Ni Safari Ya Kuizoea Oven Yako Jifunze Kuiokea Oven Yako Majaribio Mawili Mpaka Matatu Yanaweza Kuibua Ndoto Yako Ya Upishi. Jitihada na Uvumilivu Ndio Ngao Pekee Twendeni Wote Tufike Tamati
Пікірлер: 234
@shanimziwanda39793 жыл бұрын
Asante sana,nimejifunza mengi sana kupitia wewe.ur the best teacher .Mwenyez Mungu akuweke Insha Allah.
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Amiin Yaa Rabb 🙏🙏
@evalineemmanuel81783 жыл бұрын
miaka elfu kwako love
@devotathemi99303 жыл бұрын
@@mziwandabakers8297 mamy tunaomba recipe ya cake wanaouza supermakert zile zinazokaa muda bila kuharibika vitu ambavyo huwekwa na vipimo
@emmamtunguja823214 күн бұрын
Hapo kwenye oven unatakiwa juu na chini au chini tuu.ahsant.
@carryswoolencraftcwc533710 ай бұрын
We dada mbona nmechelewa kukufahamu jamani,asante ubarikiwe yaani mara nyingi nmepika cake kama ugali,ila leoooooooooo 🔥🔥🔥🔥🔥nmepika cake moja matata haijawahi tokea ubarikiwe mbioni🙏🙏🙏
@jacquelinesangu15212 жыл бұрын
Ahsante mungu akubariki niliipak ahsante nitajaribu tena
@momo4de1443 жыл бұрын
Upo vizuri Mwalimu mzuri Sana wewe
@deboracharles18482 ай бұрын
Naweza kubeke keki kwa moto wa chini na juu yaani kwa maramoja au nianze wa chini alafu nije wajuu
@francineirakoze759011 ай бұрын
Asante sana kwa mafunzo ..from Burundi
@heriethsingano89382 жыл бұрын
Asante mwalimu wito upo ndani yako,nilikua sijui chochote kuhusu cake sasahivi angalau najua kupika Mungu akuweke
@renathagwahaga19706 ай бұрын
Asant Kwa mafundisho mazuri Jaman ninashukuru nitanza kupika nione namna keki inaweza kitoka Kwa mara ya kwnza
Habari Ahsante sanaaa hapo NI Moto juu na chini au
@mziwandabakers8297 Жыл бұрын
Ndio ni juu na chini
@bokechacha980210 ай бұрын
E skozi Moto ni juu na chini
@tinahphinias1470 Жыл бұрын
Na moto ume tumia wa chini tu au wajuu na chini
@TukusumaAsubisye-sp4lj9 ай бұрын
Shukrani sana mziwanda , ubarikiwe sana ila naomba niulize ni temperature ngap na dk ngap zinaweza kuivisha keki kwenye oven maana nikifata zile walizopendekeza wao unakuta basi haijaiva na ni lazima nitoe pale juu Ili iive na ndani natumia oven ya pmc
Asalaam aleykum sister oven nzuri ya kubake kibiashara?
@ericaheddie99942 жыл бұрын
Naomba kujua juu unaweka moto wa 180 na chini inakuaje?pia unaset kwa pamoja au ni vp??
