Mashaalah, pia nami nimetokea kwenye ukristo, niliaza kupenda kufuatilia mawaidha ya kishki sana, na sasa nimuislam japo Sina muda mrefu, naombeni Dua zenu nizidi kustawi katika uislam
@shamsaazhar3473 Жыл бұрын
Amiiiny Allah aendelee kukutunza na kukupa khekima
@muddymuzungu4357 Жыл бұрын
Maa Shaa Allah Allah atakutunza in Shaa Allah
@mwanaiditwaha-jf6lg10 ай бұрын
mashaAllah Allah akupandishe daraja zaid ktk elimu na manufaa zaid ya uislamu
@SalamaNauthar10 ай бұрын
Mashaallah' ❤❤❤
@maymunahomar50169 ай бұрын
Allahumma Aamin @@mwanaiditwaha-jf6lg
@SalamaNauthar10 ай бұрын
Nakupenda Kwa ajili ya ALLAH'
@SuleiBakari11 ай бұрын
😢kipenzi chetu Allah akuhifadhi namuomba Allah anijalie nikutane na wewe kabla sijafa
@aminaothman21363 жыл бұрын
Mashallah kiukweli mawaidha yako yananzidishia Imani Allah akulinde na akuepushe na kibri
@NyamiziMsabaha11 ай бұрын
Mashaalah allah azidi kukuongoza tunakupenda kwa ajiĺi ya allah
@HashimuKalata-gq4cd Жыл бұрын
Mashaallah Allah akuhifazi shekhe uzidi kutuelimisha zaidi
@abdulsaid45799 ай бұрын
Ma shaa Allah sheikh cv yako kali.unajua utaaluma w ku design meli, Tunakutaka ktk jamii Kupita maelezo😅
@ammiali11133 жыл бұрын
Masha Allah Sheikh wetu Allah akuifadhi Akupe Umri wenye Manufaa
@aminanamoyo834 жыл бұрын
Mashallah nakuonea wivu natamani ningekuwa mimi,twakupenda kwaajli ya Allah ❤🇹🇿🇨🇭
@nasraabdallah8504 жыл бұрын
Amiin
@sharifaabdi95012 жыл бұрын
Mashaallah sheikh Allah azidi kukubariki nasisi Allah atuongoze inshaallah na tukakutane peponi inshaallah
@saadarashid8350 Жыл бұрын
Allahummah aamiin yaa Rabbul aamiin kwa nyotee munalomuombea nasisi Allah atujaze ii.aan na ujuzii!!
@rachelevarist704 жыл бұрын
kweli mwenyezi mungu humuongoza amtakae ktk njia iliyonyooka,,huyo ndo ALLAH
@fatmazullu49334 жыл бұрын
Rachel Evarist nawe ni ndugu yetu katika imani hii ya uislamu?
@aliidrisahmad57973 жыл бұрын
Masha Allah kwa sasa kredet sina kisha utatukulia dharau ukasirike niruhusu tusi tete
@rachelevarist703 жыл бұрын
@@fatmazullu4933 naam
@muddymuzungu4357 Жыл бұрын
@@rachelevarist70Maa Shaa Allah Alhamdulillah
@aishaallahamsamehemakosaya5983 жыл бұрын
Huyu shekh jaman nampenda Sana kwa ajili ya Allah sichoki kumskiliza Allah akulipe kila la kher
@hamidaasiimwe42663 жыл бұрын
Mashalla Allah Mwenyezi Mungu akuwongezee kwa kila kitu
@gressjohn7205 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akupe nguvu uzidi kutufundisha.kutuonya kutuelimisha kwa uwezo wa Alla.na mimi nimesilimu. Kutoka grace mpk BARKISS tangu nafatilia darasa nimekuwa kiimani kwa kias kikubwa.
@hakikamuhammad88875 жыл бұрын
Maa shaa Allah Allah mtukufu azidi kukupa imaan thaabit
@mwanaidyibrahimu88614 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@arkaniramba26164 жыл бұрын
Gres Allah akuzidishie iman ya juu
@fadhilaally97083 жыл бұрын
Mashallah barakaAllahufikhiiy🙏🙏
@mejumwinyi54043 жыл бұрын
MashaAllah
@lungusii4 жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah..Mashaallah..hicho ni kipawa ulichopewa na Allah na muomba ALLAH usiku na mchana afungue kifua changu ni jue Dini yake inshaAllah
@halimanasihu12003 жыл бұрын
Inshallah
@aisharajimbo67843 жыл бұрын
Ammina
@saadarashid8350 Жыл бұрын
Allahummah aamiin yaa Rabbul aamiin,kwasoote!! In sha Allah!! Na vizazii vyetu piano!!
