Yarabi kupitia duwa hii iwe mwanzo na mwisho WA matatizo marazi yote mwanzo WA utosi adi unyayo amiiiiiin 🙏🙏
@SheikaYussuf21 күн бұрын
ASALAAM ALAYKUM WARAHMATULLAH WABARAKATUH. ALHAMDULILLAH. SHEIKH OTHMAN MICHAEL. ALLAH AKULIPE KHERI YA DUNIA NA KESHO AKHERA. JN USIKU NIMESIKILIZA HII RUQIA NIKIWA UDHU. WALLAH NAMSHKURU ALLAH ALHAMDULILLAH. KBLA KISOMO HAKIJAISHA NILIHISI PUMZI IMEKUJA JUU KWA NGUVU ALAFU IKASHUKA KWA NGUVU KM KITU KIMEVUKA KUTOKA JUU KUSHUKA CHINI HALI YA KUTETEMEKA.
@AshaFumbwe2 ай бұрын
Jazzaqallahu khair sheikh kupitia kisomo hiki Allah atuponye sote na kila mwenye tatizo Allah amfungulie.
@OmanOman-vf3liАй бұрын
Amina Nakuombo Mwenyezi Mung Uniondolee Matatiz Kupitya Kisomo Iki
@mahmoudramadhani-h2l13 күн бұрын
Kwa hii dua ya rabii niondoshee mashetwan mwilin mwang nakizazi change amin
@SalmaLiwawa Жыл бұрын
Yah rabi nakuomba kwa dua hii nifungulie njia ya maisha yang mi na familia yang ameen
@Gamil-r9o2 ай бұрын
Mungu hakujaarie mwisho mwema nimeongea langu njano jina maimuna ndini wiislam wako kumi nawamekaa tumbon shuklani sana shee wangu nakupenda kwa hajli ya alla
@Hananfatuma29 күн бұрын
Ya Rabbii kisomo hiki kiwe funguo wa maisha yangu mm n mwanangu Amin
@azizamisembe-zy9bn Жыл бұрын
We mungu kupitia kisomo hiki naomba watoto wangu wapatwe kufunguliwa nyumba ndoa kazi ya me wangu na ofsi yangu ifunguliwe na malazi yote yaonndoke katika nyumba yangu amen
@BintiAlly-c4gАй бұрын
Kupitia kisomo hiki namuomba mwenyezi mungu iwe mwisho wa matatizo yangu yote ishaallah
@FaizaKabibi-tb2djАй бұрын
Yarabi nakuomba uniondole dhiki zilizo niandama kupitia dua hii inshallah😢😢
@AminaKitundu-i1w2 ай бұрын
Yarabi kwa kisomo hiki iwe mwisho wa matatizo yangu,Na wanangu insha Allah 😢😢😢
@saudayahaya639Ай бұрын
Manshallah shekhe allsh a eendelee kukufungulia kila la kheri
@madunguonlinetv Жыл бұрын
Mashallah Ewe Mwenyezimungu naomba uniondolee matatizo yote kwenye mwili wangu kupitia kisomo Hilo na yapotee kabisa inshallah
@MawazoWilliam-g9l4 ай бұрын
Natokea mkoa wa songwe,nimeipenda sana hii haya ya mtumishi wa mungu naipenda huenda matatizo yaliyo nizunguka mungu ndiye mwema.
