Subhanallah brother wang zidi kutufahamisha maana kiukweli inaumiza tunayopitia Allah pekee ndoajua🙏
@MawaddaKhamis-zh3kc10 ай бұрын
Mm kaka naona huna kosa ulilokosea mana hata na mm najifunza mengi kupitia video zako ❤
@zainab825110 ай бұрын
Nakupenda sana kaka kwa elimu nimejifuza vingi kutoka kwako endelea na elimu ya kutuelewesha
@SemeniJuma-x8i10 ай бұрын
Aksante kwa maelezo yako na huo msaada na kama utakuwa endelevu na uaminifu utakuwa umetuokoa wengi kwenye hili jambo wengi tunahitaji kufanyiaa vitu vizur tatizo watu wenyewe wa huko ni shida nimekupenda na nitakutafuta inshaallah
@bentybenty234310 ай бұрын
Binafsi nakuelewa xana..ALLAH akuhifadh 🤲
@amisamaurid188210 ай бұрын
Kaka Endelea kutusanua mafundi wengi wanajali maslahi Yao tu ubunifu wao ni mdogo ❤
@FatumaMamlo-st8pj10 ай бұрын
😢😢😢kutiana hasara wallah kwatuliopitia ujenzi inauma sana
@OthmanhajiMwalim10 ай бұрын
Duhh!!! Safi sana kaka kazi yako. Nimejifunza
@shakirashakira-gc2yw10 ай бұрын
In shaallah watipa tu mafundi wote wanao tuhalibia nikweli tunaumia sana
@salmahanai10 ай бұрын
Haisee wamempa hasarà sana napambanà najuà nitakutafutà Mungu akipenda
@Rahima-v5j10 ай бұрын
Bora ata uyo alicho fanyiwa kuliko yaliyonikuta mimi nimakubwa ayaelezeki😢😢😢😢
@khanifaally875210 ай бұрын
Pole sana 😢😢
@uwimana653310 ай бұрын
Huyu kaka sauti kama mboso Kani 😂😂😂😂
@WebNet-f9e2 ай бұрын
Kweli kabsaa
@aishajuma50795 ай бұрын
Hiyo nguzo namimi ninachangamoto hiyo tena imeanguka kiukweli inauma😢😢
@kutailass667110 ай бұрын
Mashaghala wenzangu, tusiwape kazi za ujenzi ndugu zetu, wengi hawakosei kwa bahat mbaya bali wivu wakijinga kabisa, mimi baba yangu mdogo ni mtu anajenga had magorofa na anajenga vizur sana, lkn alivyoona natuma pesa toka arabun wee😢wallah Allah anamuona huko aliko,na mimi nyumba yangu ni yakuvunja kama hiyo uliyo ivunja hapo,hapa nalia sielewi nini nifanye😢
@sharifamahamudu18210 ай бұрын
Pole dada
@sharifamahamudu18210 ай бұрын
Yan mshahara tunapigwa mm naogopa ata kuanza ujenzi
@kutailass667110 ай бұрын
@@sharifamahamudu182 usiogope ila ushaur wangu usilogeke kumkabidh ndugu, utalia kilio cha mbwa
@shakilabakari692810 ай бұрын
😢😢😢 subhanaAllah pole sanaa namm nijipange kwakweli
@Mpakauseme10 ай бұрын
Nafikiri hapo pia hapunguze mzigo wa bati juu kwasababu chini msingi ni hatarishi, aisee ujenzi bila ramani ni sawa nakujisumbua kuyatafuta matako nyoka, aisee hiyo ilinikuta na mimi hivyo hivyo nilipoteza fedha nyingi nikatengenezewa madudu , shida kubwa wazee wetu hawafahamu chochote na wamazongwa sana maneno ya uwongo, . ukweli watu tuliotokea uswahilini na uko watu walio wengi hawaelewi chochote na ata ukiwashahuri wanakuaga wabishi sana
@witnesrobson10 ай бұрын
Mm ndugu sina ham nao jamani
@ZuhuraJuma-b9r10 ай бұрын
❤❤ nakupenda sana unatufunza
@MonaAlmona-c1n10 ай бұрын
Hasara kubwa sana dah
@kulwagama367710 ай бұрын
Uko sawa kk
@MohamedIbrahim-bn1gz10 ай бұрын
Safi blaza
@aminasultan728710 ай бұрын
Kuna jirani yangu alikufa baada ya kuangukiwa na zege ya kibaraka baada ya kuamia hawa mafundi wa mchango Mungu anawaona
@LailaLaila-kg2qd10 ай бұрын
Ni kweli kbs kakaangu
@magdalenapeter610610 ай бұрын
Wow aisee mpaka inaanza kuleta mvuto
@FatimaAli-of4gh10 ай бұрын
Hata nyumba yangu jiko na stoo vipo tofauti
@raayMahmid10 ай бұрын
Pole sana
@aishajuma50795 ай бұрын