@rahmaAbdallah-nw2vt7 ай бұрын
MaashaAllah, sheikh Allah akujaaliye umri mrefu afya njema na siha, na anjaaliye niweze kupata tiba yako kwa kuwa mimi ni mgonjwa mda mrefu inshaAllah, natoka bungoma Kenya
@husseinshaibu31834 жыл бұрын
Mashallah!, you are genius Ustadh!, mwanangu Abdur-Rahmaan anamwaka 1 akifikisha miaka 4 Insha Allah namleta umpe elimu !
@asmaal-shukairi36184 жыл бұрын
Shekhe natama kuja kwako lakini sina hila niko oman uwezo wa kuja sina yote ulimwambi yule dd kwenye mwili wake mm ninazo nilihisi kama unanambia mm
@rahmambwesso97674 жыл бұрын
Mashaallah, nakupenda kwa ajili ya Allah. Sauti yko uko km Sh. Othman Maalim , nawapendaa na napenda pia mawaidha yenu.
@ZaidHamasiZaid2 ай бұрын
Sheikh Athman Maiko, nimekuwa nae kiwalani na Markaz ya kiwalani ya zamani, ni kijana mwenye kipaji kikubwa cha ajabu katika dini, hata alikuwa fundi mzuri wa umeme wa magari, Nakuombea Allah azidi kukuhifadhi. Ni Ustaadh tena ni mtibabu hongera sana. Mzee Zaid.
@mwanaidimwachitumbo91114 жыл бұрын
MAASHAALLAH,MAASHAALLAH....Allah akupe umri mrefu utufunze yale ambayo hatuya faham tuyafahaam kupitia kwko na vilevile Allah akupe mwsho na kauli tabith na akupe Jannatul al firdous aamiin thuma aamiin yarabby
@MzamiluMhofio2 ай бұрын
Jadhaka llah kheri mungu akuongoze zaid na akupe mwisho mwema shekhe othuman nataman niwe kama ww
@yassirhalimamohammedmohamm59135 жыл бұрын
MashaAllah tabarakallah allahu Akbar Nakupenda kwa ajili ya ALLAH Mungu akukirim shahada inshaallah Uko vizuri MashaAllah
@maymunamakungu62655 жыл бұрын
MaashaAllah! MaashaAllah!MaashaAllah!
@athumanmichael85015 жыл бұрын
Shukran sana sana
@athumanmichael85015 жыл бұрын
@@maymunamakungu6265 shukran
@aliidrisaxmad51694 жыл бұрын
52710094
@adoulndizeye13795 жыл бұрын
MashaAllahu, Allahu akuzidishiye umri uweze kuelimisha wengine InshaAllahu
@mbarakaljabri34504 жыл бұрын
Allah akubarik , akupe kila la kheri . Sh. Makeme Sheha sasa ni Al Marhum. Ni Sahibu yangu sana na ni mpenzi mkubwa mno wa AL QARI Mustaffa ISMAIL Nimefuraha sana kuskia baada ya Allah kuwa yy ndie aliekuathiri hivyo..
@rutahalima14005 жыл бұрын
Barakallahu Wa ma shaa Allah Allah akuzidishie ‘’ilmu na akuhifadhi uendelee kutuelimisha na tiba zako Allah azibariki
@ashamustafa75673 жыл бұрын
Masha Allah mwenyezimungu akupe Maisha marefu utsth Othman kwa umri ulionao mwenyezimungu akujalie uishi maisha marefu usambaze elimu zaidi
@kreamagdfsa16973 жыл бұрын
Amina yaa rabbi
@faizanassor63364 жыл бұрын
Mashallah shukrain shekhe wetu allah azidi kuhifadhi subhanallah inasikitisha sn Allah zidi kukulinda ww na family yk
@hafidhabdifaki75695 жыл бұрын
Jazakallahul khair, Allah Akupe kizazi chema na kije kukurithi zaidii katika elimu ya dini na kazi zako
@saadarashid8350 Жыл бұрын
Allahummah aamiin yaa Rabbul aamiin!!
