Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini ambayo Kitaifa yamefanyika katika viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma, tarehe 03 Februari, 2025
Пікірлер: 2
@YusufLubangula-yn6tq5 күн бұрын
Pongezi Mh Rais Samia Suluhu Hasan Kwakuwa karibu na Wanasheria na Kuweza Kuhudhuria Mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya SHERIA Nchini🥰👋🙏
@georgelupatu91775 күн бұрын
Hongereni sana viongozi kwa usimamizi mzuri wa sheria. Hongera rais wangu. Nasikiliza hotuba. Sikuoni sura maana ni kipofu