Hamas ni Gelesha,Haya ndio yanayomfanya Israel Afanye Mauaji ya Halaiki - Prof Hamza Njozi

  Рет қаралды 59,307

Kalamutz

Kalamutz

7 ай бұрын

Siri nzito nyuma ya vita na uchafu mwingi unao endelea Duniani,Ifahamu Marekani zaidi ya uijuavyo,

Пікірлер: 298
@dominicksurusi4628
@dominicksurusi4628 7 ай бұрын
Tunataka watu wanaokuja na facts kama huyu profesa. Sio kuja kulialia bila uhakika❤
@nadirmahfoudh1812
@nadirmahfoudh1812 7 ай бұрын
Prof, umeelezea vizuri sana na kwa ufasaha.
@husseinmbaya4855
@husseinmbaya4855 Ай бұрын
Mungu akulinde akupe afya
@harounalubbaid8585
@harounalubbaid8585 7 ай бұрын
PROFESSOR HAMZA NJOZI ALLAH SUBHANA WATAALA AKUBARIKI.
@msamgunda7684
@msamgunda7684 6 ай бұрын
Aminarabil aalamina.
@saidiyusufumuhode3159
@saidiyusufumuhode3159 7 ай бұрын
Wao wanapanga Allah nae anapanga
@joshuasamson3023
@joshuasamson3023 7 ай бұрын
Nmepata kitu tofautisan sheeh asante sana izisiri wanafichasana
@FridayMwassa
@FridayMwassa 21 күн бұрын
Nani anaficha,mwambie shehe aeleze uislam ulivyo sambaa duniani
@joshuasamson3023
@joshuasamson3023 7 ай бұрын
Mungu akuzishie my aka mingisana mzee wetu
@sonnyr1899
@sonnyr1899 7 ай бұрын
Huyu Mze Allah amzidishiye umri mrefu.
@theloyaltz1659
@theloyaltz1659 7 ай бұрын
MashaAllah! Allah amzidishie ilm na ufaham
@maryamm3738
@maryamm3738 7 ай бұрын
Shekhe uko vizur kisiasa❤
@abubakarmohammed2613
@abubakarmohammed2613 2 ай бұрын
Kabsaa Allah amhifadhi
@raymondjohn3798
@raymondjohn3798 7 ай бұрын
Well said Mzee,Asante Sana, nikweli kabisa Ile sio nchi ya ahadi nimaneno tu,Wale niwaongo sana,nampaka hivi walikua kila wakati wanapanua mpaka wa nchi kwenda pembeni Zaidi kuelekea Kwa wapalestina!!!!,
@godfreyobadiah7892
@godfreyobadiah7892 6 ай бұрын
Km vitabu mashuhuri Biblia na Quraan tunavyoviamini duniani vina history moja ya kabila hili la uzao wa Ibrahim basi changamoto ni dini tofauti ya kuabudu.
@ellymaz2187
@ellymaz2187 6 ай бұрын
Isingekuwa nchi ya ahadi wasingeitaka ile, jangwa tupu lile wangekuja Africa wajichukulie kiulaini tu. Halafu jiulize asili ya Wayahudi ni wapi sasa? Halafu Musa alivyowatoa Misri aliwapeleka wapi?
@sharomdguda
@sharomdguda 6 ай бұрын
Soma qurani yako 17 : 104 tuone km Quran nayo ni uwongo😅
@willykomba7048
@willykomba7048 7 ай бұрын
This analysis is excellent; well researched, argued and presented. This is superior to the old introductory course PS 202 at UD!
@josepheriah5977
@josepheriah5977 6 ай бұрын
Us strong
@josepheriah5977
@josepheriah5977 6 ай бұрын
Marekan babalao
@maqwaybaran9905
@maqwaybaran9905 6 ай бұрын
14:12
@KassimSalumu-fk6yk
@KassimSalumu-fk6yk 6 ай бұрын
​@@josepheriah5977Acha ulofa ingia You tube andika lisu awatolea uvivu Israel na marekani ina 1:40 Kisha utanipa mrejesho nakufungua akili. Maana lisu no mwanasheria pia kasoma mataifa ya magharibi kwa maana Masters kachukua Uingereza Ila sikia majibu yake Kisha tafakari kwa mwenye akili ondoa umbumbumbu.