@firdosamuktarmuhammad99663 жыл бұрын
Asante Sana mziwanda
@beatricetenywa43673 жыл бұрын
Mungu akubariki unaelekeza kwa upendo na taratibu sana.tunaomba utuelekeze kalimati nimepitia video cjaona labda nilipitwa😊
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Sawa dear vitafunwa sijafanya vingi
@mairaiddi98352 жыл бұрын
I need to know where dish come from
@kazijahaji1592 Жыл бұрын
naomba kuliza mwalimu oven unawasha kabisa kabla ya kuchomaa
@zaitunmaulid5049 Жыл бұрын
Samahani dada......kwenye function sijakuelewa uliwasha moto wa juu na chini au
@mziwandabakers8297 Жыл бұрын
Juu na chini
@FrancisGikera Жыл бұрын
so educative
@user-cs5ye2vr6i Жыл бұрын
Asalam aleikum mm naomba kuuliza kuchoma kaki watumia moto wa juu na chini ama chini pekeyake
@irenegomanga86543 жыл бұрын
Me oven yangu ni lita 55 aisee mwanzo ilinisumbua sana nakumbuka nilikutafuta ukaweza nisaidia dada hakika Mungu abariki kazi ya mikono yako nakupenda sana sana
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Amiin my dear sote tupate baraka
@berthakessy7093 жыл бұрын
@@mziwandabakers8297 me yangu ni ltr 35 mpnz
@fat_hiyambinga87052 жыл бұрын
Oven Kama it Bei gan my
@LatifaMaomba-uo7oe11 ай бұрын
Me naomb kuuliza kwann nkipik keki zng ktk aziivi na alfu oven yngu nkipik keki nwek 1 hr lkn lzm niongeze moto ktk inkuw aijaiva ila pemben imeiva
@glorymlay1203 Жыл бұрын
Hello wakati unabeki....uliweka moto kwa chini tuu au uliweka juu na chini...
@phidesbrightone3227Ай бұрын
Mimi nilizoea kutumia oven zile kubwa sasa hivi natumia ndogo ya lita 50 jaman inanifanyia vituko haswa yani keki haichambuki kabisa na inaacha mafuta katikati sijajua shida ipo wapi. Oven ni ya kuset moto wa juu na chini ni size moja hivyo naweka moto 180 na dk 60. Siku nyingine nikaweka moto 200 bado matokeo yakaja yale yale. Nakosea wapi mwalimu.
@mziwandabakers8297Ай бұрын
Je,uji wako wa keki ni mlaini ama mgumu? Hizi oven ndogo zinapenda uji laini zaidi
@winnieshayo1826 Жыл бұрын
Kwa kweli hapo kweny unga tokea nijue videos zako cjawahi kukuelewa kuhusu hapo kwenye kukoroga unga Mbn ni kama unauacha unga na mabongebonge
@rosejohn65113 жыл бұрын
Asante dear, tunaomba pishi la mkate
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Sawa dear
@angelamaluli91507 ай бұрын
Nime nunua westpoint ya lita 63 kuset moto ni sawa na hii mpz ????
@hosianaseth2377 Жыл бұрын
Nimepika keki Mara nyingi Ila haivi katikati Nini shida oven yangu Ina Moto 40,85,130,180,225 na Max Sasa sijui keki napikia namba ngapi
@mziwandabakers8297 Жыл бұрын
Huenda hufuati vipimo sahihi pia hufuati Sheria, oven utaionea bure
@winnydorothyadhiambo1480 Жыл бұрын
Hizo baking tins naeza pata wapi
@JovineJustinian-el1qh8 ай бұрын
za asubuhi jaman naomba unisadie nimepika keki lakin aijachambuka na nimeiokea kwenye oven ila nimetumia sufuria la kawaida
@fatmaimam17423 жыл бұрын
Asante madam..je nikihitaji kupika keki ya unga robo inabid blueband na sukar iwe 125g?
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Ndio sahihi kabisa
@neemamkisi162 жыл бұрын
Habari Mimi oven yangu ni delta Lita 60naomba msaada jinsi ya kutumia oven
@rachelmwambuluma45272 жыл бұрын
Mie yangu ni 48 L natumia 180 ilaa mlima hauniachii salama msaada please
@yasintamtui86093 жыл бұрын
Mara ya kwanza cake haikupanda , Mara ya pili ilipanda vizur ila ilipasuka kati na mlima juu. Ya tatu hivyohivyo basi nikahamia kwenye mkaa. Kwa somo hili naimani mambo yataenda sawa. Ubarikiwe dada
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Amiin my dear
@salmasaid85213 жыл бұрын
Pamoja Sana mwalimu wangu
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
😘😘
@renathagwahaga19706 ай бұрын
Samahan ukiwa unapika keki huwashi kwenye faction sijaona unaongwlea function umewwka tu temperature na dk
@zuwenakhalfan21223 жыл бұрын
Asante kutupa ujuzi Allah akupe afya uzidi kutujuza mimi nilikuwa naweka kabla ya kuiwasha kwanza kumbe inatakiwa uwasha wekwanza🙏
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Ndio dear washa kwanza
@zuwenakhalfan21223 жыл бұрын
Shukran nafatilia sana vidio zako keki Sasa hivi napika vizuri ila shuhuri kupamba kutengeniza Icing sugar inatoa maji ni kwasababu gani habibity?
