No video

IJUE HISTORIA YA MAAJABU YA MWANAMALUNDI

  Рет қаралды 301,990

Global TV  Online

Global TV Online

5 жыл бұрын

IJUE HISTORIA YA MAAJABU YA MWANAMALUNDI
#MAAJABU #DIAMOND
Ngw'anamalundi alizaliwa katika kijiji cha Mwakubunga Nera katika Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza mnamo 1892 na kupewa jina la Igulu Bugomola, Igulu ikiwa na maana ya mbingu. Alizaliwa akiwa mtoto wa mwisho na wa pekee wa kiume kati ya watoto wanne wa familia ya mzee Bugomola na Ngolo Igulu.
Igulu (Ngw'anamalundi) alikua na tabia ya uzururaji na haikuwa rahisi kumkuta nyumbani. Alikua mahiri wa kucheza ngoma, na mara nyingi alifuatwa na kundi la watoto kwa sababu hiyo. Hali hii iliwachukiza wazazi wengi kutokana na kwamba watoto wao, ambao pia walikuwa wakiwategemea katika kuchunga mifugo, waliwatelekeza mifugo na kumfuata Igulu, hivyo kupelekea kupotea kwa watoto wa mifugo hao.
/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

Пікірлер: 134
@tatayeza5503
@tatayeza5503 3 жыл бұрын
Mwanamarudi... Ng'wanamironde. Alikuwa mcheza ngoma aliyrliteka sana soko la music wa kale,alipendwa sana na watoto,hivyo baadhi ya wazazi wakamchukia sana,kutokana na ng'wanamaronde alikuwa na miguu mwembamba wakawa wanamtukana kwa kilugha[lirolage lamamironde galyo] ni hivyo2 kamani🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@ogindiii1465
@ogindiii1465 3 жыл бұрын
1 AQ 1
@FrankManko
@FrankManko 3 жыл бұрын
Huyu jamaa mjanja mjanja na historia haifahamu vizuri tafuta mtu mwingine anayejua historia
@kabugashija4836
@kabugashija4836 3 жыл бұрын
Mfano anasema "malunde" ni "radi" mimi avyoelewa kwa kisukuma "malunde" ni "mawingu,, si radi.
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 3 жыл бұрын
Hongera ibueni mengi ya kale. Tusisubiri wazungu wataharibu historia yetu.
@MightyLumber
@MightyLumber 3 жыл бұрын
Si wazungu tu hata waarab
@ujimansylivanus944
@ujimansylivanus944 2 жыл бұрын
Kabisaa
@humphreyraymos3101
@humphreyraymos3101 5 жыл бұрын
Kiukweli sijarizika kabisa na hii history iko juu juu sana
@jacobndamayape9462
@jacobndamayape9462 4 жыл бұрын
Mtangazaji kachemka, Neno"MwanaMalundi"ni jina la utani alilopewa na wazaz wake likiwa na maana ya "Mwenye miguu mirefu" si kama kama mtangazaji (sijui ni mtangazaji kweli) alivyoanza kama utangulizi.Haafu hizi story muwe mnamwachia Ananis Edgar,maana hata anakudanganya lkn unafurahia jinsi saut na mpangilio anavyoyapangilia.
@johnbidya119
@johnbidya119 2 жыл бұрын
Ananias oyee
@timothywaritu4762
@timothywaritu4762 Жыл бұрын
Umesema kweli
@mohamedomary8892
@mohamedomary8892 Жыл бұрын
Nikweli ndugu yangu wawage wanawauliza wasukuma maana ya mwana malundi
@dianaaloycemakoi1985
@dianaaloycemakoi1985 2 жыл бұрын
Kwenye hii channel napenda sana history zenu
@chengerange3422
@chengerange3422 4 жыл бұрын
Kabisa
@andrewtungu1590
@andrewtungu1590 2 жыл бұрын
Malundi sio radi no miundi sehemu ya miguu kati ya unyayo na magoti
@charlesmangasin9020
@charlesmangasin9020 4 жыл бұрын
ebhana apo kweny malundi et radi au cjackia vzuriii co radi malundi maana yake ni miguu malundi alaf malunde ndo mawingu
@emmanjacob9722
@emmanjacob9722 3 жыл бұрын
Hapo sawa nmekuelewa malundi ni miguu Tena Ile midogo midogo sio miguu minene malunde ndo mawingu kwa wasukuma Kama mim ndo wanaelewa
@ndegeyaernest3101
@ndegeyaernest3101 5 жыл бұрын
Global Tv with hooligan reporting that's why we Africans we are not being respected by outsiders
