Mungu ni mwema tena baraka za mtu akuna wakuzipinga congrats you daer Norah tunakupenda sana daer❤
@JoyJoven-z6w3 ай бұрын
Poole sana norr kwa uliyoyapitia na zeb Mungu akubarik na siku zote Mungu amtupi muja wake
@RussellRodriguez-it1lnАй бұрын
Safi sana dada nawapenda niye wote mupokee salamu yangu kutoka Congo Kinshasa 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@BethinaFakhad-gb1tm9 ай бұрын
Nawapendaa sanaaaa jaman team kp
@rizmwMwriz-mf2cu9 ай бұрын
Pole sana Norah kwa maisha uliyo pitiapia ongera sana kwa kupambana Mungu azdi kukupambania In Sha Allah
@Prijo-i9g3 ай бұрын
Nawapenda bure madada na mandugu zangu❤ kutoka kenya
@RizzyQueen-n5k9 ай бұрын
Hongera San Nora mungu akujalizie na next time ningependa iwe ya likoma
@ManJr-w7l2 ай бұрын
Daaah pole xana Norah nawapenda wote zebuu mungu akulinde
@LoveAron12 күн бұрын
Nice job Nora,Nawapenda wotee❤❤❤🎉🎉🎉
@simoboynyererepogba9464 ай бұрын
Ubarikiwe sanah nora...pamoja na nora...tamthilia zenu nazifuatilia kila uchao...nipo kenya kijana wa miaka 21 ...mm ni maasai🙏
@YosiaSharo9 ай бұрын
❤❤❤xanaa Norah Mungu akusaidie nimeipenda kazi yakoo hakika nayaona matunda yà kazi yako
@IsackYahona-rs3qiАй бұрын
Wema ni akiba sana na ubaya pia ni akiba Hongera kwa kujaza mema kwa kibubu chako na kutakia kuwa mafanikio yako
@charlesbalinda44109 ай бұрын
Hongera sana dada Norah, jipe moyo mpendwa, endelea kupambana na bado unanafasi ya kuendelea na shule, Mungu akufanikishe
@AgnesJohnson-l8m6 күн бұрын
Daah nawapenda sana timu ya KP yote❤❤❤❤
@RahabuPhilimon-s4y3 ай бұрын
Mungu akupiganie sana nolah na mm nataman kuwa kama ww
@aseragerevasemuzaura156 ай бұрын
Barikiwa sana Zebuu hakika mwenyezi MUNGU awalinde nyote , Norah pia mheshimu sana Zebuu na watu wote . Kheri katika BWANA
@SarahJuma-qf1xqАй бұрын
Mungu ni mwaminifu sana❤❤congratulations girl much more love from Kenya
@Hzakizaki9 ай бұрын
Afate sheishei nampenda sana tena mnoo❤❤ 😂😂😂ya ni natamani kumuoga tuu mpaka bs I love you sheishei🎉🎉🎉
@NeemaAndrea-jv9sr5 ай бұрын
Barikiwa Sana zebuu natamani bahati hiyo ingeniangukia mm
@Neykids7 ай бұрын
Nataman Sana. Sku mojaa kuoneshaa kipaji changu napendaa sanaa kuigizaaa lakin sjui ntatokaje mungu akuepushee norrah
@SabinaMwita-r3t9 ай бұрын
Pole sana norah kwamaisha uriye pitia mungu akuangarie
@DeodathaMsogoya2 ай бұрын
Ubarikiwe sanaaa Zebu na KP..🎉🎉
@LastbornecadetАй бұрын
Ambao tushakula chakula cha norah tunaelewa hii story vzr🎉🎉🎉
@AsiaEdward-z3m9 ай бұрын
Hongera sana mdg angu Yani Sasa mwanangu anavyonisumbua mama niwekee nora
@MuzunguAlphinoDieudonné4 ай бұрын
Binti Nora angera sana mungu akushindiye
@FatimaFatima-bx8ez6 ай бұрын
Mashaallah tabaraka Allah mungu yupo pamoja na wewe❤❤usife moyo pamba utafika😊😊congratulation nora asante kwa historia yako ya kusikitisha na yakufurahisha mungu akuzidishie umri mrefu wenye mafanikio ishaallah amin 👌 👍 ❤❤
@BenadethaAlphonce-d7o3 ай бұрын
Hongera zebuuendelea na roho yako nzuri
@MarthaWilbard-o7m4 ай бұрын
Jmn zebu mungu akubariki kwa msaada ulio mfanyia Nora ❤❤
@emmastephano3899 ай бұрын
Nakupenda sana zebuu kwa kumuonyesha Norah njia sahihi ubarikiwe❤❤❤
@flaviannduwayezu6 ай бұрын
Hongera sana dadangu na zebuu Mungu akubaliki.
