Namuona Kaka Rémy,namuona Kaka Esron, nawengine nakumbuka mlivyo tutembelea kabuga ,Mungu awabariki.ninahitaji kujuwa mahali mlipo kama ni inchini Burundi ili tuweze kusalimiana.namuona kaka Prosper, Kaka Musa ,
@CharlesDigha28 күн бұрын
Nyimbo zinanikubusha mbali mzik umepangwa vizuri
@bernardnsengiyumva-zf1bzАй бұрын
Mimi kipindi hicho nipo 13 uryankuru nikiwa namwaka mmoja fikiria tupo 2024 Mngu nimwema ahimidiwe
@mabitajunior2 жыл бұрын
nyimbo hizi mwaeza sifanya upya maana zina uzito hadi leo mwaka 2022
@obeidroden2934 Жыл бұрын
Very powerful song full of blessings. MBARIKIWE SANA.
@esaiembumba1699 Жыл бұрын
wakati huu watu walikuwa wakiogopa mungu
@alphayomogunde7828 Жыл бұрын
Mmie Alphayo omwega mogunde from Nairobi Kenya, sijawai ona kwaya nzuri kama hii, Ndugu kiongozi wa huu wimbo, sijui kama wanausiano na' kwaya ya' Barabara 13, Ulyankuru?.
@florambombo76113 жыл бұрын
Amen Amen kubwa Asanteni kwa Ujumbe mzuri Mungu awabariki