@swafiamohammed17085 жыл бұрын
MashaAllaxh tabarakaAllaah Allah akupe umriy mrefu uzidi kuelimisha mpk khatima akuruzuku na shahada inda maut Amiyn
@mohamedomaronline74594 жыл бұрын
Amina
@mesalimbindo99394 жыл бұрын
Amin
@rehemahamisi99713 жыл бұрын
Amina
@mrsahmadhajraah1550 Жыл бұрын
Mashalaah ALLAH atujaalie uzima na risk watoto wetu tuwalete kwako kupata elimu
@MadinaAbdallah-zb4mm Жыл бұрын
Mashaallah ALLAH atuzidishie Imani Zaidi katika nyoyo zetu
@asiaissa9765 жыл бұрын
Mashallah mungu amuhifadhi huyo sheikh mwalimu wako
@maimunafzaka8803 жыл бұрын
MashaAllah... shekhe Allah ywakupenda sana...
@piliramadan875 Жыл бұрын
Hongera sana kwa kweli mwenyezi mungu yupo pamoja nawe shekhe athumani
@latifanyari89124 жыл бұрын
Masha'Allah shekh. Kweli shekh Katani hata mimi nimesoma kwake kidogo na yeye pia alikua mkristo. Na mimi pia nilikua mkristo nikavutiwa na adhana ilikua ikitolewa hapo masjid dahwel ilala boma ilikua karibu sana na nyumbani
@halimanasihu12003 жыл бұрын
Mashallah mashallah mashallah
@abdillahhussein30203 жыл бұрын
MashaAllah
@saeedsaeed73815 жыл бұрын
Masha Allah sheikh Authuman kwa kutufafanulia vizuri history yako lnsha Allah mungu akupe umry mwema na mrefu Ameen yarab
@othmanmichael42415 жыл бұрын
Allahumma amyina
@athumanmichael85015 жыл бұрын
Shukran
@sharifaabdullah51934 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akujalie kheri na baraka daima, na pepo iwe makazi yako Insha'Allah. Amiin Allahumma Amiin
@sharifaabdullah51934 жыл бұрын
Masha Allah nime subscribe hata ukawa nazo zote nitafanya hivyo. Mwenyezi Mungu akulinde milele wewe na familia ya umat Muhammad Swalla lahu aley wasalam
@yassirhalimamohammedmohamm59135 жыл бұрын
Wallah hata Mimi nafurahi sana naposikia mawaidha yako napia nimepata faida kubwa alhamdulillah
@athumanmichael85015 жыл бұрын
Shukran
@aliidrisaxmad51694 жыл бұрын
52710094
@hakikamuhammad88875 жыл бұрын
Maa shaa Allah Allah mtukufu atuongoze zaidi kwa sote jamii islaamu Natamani uwe mkwe wangu lkn watt wangu waduchu sana in shaa Allah Allah akupe wtt wema wenye kher duniani na Akhera
@othmanmichael42415 жыл бұрын
Shukran
@didaamohsin65944 жыл бұрын
MASHA ALLAH TABARAKA ALLAH....ALLAH AKUZIDISHIE UMRI..UZIDI KUTUELIMISHA NA SISI...JAZZAKA ALLAH KHEIR
@halmahalish10403 жыл бұрын
MashaAllah MashaAllah...... wallahi sheikh nmekupenda kwa ajili ya Allah.... Allah akuhifadhi pamoja na kizazi chako na tuombe sisi pia in shaa Allah
@afric014 жыл бұрын
Mashallah!!! Tabarakallah!!!! Allah anakupenda lazma utafaulu madam uko karibu na yeye. Allah akupe mengi zaidi. Twakupenda sanaaaaaa kwa ajli yake Allah, na tutazidi kukupenda mashallah! Allah akupe umri wenye afya furaha amani na mafanikio duniani na Akhera.
