INATISHA! AVAMIWA na MAJAMBAZI na KUPIGWA RISASI AKITOKA KWENYE BIASHARA ZAKE -ASIMULIA TUKIO ZIMA..

  Рет қаралды 106,764

Global TV  Online

Global TV Online

2 жыл бұрын

INATISHA! AVAMIWA na MAJAMBAZI na KUPIGWA RISASI AKITOKA KWENYE BIASHARA ZAKE -ASIMULIA TUKIO ZIMA...
Mfanyabiashara wa huduma za Kifedha kutoka wilayani Kasulu mkoa wa Kigoma, ameelezea jinsi alivyovamiwa na majambazi na kupigwa Risasi maeneo ya kiunoni wakati akitoka katika biashara yake majira ya usiku.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750 910), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 218
@globaltv_online
@globaltv_online 2 ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@neemasamwel9545
@neemasamwel9545 2 жыл бұрын
Ndo maana huwa nasema watu wasikariri Sana maisha yako unaishije jitahidi watu wasijue ratiba zako kama nibiashara funga muda usio tabirika njia yakupita isiwe Moja
@elizabethsanga9184
@elizabethsanga9184 2 жыл бұрын
Kabisa
@abdallahmaulid6005
@abdallahmaulid6005 2 жыл бұрын
Acha kujiongopea muonbe mungutu akuepushe
@nicklasndabiyeho6650
@nicklasndabiyeho6650 2 жыл бұрын
Pole sana kastory , classmate muyama sekondari 2008-2011 , buhigwe kigoma Tanzania,
@abbasbakary3491
@abbasbakary3491 2 жыл бұрын
Kama picha pole sana na hongera huyu mama wa nguvu
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt 2 ай бұрын
Allahu akbaru ooh allah tuondoleee hawa madhwalimu
@Chrisblaze-beats
@Chrisblaze-beats 2 жыл бұрын
Huyu walipanga kumua ndio maana walikua ata hawaangaiki, yani mmoja ameingia kuchukua ela wenzake wanamsubiri nje🤭 Mungua alikulinda bro Hongera sana kwa hilo. Pole pia na matatizo boss💙💙
@marysinkolongo7347
@marysinkolongo7347 2 жыл бұрын
YESU wa huyo mama aliyekua anasoma Biblia amekuokoa Asante YESU.
@MariaMaria-gj9or
@MariaMaria-gj9or 3 ай бұрын
😢😢😢😢
@iamjeanne8744
@iamjeanne8744 20 күн бұрын
Exactly my thoughts, siku zote Mungu anamponya mtu kwenye unexpected miracle 👏🏾
@iamjeanne8744
@iamjeanne8744 20 күн бұрын
Exactly my thoughts, siku zote Mungu anamponya mtu kwenye unexpected miracle 👏🏾
@marrymenas
@marrymenas 2 жыл бұрын
Nimecheka jinsi anavojieleza maskin pole broh! Eti anasema anasikia paa! Anajiuliza eeh nn hiyo inawaka kwenye mwili wang 😆😆 Malaika mlinzi alikuwa na ww siku hiyo Bwana Mungu ashukuriwe 🙏
@fraviansweetberty8819
@fraviansweetberty8819 2 жыл бұрын
😄😄😄😄😄😄😄😄😄👊👊👊👊
@user-jz8sj5us1h
@user-jz8sj5us1h 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣😁😁😁😁😁😁😁😁🤲🤲🤲😥😥
@elizabethsanga9184
@elizabethsanga9184 2 жыл бұрын
😀😀😀
@praisesteven7774
@praisesteven7774 2 жыл бұрын
yaan kumb risas unawaka kma motooo🤣🤣🤣🤣
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 2 жыл бұрын
Halafu ana sema anamshukuru mke wake Kwa kimvumilia,kumogesha ,ni Sawa lazima ayafanye yote hayo Kwa sababu vi miamia.vipo ,,alisahau yakuwa Zama hizi hapendwi mtu ,,ilA kinapendwa kile ulicho kiandaa
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 жыл бұрын
Pole sana mungu akutaka ufe.Mungu ni mwema.