@SikudhaniAdamuАй бұрын
Ya Allah kama wenzangu walivyoshudia na mimi nifanyiwe wepesi Kila kitu kinachonisumbua kwenye kifua Changu kitoke Inshallah kupitia Dua hii
@SalhaSaidi-g1g10 ай бұрын
Ya rabbi kupitia kisomo iki ya allah tujalie shifaa katika familia yetu aamin🙏🙏
@rizikladyherson84513 ай бұрын
Aamin
@nadhifaernest-jv8xy10 ай бұрын
yarabil nijaarie afiya yangu irudi kama zama nawatoto wangu na mama yangu mdogo wangu nafamiria yangu yote kwaujumra tuna sumburiwa namarazi yasiyo jurikana tunakuomba kwauwoze wako Allah utuondoshee iimitihani yamaradhi Aamiin yarabil aramin lnshaallah 🙏
@jannemtani53052 жыл бұрын
Eee yalaab naomba kisomo hiki kiingie hadi ndan ya mishipa yangu ikatoe kila aina ya uchawi katika mwili wangu 😭😭🙏🙏
@yusrajuma6714 Жыл бұрын
Amiin
@eshawairimo19872 ай бұрын
Yaa Allah naomba Dua hii ikaondoshe kila uchafu ulitupwa kwenye mwili wng pamoja na wanangu na Mama yng pia ikawe mwisho wao kuweza kutudhuru Ameen thumaa Ameen 😢
@sinadeRobinso8 ай бұрын
Allah ni linde Mimi na watoto wangu na make wangu Kwa dua ino insha'Allah itowe uchawi na majini yote ya liyo nyumbani kwangu na uchawi insha'Allah ameni
@AshaAsha-ng1ug3 жыл бұрын
Mashaalah shehe,,,niliposikoliza dalili zilikuja kifua kuvimba,macho yakanitoka,mihemo,nikapoga ukelele mara l Kisha nikajikaza,nashukuru sana shekhe kwa darsa lako tunapata kufaidika baada yakujifunza meng ktk yotibe zako mbalmbl ,alah akujaalie mwisho mwema ktk Dunia hii
@bibitititv933310 ай бұрын
Ewe Mwenyezi Mungu, nakuomba Kwa unyenyekevu mkubwa mbele yako kupitia Dua hii au kisomo hiki naomba niondoshee majini wabaya wote kbsa hasa jini " MAHABA " ambalo limenisumbua Kwa muda mrefu sn sn na amenitesa sana, ridhiki zangu zote zifunguke na niweze kupata hitaji la Moyo wangu, amina
@AminaKitundu-i1w2 ай бұрын
Yarab nakuomba katika dua hii nijalie nipate watoto maana sipati hospital wanasema sina tatizo amiin insha Allah.
@sumayyahally3199 Жыл бұрын
Alhamdulinllah alhamdulinllah namshukulu Sana Allah nimesikiliza kisomo hiki naamin kwa uwezo wa Allah nimepona maana nimeteseka ss ivi naona Kuna nguvu furan imerudi shukuran yaraabi and shukuran shehe wetu jazzakhanllah
@aliidrisahmad57973 жыл бұрын
mashallah mashaallah Shekh Othman Micha kisomokizito watu wengi timepona Masha Allah
@bazilassey12274 жыл бұрын
Alhamdulillah baada ya kusikiliza hicho kisoma asubuhi. Nilikuwa naumwa masikio koo kama linakatwa na nyembe kifua yaani vurugu halikuwa lakawida nasema tena alhamdulillah naendelea vizuri na ninetuma kwa watu kadri allah alivyoniwezesha na wanashukuru.Yaa allah mhifadhi shehe wetu na shari za mashetwani wa kijini na kibinadam
@khadijaangore44084 жыл бұрын
Allah Akbar! ALLAH AKBAR . ALHAMDULILLAH ALLAH ATUPONYE KWA KISOMO HIKI
@abubakarymasoud59194 жыл бұрын
Mashaallah
@abubakarymasoud59194 жыл бұрын
Allah akuripe Kira kher
@IssaseifKhalifa-jt3gx3 ай бұрын
Yarabi kupitia dua hii iwe mwanzo na mwisho katika matatizo yangu ameen
@ashurafundi28732 жыл бұрын