Sijui wanazania tunaokota hela uku😢kiukweli inauma sana
@MuhammadHassan-xp6dcАй бұрын
yani mtiani sana
@SwillaJemaСағат бұрын
Iyo umeibadilisha imekaa poa. Hata mm nilikutana na saiti kama iyo yaan ujenzi wa ovyo.. uliotumika
@salama111310 ай бұрын
Kweli kaka pesa ya mwarabu mbaka ufanyie chamana unashukuru
@DotoJuma-q3x10 ай бұрын
Asee kampa mwenzie asala kubwa 😢
@flexacro19658 ай бұрын
True
@samsungoman562610 ай бұрын
Inaskitisha sana
@sikudhanimoshi696710 ай бұрын
Ww fundi wangu mbwana acha nitafute pesa
@nishaabdula501510 ай бұрын
Ala.fu mm uwq na shangaa kbs kwnn unjenga nyumba bila kufunga mkanda chini nyumbalazima iwe na mkanda bn
@ZuwenaSoni10 ай бұрын
Fanyakaziyako kaka usijari binadamu anajimpya tusanuwe
@chalemofaraji879710 ай бұрын
Upo sahihi kabisa yaan umetugusa
@SayyidAhmadBaalawy10 ай бұрын
Makosa Makubwa Yamefanyika Hapo Na Inaskitisha Sana..... Tuna Wasihi Wale Wanao Taka kufanya Makao Yao Nyumbani Kwanza watafute wahusika wenye kufanya hizi kazi wawafanyie badili yakuwapa kazi watu wakatibu wasio kuwa na ujuzi wa hizi kazi watakua wana watia hasara. Fu guweni macho
@Simonirafael-wt4lc10 ай бұрын
Yaani japo mtuunanjaa zako unalazimishaje kuwa wewe nifundi naukaaminiwa halafu unamtia mtu hasara hata mm nirimkosakosa babamdogo kumfunga ariniharibia nyumba hivyohivyo
@babazungu318010 ай бұрын
Mafundi wengi ni wezi tu wa tanzania 😢
@simbahussein441610 ай бұрын
UKO VIZURI BROS MIMI NIKO AUSTRALIA NDUYANGU NIME MTUMIYA HELA YA KUNUNU HUWANJA KANUNUWA KISHA KAHANDIKA MAJINA YAKE KWAKUTAKA KUNIZULUMU . MPAKA HIVI HATAKI KUNIPA HUWAJA WANGU HUSHENZI SANA
@chayogasperi978310 ай бұрын
Uko Australia unaandika hivi ??
@khamismaulid834710 ай бұрын
😂😂😂 huwanja @@chayogasperi9783
@fettyrashid904210 ай бұрын
@@chayogasperi9783🤣🤣🤣HUWANJA
@hawaally230810 ай бұрын
😂😂😂😂 nimecheka sana labda mzamiaji au Australia ya hukoo kunako
@chayogasperi978310 ай бұрын
@@fettyrashid9042 Labda aliishia la Tatu B mmmmh , sio kwa mwandiko huu .
@wankephanuel958310 ай бұрын
Pambana mafanikio Yana vita usikate tamaa tupe elimu mtaalamu 4:41
@salmabakari-nq4yj10 ай бұрын
Jmn huyo fund kwel kakosea sn
@ModextaModexta-on7mi10 ай бұрын
🙏🤲💔💔💔
@jumalastno10 ай бұрын
Mkuu unacho fanya uko sahihi achana na comment za wanafiki,endelea kusema ukweli mkuu
@HhhTt-vl9ct10 ай бұрын
Hapo kwenye ukuta unaobembea weka nguzo sio kati kati lilipoishia tofali pande zote mbili ila nguzo iwe na upana wa tofali na badae weka bim juu ya bim kwa nondo madhubuti itakua sawa tu kuliko kuondoa na hicho kipande kilichabakia.
@salimanguzo555310 ай бұрын
Nampapole nduguyangu kwa hasara anayoipata gharama yakubadili jengo nikubwa kuliko kujenga upya,namiyame nikutahayo cna ham
@koperawasona95519 ай бұрын
Kweli atulale tunatumika kama punda usiku na mchana kigine baba zetu na ndugu zetu njoo wanatupiga wanatukomowa wanaenda chukuwa mafundi wa mchongo marafiki Zao
@magdalenapeter610610 ай бұрын
Ina maana hamna dinning? Aisee wameharibu vibaya mno
@MamaMama-xp4nk10 ай бұрын
Nyie acheni tu kutafuta kugumu unakuta mtu anakuharibia
@FatimaAli-of4gh10 ай бұрын
Wala usiseme kaka sisi huku tumegeuka bi Maryam hata mwanaume hatutamani tunapiga kazi tu huku ulaya mafundi wanaripua tu kazi zao na matofali mchanga nyumba hazina viuno madirisha yapo chini sana ikija mvua maji yanapita dirishani