Njegere unazichemsha kwanza au unaziweka hivi hivi
@mohdseif24592 жыл бұрын
Nyama ngumu iyo
@ikamalle2 жыл бұрын
Ichemshe tena…
@aminaayubu45402 жыл бұрын
@@ikamalle nzur sana je nikijisaha kwenda kuiepua pilau yangu ama ndiz je itajizima yanyewe ama kuunguza pili kwenye iyo dakika 15 tu niloweka ikifika bc sitounguza kama sipo
@maryinyas93202 жыл бұрын
Hiyo pressure cooker in bei gani?
@edsonchristian58062 жыл бұрын
Pressure cooker zingine hazina heat hapo inakuaje
@JohnYonnah Жыл бұрын
Nataka kuona ukipika wali mweupe
@estherAkiza-xg6ie9 ай бұрын
Beigan
@Odama-dn7xy2 жыл бұрын
Njegele ulishazipika? Na iz mboga mboga au zote mbichi
@AverinaShirati6 ай бұрын
Njegere alishapika
@khadijahali48372 жыл бұрын
😋😋
@badawyhaji92882 жыл бұрын
😋😋😋😋😋😋😋
@onesmomapunda31912 жыл бұрын
Dada hbr yako,, mbona mimi nimepika kama ulivyo pika ww lakini pilau Lang limeshikana shikana je nimekosea wap?? Yaani haija chambuka kama lakwako,,
@habari-242 жыл бұрын
Itakuwa ni Aina ya wali Ulotumia
@AshaHassani-et7mx10 ай бұрын
Jins ya kutumia nashindwa mwwnzenu
@estherAkiza-xg6ie9 ай бұрын
Wew huendaumezidisha maji shosti
@DivelyShantiwa8 ай бұрын
Nahitaji kupika tambi
@khadijaa8152 жыл бұрын
Tuletee mapishi yote unaoweza kutumia hilo jiko
@ikamalle2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/h53cn31-ZtKjrLc. mapishi 10 yakutumia hiyo Pressure Cooker