KIPINDI MAALUM CHA MAENDELEO YA UJENZI WA FLY OVER YA TAZARA JIJINI DAR ES SALAAM AMBAO UNATARAJIWA KUKAMILIKA MWEZI OKTOBA ,2018
Пікірлер: 91
@geofreymlingwa29146 жыл бұрын
Hongera Sana kwa kazi kubwa inayofanywa na serikali ya awamu ya tano "congratulations"
@neemakilomoni42586 жыл бұрын
Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿 .Mungu mbariki Raiis wetu Magufuli mtetezi wa wanyonge kweli anae ikosoa serikari ya awamu 5 ana matatizo ya Mental illness Yes we 💪🏾can Tanzania 🇹🇿
@amourmtungo6236 жыл бұрын
Fantastic. This is what we pray for. I am glad at last we are waking up.
@jovnjov76616 жыл бұрын
Kweli hakuna penye mafanikio bila maadui Mungu mpe nguvu Rais wetu Magufuri na wape maisha marefu maadui wa nchi ili wapate kujionea
@africandreamstv25996 жыл бұрын
Well done Tanzania we love Tanzania from Ghana keep growing
@nyanda4277 жыл бұрын
Kazi nzuri sana viongozi wetu. Long live Mr President Dr John Pombe Magufuli
@charlesenock85867 жыл бұрын
Hii serikali naipenda Sana Hata kamshahara kangu kacheleweshwe sina tatizo nitasubiri maake pesa inatumika mpaka sisi Watu wa porini tunajua kila kitu na Pesa inayotumika
@ibraklay93437 жыл бұрын
*I love magufuli Tanzanians give us that man to be our president too we need him*
@wcbwanatishakiranikirudiab23496 жыл бұрын
Ewe mwenyezi MUNGU tunaona neema zako kwetu sisi watanzania asante mwenyezi MUNGU enderea kuwaongoza viyongozi wetu wote wateuriwa wa raisi wetu na uwaimarishe afya zao na raisi wetu ewe mwenyezi MUNGU mkuu
@t1910j7 жыл бұрын
I’m proud of my country and proud of my president. Good job 👏👌🏽
@ibnuabbasmustapha65406 жыл бұрын
Mungu ibariki Tanzania, Ahsante Magufuli
@amanichomola66967 жыл бұрын
safi sana tunasubiri nakara kama hii ya ujenzi terminal 3 Julias nyerere
@idrisashelimo3077 жыл бұрын
Asante sana rais wetu kwa kazi zuri
@mustaphaamani51656 жыл бұрын
Dar es salaam itakuwa kama ulaya, mungu ibariki Tanzania , mungu wabariki viongozi wetu, mungu mbariki honourable Mr. president Dr.JPM.
@deyusterscientific41626 жыл бұрын
nilikuwa sijaelewa ila sasa napiga saluti kwa jpm anaweza na amethubutu, mungu mlinde mwepushe na mabaya ili tujefaidi matunda ya kazi yake amen
@jemakhalifa68076 жыл бұрын
mwimbo umenipa ushujaa kuwa yutafika salama.Amiin beat zuri
@salummkunza22856 жыл бұрын
Aisee, Kumbe mambo yanawezekana,tupo pamoja na wewe Rais wetu Magufuri,atakaekuangaria kwa jicho la husda ATANGULIE yeye M/Mungu
@geofreymalekana80006 жыл бұрын
safi kabixa kazi nzuri
@cypriantertullian74956 жыл бұрын
Great job President Magufuli. You make Africa proud. Keep up the good work, sir.
@joshuapeter3126 жыл бұрын
Good job keep on Mr president
@jedidahbintidaudi82414 жыл бұрын
like the reporter's voice..love it! so distinctive and deep
@monrogo31776 жыл бұрын
maju terus tanzania salam dari Jakarta
@godwinwaitara45246 жыл бұрын
monro go, wat?