@getrudaigonga645 Жыл бұрын
Mimi pia nilikuwa naweka kabla ya kuwasha duuu asante mwalimu nitaleta mrejesho
@hopelikaka71 Жыл бұрын
Naomba kuuliza naweza ijaza oveni nafasi zote,kwamfano nikiwa nabake vile vikake vidogo dogo ni ikaiva vizuri,na kabla nikiwa naanza kubake niwashe kwanza ya juu au chini
@minakhamiskhamisi61932 жыл бұрын
Jamn mm naomb kuuliz mwalim hv keki km ukipika n blue band haifai
@LatifaMaomba-uo7oe11 ай бұрын
Infaa sem prestige ndo nzr zaid keki inkuw lain
@pillyomarymhando12673 жыл бұрын
Jiko langu mi plate sita nne gas mbili umeme switch ya oven no moja hiyohiyo moja tuu ya 2 niya kuset muda naomba maelekezo tafadhali
@uwimanaaurelie54893 жыл бұрын
Asante sana Dada ! Mi mara ya 1 nilisumbuka kweli kweli ,afu nikajua nisipo funika haitoki ,lakini kwa sasa najitahidi ,cake inatoka vizuri.Asante sana na ubarikiwe saaaana
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Amiin my dear nawe pia
@hellenmwasha84822 жыл бұрын
@@mziwandabakers8297 ove
@hajraadam94003 жыл бұрын
Eti dada kwenye oven ya lita48 ninaweza kuweka sufuria ngapi
@user-om4ng7nn2c4 ай бұрын
Wap unaangalizia nijue Lita ngap man mi naona 48
@sarahmunyuku43283 жыл бұрын
Asante kwa somo, mungu akubariki dada, iyo oven inauzwa bei gani na wapi
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
400,000 0768859358
@PaulinamnguluP.malove Жыл бұрын
Dada je oven ikiwa Pamoja na jiko
@user-cs5ye2vr6i Жыл бұрын
Mm naeka moto wa juu na chini lkn haiivi kati na moto naeka 180
@neemakusenha25403 жыл бұрын
I wish nionje teacher wangu
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
😋😋😋
@Teaching3564 ай бұрын
Naweza tumia mafuta ya kupikia kukorogea sukari maana butter sina
@siriyangu47243 жыл бұрын
Mashaallah unafunza vzury atuwa kwa atuwa shukran da
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Shukran dear karibu 😘
@saudamohamed61712 жыл бұрын
Nikipika inaiva ila ni ngumu yani lile ganda la juu linakuwa gumu sana linakuwa kama biskuti sijui nakosea wapi mamy
@eliamininanyaro635 Жыл бұрын
Kwakweli mm yakwangu inameguka meguka
@user-it1hv9vh8q7 ай бұрын
Naomba kujua jina la oveni yako plzz na ni litre ngap
@salomefrancis31433 жыл бұрын
Hello...nimependa hii jaman Dada mm Nina shida na oven yangu kila nikipika keki ya nch 7 lazima katikati itoke mbich ila pemben inaiva..imetokea kama Mara tatu
@atiliokigahe8000 Жыл бұрын
Hata mim ni hivo hivo
@estherjacob7874 Жыл бұрын
hello...asante kwa masomo yako wafundisha vizuri. madam...ila mimi oven yangu ni ya winningstar lt60.ina. temperature knobs mbili..je zinatumikaje wakati wa kubake?naomba nijuze tafadhali.nawasha zote au moja tu?
@mziwandabakers8297 Жыл бұрын
Katika hizo mbili angalia kama ni za Baking ama kama linamajiko juu laweza kuwa la cooker,pia angalia kama wamekuonyesha any sign kuwa ni la bake ya chini na juu....natumai nimejaribu kusaidia
@estherjacob7874 Жыл бұрын
@@mziwandabakers8297 asante ...ingawa inanitatiza make ina temp knobs mbili..na pia ina heat selector.