@fabiananthony3222
@fabiananthony3222 4 жыл бұрын
Kweli kabisa
@amosmahona433
@amosmahona433 3 жыл бұрын
Mwandishi Muongo, Muongo Sana
@successpatience7641
@successpatience7641 2 жыл бұрын
Katupanga kwenye jina lake
@abelinyogonya6014
@abelinyogonya6014 4 жыл бұрын
Una mikelele sana kiasi hata haipendezi kusikiliza
@edwardnambo1857
@edwardnambo1857 4 жыл бұрын
Malundi ni miguu mirefu nyembamba sio radi
@soundmale
@soundmale Жыл бұрын
Hii historia wangekuwa wazungu wangeshaitolea movie kabisa ili ibaki milele nakujiingizia kipato..🎤✍️🤔
@samwelmashauri9414
@samwelmashauri9414 5 жыл бұрын
Mh nilisoma naye alikua mtoro sana wa shule
@johnsonbubinza4646
@johnsonbubinza4646 3 жыл бұрын
asee dogo anapenda sifa wakati alikimbia shule akazamia mwanza
@nedkatunge5702
@nedkatunge5702 3 жыл бұрын
Mwandishi research take in ya Congo has kuhusu jina malundi mama take site radio mama ulivyodanganya malundi mama yake in my mwenye miguu mirefu hence naye in mrefu sana mamiguuu marefu sana
@killeboy_tz7526
@killeboy_tz7526 2 жыл бұрын
Malundi kwa kisukuma ni miguuu
@paulinacherement2534
@paulinacherement2534 3 жыл бұрын
SUBHANNA LLAH alhamdulillah ALLAH AKBAR
@denistarange5580
@denistarange5580 5 жыл бұрын
Ugeenda ukakutana na wazee nenda sehem inaitwa Nhera
@leilainnocent6532
@leilainnocent6532 5 жыл бұрын
Nhera ni kubwa wapi sasa ?
@nipolive..2745
@nipolive..2745 3 жыл бұрын
Anae hojiwa ni boya anae muhoji nae ni boya.
@mohamedomary8892
@mohamedomary8892 Жыл бұрын
Nyie watangazaji niwaongo sana maana ya mwana malundi co mnavyofikilia maana ya mwana malundi nimtu mwenye miguu milefu
@sangijawilsom3715
@sangijawilsom3715 3 жыл бұрын
Alike ni hatr
@mussaharun7257
@mussaharun7257 4 жыл бұрын
Mnatuingiza chaka
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 3 жыл бұрын
much love one love him
@timothywaritu4762
@timothywaritu4762 Жыл бұрын
Hakuna story za kufikirika km unawaza ivyo Jua kuwa hata wawe umekuja hapa duniani kwa kufikirika
@prettyney3812
@prettyney3812 4 жыл бұрын
Mm najua m engine kaacha sehem ya mahiga kama u naenda ngudu mm napajua kaacha unyayo wa miguu Yake
@jp1780
@jp1780 5 жыл бұрын
Kwa sababu nim africa acha tumuhite mchawi duuuh that was deep bro wa Africa bado tungaliki na lala hatujamka nakwambia😂🤣
@mariamnyerere868
@mariamnyerere868 2 жыл бұрын
Acha uongo hujui maana ya jina hilo
@philipocmalume5740
@philipocmalume5740 3 жыл бұрын
Mwana malundi "jina la kisukuma lenye maana mtu aliye na miguu mikubwa so ulivyofafanua"
@lutherking7342
@lutherking7342 3 жыл бұрын
ongea visuru kama mtt wa kiume
@festogalole7527
@festogalole7527 3 жыл бұрын
Kama unatatizo lolote la kiafya sugu au la kawaida wasiliana wasapu namba na call 0621847068 na Instagram kwa jina @Festo ngella By Dr Ngella
@hanifawaliya7976
@hanifawaliya7976 5 жыл бұрын
HAKUNA CHA MIUJIZA WALA NINI. ALIKUWA ANATUMIA MASHAITWANI YA MAJINI HUYO.
@malvidcreations4806
@malvidcreations4806 5 жыл бұрын
We acha anatafta hela
@ashamwandu3781
@ashamwandu3781 4 жыл бұрын
Asante
@simonsweka7305
@simonsweka7305 3 жыл бұрын
Ndio maan huea hmuaminiwi na store book mwana malundi unaelezeaje maan yake unazingua
@philomenamakonge227
@philomenamakonge227 3 жыл бұрын
Mungu mkubwa mchawiiiiii
@mosesslukas8888
@mosesslukas8888 3 жыл бұрын
Mwanza nyegezi
@kubwayoshomarytv
@kubwayoshomarytv 3 жыл бұрын
Unatudanganya. Malundi sio radi. Malundi ni miguu milefu.