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 6 ай бұрын
Hii ndio tofauti kati ya mkiristo wa Africa na waulaya ,ulaya wanajua KWAMBA mayahudi ndio watesi wa yesu na afrika wanajua mayahudi ni watakatifu,Mimi namshukuru allah Kwa kuniongoza kupitia mafunzo sahihi ya dini ya kiislamu yenye kumtambua yesu kama nabii MUHIMU sana KATIKA maisha yangu
@makambatimbertraderscompan311
@makambatimbertraderscompan311 2 ай бұрын
Nawaona Vijana wa Kigalatia wanavyopiga Kelele humu kama mbwa niwaambie tu kuwa Nyie hamna Udugu wowote na Waisrael wala wale mayahud hawawatambui Nyie Kabisa.Wao Mtume wao ni Musa na kitabu chao ni Taurati.
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 7 ай бұрын
Napenda sana hizi documentaries.Kuna mengi naanza kuyafahamu.
@FridayMwassa
@FridayMwassa 7 ай бұрын
Unapenda kwasababu wanaongelea unachokitaka ila wakisema kinyume na ukipendacho utakuja na matusi hapa
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 7 ай бұрын
Mbona kama wewe ndo unataka waongelee unachokitaka??? Halafu hata kama wataongelea vitu sitaafikiana navyo sitafikia hatua ya kutukana,sikulelewa hivyo. Pinga hoja kwa hoja,usipinge hoja kwa matusi.Itatuonyesha akili yako ni fupi kiasi gani.Asante.
@jumahozza-dg6ec
@jumahozza-dg6ec 7 ай бұрын
Kalamu mashaallah mnajitahd san Allah awe nanyi
@kalamuMedia
@kalamuMedia 7 ай бұрын
Ahsante,aamin
@user-bs2ix5wf2k
@user-bs2ix5wf2k 6 ай бұрын
Vizuri SANA prof itafsiriwe kwa kingereza 25:31
@user-bs2ix5wf2k
@user-bs2ix5wf2k 6 ай бұрын
Nzuri SANA prof udadavuaji mzuri
@user-dk8lm3tf1j
@user-dk8lm3tf1j 7 ай бұрын
Mashaallah Elmu Bahar hapa! ❤❤
@agreykombe5396
@agreykombe5396 7 ай бұрын
Huyu mzee anatakiwa alindwe na awekwe kwenyekitengo cha intelenjisia ya tanzania katika kutoa maamuzi ya kimataifa
@alijuma8009
@alijuma8009 7 ай бұрын
Mashalah
@yassinhamza1969
@yassinhamza1969 7 ай бұрын
Point sana
@mussaomary6626
@mussaomary6626 7 ай бұрын
Jembe huyo my tutor
@ramygichero1016
@ramygichero1016 7 ай бұрын
Very Professionally
@jamalissa3877
@jamalissa3877 7 ай бұрын
asante
@issakhamis9581
@issakhamis9581 7 ай бұрын
Asant sana kwakutupa elimu
@Kulindwa
@Kulindwa 7 ай бұрын
Uyahudi ni dini ya waumini walioteseka sana duniani, hivyo isichanganywe na uisrael ambayo ni jamii ya wana wa nabii yacub
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 7 ай бұрын
Kichwa imetulia mzee
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 7 ай бұрын
Ni kweli hamna vita pale gaza ni mauaji tu ya raia
@Brother4others
@Brother4others 7 ай бұрын
Zanzibar wapo sehemu Gani
@victaboy7273
@victaboy7273 7 ай бұрын
Mzee anajua
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 7 ай бұрын
Alafu tunakalia maandiko watu wanafanya yao waafrika pumbavu sana
@yusuphrashidi-dr1kb
@yusuphrashidi-dr1kb 7 ай бұрын
Sheikh alisahau iraqi itagawanywa mara 3 qurdish,sunni,shia mashaallah yupo vzr
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 6 ай бұрын
Ndiyo maana wanasema,elimu haina mwisho
@akimzeli5030
@akimzeli5030 7 ай бұрын
Sub'hanallah!
@marthakimia4075
@marthakimia4075 5 ай бұрын
Ameanza kueleza kuwa wayahudi walitapaa dunia nzima kutoka wapi? Nchi yao hasa ilikuwa wapi?