@mugerajakatarama21446 жыл бұрын
Tunaomba mungu ayongezee nguvu serikali ya hamu ya tano ikamilishe mpango yote kwa wakati
@nyanda4276 жыл бұрын
Asante Mungu kwa zawadi hii ya Rais wetu Dr. John Pombe Magufuli
@moimashole9926 жыл бұрын
Sasa twaweza kutoa machozi ya furaha asante sana mwenyezi mungu zidi kumuongiza raisi wetu magufuli
@miraqtv66616 жыл бұрын
We are now concurring eat african economy Love tanzania
@kibilawazebanga74556 жыл бұрын
Mungu akulinde JPM na waandamizi wako mkamilishe mipango hiyo mizuri hata km ikibidi tutoe jasho la damu, maana hali yetu ilivyo bila kutoa sadaka kubwa hatutaweza kujikomboa
@mariamkhamisi55756 жыл бұрын
natamani nirudi Tanzania yaani kweli kumependeza barabara za kisasa juu na chini magufuli we mungu tu akuonheze
@athumanomary14386 жыл бұрын
Ewe mwenyez MUNGU ewe mwenyez MUNGU ewe mwenyez MUNGU enderea kumuongoz rais wetu
@isaachelbati22936 жыл бұрын
Obviously magufuli is the hero president in Tanzania
@amanichanga34487 жыл бұрын
Keep going Tanzania
@aliaminiasimbafreshmixbaba17046 жыл бұрын
MZEE magufuli tunakupenda
@abubakarkada30836 жыл бұрын
Kazi nzuri Waungwana
@gilbertwilliam46777 жыл бұрын
Safi sana
@mohamedabdallah83216 жыл бұрын
Wanaopinga waache waendeleee kupinga tu
@AthumanAthumanTz7 жыл бұрын
Mungu nimwema
@lelekilele27 жыл бұрын
HAPA KAZI TU!
@amourmtungo6236 жыл бұрын
We need to be example. We are bigger than Kenya and Uganda, why can’t we beat them financially and economically? The time is now, we can do it and let us do it.
@venancemgini35366 жыл бұрын
Let's do it yeah! go Tanzania my country go my president excellence Dk.john pombe magufuri tupo bega kwa bega na wew
@adyaa89227 жыл бұрын
Mungu mubariki raisi wetu
@angelusilljujalijuja98527 жыл бұрын
Mungu ibaliki Tanzania. Ibaliki serikali ya tanzania
@mustaphawaziri54464 жыл бұрын
ilkulu ebu tuleteeni maendeleo ya bwawa la Nyerere. mana Hakuna taharifa za uhakika
@jeninunu91776 жыл бұрын
THANKS MAGUEULI MUNGU AKULINDE
@amourmtungo6236 жыл бұрын
We need to maintain what we build by paying the workers well and look after them and their wellbeing and welfare. All the developed countries do this why can’t we?
@wcbwanatishakiranikirudiab23497 жыл бұрын
Ewe mwenyezi MUNGU enderea kuwaongoa viyongozi wetu wateuriwa wa raisi wetu
@renatusmisigaro63327 жыл бұрын
Nice move
@stephanokanyika69887 жыл бұрын
big up
@ahmedthelegentruelegend55237 жыл бұрын
safi sana
@gesusgegangphray76896 жыл бұрын
big up kikwete kubuni flye over hii
@venancemgini35366 жыл бұрын
Kubuni bila utekelezaji nisawa na kupima afya na kukutwa na ugonjwa alafu unaacha kununua dozi ya kukutibu ugonjwa sako wako big up my president Dk. Magufuri protocol preserved.
@saimonmanyerezi71695 жыл бұрын
@@venancemgini3536 ni kweli kubuni ni kitu kimoja na kutekeleza ni jambo jingine big up kwa Elimu. Ndo wataelewa maana ya hapa kazi tu.