@erickgeorge1169
@erickgeorge1169 3 жыл бұрын
Kwanza ulie Fanya nae mahojiano hana details za kutosha, interview haijatulia
@labikongwa6204
@labikongwa6204 3 жыл бұрын
Alikuwa akikutazama jicho baya unageuka jiwe
@mabawawisetv566
@mabawawisetv566 3 жыл бұрын
Maana ya jina la mwanamalundi umebugi broo tuulize kwanza wasukuma kabla ya kusema ,,hii ni chanel kubwa namna fuatiliwa nawatu wengi kuweni makini kabla ya kutoa tarifa kwa uma
@gracematoi5915
@gracematoi5915 2 жыл бұрын
Inasemekana kuna kipindi alifungwa akawa anaonekana gerezani na muda huohuo anaonekana mtaani. Napenda kujuwa hilo gereza liliitwaje?
@henockkayeye354
@henockkayeye354 5 жыл бұрын
Kama siyo global tv ninayo ijua mimi
@ramaccr7525
@ramaccr7525 4 жыл бұрын
Henock Kayeye ule jama akutangaza mpagazi
@yamungumelack2250
@yamungumelack2250 5 жыл бұрын
Angekuwa ananisi ediga ningeskiliz lkn ww hamna utam
@premicessondirya275
@premicessondirya275 3 жыл бұрын
Ni mchekejaji
@fariduabdul3703
@fariduabdul3703 3 жыл бұрын
Usirazimishe fani isiyo yako wars ajapendeza muachie anasia ediga we we kauzu
@ellykimu9288
@ellykimu9288 5 жыл бұрын
hovyoooooo
@leilainnocent6532
@leilainnocent6532 5 жыл бұрын
Ninavyofahamu mimi nyayo zake zipo Seke Shinyanga kwani ndiyo maeneo ya kwao
@benpa2230
@benpa2230 3 жыл бұрын
Seke sio shinyanga ni mwanza missungwi ashaacha historia nyingi mno katika mkoa WA mwanza na hata leo kuna ukoo wake
@leilainnocent6532
@leilainnocent6532 3 жыл бұрын
@@benpa2230 sio kweli
@benpa2230
@benpa2230 3 жыл бұрын
@@leilainnocent6532 wew si nakwambia seke ndo original yangu na kuhusu ukoo wake wala so kuambiwa moja ya watoto wake amefarik karne ya2 ishirini 2 na mababu zangu walimuona kwa macho yao na Nature yao ni ya miujiza 2 ivoivo. Mie sikwambii kama m2 wa kusikia bali na experience na ya kuona kabisa juu ya historia ya m2 uyo
@millantz379
@millantz379 3 жыл бұрын
Nakupa hongera mm nimekua nikiona nyayo zake kwetu shinyanga
@aligamwita4610
@aligamwita4610 3 жыл бұрын
Aliga mwita
@JayEmpires
@JayEmpires 3 жыл бұрын
Mengine yote ni kweli ila maana ya mwanamamalundi haikuwa hiyo kabsa
@MightyLumber
@MightyLumber 3 жыл бұрын
Diamond anatoka kwenye ukoo wa kichawi, so ni kawaida kwake kufanya maajabu
@benjaminbatano3293
@benjaminbatano3293 3 жыл бұрын
Ungewauliza wasukuma wakupe maana ya Ng'wanamalundi
@simatvchannel
@simatvchannel 3 жыл бұрын
Maana ya jina mwanamalundi sio rad ni miguu nyembamba milefu so rad wandishi munazingua kutafasiri uongo
@sweyamohamed5315
@sweyamohamed5315 3 жыл бұрын
Malundi maana yake sio Radi Bali inamaana ya miguu milefu
@pendooscar9322
@pendooscar9322 3 жыл бұрын
Du napataka Apo ata picha tu Ila waskuma mhuuu
@husenimareja1907
@husenimareja1907 5 жыл бұрын
Kabla ya kuangalia CLP hii kwanza kuna makosa makubwa sana na ni madhambi makubwa sana kuandika kichwa cha habari anamaajabu kama mtume
@danieljoseph6309
@danieljoseph6309 5 жыл бұрын
Kwani mtume ni nini 😂😂😂😂
@musamageke3667
@musamageke3667 5 жыл бұрын
Mwfrka ln naww
@mariamnyerere868
@mariamnyerere868 2 жыл бұрын
Lekaga kulemba baba utamanile shose shose kalalage ubhunoge bhushile
@enockkatambi4701
@enockkatambi4701 4 жыл бұрын
Umevurunda kabsa mtangazaji
@lazarojr8923
@lazarojr8923 4 жыл бұрын
Muongo wew radi ndio inaitwa malundi ?unachekesha
@robertsylvester7728
@robertsylvester7728 3 жыл бұрын