@ShemsaKiobya
@ShemsaKiobya 27 күн бұрын
Ukitaka kumuamisha mtu mtafutie sehemu, ngorongoro wametafutiwa sehemu
@godfreydavid6847
@godfreydavid6847 7 ай бұрын
Walumuua Yesu wakiwa katika nchi gani?
@user-lb1nb2ls9g
@user-lb1nb2ls9g 6 ай бұрын
Mngemwamini Mungu msingehangaika, imeandikwa ktk biblia neno la Mungu, kuwa waislaeli wataondoka israeli, baadaya miaka mingi wangerudi tena israeli, ndicho kilichotokea, mnacho jadili ni namna njia iliyotumika kutekelezwa agizo la Mungu, mfano Mungu alisema, hakika mtakufa, hili lazima litokee kwanjia yoyote, iwe maradhi, ajali, njaa, vyovyote, niutekelezwaji wa matakwa ya Mungu.
@libaal1071
@libaal1071 7 ай бұрын
Mashallah hao nchi 3 ni Kurdish
@allykisuda1458
@allykisuda1458 7 ай бұрын
Why so
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 7 ай бұрын
Marekani hawatafaulu abadani. Watashindwa mapema mno. Rusia na china wasitupane na korea kaskazini
@godfreydavid6847
@godfreydavid6847 7 ай бұрын
Duh
@rwekazamugasha6448
@rwekazamugasha6448 6 ай бұрын
Low intensity conflict ni kutoĵumusha utu wa binadamu umepungua. Vita ni biashara ya siraha ya wa amerikani. Hawana dini
@adammaro7836
@adammaro7836 6 ай бұрын
Shida ni kwamba kila mmoja anapotosha kwa maslahi ya dini yake, lakini rejea historia hasa pale General Titus baada ya kuzima maasi ya wayahudi na wengine kukimbilia nchi za mbali, Warumi waliofanya mambo makubwa mawili la kwanza kubomoa hekalu la Yerusalem ambalo ilikuwa ni ishara ya uwepo kwa taifa la Israel ambalo ilikuwa katika eneo ambalo Warumi waliwahi kuliita JUDEA, jambo la pili kubadilisha eneo kuwa PALESTINE, ili kupoteza ule utambulisho, lakini Umar Ibn Khatab akapigilia msumari wa Mwisho baada ya kuitwaa Yerusalem. Hapa Mimi naona kwa kuwa waisrael amerejea baada ya muda mrefu, wajitahidi kuweka mpango wa kukaa pamoja au Palestina iwe na mamlaka yake na Israel iwe na mamlaka yake.
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 6 ай бұрын
Swali ninalojiuliza kwani Israel asili ya taifa lao ni wapii maana tunaambiwa walitapakaa duniani
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 6 ай бұрын
👊✌👍.
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 6 ай бұрын
Vita ni biashara nzuri saana kwa baadhi😢
@saidseleman2973
@saidseleman2973 6 ай бұрын
Solomon Ni mparestina kasome
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 7 ай бұрын
Yahudi ni gaidi hakuna gaidi duniani wa kabila ingine
@johnnyoni7571
@johnnyoni7571 6 ай бұрын
Asa nte sana kwa historian kubwa,maana tunadanganywa tuu na madhehebu
@halfanijuma7646
@halfanijuma7646 6 ай бұрын
At least i get the lights
@abubakarmohammed2613
@abubakarmohammed2613 2 ай бұрын
Imagine masheikhe wetu wa "social media" wangekuwa na ufahamu huu wa kisiasa kwa kiasi waislamu wengi hawangehadaika na democracy na uovu wake!
@kalamuMedia
@kalamuMedia 2 ай бұрын
Sana
@ellymaz2187
@ellymaz2187 6 ай бұрын
Prof naomba kujua asili ya Wayahudi ni wapi kabla hawajasambaa kwenye mataifa mengine??
@FridayMwassa
@FridayMwassa 21 күн бұрын
Ebu twambie wayahudi kama David, Suleiman na Yesu kwao ilikuwa wapi na wapalestina waliingiaje pale
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 7 ай бұрын
Nakışa hongera ya kujielimisha kwa hili.
