Aiseee nimeipenda hii hadidhi hakika niyakweli,nakumbuka shuleni pia kilikua kitambu cha huyu mwamba,pale walipoenda porini kuchukua dawa na akatokea kifaru yule kifaru alikua ni yule bibi alijigeuza kuwapima,na alipozinduka kweli alimuuliza ng'wana malundi wapo wapi wenzio mwisho akamwambia tuchukue haya magome ya mti yaliobanduliwa na kifaru yatatufaa kwa dawa, Hongera sana mhadisiaji hujakosea hata kidogo🎉
@MbashaRobertАй бұрын
@@humphreykiwia9814 Naam, ni kweli kabisa sisi waandaji wa makala hii mimi mmoja wapo, nilisoma na huyu mjukuu wa Mwanamaludi , na Baba yake SITA ambaye ni mmoja wa watoto wa Mwanamalundi mwenyewe tuliishi nae kijiji kimoja, MZEE SITA KISHOSHA (mtoto wa MWANAMALUNDI) alifariki mwaka 1990, na kwenda kuzikwa alipozikwa Baba yake MWANAMALUNDI.
Karibu sana. Shea link ili wengine pia waupate uhondo huu
@Dr-kisasi2 ай бұрын
Hawa ndo kina Yesu wa ukweli
@FabianCharles-cv2pm2 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@BugomoraKishosha3 ай бұрын
Wana fb someni Sana histolia hii ya Babu ukimaliza kusoma fikilia Jambo la kusema kaneno
@MashakaIgobeko-k6k15 күн бұрын
Ukishindwa kumuuamini huyu tafuta unayeona atakupa ukweli zaidi
@AmosiKutimwa4 ай бұрын
Africa superiority
@MagujaHojaАй бұрын
Kweri usukumani ni rahassss
@MWELATVАй бұрын
Nimeielewa stor
@MtengwaJrАй бұрын
Co nyandekwa ni Ngaya
@Gangaboy-y5p6 ай бұрын
Wakwanz jaman
@BarakaJames-s1w7 ай бұрын
Dhaa story zuli kwelii dhaa
@majaliwaadammnaga3223Ай бұрын
Nakumbuka nilisoma kitabu nikiwa shule ya msingi wakati huo kiliitwa mwanamakundi mtu maarufu katika historia ya usukuma kilikuwa na kurasa 11 tu hakika mzee alikuwa mashuhur kwa kutunza vitabu mbalimbali vya kihistoria
@abelmasunga20 күн бұрын
Kitabu cha mwanamalundi
@JohnBenson-k6zАй бұрын
Kwani tanzania ilipata uhuru mwaka gan maana alizaliwa 1890
@yegelamaligisa2095Ай бұрын
Basi ipatikane miladi ipewe majina ya mababu hawa
@emanuelmlicha364Ай бұрын
Historia ya uongo hiyo
@LeonardMasunga-hs3inАй бұрын
Nenda kanda ya ziwa ukapate ukwel na vithibitisho
@Worldsoccer23-t3j2 ай бұрын
Mbona story inakuwa kama za kwenye biblia
@DottoMashinji8 ай бұрын
Historian ya mwana malundi
@bonifacemwakyoma5117 ай бұрын
Historia ya ajabu
@MbashaRobert7 ай бұрын
Hapana si ya ajabu, ni mambo yetu na sisi waafrika tunaweza kutaja yaliyotoke kipindi hicho si kila mambo ya ajabu weupe tu wao tu.
@AyubAntonyАй бұрын
Hapana ukweli oote hapo
@MwanahamisiRasuliАй бұрын
Unabisha usilolijua
@matindematinde5784Ай бұрын
Ongea na watu watakuelekeza na makumbusho yake yapo km unahitaji kuyaona nitakusaidia