Dah yaaan unamuuliz mtu wa .mwak 2000 huyu wa nn sasa hajui kitu ungemtafut mzee wa zamani
@lizzybahati9833
@lizzybahati9833 3 жыл бұрын
Mbona sielewi hii story ninavyoijua mm 🤔
@bojanmusic7799
@bojanmusic7799 5 жыл бұрын
Uwe Kama Ananias Edga Ww Ndugu Yangu Unayumba Usomeki
@revocatusnkonoki6884
@revocatusnkonoki6884 5 жыл бұрын
Bado huifahamu historia yake kabisa
@simonmwandu2214
@simonmwandu2214 4 жыл бұрын
Haujuwi historia ya mwanamalund ww
@mabulabudaga4663
@mabulabudaga4663 5 жыл бұрын
Hjyo unyosema nlkweli nakukosoa kidoogo usisememchavwi huyono mtakatfu hao ndo wawakilishi wetu kwmungu wetu yule was kweli kwa sisi waafrika nitafutie mzungu aneyeweza kufanya yote hayo duniani tuwaenzi uktidto nauislam tuwaachie wazu go na but siomila yetu
@daudijuma9093
@daudijuma9093 5 жыл бұрын
Duh,
@benchrystech3521
@benchrystech3521 3 жыл бұрын
Hahaha wanaweza kwenye muvi tu
@ramadhanimsomanga5448
@ramadhanimsomanga5448 4 жыл бұрын
Hujuwi ktu ww,
@mopawgaming7069
@mopawgaming7069 3 жыл бұрын
Tusije tukatoana mauhai haya yaan si unajua tena eeeh 😅😅😅😅
@jilalamaligisa4854
@jilalamaligisa4854 2 жыл бұрын
Yaani kitu serious mtu anasimulia kihunihuni
@hamzadasso5573
@hamzadasso5573 3 жыл бұрын
Sio Lok sil
@williamemmanuel7786
@williamemmanuel7786 4 жыл бұрын
Mtangazaji unadanganya watu ,malundi ni miguuu mireeeefu na siyo kama unavyoambia rais
@manyaramrema6531
@manyaramrema6531 5 жыл бұрын
Wee unaeelezea unaboa
@peteralfonce5848
@peteralfonce5848 3 жыл бұрын
Marundi ni miguu miyembamba sio Radi
@sulephiliptanzania9466
@sulephiliptanzania9466 3 жыл бұрын
Uongo bana malundi sio Radi bana.
@labikongwa6204
@labikongwa6204 3 жыл бұрын
Akisotesha mti mbichi unakauka watu wanasenya kuni hahsh
@kababayeemc6714
@kababayeemc6714 4 жыл бұрын
Ovyoooo kama mchuzi wa jogoo
@temagiladaud9283
@temagiladaud9283 2 жыл бұрын
MTUKUFU
@gordondavid6063
@gordondavid6063 8 күн бұрын
Uyo jamaa hamjampa pesa anaongea kwa mawenge
@simonmboutu8894
@simonmboutu8894 4 жыл бұрын
Uongo
@lazarojr8923
@lazarojr8923 4 жыл бұрын
Mmekutana wote hamjui chochote
@lovenessdiva3370
@lovenessdiva3370 4 жыл бұрын
😅
@reginaldmanga9589
@reginaldmanga9589 4 жыл бұрын
Rudia tena tuone hatutaki story
@peterpaul591
@peterpaul591 3 жыл бұрын
Usidanganye watu mwanamalundi cyo radi
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 5 жыл бұрын
Jamaa alikua na kipaji maalum huyo
@mussamsafiri2814
@mussamsafiri2814 4 жыл бұрын
Hajawai kua chifu hivi nyie mmetokea wapi na hizo historian acheni bac mala mala mnasema milunde Ni radi kwaeri walikudanganya kaulize vizuri ili mje muongee tena
@memesmemes85
@memesmemes85 4 жыл бұрын
Mwafrika akiwa na nguvu kama hizi huitwa mchawi naye mzungu hitwa nabii wa Mungu,shame on you afrikans
@josephdomi9393
@josephdomi9393 4 жыл бұрын
Ety malundi ni radi dah ongo sana hii jamaa
@mohamedimafuluka6414
@mohamedimafuluka6414 3 жыл бұрын
Elezea hata kiluga tutakuelewa2
@angelrichard8211
@angelrichard8211 4 жыл бұрын
Daaah unayumba rfk uliza kwaza ndo useme eti malundi rad khaaaq
@mosesfutila4524
@mosesfutila4524 3 жыл бұрын
Anaferi sana malundi radiii
@nelsonchristopher3852
@nelsonchristopher3852 5 жыл бұрын
Wewe muachie kazi anania edgar kazi yake siyo kila mtu lazima aweze kuhadithia
@emmanuelmaloda186
@emmanuelmaloda186 3 жыл бұрын
Huyu mtu alienda mbinguni.