@w4058
@w4058 7 ай бұрын
Hawa mayahudi ni babaric monstrous killer
@methodrweyendera6814
@methodrweyendera6814 6 ай бұрын
Na wale wa ua kila asiyeamini Je
@ummahmed3354
@ummahmed3354 6 ай бұрын
Daula ya kiislam sio hujuma ya wamarekani...Bali ni waislamu wa ukweli wanaopigania kuurudusha doll ya kiislam kama alivyotabiri Rasuurullah
@seifabdul7153
@seifabdul7153 6 ай бұрын
Waingereza ndiyo waliowaingiza hapo Israel kama wakimbizi na vitambulisho vyao mayahud viliandikwa ni wakimbizi picha tunazo
@alikamberis
@alikamberis 6 ай бұрын
Mzee lakini salomon alikuwa king wa israel ao wa wa palestina??
@josephmasanja8584
@josephmasanja8584 6 ай бұрын
Kwann waislam wengi wana maneno mengi saana juu juu ya Israeli, Palestine, Marekani, na kujitia kujuajua sana juu ya migogoro ya kidunia wakati daima hawana mipango ya kujielimisha juu ya elimu na maisha ya duniani??
@franklyn7439
@franklyn7439 7 ай бұрын
Aiseee haya madini ni hatari
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 7 ай бұрын
Waje waigawe na tz wizi mwingi
@djalasaleh
@djalasaleh 5 ай бұрын
SHIHA, SUNNI, NA kurdish
@hajikhamis6608
@hajikhamis6608 7 ай бұрын
Hio hoteli ya wayahudi Zanzibar inaitwaje?
@simonnembomadola7512
@simonnembomadola7512 7 ай бұрын
Acha chuki dini tumeletewa tu. Toka uislam uanzishwe kumekuwa na Aya nyingi za kuwalaani wayahudi na kutoa maagizo ya kuwaua na kuwaita majina mabaya. Kipindi Cha mtume wayahudi walipata Kila aina ya madhara na wengine kuchinjwa kwa madai ya kutaka kumuua mtume.Tuwaachie mapambano yao
@godfreyhiza1075
@godfreyhiza1075 6 ай бұрын
Naomba mnisaidie HAMAS wamemua Mtanzania Mweusi kwa makusudi .....hivi naye kosa lake nini?
@sharomdguda
@sharomdguda 6 ай бұрын
Hawezi kukujibu hata ukimuuliza Hamas na Israel nani kaanzisha vita
@ShemsaKiobya
@ShemsaKiobya 27 күн бұрын
Heri wawatafutie sehemu kuliko kuwauwa watu
@godfreyobadiah7892
@godfreyobadiah7892 7 ай бұрын
Km America anaweza kuwagawa na mkagawanyika ni vizuri sana !
@w4058
@w4058 7 ай бұрын
Watu kama wewe mnatakiwa muombewe dua sana sana ya kutanabahishwa mnaifurahia maovu yakiwafika wenzene what goes around comes around iko siku yatawafika mlio vilio vya mbwa midomo juu chunga sana upuuzi wenu wa kikatili huo kumbumuka adhabu ya muuwaji na mshangiriaji ni sawa sawa
@w4058
@w4058 7 ай бұрын
Nyie wenyewe mmegawanywa huko Africa kwenu mnauwana wenyewe kwa wenyewe mkiporwa madini yenu pumbavu kubwa wewe
@hassankilengah4786
@hassankilengah4786 7 ай бұрын
Usisahau na sisi tumegawanya bado kupoteana njia tu.
@sammarley1413
@sammarley1413 7 ай бұрын
Ulivo mjinga unaona naww ume coment😊. Ok kawagawa wamegawanyika ebu tuambie Nani anawagawa wa africa wenzetu Congo nakuwauwa kwa umati? Unayajua mauwaji ya kimbari dhidi yakabila la himba Namibia ? Rwanda? Ethiophia? Unakijua kinacokaribia kutokea cameroune? VP South Sudan baada yawajinga kama ww kusherehekea Uhuru wa south soudan nini kinacoendelea? Aceni upumbavu sio lazima muwe watumwa wawazungu mungu anamkubali yeyote yule muhim roho safi
@godfreyobadiah7892
@godfreyobadiah7892 6 ай бұрын
@@w4058 kwa hiyo amerika ana kosa gani km sio wenye makosa waarabu na waafrika !