@goldenqueen39993 жыл бұрын
Mashallah 👌Natamani na mimi ngepata kipaji icho jomoniii Yarraby japo elmu kiasi 2 pia🤲
@piliramadan875 Жыл бұрын
Mwenyezi mungu akujalie shekhe athuman
@AminaNurdin-y4s7 ай бұрын
Maashallah mungu akuhifadhi
@marimmarin27013 жыл бұрын
Mashaallah mwenyezi mungu akuifadhi na akupe umri mrefu
@camillas.edrees61554 жыл бұрын
Ma’asha’Allah Tabaaraka’Allah Sheikh ni Karama Kubwa alikupa Allah ,, Akujaalie iwe Miongoni ya watu wa kheri hapa fii dun’ya wal Aakhera
@bintichausa47443 жыл бұрын
Allahu Akbar ... Allah amuongoza amtakae.... yarabbi mjalie mwanangu awe mtoto mwema mwenye kuijua dini
@izzymonterey5811 Жыл бұрын
Amin Allahumma takabbal
@najmasailan10713 жыл бұрын
Asalam alykum. Màa Shaa Allah. Barakallahu fik. Nifuraha kuskia maisha yko na usivunjike moyo wavute wte ahli zko uwalinganie ktk dini ya haq. Dini ya Islam. Allah akuhifadhi ww nasi na vizazi vytu. Alhamdullilah. Shukran
@rehemaali59802 жыл бұрын
Mashaallah barakallah .Allah akuhifadh shekh .
@ladymuna49453 жыл бұрын
Ma Sha Allah...Allah akufanyie wepesi In sha Allah
@ALIMOHD-bk9lr4 жыл бұрын
Maashallah. Mungu AKUPE UMRI wenye kheir NAWE ILI tunufaike na hekima na busara zako. .
@Lawaridi Жыл бұрын
Manshaallah❤
@rahmamohamed12533 жыл бұрын
Allahu Akbar sheikh very interesting life story and gone through a lot Allahuma Barik Ameen ya rabb
@aminamichael17065 жыл бұрын
Mashaallah shekh othman allah ajaalie darsa zako nawe ziwe sababu ya wengine kusilim
@athumanmichael85015 жыл бұрын
Allahumma amiyn
@wizzmoh4 жыл бұрын
Allahumma Amiin
@wizzmoh4 жыл бұрын
Allahumma Amiin
@rehemaothman22004 жыл бұрын
In sha Allah .....Ameen
@mariamramadhan42962 жыл бұрын
masha llah shekhe watu allah akuzidishie taufiq
@jasminyiddysulaiman98075 жыл бұрын
Maashallah Maashallah tabaraqarahman!Allahu Aqbar..allah akujaalie umri mrefu inshallah..mpaka nmejikuta natoa machozi ya furaha
@athumanmichael85015 жыл бұрын
Shukran
@laylisaid95634 жыл бұрын
Masha-Allah MWENYEZI MUNGU ❤️AKUPE AMANI BAIMA NA FAMILIA KWA UJUMLA
@Almujdy.783 жыл бұрын
Amin
@khdijahalmudhairb21474 жыл бұрын
MashaaAllah Allah a tuongoze navizazi vyetu
@HimnaMohamed7 ай бұрын
Takbiirr.... Allahu Akbar
@AdjiNura Жыл бұрын
Maashallah Allah akupe umri murefu
@aminaashkina53684 жыл бұрын
Tunajifunza mengi kupitia kwako. Alla akulipe mema kwa kazi kubwa unayoifanya. Allah tupe vizazi kama hivi ili nasisi tupate mkbal mwema hapa duniani nakesho akhera.
@abubakarjuma77583 жыл бұрын
MASHA ALLAH MUNGU AKUHIFADHI
@najmamuhsin58764 жыл бұрын
Mashaallah Allah akulinde na mitihani ya dunia ameen
@nassrakhamis76024 жыл бұрын
Mashallah allah atuongoze sisina watoto wetu
@husnatossa24683 жыл бұрын
Mashaallah mwezimungu akujaalie maisha malefu
@zainazaina93013 жыл бұрын
Mashallah Ostadhi Allah akulinde upate kutusaidia hata kwa mawaidha
@mwanaishakiangi26554 жыл бұрын
Masha Allah Allah akuhifadhi zaidi binafsi napenda Sana mawaidha yako Allah akujaalie afya njema kla iitwapo leo ili tuzidi kuelimika insha Allah
@rahmatahmed18714 жыл бұрын
MashaAllah tabarak Allah...Allah akujalie mwisho mwema InshaAllah. Niombee InshaAllah shekh nipate mumewangu mwema kama ww mwenye din.inshaAllah
@mensahanjay35483 жыл бұрын
Mungu azidi kukuhifadh Shekh wangu
@shushu81054 жыл бұрын
Mansh Allah sheih wetu Allah akupe umri muref uziti kutuelimisha
@nurasalimu24032 жыл бұрын
Mashaa Allah duu Allah akuhifadhi
@asedtembo47424 жыл бұрын
Masha Allah mwenyezi Mungu akuzidishie
@sharifaabdullah68254 жыл бұрын
Masha allah ( takbiriii mungu akuzidishie kheri shekhe
@issamoise26904 жыл бұрын
ManshaAllah sheikh wetu Allah akuzishiye kila kheri InshaAllah 🤲🏽
@fuatmh-mashallahsheikhwetu5343 жыл бұрын
Mashallah allah akuifadhi na kukuepushia umri
@aliidrisahmad28123 жыл бұрын
2746:198503
@SaidMgeni8 ай бұрын
MashaAllah TabarakahAllah
@mwanaidyibrahimu88614 жыл бұрын
Maa shaa Allah shekh wngu New subscriber
@hadijandope69913 жыл бұрын
Ma sha Allah. Ma sha Allah. Allah akuhifadhi na akunusuru na hasad.