@Mrsanthony-ys4ot3 ай бұрын
Mashaallah kipenz zebuu japo nimechelewa ila mungu akuongoze
@KINYONGAMASAUTIY3 ай бұрын
Mungu awabariki zb na kp mmemsaidia noli
@SimonKatana-jg8gv3 ай бұрын
Hongera dadangu Mungu akuzidishie
@BhupunaCharlesАй бұрын
Me nikupe hongera xana kwa kipaj chake kwa kupitia magum Leo umekuwa na furaha❤❤❤❤
@SopiatoWanjaАй бұрын
Pole sana nora nakupenda sana pia qwa kaz zako
@MamanEstherEsther3 ай бұрын
Bigup Norah kwa kazi zako nzuri
@FaridaAthuman-uv5zi3 ай бұрын
Hongera Sana Nora god blessing zebuuu nawapenda nyote team yenu
@JofreyMollel2 ай бұрын
Mungu akubariki
@everlinekenga4378 ай бұрын
Hongera sana mdogo wngu Norah❤❤ mungu akulienda sana
@RechoshooАй бұрын
Hongera xn nora❤❤❤
@jokhagadafy21449 ай бұрын
Maa Shaa Allah hongerasn mshekini sn mkono hyu bibty❤
@Mushalotelevisionkiswahili9 ай бұрын
Norah la femme de ma vie. Je t'aime fort depuis Lubumbashi Congo 🇨🇩❤❤❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@pastoramosnabulegospelarti95555 ай бұрын
Kogole Nora keep going my daughter bravo 🎉🎉 congratulations hongera
@giftmohamed23857 ай бұрын
nawapenda sanaaa tim kp na zebuu
@PatrickAshery-f2w19 күн бұрын
Mungu akutangulie nola
@HappynessFaustini4 ай бұрын
Zebuu na norah nawapendeni sana kwa ushirikiano wenu jomon❤❤❤❤
@evatarimo55456 ай бұрын
nakuombea dada angu norah mwenyezi mungu akusaidie.
@hajikombo31633 ай бұрын
Hongera sn zebuu kwa kuonesha ukarim kwa nora
@maxmilianimwakaniki26719 ай бұрын
Mungu akusaidie uko vzr sana unajua nola
@mukasajoachim59062 ай бұрын
Maisha ndo hayo mpenzi Norah ila hongera sana 🎉🎉🎉🎉 Na kama ulivyosema karudi shuleni ili ukatimize ndoto zako nakutakia vyema na ushindi kutoka Uganda
@wemakorogwe69009 ай бұрын
Pole sana Nora riziki anagawa mwenyez Mungu
@LucyLuhala14 күн бұрын
Hongera san norah endelea kupamban
@HawaTwalib-x6j11 күн бұрын
Wooh mungu aku bless
@AlexinahCynthia9 ай бұрын
For really God's great.. love you guys ❣️ from Kenya waiting for another series 🎉
@BenardCharles-w8p9 ай бұрын
Honger sana zeb kumsaidia Nora mung awalinde wote
@MercyKambua-wz9jt9 ай бұрын
Nawapenda Sana team KP na zebuuu,,,mnaeza nikujia Kenya 🤪😉❤❤naeza act pia aky😔😉
@FedrckMtwanga4 ай бұрын
Mungu akubariki sana norro nakupenda by rich star og
@AginesJastini2 ай бұрын
Sana norah nakukubari kipenz
@FrancoiseBizimana-w6p9 ай бұрын
Zebuu Mungu akupe maisha malefu ❤
@MarthaWilbard-o7m4 ай бұрын
Nawapenda Sana wote❤❤❤❤
@Elinah-t8s18 күн бұрын
Nawapenda bure tu team kp na zebuu
@DorricasJuma-n3qАй бұрын
Mungu akubariki zebuu ila naomba sku Moja na mm niwe miongon mwenu jaman
@LucyLuhala14 күн бұрын
Mungu azidi kuwalinda kp norha zebuu
