Mungu ni Mwema sana kwa taifa letu,Hongera rais Jpm kwa ujasiri na uthubutu wako,tupo hapa kwa ujasiri wako wa pekee na uthubutu wako,kukiri kwako kuwa nchi hii ni tajiri,maneno yanaumba,kwa maneno yako ya kishujaa Tanzania inang'ara,Viva Tanzania.
@ezekielnjau88304 жыл бұрын
Mzalendo wa kweli, azidi kubarikiwa our favourite president, our pride
@YamunguYb4 жыл бұрын
Mungu aendelee kukulinda Rais wetu
@alvinleo29873 жыл бұрын
instablaster...
@bensonkaile96064 жыл бұрын
Sisi Watanzania na Vizazi vyake ni matajiri kwa rasilimali tulizobarikiwa nazo ndani ya mipaka yetu. Mungu ni mwema sana!!
@mkemiamagege84774 жыл бұрын
Nimependa Mhe. Rais alivyojenga mfumo waTaasisi za serikali na mashirika yanayojiendesha kwa msaada wa serikali kuwa na itikadi ya kuchangia serikalini Gawio kutoka sehemu walipofanya biashara nk.
@ibba80824 жыл бұрын
Wa Lweba Fizi D R Congo,Afadhali Nyinyi Mlio na Kiongozi Anayehangaikia Taifa Lake.Kisha Ilani ya Wengine Inasema Watatia Au Wametia tayari Leani madini ili kupata Mikopo.
@edgarkivambe71884 жыл бұрын
ukiwa mbinafsi.. kamwe huto muelewa huyu mzee. MUNGU yupamoja nawe. piga kazi
@godfreyelkarim25864 жыл бұрын
Mitano tena JPM Mzee wa kazi.
@rosetreffert67274 жыл бұрын
Mungu azidi kukulinda Baba Tanzania kwanza!tuko nyuma yako
@peterideka34794 жыл бұрын
Nimeona!!!Malaika wa Tanzania wako mipakani na ndani ya nchi yetu ,wakiwakaribisha malaika wema wa duniani na ulimwenguni kote wakiongozwa na malaika Michael na malaika Gabliel kwa ajili ya ulinzi Amina
@thomassamwel48154 жыл бұрын
Tano tena kwako mzee wa hapa kaz tu
@hjhh64 жыл бұрын
Sinemazetu103
@karyori694 жыл бұрын
Hao wakina Kakobe ni kanisa na hawalipi kodi hao!
@mkemiamagege84774 жыл бұрын
Ushasema ni kanisa. Kodi inatoka wapi kwa watu wa Mungu wakati wao ndio hupaswa kuwezeshwa kwasababu hawafanyi biashara.
@mkemiamagege84774 жыл бұрын
Nimeipenda hii kwa ujumla wake!
@karyori694 жыл бұрын
@@mkemiamagege8477 Magufuli si kasema waingie kwenye biashara ya migodi!
@bupekamwela74534 жыл бұрын
Wew ndo mkombozi wetu mungu alikushusha uje uikoe tanzania