@user-sd5hj2im4q
@user-sd5hj2im4q 7 ай бұрын
Dah kumbe bongo vichwa vipo
@clarencehilary5588
@clarencehilary5588 7 ай бұрын
Acha kuchanganya uchokozi wa hamas na udini
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze 6 ай бұрын
Wazanzibar watabakiaunafik munaunga mkono izraili raisi wenu hata pole hakuwapa palesteina Kazi siyasa znz
@noelnjementi8511
@noelnjementi8511 7 ай бұрын
Warikubari kwakuwa nikwao mliwafukuza nyunyi
@broumaiyyah8018
@broumaiyyah8018 7 ай бұрын
Nan aliwafukuza?
@dannyngaiza7065
@dannyngaiza7065 5 ай бұрын
Kwani Hamas walivyoingia Israel walifanya sherehe au?
@victoreleonardmdee9158
@victoreleonardmdee9158 6 ай бұрын
Hivi Israel Kwao ni wapi
@mfirimassawe9023
@mfirimassawe9023 6 ай бұрын
Wamelaaniwa hao mayahud mazayun
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 5 ай бұрын
Takwimu za artificial hizi kwamb marekani yuk juu kiuchumu lakini in reality China ndio namb moja kiuchumu saiv ila nchi na vyombo vy habar za magharibi hazitoi takwimu za kweli
@DarleneNsengiyumva
@DarleneNsengiyumva 7 ай бұрын
Skukran mze wetu kwa ufafanuzi wako.hao raia wanao patikana katika nchi nne ambazo ni uturuki, irani, irake na siriya.niwa kurde.
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 6 ай бұрын
Duuuu weeee unamfundisha professor ???
@paschalmartin9598
@paschalmartin9598 6 ай бұрын
Tatizo mnageuza ni vita vya kidini kumbe ni ardhi
@rasammudmar5455
@rasammudmar5455 6 ай бұрын
Prof hata mm naungana na wewe
@LastdayJesu4153
@LastdayJesu4153 6 ай бұрын
Wangepima DNA wangeshanga kwa ujinga wanaoendelea nao😊
@athumanmapunda
@athumanmapunda 6 ай бұрын
Okay
@fabianmainchanyangachika5017
@fabianmainchanyangachika5017 6 ай бұрын
Wayahudi Sio wazungu kama mnavyo tuaminiaha, Hao Ni wayahudi Wa mchango
@tozzowilliams308
@tozzowilliams308 6 ай бұрын
Unaongea vizuri professor ila nadhani kuna mambo unayakosa kuhusu mashariki ya kati na geo politics.....
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 6 ай бұрын
Hakuna popote ilipoandikwa kama kuna nchi inayoitwa Izraeil au itakuja kuwa Izraeil! Izraeil ni jina la Nabii Yakoob nae ndie aliyezaa watoto kumi na wawili kupitia wake zake wawili (2) mmoja alimzaalia watoto kumi (10) na mwengine watoto wawili(2) Hawa ndio Wana wa Izraeil!na ndiyo waliozaa MAKABILA kumi na Mawili kutoka Kwa hao watoto kumi na wawili Kati ya hao wawili ni Nabii Yusouf na mdogo wake Bin Amin au (Benjamin)
@victoreleonardmdee9158
@victoreleonardmdee9158 6 ай бұрын
Je Israel kwao ni wapi Hasa
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 7 ай бұрын
Huo u professor umepewa au umejivika
@1961nungwi
@1961nungwi 6 ай бұрын
U Professor hupewi Wala hujipi; unakuja automatically kutokana na knowledge unayo zalisha
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp 6 ай бұрын
Majua wabongo akili na ufahamu hatuna hatujaji nchi yetu bali tunajaji yawengine tunaendeswe kama kuku tuangalie kwanza taifa letu sio tunajaji ya inchi za wenzetu tubadilike wabongo
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 7 ай бұрын
Rusia akili mingi
@mwakatundujr1674
@mwakatundujr1674 6 ай бұрын
Ni nchi ya ahadi hilo halina ubishi😅😅😅
@shukranechimale2722
@shukranechimale2722 6 ай бұрын
Israel ni taifa la michongo michongo🤣🤣 kifup hawana akili
@josepheriah5977
@josepheriah5977 6 ай бұрын
Us mbabe
@ShemsaKiobya
@ShemsaKiobya 27 күн бұрын
.unafikiri wakati lbrahim anatoka kurdi anaambiwa aende nchi aliyooaidiwa ilikuwa aina watu?
