kipind kizur sana Bin seif jitahid kutuekee na zengine zijazo inshaallah.. p1 na kile kipind cha tiff doctor kutok tiff 📺 shukran
@aminisuleiman18376 жыл бұрын
daaaah kwahani ndio home kabisa babu, well done kwa kunifahamisha
@khadijaal49103 жыл бұрын
Kijangwani ndio home kabisa
@khamisalaamri39137 жыл бұрын
shukran..nimeelewa
@aminisuleiman18376 жыл бұрын
hiyo makadara ndio nilisoma mpk nikamaliza LA saba. Unakumbusha mbali sana Mzee, let's vitu ss tunavisubiri
@husnahhhahahausys78106 жыл бұрын
Kijangwan no home kabisa
@salumhassanallymkurdistan7006 Жыл бұрын
BAJA ,(KWAHANI) TO BOMANI (KWAHANI) ,TO KWA ALI NATU TO HADI MIEMBENI MUEMBE NNJUGU NGAMBO STESHEN KIJANGWANI KARIYAKO KWA ALIMSHA DUU ZAMANI SANA TUKIPUYANGA
@mohamedlodhi41738 ай бұрын
Bwana bin Seif , Sheikh Mohamed amekosea kutueleza taarikh ya mitaa. Ali Nathoo alikuwa Khoja Ithnashiri na Mawji Nathoo alikuwa Baniyani, vipi watakuwa ndugu ?? Tajiri mkubwa DAR zamani alikuwa Poonja Nathoo Khoja Ismailia. 9:26
@khamisalaamri39137 жыл бұрын
mashallah
@eid26432 жыл бұрын
Kama Gulio maana yake ni hiyo. Basi Market na Soko kiswahili chake ni Gulio
@jumaahamaa76475 жыл бұрын
kwa hani baja
@amoursalum82662 ай бұрын
Anatoa historia lkn anapanga uhalisia na ukweli ni mdogo