@bernadettemungadiane9 ай бұрын
Mungu azidi kukulinda kipenz changu ❤
@davidmwemamwanzia3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂zebu unafuraisha waah dada❤❤❤❤❤❤❤❤
@AsiaAbdallah-k9j9 ай бұрын
Mungu ni mwema mumy endlea kupambana❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉
@LonciaFrancis4 ай бұрын
Hongera sana zebuu Kwa kumsaidia nora
@NuluMinga8 ай бұрын
Hongera kipnz Mungu awe nawe
@ElicklumeMasalukahabiКүн бұрын
Hongela sana❤
@SamiraNjira2 ай бұрын
Hongera sana Norah ❤❤
@BernadetteOmoss-rg1ls4 ай бұрын
God bless you Norah in your life
@PhilasKolovokaАй бұрын
I like you Nora by philas from butembo Congo drc
@benitobenjamini63819 ай бұрын
Norah Ni bint mzuri Sana Kwan ❤❤❤❤❤❤
@AwabuEssau3 ай бұрын
Nawapenda Sana Kp Zebuu na Norah😊
@Rabia-l8z8 ай бұрын
Nakupenda sanaa norah uwe na maisha memaa kipenzii cha watu mungu akusaidie ia ktk kazii yakoo iyo ya sanaa,
@MonteVall-c8z3 ай бұрын
Next naomba umfanyie mzee dibozi manuvaaa😊
@dainessdaud22756 ай бұрын
Mungu akuinue sana Nora
@NasmJaphel3 ай бұрын
Nakupenda bure bila tozo
@AugustinMbilinyi2 ай бұрын
Mungu akuxaidie
@DominicNzoka7 ай бұрын
Waaw kube Norah sio mzee vle ..mm apa namtafta from Kenya nmemzidi na miaka mbili tuh 🤣🤔🤣
@MillicentMukami-u6g4 ай бұрын
Congratulations Norah,zebu be blessed for helping Norah
@Abubakariramadhan-g7rАй бұрын
nakupa hngera sana
@MercyKahindi-go2nr9 ай бұрын
Hongera dada Nora Kwa upambanaji Huo kweli Mungu ana njia nyngi, Na Kwa zebuu Mungu akubariki Sana🙏
@KhalifatyMohamed-rn1zt9 ай бұрын
Tunakupenda sana nora❤❤❤❤❤❤
@SarahJackson-q1n3 ай бұрын
Nakupenda sana Nora wewe ni mpole
@TantineChristella9 ай бұрын
Mungu akuzidishie vipaji Norah naZebuu abarikiwe mpaka ushangaee dada
@Tikitoku-wj1gn2 ай бұрын
kweli norah nimpole sana ila mungu abaliki kuinua kipaji chake safi sana kaz njem ❤norah
@GodfreyWamburaGodfreyWambu-h8oКүн бұрын
Hongera nora lakin kama kunanafasi nami mniunge asanteni
@zitafuraha28073 ай бұрын
Nataka ukamfanyiziya Kp Documentary
@Mtakujapaschal-yj8je4 ай бұрын
Hongera sana Zebuu kumtoa jalalani Nora naye nampenda sana kwa maigizo yake hasa kwenye Mzee ea Giza hongera sana Argent xxxx na igizo lako la sasa la Plan B kwa kumssmehe mwizi wako wa simulation ila nakushauri usiwe Mpenzi wake Kp maana anakusumbua sana na pia ni shemeji yako kwa Zebuu hapo alimbaka
@TIMEALY-i8k9 ай бұрын
Hongera sana nora tunakipenda pia ww n zebuu
@Fkpi_511 күн бұрын
Hongera sana
@juliuskinywa73339 ай бұрын
Ongera Norah, mungu akujalie, alf KP what next, tunagoja.
@Irine-n4c9 ай бұрын
Congratulations Norah mungu akuzidishie
@MashauryErica9 ай бұрын
Maisha ya mtu hupangwa na mungu norah alichanguliwa