@user-ig7gi9kv1c5 ай бұрын
Mm naweka moto uwo uwo wa juu 180 dakika naweka chibi 50 ila nlipika keki inagua mpk inakuwa naweus mkubwa
Jamani dada angu mbna Mimi naenda sawa na wewe lakini inajiminya inatoka kidogo sasa
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
Au unatumia chombo si sahihi??
@marthacalist85852 жыл бұрын
Hlw nahitaj kujua kama sina maziwa naeza tumia hata maji
@user-dq4oz9sq6z7 ай бұрын
Na sisi wa lita 48?
@fatumaselemani38078 ай бұрын
Mashallah
@kaundamalale98452 жыл бұрын
Nasisis wenywe oven ambayo haina moto wa kati tunafanyaje?
@mwanasalum8181 Жыл бұрын
Hio issue km ya kwng.
@batoolyussuf2365 Жыл бұрын
Naomba unielekeze jiko langu nimepika cake mara 2cinatoka mbichi hata sielewi maana jiko bado jipya
@mtikafujackline35903 жыл бұрын
Hongera sana mziwanda bekar ninaswali samahan kuna shida ukichomeka jiko ukutani bila kuwa na sehem ya jiko
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Sijaelewa dear kulichomeka bila kuwa na sehemu ya jiko ?
@salomechimu4313 жыл бұрын
Nina oven yangu ahiivishi vizuri natumia maasaa hadi mawili lakini haiivishi shida nn hapo msaada inapika lita kumi na mbili
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Check mlango wake huenda unatoa hewa nje na hiyo ni mbaya sana kwa oven zetu ,,jaribu kuifunika towel au blanket hapo mlangoni pia mshirikishe fundi mzuri
Asante dear...mm natumia oven ya gas nikipika cake plain kama hii yatoka vizuri ila jana nikajaribu chocolate cake ilitoka kama mkate aki sijui nilikosea wapi na nilienda taratibu na recipe
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Ulishawahi pika chocolate cake hiyo ikatoka poa au leo ndo mara ya kwanza?
@monicamjera22193 жыл бұрын
Nimara ya pili na hazijatoka vizuri kama plain cake
@happybakes64993 жыл бұрын
Umetumia tin ya nch ngapi?
@khamiskombo9407 Жыл бұрын
Snteee dada kwa somo zuri ila mm naomba unisaidie kidogo moto mzur wa kuchomea mabanz ya biashara oven yangu ni lita 60 na ndo kwanza mpya
@peacenyemele3955 Жыл бұрын
Sory naomba nkuulize nami yangu ni lt 60 mpya je unatumia socket ya umeme hii ya kawaida au mpka zile maalumu nyekundu
@fridahjohn121911 ай бұрын
Kiukweli nimejua kutumia oven kwasababu yako unaweza kumuelekeza mtu vizuri nilikuwa siwez kuchanganya kabisa vitu vya cake now nami watu wanaomba niwaelekeze japo kupamba bado i hop nitaweza soon
@mziwandabakers829711 ай бұрын
💪💪💪Safi saaana
@lyaruureginald848810 ай бұрын
Mambo vipi mziwanda, oven yangu nikibake haziivi ndani, na hazipati rangi, baada ya kuangalia clip hapo juu nimegundua inatakiwa kuondoa mabati ndani na kutumia rake tu.ntajaribu Tena nione
@lucianarichard338529 күн бұрын
Hata mm nimejifunza❤
@safiyatheonlything78483 жыл бұрын
Mm uwanapenda sana kupika keki lakini mara nyingi nikipika unakuta aivimbi au inavimba lakini ndani aijaiva sijui nakosea wapi
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Je umepeleleza ukorogaji wako kwa makini??,,na je hufungui oven mara baada ya kuweka keki yako?? Na hakikisha utingishi tingishi oven yako pia kingine zingatia recipe zako
@safiyatheonlything78483 жыл бұрын
@@mziwandabakers8297 shukurani nitajitaidi
@johasultan5922 жыл бұрын
Mie yangu inakata Moto dear .ndio Mara ya kwanza kuitumia Sasa cjui shida Ni nn
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
Kukata moto muone fundi majiko please
@rachelpesha6523 жыл бұрын
dada kwema asante sana kwa madarasa yako yamenisaidia kwenye biashara nyingi....mimi oven yangu ni ya gesi na moto unawakia kwa chini na ina namba tu kuanzia 1/2 mpaka 9...yaani najitahidi sana ila kila nikijaribu either ziungue au ziwe half mbichi half kuiva. tafadhali nisaidie kwa hili plzzz
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Vipi ukiweka moto mdogo kabisa bado inasumbua? Haina moto wa juu ??
