UKWELI WA HISTORIA YA ZANZIBAR NA MWANDISHI WA MZEE KARUME

  Рет қаралды 10,147

AL FATAH TV ONLINE

AL FATAH TV ONLINE

11 ай бұрын

Kutoka AL FATAH TV .
Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
#AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
#AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
#ZANZIBAR​​

Пікірлер: 32
@nailamohd7693
@nailamohd7693 11 ай бұрын
Basi km wamewadhalilisha masheikh wetu wakubwa na wakuheshimika tusimtafute mchawi ni laana hio wameicha hakukai sawa mpk wakubali km walikosea na kudhulumu.
@nailamohd-wn6sb
@nailamohd-wn6sb 11 ай бұрын
Hata skuli pia zilikua za wanaume mbali na wanawake mbali ccm wamejua kutuharibia nchi yetu daah wanataka kuongoza wala hawawezi kuongoza labda kuiharibu tuu
@MakameAbdallah-wn3hc
@MakameAbdallah-wn3hc 10 ай бұрын
Skuli Wanawake na wanaume kuchanganyishwa si CCM .1969 ndio skuli za wanawake na wanaume tulichanganyishwa.
@nailamohd-wn6sb
@nailamohd-wn6sb 10 ай бұрын
@@MakameAbdallah-wn3hc ndio ccm hio kwann kulichanganyishwa na zishatengwa huo mwaka uloutaja kwann wachanganye ndio ccm
@MakameAbdallah-wn3hc
@MakameAbdallah-wn3hc 10 ай бұрын
@@nailamohd-wn6sb dada naila sio CCM ni ASP
@saidabdala4980
@saidabdala4980 10 ай бұрын
Kweli kabisa kusoma wanawake mbali na wanaume mbali. Ni vizuri kabisa. KWASABABU mwanaume akisha balehe inakuwa tabu kujizuiya. .tena balehe changa ni hatari kabisa.
@nassorkhalfan-cl6pm
@nassorkhalfan-cl6pm 11 ай бұрын
Muungan ndo ulotuharubu wa zanzibr naomb dua uvunjike
@johnkiimbila6799
@johnkiimbila6799 11 ай бұрын
Muungano ulivunjika waarabu watarudi.
@saidabdala4980
@saidabdala4980 10 ай бұрын
​@@johnkiimbila6799 Mwarabu akirudi nchi itakuwa na heshma. . Kwasababu LUKUVI na wenzake watakufanya uwe mtumwa wao
@athanaskipeto572
@athanaskipeto572 5 ай бұрын
Hizi taarifa zingekuwa zina rushwa mara kwa mara zina jenga uzalendo Hongera sana mzee wewe ni hazina kubwa
@alijuma8009
@alijuma8009 11 ай бұрын
Perfect mzee
@muddaththirhamoud1240
@muddaththirhamoud1240 11 ай бұрын
Saivi visiwa vinatolewa bure bure watu wafanye maasi yao
@juma2979
@juma2979 11 ай бұрын
Kweli tupu mzee hii taasisi ya wakfu hawafai wanakula dhulma sana ukiwaona vikanzu kumbe washenzi
@nailamohd7693
@nailamohd7693 11 ай бұрын
Nakubaliana na ww wizi sanaa wakfu 😮
@user-pu2mp6th3s
@user-pu2mp6th3s 11 ай бұрын
Very good, l want to learn much from this channel
@hasaabdi7199
@hasaabdi7199 11 ай бұрын
Vipi kuhusu mauaji ya waarabu
@111dudi
@111dudi 11 ай бұрын
Hakusema kuhusu mauaji ya 1964, na yenyewe yameleta laana
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 11 ай бұрын
Zanzibar imekosa viongozi waadilifu .haiweI kubadilika tena km uongozi tulionao hauna khofu ya mungu. Innalillagi wainnailayhi raajiuun
@mohamedsheikh6618
@mohamedsheikh6618 10 ай бұрын