Mashaallah baada ya kusikiliza kisomo hiki mwili wangu mwepesi sana mungu akusimamie wewe na familly yako
@RatifaKishoka3 ай бұрын
Mwezi mungu 🙏 niondolee matatizo mimi na family yangu kupitia kisomo iki na mambo yangu yafunguke Amina 🙏🙏
@jacobponga15402 жыл бұрын
Masha Allah, Hongera sana Ustadh wetu umenitia utulivu ktk nafsii yangu kipitia usomaji wako wa Qur'an, Smart unaweza Jazakallahu kheri
@JohariHamis-c4g3 ай бұрын
Yaah Allah kupitia kisomo hiki nipone maradh yang na Majin waliokuwa wabay ktk mwil wngu amiin inshaallah
@MwanaishaMwanzowa10 ай бұрын
Yarabi mola wangu kijaalie kisoma iki iwetiba yamaradhi aya niliyonayo🤲
@naimajuma35779 ай бұрын
Ya Allah kupitia kisomo hiki naomba uniepushie nuksi za kuto olewa na uniepushie zinaa unijaalie Barakah katika maisha yangu na furaha uniepushie udwahifu wa mwili wangu
@yassinsalim45974 ай бұрын
Amiin
@Rania-q6u4 ай бұрын
Yarabi nakuomba mjawako kupitia kisomo iki iwetiba katika mwili wangu inshallah
@مرحبامرحبا-خ9غ2 жыл бұрын
Mungu akujalie pepo ya firdausi kwasiku Ya leo nimeona majabu sn sikutegemea km nawez kutapika😭Ahmdulillah ya Allah🙏
@ladyr.r9964 Жыл бұрын
Pia mimi nimetapika nakusikia kisunzi nini maana yake nijuze mwezako
@RizikiAliAmeir3 күн бұрын
Ya Allah nijaalie kwa kisomo hiki iwe ndo mwisho wa matatizo yng ya kishetwani mwilini mwangu amiin
@MejumaaJuma-o9f11 ай бұрын
Yarrab kupita dua hii iwe mwanzo n mwisho wa maradhi,machawi yote katika mwili mwangu n iwe dawa n yasinirudie tena inshallah
@salmazaidalabrawi37234 жыл бұрын
Shukran sana shekh nimefanya kama ulivo kuwa ukisema alhamdulillah nimejihisi ila ulipokuwa ukisoma nilijiwa na usingizi mzito sana nilijikaza tuu nikamilishe kisomo baada ya kumaluza kisomo kwenye miguu nasikia vichomi vinachomachoma Jazaakallahu elf kheir 🙌
@aliidrisahmad57973 жыл бұрын
mashallah mashaallah
@aliidrisahmad57973 жыл бұрын
assalmaleyhi warahmatullahi
@bossmatuta14923 жыл бұрын
MaashaaAllah ... Nipo 🇰🇪 kenya na Baada ya kusikiliza kisomo hiki mimi ,ndugu yangu na mamangu na Alhamdulillah sihr ikadhihirika. Jazaakallahu kheyr Sheikh Othman and your team for initiating this ruqya and supplication and also taking your time to guide us through WhatsApp on how we will get the the medicinal oil🙏🏿
@hamiduhamis1573 жыл бұрын
As
@mename60203 жыл бұрын
Ameen Allahuma Ameen
@bossmatuta14923 жыл бұрын
@@hamiduhamis157 ws
@omarsultan71954 жыл бұрын
Kuna baadhi ya mashekh wanfichaficha elmu lkn ww shekh mashallah watu wananufaika Mungu akujaliye mwisho mwema inshallh
@khadijaangore44084 жыл бұрын
Ameen yaraab alamiin.
@zulfawaithera54794 жыл бұрын
Maa shaa Allah . Ila yote ni kua yy pia sheik wake hakumfichia chochote ...yote Tisa Kumi...mafungamano yake na Allah hayana shaka ndio maana yake
@zulfawaithera54794 жыл бұрын
Aaamin Thumma Aaamin
@abubakarymasoud59194 жыл бұрын
Mashaallah
@riyamaramzy39684 жыл бұрын
Amin
@mename60204 жыл бұрын
MashaAllah shehe Hana hiyana baadhi ya masheh wanasoma nusunusu... Allah akujaalie umri mrefu...