@rachelpesha6523 жыл бұрын
yaani 9 ndo kubwa ila mimi huwa naweka nusu.....maana ndo namba inayoanzia....yaani natamani kweli kutengeneza keki.
@hadijasteven27833 жыл бұрын
Mimi ndo leo nimenunua yakwangu lita 55 ata sijui nianze wapi
@josephinendeotwa90893 жыл бұрын
Sh ngapii
@evaldalyamuya31672 жыл бұрын
Dadaangu mchanganyiko wako ni mzito mmno ungewelka atleast iwe mwepesi kias
@ashleyabdallah53653 жыл бұрын
Samahan kama auna iki kifaa cha kuchanganyia una fanyaj ili mayai yawe mazito kama pov
@hanruby203 жыл бұрын
what tin size did you bake with?
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
7" pan
@IreneMathias-tv9bp11 ай бұрын
dada nisaid hapo yangu aitok Braun inkuw shid nini
@maureenmbinile1655 Жыл бұрын
Hivi ni lazima niweke huo waya katikati?
@mziwandabakers8297 Жыл бұрын
Ni muhimu kulingana na Aina ya oven yako
@aishanickson-oy1op Жыл бұрын
Unaweza kupikia sufuria yakawaida
@saudamohamed61712 жыл бұрын
Yaani mimi inanisumbua mpaka nimekata tamaa kabisa
@zawadimsangi5542 Жыл бұрын
Ya kwangu nikipika keki za birthday haziiv ndani, lakini nikipika keki za biashara zinaiva vizur nisaidie nakupataje
@veronicasteven173110 ай бұрын
😂😂😂😂
@meclinanyamwihura37483 жыл бұрын
Je moto unaweka juu na chini?
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Ndio juu na chini
@DOTOCHARLES-so7rh10 ай бұрын
Oven kama hii beigan
@kennedymburu71563 жыл бұрын
Kazi njema Sana mwalimu Sasa tupe pizza recipe mwalimu
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Umesema kitu 👌👌👌👌
@angelcassian72133 жыл бұрын
Asante kwakutufundisha vyema tungependa uanzishe group la WhatsApp ili tujue mengi Zaid na pia mi Nina oven Ila sijui Zaid kukadilia Moto kwenye group ningeipiga picha ili unifafanulie kidogo @ Ahsante
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Nina group la whatsapp la mafunzo ma decision za keki (nk) kila mwezi
@hafsahassan15482 жыл бұрын
ktk Hilo group Kuna malipo yyt??
@emanuelandedela27712 жыл бұрын
@@mziwandabakers8297 naomba uniunge kwenye hilo group. Nijue zaidi matumizi ya oven mumy
@elizabethmanyara71193 жыл бұрын
Naeza pata aje oven kama hiyo ya kwako?
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
0768859358
@catherinemapunda81643 жыл бұрын
Mbona mimi nikibake haijai had juu cake yangu, halafu inapasuka sana sijui kwanini. Nikiweka moto wa 180 inaiva lakini zikipita dk 30 inakua ndani katikati haijaiva ila pembeni imeiva. Na nikiiacha zaidi inakauka au kuungua. Nifanyeje? Naombaushauti
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Jaribu kufanya 170 moto au 160 kwa lisaa limoja naimani utapata matokeo mazuri ,,kujifunza kuitumia mpaka ukae nayo kwa mazoezi dear
@mwantumuabduli63722 жыл бұрын
asante mpnz ata Mimi nikiweka Moto 180 uwa inaungua tu na kuiva pembeni