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 7 ай бұрын
MAREKANI, UINGEREZA NA WAZAYUNI WOTE WANAPANGA MIPANGO YAO....LAKINI MWENYEZI MUNGU MTUKUFU ANAWAAIBISHA!
@johnsinyinza7450
@johnsinyinza7450 7 ай бұрын
Mahandaki ya hamas yanini. Si nimagaidi.
@user-sb6gy6dx1m
@user-sb6gy6dx1m 6 ай бұрын
Hamas ndo magaidi,je hao waisraeli..?ubongo wa ndege ww.
@user-wr6tg8xf6z
@user-wr6tg8xf6z 7 ай бұрын
Kabla ya kutawanyika kwa mataifa mengine Wayahudi walitokea Wapi?
@broumaiyyah8018
@broumaiyyah8018 7 ай бұрын
Muulize hitler
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 7 ай бұрын
Ngara
@guidoliusmichaelhulilo3886
@guidoliusmichaelhulilo3886 7 ай бұрын
Butiama😝🤣
@salminisaleh9249
@salminisaleh9249 7 ай бұрын
Baba Wa Uyahudi Alizaliwa Wapi?
@mombasa0076
@mombasa0076 6 ай бұрын
WAFANYE LAKINI NA WAO WATALIPWA TU.
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 6 ай бұрын
Sasa kwanini hamas wakaanzisha hiyo vita tarehe 7.10.2023?
@user-ij9te1ck9p
@user-ij9te1ck9p 27 күн бұрын
ISRAIL Ina satilait na enterligencia ya kutosha unahisi hawakufaham kilichotaka kutokezea na kukizuzia kwani hamus yenyewe ilianzishwa na nani na kusapotiwa kiuchumi km sio Israel kwa lengo la kuleta vuguvugu la kisiasa na kupata sababu ya malengo yake kutimia ata ISIS yenyewe ilianzishwa na Muisraili na marekani Ili kuiaminisha Dunia kuwa uislaam ndio Ugaidi Ili kuleta chuki na waweze kutimiza lengo lao la new world orders nchi za kiislam ndio kikwazo Chao kutokana misimamo ya Imani Yao nje ya nchi na jamii za kiislam tayari Dunia mngekwisha pokea Sheria zao za Kimagharibi ushoga na mengine endeleeni kuamini ivoivo kuwa ISRAIL ni taifa la Teule na kulishwa matango pori msipofaham watakunya kuelewa wajukuu wenu picha litakavyokamilika
@maqwaybaran9905
@maqwaybaran9905 6 ай бұрын
14:45 uongo mwingine wayahudi wengi walikuwa ulaya Mashariki na Urusi na sio ulaya magharibi. Sheikh ni muongo
@AbdulrahmanMahanje
@AbdulrahmanMahanje 6 ай бұрын
mpuuzi wew
@makambatimbertraderscompan311
@makambatimbertraderscompan311 2 ай бұрын
Ujerumani ni Ulaya Mashariki au magharibi Wewe Mgalatia
@yambazykaratta3793
@yambazykaratta3793 6 ай бұрын
Kwa hakika Prof. umefanya uchambuzi yakinifu, nami nimejifunza mengi. Lakini kuna jambo hili kuwa Israel ni nchi ya ahadi kwa wayahudi, jambo hilo ni la kiunabii, unabii huo umetia kwa exactly. Soma Ezekiel 36 yote, lakini haswa mistari ya 19-24, 28-30, 33-36. Unabii huo ni wa miaka takriban 2700, yaani kama miaka 700 kabla ya Yesu, na umekuja kutimia mwaka 1948 Israel waliporudi, baada yakukataa kupewa nchi yoyote nyingine, wakataka nchi yao wenyewe kama walivyoahidiwa na Mungu ktk hiyo Ezekiel 36:24. Someni Bible muone mambo haya.
@khalidmnganah9901
@khalidmnganah9901 6 ай бұрын
Napenda nikiri baada ya kusikia uchambuzi huu, niseme nimepanda ngazi ya ufahamu jinsi gani maslahi yanavyotangulizwa kuliko ubinadamu. Siasa za dunia ni unafiki na ukandamizwaji wa kisayansi na ghilba tupu. Hakuna ukweli ni ulaghai tu. Shukran Prof.
