9 December 2018, Clouds Media Group yafika Nyumba ya kumbukizi ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, iliyoko magomeni mtaa wa Makumbusho jijini DSM......Tazama zaidi
Пікірлер: 17
@thomasichivina4003 Жыл бұрын
marafiki zake awana majina mbon amuwataji na mbona mumeanza mwisho wa kudai uhuru muanze mwanzo wa kudai uhuru
@edwinnichoaus23785 жыл бұрын
Nimeikubali sanaaa
@mahesenitunduma24385 жыл бұрын
Nimeipenda
@intellectualeducationcentr44842 жыл бұрын
Mmechkua kipande cha mwisho cha harakat za kutafuta uhuru. Elezeeni kuanzia mwanzo wap harakati zimeanzia maana harakat hizo zilikuwa hata kabla ya nyerere kuwa mwl
@arbaab93374 жыл бұрын
NYERERE NA WENZAKE HAWAKUPIGANIA TANZANIA KUWA HURU BALI WALIPIGANIA TANGANYIKA KUWA HURU MUSITUDANGANYE BHANA.
@thomasichivina4003 Жыл бұрын
nakuunga mkono
@kanakongwa83392 жыл бұрын
.kiswahi
@zakayompemba81183 жыл бұрын
R i p Nyerere
@ambaryahaya44685 жыл бұрын
mbona nyerere tu wengine wakuwapi Uhuru alidai pekeyaketu