@jamesbilafumba6902
@jamesbilafumba6902 2 жыл бұрын
Ooh Mungu wangu, pole sana Mwanafunzi wangu Mpoki
@skjjsj1889
@skjjsj1889 2 жыл бұрын
Pole sana kk
@AishaAisha-rh1fc
@AishaAisha-rh1fc 2 жыл бұрын
Hawa watu wa 2 wana kujua uyu 1 wame mkodi
@mwajabually2407
@mwajabually2407 2 жыл бұрын
kweli
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 2 жыл бұрын
Pole sana
@peteryukunda9239
@peteryukunda9239 2 жыл бұрын
Pole sn Bro! Mungu atayaweka adharani yachomwe moto.
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 2 жыл бұрын
Pole sana Kaka yangu. Mwenyezi Mungu akujaaliye upone Insha Allah.
@rukiauwonde7062
@rukiauwonde7062 2 жыл бұрын
Dah pole sana
@heritier5119
@heritier5119 2 жыл бұрын
Ukiona dalili za kufuatilia wapoteze maboya usielekee nyumbani, ukibeba pesa inatakiwa uwe na machale sana
@belinamartini1768
@belinamartini1768 2 жыл бұрын
Pole sana kaka na hongera sana kwa kupona Mungu yuko na ww
@tithombeya5779
@tithombeya5779 Жыл бұрын
Mungu mwema
@estherwilliam3758
@estherwilliam3758 2 жыл бұрын
Pole sana kaka Na pole na mafua
@rozina2161
@rozina2161 2 жыл бұрын
Daah jamani pole sana kaka
@elizabethsanga9184
@elizabethsanga9184 2 жыл бұрын
Jaman pole sana kaka
@angelclement9149
@angelclement9149 2 жыл бұрын
Pole Sana
@learningswahilistreet7682
@learningswahilistreet7682 2 жыл бұрын
Pole Sana my classmate
@AminaLibisa
@AminaLibisa 3 ай бұрын
Sasa una mafua daah mbona ivyo mimi nakula banah stori mzuri ila mmmh 😂😂
@MonaJuma-cp3jg
@MonaJuma-cp3jg 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂pole my
@AminaLibisa
@AminaLibisa 2 ай бұрын
😀😀😀 Asante mpendwa
@ziadaskitchen5060
@ziadaskitchen5060 2 жыл бұрын
Mungu atulinde
@happykimodoi1528
@happykimodoi1528 2 жыл бұрын
Pole Sana Yan kaz hiz ngum
@maigajohn5828
@maigajohn5828 2 жыл бұрын
Pole sana ndugu yangu
@YonaMbwilo
@YonaMbwilo 2 ай бұрын
pole sana kaka
@queenmilan2024
@queenmilan2024 2 жыл бұрын
SHIKAMOO TANZANIA YANI BONGO MOVIE NI NYINGI.MIMI HAPA ITALY NIKIPATA STRESS NAKUJA YOU TUBE KUANGALIA VITUKO VYA WATANZANIA
@revockatuskihecka7553
@revockatuskihecka7553 2 жыл бұрын
Hahaaa umeona ee
@gilliardgodfriend5745
@gilliardgodfriend5745 27 күн бұрын
😢😢😢😂😂😂😂😂 yaani inaumiza ila jamaa anavoelezea ni comedy tupu pole sana ndugu😢😢😂😂😂 😀😀😀😊
@user-jz8sj5us1h
@user-jz8sj5us1h 2 жыл бұрын
Pole sana kaka
@judithmakuto3612
@judithmakuto3612 2 жыл бұрын
Pole babaangu
@modestersalmon7764
@modestersalmon7764 2 жыл бұрын
Mh pole jaman
@MonaJuma-cp3jg
@MonaJuma-cp3jg 2 ай бұрын
Mungu nimwema
@asiasalum6735
@asiasalum6735 2 жыл бұрын
Duu kaka pole sana
@MonayLai
@MonayLai 2 ай бұрын
Pole sana ndugu
@hanifaamani3363
@hanifaamani3363 2 жыл бұрын
Lkn bando.. umetumalizia(pole na hongera kwa ujasiri)
@user-rw6jc7zp9k
@user-rw6jc7zp9k 10 ай бұрын
Poleni sana
@carrenbenson2111
@carrenbenson2111 2 жыл бұрын
Pole Sana kaka dunia inatisha sana saiv
@tracejeezy8917
@tracejeezy8917 2 жыл бұрын
Huyu jamaa vipi mbona Risasi hazitokii daahh 🤣 ila pole bro.