@josephjohn7872
@josephjohn7872 3 жыл бұрын
Huwezi kupata hstoria ya Mwanamalundi kwa kuongea na vijana kwani huo mtaa hakuna wazee? Wazee ndo wanamjua na wala siyo huyo dogo maneno mengi matupu
@filiposelehe2931
@filiposelehe2931 Жыл бұрын
golobo, vt,tuwasiliane,iliupate.sitoliya.yamwana.malud.siyo.kama.ulivyo.daganya.kamaga
@nteminkuba1624
@nteminkuba1624 4 жыл бұрын
Malundi ni mawingu sio radi
@emmanjacob9722
@emmanjacob9722 3 жыл бұрын
Malundi nimiguu bhana
@jilalamaligisa4854
@jilalamaligisa4854 2 жыл бұрын
Shame on you! Malundi ni miguu
@allymapinda8804
@allymapinda8804 3 жыл бұрын
Sasa hukurudi siku ya pili au wakati hakukuwa na mvua ili uweze kutuletea video kamili? Yani sehemu muhimu ndio iliyo miss 😮🤦🏾‍♂️🙆🏾‍♂️
@francisonyango6899
@francisonyango6899 3 жыл бұрын
Hapo nilifika Ni uongo mtupu ili utalii ukuwe watu tuwe wakweli
@josephgatunzi1670
@josephgatunzi1670 5 жыл бұрын
Dogo Emma umeuza
@piusjosephnjige8171
@piusjosephnjige8171 4 жыл бұрын
Maludi sio.radi maludi ni miguu
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 3 жыл бұрын
We jamaa muongo sana eti mwanamalundi maana ake mtoto wa radi🤣🤣?. Mwanamalundi maana yake ni mtu mwenye miguu mirefu bhana .
@emmanuelabel5612
@emmanuelabel5612 4 жыл бұрын
huyo ni mtume acheni ujinga wafricka
@jayropemantz8821
@jayropemantz8821 5 жыл бұрын
muongo uyo nenda jiwe kuu
@nyamoyotoursandsafaris2525
@nyamoyotoursandsafaris2525 5 жыл бұрын
Liko wapi
@mashrabusaidi3047
@mashrabusaidi3047 3 жыл бұрын
Hujui hata kavu wewe
@jilalamaligisa4854
@jilalamaligisa4854 2 жыл бұрын
Eti MALUNDI maana yake RADI, shame on you!! Fanya utafiti kabla ya kusema, MALUNDI maana yake ni MIGUU (MIUNDI)
@renatuskivike8328
@renatuskivike8328 3 жыл бұрын
Mnaboa na stori zenu nusunusu isue muhimu unatuletea excuse za mvua takataka kabisa
@alexmsukuma1954
@alexmsukuma1954 5 жыл бұрын
Kabisa
@jacobndamayape9462
@jacobndamayape9462 4 жыл бұрын
Mtangazaji kachemka, Neno"MwanaMalundi"ni jina la utani alilopewa na wazaz wake likiwa na maana ya "Mwenye miguu mirefu" si kama kama mtangazaji (sijui ni mtangazaji kweli) alivyoanza kama utangulizi.Haafu hizi story muwe mnamwachia Ananis Edgar,maana hata anakudanganya lkn unafurahia jinsi saut na mpangilio anavyoyapangilia.
@andrewtungu1590
@andrewtungu1590 2 жыл бұрын
Malundi sio radi no miundi sehemu ya miguu kati ya unyayo na magoti
@dawsonrichard3000
@dawsonrichard3000 2 жыл бұрын
Kila chenye mwanzo huwa kin mwisho
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 44 МЛН
Challenge matching picture with Alfredo Larin family! 😁
00:21
BigSchool
Рет қаралды 30 МЛН
Schoolboy Runaway в реальной жизни🤣@onLI_gAmeS
00:31
Joker can't swim!#joker #shorts
00:46
Untitled Joker
Рет қаралды 38 МЛН
HISTORIA YA NG'WANAMALUNDI / MATUKIO YA AJABU NA YA KUTISHA
33:08
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 44 МЛН