Nah imani kwa Chama imepotea kabisa wananchi walikua wana Kauli uchaguzi wa mwaka 2015 na tatizo lilianzia pale walipo mpitisha Lowasa agombee uraisi wakaona haitoshi wananchi walimpigia mzee Lowasa kura na alishinda na bado Lowasa akusema kitu juu ya lile, CCM iligombea mara 2