@user-df6ui9ro8s
@user-df6ui9ro8s 2 ай бұрын
Yote kwa yote kak. Hongera san san kuwez kupamban nao
@tantineebengo8799
@tantineebengo8799 2 жыл бұрын
Pole
@zainaseleman3043
@zainaseleman3043 10 ай бұрын
Jaman Yesu yupo tumeona kaz zake
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 3 ай бұрын
Pole sn
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 2 жыл бұрын
Pole jamani mungu yu pamoja nawe.
@husnaseph9476
@husnaseph9476 2 жыл бұрын
Nimependa kumusifia mke wake
@eddimwamba4208
@eddimwamba4208 2 жыл бұрын
Pole sana mungu ni mwema😭🙏
@demicratia4071
@demicratia4071 2 жыл бұрын
Hii story haijakaa vizuri
@mwajabually2407
@mwajabually2407 2 жыл бұрын
ata mimi sijaelewa
@maryammdoe5801
@maryammdoe5801 2 жыл бұрын
Pole sana ndugu japo kua nakusikia kwashisa sana yani unavyo ongea nakupata kwa tabu pole sana
@jacobsifukwe7291
@jacobsifukwe7291 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@israeleliah7163
@israeleliah7163 2 жыл бұрын
😱😱😱
@heritier5119
@heritier5119 2 жыл бұрын
Ashukuru alikutana na jambazi wanafunzi
@cecygeorge4443
@cecygeorge4443 2 жыл бұрын
Huyo dada alokuwa anasoma biblia na tochi ndie alomlilia Mungu yote yakapita na leo upo salama toa sadaka umshukuru Mungu🙏🙏
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 2 жыл бұрын
Wakati yeye mwenyewe bibilia alitupa akaanza kunya..chezea pisto
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 2 жыл бұрын
Ilitupwa huko bibilia unacheza na kifo
@asiakheir8684
@asiakheir8684 2 жыл бұрын
Wakati wameshikana na huyo mama wewe uko wapi, mbona husaidii
@user-yp5mm2pg5s
@user-yp5mm2pg5s 2 жыл бұрын
Yupo ila hawez kumbuka amejeruhiwa
@alaudindarji7147
@alaudindarji7147 2 жыл бұрын
ماشاءاللہ یاحاہم=جرورآئےگے
@adamfundikira742
@adamfundikira742 2 жыл бұрын
Yaani ukimpata mke wa kiha uwa ni wavumilivu sana
@doreenkaiza9930
@doreenkaiza9930 2 жыл бұрын
Nakubaliana na wewe asilimia 98
@agnesn9947
@agnesn9947 2 жыл бұрын
Hongera dd Mungu akuone mwanangu
@saimonijonas4356
@saimonijonas4356 2 жыл бұрын
Mimi kaka yangu ameoa muha aisee anaenjoy ile mbaya.Wavumilivu sana.Wapo wacheche walio kwisha kuwa chotara hawana uvumilivu.
@samiraabdimahamed4449
@samiraabdimahamed4449 3 ай бұрын
😢😢😢😢 pole sana kaka yangu
@user-nh7rn4os2o
@user-nh7rn4os2o 7 күн бұрын
Funga. Kazi. Mapema
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 жыл бұрын
Hao ni ndugu,na rafiki zako,jaribu kuludi mapema home.