Mzee unatosha, sasa kama hali ni hiyo mapinduzi ni ya nini na nani alieyafanya, nimependa masimulizi yako yanafanana na ukweli yamepungua chuki na uongo, si kuwepo lakini ya naweza kukaa akilini tofauti na masimulizi ya shante, unaonekana umekinai, na una maumivu ya hali iliopo sasa lakini neno lako zito ni (ni kazi kubwa kujipapatua)
@ghalibelghanim1151
@ghalibelghanim1151 11 ай бұрын
Sasa hivi hakuna. Maadili wala tamaduni Zanzibari imevamiwa hata waburundi wapi hatujui wametokea wapi.
@johnkiimbila6799
@johnkiimbila6799 11 ай бұрын
Wazanzibari wengi walitokea kigoma na burundi , walichukuliwa na waarabu kuja kuwalimia karafuu.
@mwatumsaidi5104
@mwatumsaidi5104 11 ай бұрын
Zanzibar ina laana ya zulma tena zaidi ni mahakamani maloya na majaji wametoka bara kujakuchuma mali za wazanzibari wanaokwenda mahakamani hawa watu si wema kwa wazanzibari tuamke
@ahmedbaamironlinetv4753
@ahmedbaamironlinetv4753 11 ай бұрын
Hakika
@111dudi
@111dudi 2 ай бұрын
Sultan alitoka na maadili yake, nchi ikaharibika kama alivosema
@aliyabdullah1633
@aliyabdullah1633 11 ай бұрын
Waswahili wanasema historia hua haijirudii abadan ss ivi imekua zanzibar njema atakae aje ni laana ndio ilobakia na iyo yote ni nyerere aloiyuwa zanzibar
@saidyussuf2291
@saidyussuf2291 11 ай бұрын
Haijirudii au inajirudiaa
@fatmasaid9765
@fatmasaid9765 11 ай бұрын
Sasa alaumiwe nani
@fatmasaid9765
@fatmasaid9765 11 ай бұрын
Mmeiharibu mwenyewe zanzibar
@ibugharib389
@ibugharib389 10 ай бұрын
Zanzibar imehusudika na mengi Babu Mauaji ya 1964--DHULMA wananchi kupokonywa mali zao hususani Mashamba yako mengi babu
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du 11 ай бұрын
Sasa haya mambo yaliharibika wakati gani na kwa sababu gani?
@nailamohd7693
@nailamohd7693 11 ай бұрын
Mapinduzi ndio walofanya hivo kuwafukuza masheikh na baadhi ya viongozi hapo tena kukawa shaghala baghala mpk leo hakuko sawa 😅 na wala hakui madhali viongozi wanaendelea kudhulumu na kuua
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du 11 ай бұрын
@@nailamohd7693 Naona mzee anajaribu kusema mengi lakini kama ana khofu fulani hivi inayomfanya arukie another subject bila kumaliza fikra zake.
UKWELI WA HISTORIA YA ZANZIBAR NA MWANDISHI WA MZEE KARUME (PART 3)
32:03
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 5 М.
Did you believe it was real? #tiktok
00:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 34 МЛН
Must-have gadget for every toilet! 🤩 #gadget
00:27
GiGaZoom
Рет қаралды 12 МЛН
Luck Decides My Future Again 🍀🍀🍀 #katebrush #shorts
00:19
Kate Brush
Рет қаралды 8 МЛН
JUSSA AFICHUA SIRI NZITO YA MUUNGANO
34:06
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 55 М.
HII NDIO HISTORIA YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
7:12
ZINJIBAR TV
Рет қаралды 22 М.
FITNA 7 ZA MUUNGANO ZA MLIZA  MAKAMU WA KWANZA WA RAISI ZANZIBAR
25:43
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 33 М.
Did you believe it was real? #tiktok
00:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 34 МЛН