@ashminaog10683 жыл бұрын
Amin
@fatumasabiti56123 жыл бұрын
Aamiin 🤲🤲🙏
@nelsonboniphas41523 жыл бұрын
Shekh wangu Allah akupe nuru dunia na akher nimefaidika sana na dua zako nimepona mkono ulio kuwa ukinisumbua kupitia dua zako Allah akuzidishie imani
@mename60203 жыл бұрын
@@nelsonboniphas4152 Ameen Allahuma Ameen
@HakizimanaRiziki-cj3dr10 ай бұрын
Namii yarbii nijaliye nipone mm nawananguu
@ghuuihgggu29683 жыл бұрын
Shuqran Sana Allah akujaalie kher katika maisha yako na akujaalie Afya njema inshaallah dua imenisaidia na mpaka hapa mgongo mbavu zaniuma najickia pia mwili mwepesi Ila nataman kuongea nawe japo wasap kwasababu nipo Oman na vocha ya kupiga kawaida inakuwa nigarama nami garama hiyo cna kutokana na hali yangu Ila inshaallah Allah anisaidie kwa hili inshaallah Naitwa Faudhia hamidu
@fatemaale70663 жыл бұрын
Shekhe naomba unisaidie kwa visomo mana niko nje ya nchi niko saudia natoka kenya nimeskia mlipuko wa moto hapo mgongon ambapo uwa naskia uzito naamin hii dua na ln shaa Allah mungu amekubalia ubarikiwe shekhe othman popote ulipo
@najmagoa47273 жыл бұрын
Mm pia niko saudia nasumbuliwa na mgongo na kifua ninaimani ikikisomo in shaaAllah nitaisi vzur
@ZainabuMwambashi10 ай бұрын
Ya rabby kupitia kisomo hichi iwe mwisho wa matatizo yangu na mtoto wangu inshallah
@تبيعهجوسيف4 жыл бұрын
Hauna hiyana jaman nikirud tanzania lazma nikitafute angalau nikupe shukran zako
@aliidrisahmadhuvavaruu49183 жыл бұрын
marhallah marhallah
@HusseinSaidrajab17 күн бұрын
Amin yarabillaghamin,
@KasimuNgware4 ай бұрын
Amina yataisha kwakua akuna linaloshindakana kwako allah
@swaumupaji36234 жыл бұрын
Maa shaa Allaah TabakaAllaah Shukraan jaziilah Sheikh wetu binafsi nimenufaika na hichi kisomo
@khadijaangore44084 жыл бұрын
Alhamdulillah
@ShakilahassanShakilahassan12 күн бұрын
MashaAllah nimeskiza hiki dua naumwa nakichwa Allah aniondole matatizo yangu
@saumusanjiama6991 Жыл бұрын
Shukran sana jazaka Allahu kheri Nimeumwanaziwa namguu ghafla
@AminaKitundu-i1w2 ай бұрын
Alhamdulillah niliomba mwanangu apate kazi kabla dua haijaisha nimepigiwa cm kazi imepatikana mwenge na kitunda,Lakini bado kunauzito maana kote wanataka dereva 😢😢😢 Yarabi nakuomba itokee nyingine amini Insha Allah.
@munaabdullahi67964 жыл бұрын
mash allah shukran mungu akuingishe janatul firdows
@mwanaidibushuti99292 жыл бұрын
Mashall mashall jazaka yako iko kwa Allah shekhe wangu naimani huu ndio mwanzo wangu mwema
@damslandscapeworksadams6793Күн бұрын
Aminn allah aku ifadhi amini amin
@nooor11204 жыл бұрын
Shukran jazakallahu kheir sheikh Allah akupe unayoyataka yenye kheri nawewe Hatuna cha kukulipa Allah atakulipa
@aliidrisahmad57973 жыл бұрын
rabbi Alhamdulillah
@mariamselemani1366 Жыл бұрын
N shukran sheh wetu Allâh akulipe Kila laher
@mwanaidsaid75122 жыл бұрын
Yarabi kwa kisomo iki kiwe mwisho wa matatizo yangu. Na mwanangu inshallah 😭😭😭
@asiaiddi25392 жыл бұрын
Amiiin amiiin
@yusrajuma67142 жыл бұрын
Amiin
@ashatsheh6614 Жыл бұрын
Yaarabi kwa kisomo hiki naomba unitolee matatizo Mimi na kizazi changu yaliyo miilini mwetu na utukinge na hasad za binadamu wenye husda choyo vijicho tukinge na majini eee molla wangu
@UmmuMaryam-ym1um Жыл бұрын
Inshallah Amin
@muanassarachide1842 Жыл бұрын
Chehe nataca cuonguela na simo tafadal
@ZukraTwahili-e5r27 күн бұрын
Ndani ya kisomo iki mungu aniponye na mashetani walio nizonga kwa uwezo wa mungu
@alishee65713 жыл бұрын
mashallah mashallah mungu akulinde kwa kila jambo lako sheķ Athuman
@patriciarudolph9089 Жыл бұрын
Ewe mwenyezi Mungu kupitia somo hii niondole yote mabaya amboyo muovi ametuma kwa na wanganu! Niepushe na waouvu wote wa duniani Ameen!