@zulfaathumanmashanllahmaya60824 жыл бұрын
Mashanlla hata sura yako inah hofu ya Mungu Anllah akuweke Maisha marefu InshanAlla 🙏🙏🙏
@bentybenty23433 жыл бұрын
Masha Allah sheikh, Allah akuhifadhi na akujaalie pepo ya firdaus inshaAllah..
@erickladslaus40753 жыл бұрын
Mashaallah, the same as me
@aishahasan75943 жыл бұрын
Mashallah Allah akuzidishie Shekh
@lugomemtamayaye95083 жыл бұрын
Wewe ni muislam sahihi,Allah akusamehe makosa yako madogomadogo.
@aliidrisahmad57973 жыл бұрын
Subhana Allah hata mitandaoni sitangia natafuta kazi habaharini nilee familia tamaa yamitandao sina tena
@ShamiruKiroboto Жыл бұрын
Kwa kweri
@allymdimu7180 Жыл бұрын
Naam sheikhe nakupenda kwa ajili ya Allah
@naomikatope84582 жыл бұрын
Masha Allah mungu akuzishie
@sawdasamsan48954 жыл бұрын
Mashallah tabbarakallah mungu akubariki sheikh wetu
@specialminds233 жыл бұрын
Kwanini waislam na wakristo Mnachukiana sana jamani nawakati wote niwa Mungu 🙁🙁🙁 haibu sana kwa waafrika 😢😢
@allyabdallahally96372 жыл бұрын
Eti mie pia nashangaa sana hasa hii miaka
@MwaishambaKipanga-bu9sz Жыл бұрын
Allah mubariq shehe mashaallah
@kimzymamy65943 жыл бұрын
mashaallah tabarak Allah yte ni kwa rehema zke🙏
@mwadinihaji77403 жыл бұрын
Masha Allah , kwako na kwa sheikh Makame bin Sheha wa kijiji cha Moga Zanzibar
@latiffamohamed73584 жыл бұрын
Naam nakupata sheikh Othman nimeipenda historiya yako mm nimmojapo nikiwa Taif saudiarabia
MashaAllah Sheikh Uthman, nimekua nikifuatilia mawaidha yako kupitia Masjid Online Tv...Ningependa kufaidi kidini na ushauri wa dini kutoka kwako...Naeza kupata kwa njia gani online?
@khadijasalum23024 жыл бұрын
Maa shaa Allah Allah akubariq akupe afya umri mrefu
@hajjkibonge29614 жыл бұрын
وعليكم السلام ورحمة الله وبركاته حفظك الله ورعاك يا شيخ 🤲.
Nimechelewa hii lkn nimejikuta nimevutiwa na historia yako mpk namuonea wivu mama km mwanamke,,,natamani angalau ningepta mtt angalau mmoja ktk uzao wangu insha Allah aamii nakupenda kwa ajili ya Allah
@aishakinia49574 жыл бұрын
Allah azidi kukuongoza sheikh unahistoria kubwa sana
@amiriibrahim34654 жыл бұрын
Mashaallah shekhe ala akuongoze naazid kukulinda ili tuzidi kupata mawaitha mazuri kutoka kwako
@waldaally41784 жыл бұрын
MashaAllah Allah akuzidishie afya akulipe pepo
@shamsaalsalamy51593 жыл бұрын
Mashallah Allah akulinde daima sheikh
@sweetprincess47715 жыл бұрын
Yaan nimekusikia Mara moja tuu kwa Mar ya kwanz jana mpka nime search video zako
@aliidrisahmad57973 жыл бұрын
Alhamdulillah nakushu sana atakulipa ni allah mm sina cha kukulipa