыл бұрын
Habari Mimi nataka niurize Sasa munao watunza ni way isiramu tu ju ire ma meno yakusema disi wenyine Ati erewi
@petronillakiboi5173 жыл бұрын
Samahani sheikh wachrito tusomea aya gani siku njema