Рет қаралды 597,139
Mbali na binadamu kuumbika vizuri, binadamu huyo anaweza kuwa na shida mbalimbali za kujaribu imani. Wimbo huu unamwangazia Ayubu katika Shida zake na jinsi alivyozichukulia. Tunafaa kuiga mfano wa Ayubu katika ukristo wetu sio eti tulalamike.