@ashanibigira58982 жыл бұрын
Mashaal Allah akulipe kila laheri APA duniyani n'a kesho ahera akuo gezeye elimu update kumi imilisha Uma
@ummilkheirmohammed4 жыл бұрын
Mungu akulinde na macho ya uhasidi shekhe wetu hakika nawaidhika kupitia wewe alhamdulillah.naomba InshaAllah hii mada ya باب في كراهة النعمة usitukoseshe
@saidsalum79963 жыл бұрын
Nataka filashi ya duwa nitaipata wapi
@ntahondereyeissa6613 жыл бұрын
Duwa nzuri sana allah akulipe kheri
@KhadijaFadhili-z9k Жыл бұрын
Sheikh othman michael allah namuomba akupe umuli mulefu wenye afiya njema na akupe moyo wakuvumilia mambo ya dunia tiba yako imenisaidia sana kwa idhini ya allah na dalasa lako limeniogezea imani dawa unazo tengeneza dawa ya mafuta ile yakupaka nidawa tosha sitaki kusemangi allah ndomujuzi
@MwanjabuHassanHaji6 ай бұрын
Yarabi nakuomba kupitia duwa hii uniondoshee husda za watu na majini na unifunguwe kwa yote nilofungwa ameen
@asharonga6660 Жыл бұрын
Panga zote na uchawi wote dhiti ya familia yangu uwe mwisho InshaAllah
@JohariHamis-c4g3 ай бұрын
Kupitia kisomo hchi ya Allah naomb nifunguliwe mim na mume wngu tufunguliwe amiin inshaallah
@KasimuNgware4 ай бұрын
❤mwenyezi mungu nakuomba uniponye maradhi yangu mazito kupitia dua za mashee wako
@ZuuhRaniya11 ай бұрын
Ewe mwenyezi mungu kupitia duwa hii nifunguliwe Kila kilicho fungwa katika mwili wangu nakama Kuna kibaya chochote katika mwili wangu basi kitoke kiludi kilipo toka uchawi uliopo katika mwili wangu utoke kwauwezo wako mungu wangu
@SaidFupi6 ай бұрын
Amin Allah afanye wepes
@aishatarimo67803 жыл бұрын
Jaman nilikuwa naumwa na tumbo nimesikiliza hii dua tumbo limeacha haliniumi...Allah akujaalie kila lenye kher shekh
@ZuuhRaniya11 ай бұрын
Yah rabby kisomo iki kiwe mwisho wa matatizo yangu yote yanao usumbua mwili wangu eeh mungu nakuomba nijaalie mja wako
@AminaKitundu-i1w2 ай бұрын
Yarab nakuomba mwanangu Faraja apate kazi kupitia dua hii amiin Insha Allah
@khadijaangore44084 жыл бұрын
Masha Allah, Alhamdulillah nashukuru kwa Allah na kisomo kizuri , insha Allah Allah akulinde sheikh wetu na kila shari wewe na familia yako.
