Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma tarehe 1 Januari, 2025
Пікірлер: 5
@AbdilahiMriri4 күн бұрын
Hongera sana Mhe Daktari Rais Samia Suluhu Hasani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa utendaji uliotukuka na kwa sera hiyo nzuri, Mungu akubariki sana akuongezee umri mrefu akupe Mabega makubwa uzidi kutubeba aamina yarabi aamina mke WANGU.
@MATHAYOPETROGARYA4 күн бұрын
Hongera
@jikonikwamamaSwaumu4 күн бұрын
❤❤
@privatusphilemon67284 күн бұрын
Mtaala mzuri kabisa, utatutoa hatua Moja kwenda hatua nyingne
@SiyeyeSiyeyee3 күн бұрын
Nakuombea mafanikio mengi sana mama yangu kipenz Pole na changamoto ndogo dogo