@lifeonearth947 жыл бұрын
Hii serikali ata kuikosoa utajishangaa
@shyshayagen27336 жыл бұрын
Beautiful Tanzania
@gooddeeds1626 жыл бұрын
It’s sad kuona watembea kwa miguu na madereva wote hawajui sheria za barabarani, Zebra crossing mtembeaji anasubiri gari lipite ikiwa yeye ndiye aliyetakiwa kupewa nafasi ya kupita kwanza 🙂
@patrickmbogo78057 жыл бұрын
alafu jitu linasema serikali haijafanya kitu
@corrolesscps6 жыл бұрын
PHILIPO MBOGO . Ukiona jitu linasema hinyo akili ni ndogo, IQ. Ndogo interigent qurty ni ndogo. Wapo wengi sanaa. Ni kutokana na bara letu la Africa mtoto apewi malezi mazuri. Hali vizuri na muda mwingi anapigwa na kutumwa huku na huko. Wenzetu wanasema ndio hapo watu wanakuwa na matatizo kwenye vichwa vyao, na akili inapungua
@wcbwanatishakiranikirudiab23497 жыл бұрын
Ewe mwenyezi MUNGU enderea kuwa pamoja na raisi wetu
@fafa12197 жыл бұрын
inshaallah rais wetu mungu akujarie mwema
@faustenkafuku5416 жыл бұрын
wcb wanatisha kira nikirudia bado daaa Omary
@minjacsd18746 жыл бұрын
👍👍👍👍👍👍
@jerrykikuli37006 жыл бұрын
serikali ya JPM imefanya mambo makubwa jamani. Tuzidi kumpa moyo kiongozi wetu
@alifaki96497 жыл бұрын
Magufuli send Tz
@edlumala94286 жыл бұрын
Jamani hii ni flyover au daraja tu? Nnavyojua flyover inakuwa na bypass roads! Mfano ukipita juu, unaendelea na njia hiyo hiyo kukupeleka sehem nyengine, hii ukipita juu baada ya meter kadhaa unashushwa chini uendelee na njia ile ile uliyotoka nayo mwanzo. Jaribuni kutafuta “Thika road- Kenya” at least mtajua tofauti.
@amanijolam41407 жыл бұрын
HAPA KAZI TU
@IbrahimMohamed-fk5cc7 жыл бұрын
Best master plan
@michaelsiweya65006 жыл бұрын
Tunaelekea kuzuri kabisa.. Nchi inafunguka sasa
@muddyurungu78236 жыл бұрын
Huyu ndio rais atufaaye Watanzania.
@wcbwanatishakiranikirudiab23497 жыл бұрын
MUNGU mkuu turindie raisi wetu
@filbetsamson1926 жыл бұрын
Good
@valentineougo11116 жыл бұрын
its happened in Kenya 2yrs ago
@abubakarkada30836 жыл бұрын
Ifanyeni Mapema bila kuchelewa tuko pamoja
@patrickmbogo78057 жыл бұрын
napata shida pale mtanzania serikali ya Tz hajafanya kitu chochote.
@burtonytenison25607 жыл бұрын
Hapa kazi tuuuuuuuuuuuuuuuuuu.
@zainamohamed86186 жыл бұрын
Hapa kz tu
@justinecleophas62997 жыл бұрын
ulie weka likidole lako chin mpuz barid ww
@jemakhalifa68076 жыл бұрын
tutafika taratibu ndio mwendo.mapungufu kawaida tu
@kwisa48997 жыл бұрын
Jamani hii sio fly over ni inter change mkitaka kujua maana ya fly over nendeni kenya na Ethiopia
@BESMARTTELEVISION6 жыл бұрын
James Mwakyusa POINT YAKO YA MSINGI NI IPI ? KIKUBWA SISI TUNAPENDA TUNACHOKIONA.
@nassormohamedmwarizo44336 жыл бұрын
James Mwakyusa wazee wa kupinga!! We baki na ya Kenya na Ethiopia, hii yetu Watanzania!!
@venancemgini35366 жыл бұрын
Hizo za kenya a.k.a wazee wa nyege nikunyegezana na za ethiopia kaa nazo mwenyewe si hii hii yakwetu ndo fry over
@mussabuma95926 жыл бұрын
Poa
@shyshayagen27336 жыл бұрын
Stupid are people who hate maguful
@jembewamajembe58636 жыл бұрын
Sikubaliani na gharama waliotupiga nayo. Billions 96 ni nyingi mmno. Wametupiga $.
@venancemgini35366 жыл бұрын
Jembe Wamajembe kikubwa value for money inaonekana ko mengine mbwembwe tu na maneno ya kanga.
@jembewamajembe58636 жыл бұрын
Venance Mgini Jeshi letu lifanye hii kazi. Naamini wanaweza ni kukodi vifaa tu.
@venancemgini35366 жыл бұрын
sina hakika kama wataweza ndugu siwezi kusemea sana ila ninachojua mim kila sehemu inaufanisi wake na utaharamu wake unaweza ukakodi vifaa ila kama hauna utahatamu wa hilo jambo bado unakuwa hujatibu utaharamu kwanza na mengine yanafuata