@zaitunibakari67243 жыл бұрын
Me
@rehemaswaleh1473 жыл бұрын
@@zaitunibakari6724 mashallah kisomo dawa
@shabanihakorinoti19202 жыл бұрын
Cheikh mungu akup kher hap duniani n'a akhera tena akuepush n'a kila shar yeyote kwa watu wako .tena neno lamwisho lako iwe shahadatu inshaallah
@Africa-l6l8 ай бұрын
Allah naomba kisomo hiki kiwe chakuniondolea maradhi niliyo nayo kichwa Hadi mwili wangu ameen
@mariamramadhan42962 жыл бұрын
shukran sana allah akuzidishie taufiq
@ElizabethMalisa-g7f Жыл бұрын
wallah Allah atuondolee haya majini ktk mwili wangu
@HawaMatimbwa-g3nСағат бұрын
Yarabi kisomo hiki nisaidie mim na mwanangu yawe ndo mwsho tunusuru mungu wangu
@Fatumafatuma-uh2vc Жыл бұрын
mungu akupe umri mrefu sherkh athuman
@KailaKaila-c8j6 ай бұрын
Kupitia kisomo hiki mwenyezi mungu nifungulie riziki zangu
@OmAn-cz8kt6 ай бұрын
Allah akupe umri mrefu na wenye mafanikio hehe wetu inshallah
@NanaBini-b4h7 ай бұрын
Yarab jalia kisomo hiki kiwe mwisho wa matatizo yangu Na family Inshallah amin
@amenaallahawazidishieumrin62353 жыл бұрын
Shukran jazaka ALLAH khery Mola akulipe mema dunian na akhera na pepo ya fridous iwe makaazi yako
@allahakujazekheriwowww56943 жыл бұрын
Amiin
@AliMahmoud-we3jh3 ай бұрын
Allah atujaliye sote Jamie islamiya insha'Allah.allah atuondoshee sote Jamie islamiya insha'Allah.matatizo yote tuwe kwenye furaha.amin
@fauziamteti73892 жыл бұрын
Inshallah kisomo iki kiwe ufunguo wangu na kuepukana namashetani mungu hakuzidishie Dua za heri
@UstadOmar-rl3ze Жыл бұрын
Sheikh wangu mung akubariki inshaallah
@HalimaKabeke-l4m Жыл бұрын
Ya Allah nakuomba kwa kisomo hiki unifungue vifungo vyote mm n familia yangu uniondoshee jini,mashetwan n kila ubaya kwa uwezo wako
@nooornoor1209 ай бұрын
Ee yarabby kupitia dua hii nikafunguliwe afya ukanitimizie malengo yangu ya allah baba yetu mlezi mahali nilipo fungwa leo naamin kupitia kisomo hiki nimefunguka amiin ya rabby
@bakariwere3002 жыл бұрын
Jazzaka llahu khairan Yaa Sheikh
@HaroubSaid-sf3qw7 ай бұрын
Mashaallah shukran Allah akulipe insha Allah
@zainabshomary7822 жыл бұрын
Aminaa inshaall mwenyezi mungu akuzidishie imani
@chuumubaby78452 жыл бұрын
Mashallah shukurani
@ZuuhRaniya11 ай бұрын
Amin inshallah Allah atatufanyiawepesi wote tunao muomba
@Xjdj-y2lАй бұрын
Yarabbi hii Dua ntakayo isikiliza naomba matatizo yango pamoja na mwanangu yatuishie kuanzia sasa lnshaallah
@zafafuswalehe29744 жыл бұрын
Mashallah shukran Allah akulipe inshallah
@SaidiKaita2 ай бұрын
Yarabb niondoshee kupitia dua. Hii😭😭🤲
@loozyshtarte55015 ай бұрын
Mungu anijalie wepesi majini yatoke mwili
@Ziada-p3h10 ай бұрын
Ya rabbi kupitia kisomo iki mungu nifungue kila changamoto niliokuwa nayo
@saeedsaeed73814 жыл бұрын
Masha Allah Sheikh great lecture BarakAllah feek
@ntahondereyeissa6613 жыл бұрын
Masha allah
@ntahondereyeissa6613 жыл бұрын
Shehe tunaomba namba ya cm
@mhando47642 жыл бұрын
Sefu
@aminahmusa37232 жыл бұрын
Shukrani Mungu akupe maisha marefu inshallah
@Kenyayetu24 Жыл бұрын
Naomba nitafute kwa email zangu
@sharifaabdullah68253 жыл бұрын
Alhamdulilah mungu akuhifadhi shekh Athuman
@ArafaAbdulrahaman2 ай бұрын
Allah kupitia Dua hii naisikiliza iwe chanzo cha Afya yangu kuimarika kutokakana na maradhi yanayinisbu
@khadijamanjenje50654 жыл бұрын
Allah azidi kukujalieni maisha marefu yenye kheri Inshaalah.