@djalasaleh
@djalasaleh 6 ай бұрын
1948 MAJAMBAZI WA KISIONISTE( KHAZARS, ASHKINAZIS)
@maqwaybaran9905
@maqwaybaran9905 6 ай бұрын
Professor muongo sana anaongelea upande wa dini yake ya suruali fupi na kuficha baada ya mambo muhimu
@maqwaybaran9905
@maqwaybaran9905 6 ай бұрын
​@@djalasalehgaidi mwenye suruali fupi mjukuu wa Mudi katika ubora wako
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 6 ай бұрын
Biblia imeandikwa hivo na wazungu ili iendane na kile wazungu wanataka. Wazungu wamekuwa wakibadilisha mistari ya biblia ili iendelee na kile wao wanataka
@godfreyobadiah7892
@godfreyobadiah7892 7 ай бұрын
Baba asante kwa elimu lkn ungeanza kutuelezea hawa watu walitapakaa kote duniani wakitokea asili kwao wapi ?
@georgenyasudi4060
@georgenyasudi4060 6 ай бұрын
Hilo swali wote wanalikwepa, na la ajabu ni kuwa jawabu wanalo. Very hypocritical people.
@georgenyasudi4060
@georgenyasudi4060 6 ай бұрын
All Muslims in their analogy they explain very well how Jews were spread all over the world. Ironically, none of them want to explain where were the Jews before they found themselves spread all over.
@godfreyobadiah7892
@godfreyobadiah7892 6 ай бұрын
@@georgenyasudi4060 kweli ndugu yangu hawa watu ni tatizo na imani yao imekuwa changamoto kwa amani duniani.
@zenahussein2242
@zenahussein2242 6 ай бұрын
Hata Palestine wayahudi wapo na waliishi na Palestine Bila shida yeyote. Ila hao wayahudi wageni ndio tatizo.
@godfreyobadiah7892
@godfreyobadiah7892 6 ай бұрын
@@zenahussein2242 Wayahudi wenyeji wawakaribishe na kuwakubali wanaorudi nyumbani.
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 7 ай бұрын
Waislamu tuna akili mingi sana hapa duniani na akhera allah atutunze
@mathewbicco6656
@mathewbicco6656 7 ай бұрын
😂😂😂...acha ufala. Binadamu wote ni sawa na wana akili
@simonnembomadola7512
@simonnembomadola7512 7 ай бұрын
Mnalishwa ujinga sana na hadithi zenu.Ufala heti mna akili nyingi 😂😂
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 7 ай бұрын
Akili za kula kitimoto au?
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 7 ай бұрын
Akili za kutengeneza tende nchi gani ya kiislamu Ina technologia
@awadhsalim2680
@awadhsalim2680 6 ай бұрын
​@@ramadhanchenga4606mungu amesha panga. Waarabu hela,,wazungu wafanyakazi,,,waafrika mziki,,pombe,,wizi.
@godfreyobadiah7892
@godfreyobadiah7892 7 ай бұрын
Osama alienda kujifunza america kupigania uhuru wa taifa gani ? nimekunukuu hapo mwl.
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 6 ай бұрын
Mbona nyinyi hamzungunzi kuhusu mauwaji ya waizirael .hamasi wameuwa watu 1400 hao sio watu?na wapalestina walifanya sherehe .ningekuwa Mimi ni iziraeli ningekuwa nauwa kila nitakae kutana nae awe mdogo awe mtu mzima
@meckmussa1840
@meckmussa1840 25 күн бұрын
Shekhe nae anabahatisha
Did you believe it was real? #tiktok
00:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 25 МЛН
Khóa ly biệt
01:00
Đào Nguyễn Ánh - Hữu Hưng
Рет қаралды 22 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 11 МЛН
Hiki ndicho kinachomfanya Marekani na Israel wamuogope Iran
35:23
Dakika 47 za moto hoja ya Mdee bungeni,  mnyukano mkali watokea
47:32
Mwananchi Digital
Рет қаралды 73 М.
Pesa imejificha katika vitu vinne - Sheikh Walid Alhad
20:37
Kalamutz
Рет қаралды 84 М.
Did you believe it was real? #tiktok
00:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 25 МЛН