@atupilikembuba9093
@atupilikembuba9093 Жыл бұрын
Pore sana namshangaa binadamu. Hawana huruma
@greenwellnsyukwe4729
@greenwellnsyukwe4729 3 ай бұрын
Ina maana huo mtaaa hauna watu, mbona ilichukua muda mrefu sana.
@ednajeremiah928
@ednajeremiah928 2 жыл бұрын
Ila mwanamke alivyofuguwa geti agefuguwa kabsa ila mume aingie na pikipiki haya yote yasingemkuta sasa unafunguwa geti unarudi ndani maisha ngani hayo watu wengi sana wanafia nje ya geti kusubiri kufunguliwa geti watu tujifunze
@salustiashayo3486
@salustiashayo3486 2 жыл бұрын
Ni kweli usiku mnaingia ndani eti mnamuacha mtu ndani
@florahthamson133
@florahthamson133 2 жыл бұрын
inamaana hata huwaga hampokei mme wake huyoo😂
@saimonijonas4356
@saimonijonas4356 2 жыл бұрын
Ndo maana mimi naporudi nyumbani huwa nawaambia nakaribibia kufika,kaa getini ukiona taa za gari au pikipiki nitawasha nakuzima fungua geti mi sisimamagi getini akisha fungua nikipita tu nageti linafungwa haraka kama vile mimi ndo jambazi.
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 2 жыл бұрын
Kumbe Ulikua Jeuli Toa Hela Unaleta Mabishano Wakati Wezio. Wako Na Moto
@heritier5119
@heritier5119 2 жыл бұрын
Hii bongo movie aisee
@greenwellnsyukwe4729
@greenwellnsyukwe4729 3 ай бұрын
Yaani muda wote huo haujapoga kelele tuuu watu wakaja jamaniiii.
@bwanautamu2081
@bwanautamu2081 2 жыл бұрын
Hizo hirizi ni hawa hawa waganga ambao mnawatangaza insta na mitandao mingine tuwe makini jamani na waganga
@sashahauke2032
@sashahauke2032 2 жыл бұрын
Jamani msikosoe mtu kwa maneno makali hivyo tuko tofauti eti alaa hata hivyo wewe ni jasiri sana sana sana
@himnasalum2424
@himnasalum2424 2 жыл бұрын
Pole sana kaka unavovuta hayo mafua yn namm nameza
@mwajumaissa2358
@mwajumaissa2358 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣Jamani ww
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 2 жыл бұрын
@@mwajumaissa2358 😄
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣 acha tu nicheke, japo Story yakusikitisha,wangempa muda angalau wa kupenga kamasi
@fatmasinde8596
@fatmasinde8596 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@khadijeegundumu4651
@khadijeegundumu4651 2 жыл бұрын
😂🤣🤣🤣🤣🤣
@kainimlowe7555
@kainimlowe7555 2 жыл бұрын
mimi ni wakala pia ila siku hata tapeli tu siku ajichanganye kwangu amekwisha
@sixberttindwa9622
@sixberttindwa9622 2 ай бұрын
Wana wake kamahoao nimojamoja sana
@ummutaswaufi3980
@ummutaswaufi3980 2 жыл бұрын
Maelezo ya mwanamke yamenyooka Ila pole sana
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 2 жыл бұрын
Duu . Jamaa ana Roho ngumu
@zawadimwakipale4222
@zawadimwakipale4222 2 жыл бұрын
Poreni sana ira mkeo nijasiri sana ira ameniuzi kitu kimoja angefunguwa geti vizuri wara uasinge kukuta tote ayo ira binadam jamani niatari
@smarttv3272
@smarttv3272 2 жыл бұрын
Huyu jamaa ni hatari mara anavuta makohozi kwenye interview 🤣🤣🤣😂
@janeschurmanns7364
@janeschurmanns7364 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣aise hadi kichefuchefu mke wake anamoyo du
@mweusiasili8345
@mweusiasili8345 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@noxlosingida2369
@noxlosingida2369 2 жыл бұрын
@@janeschurmanns7364 😆 🤣 kwani ana mafua kila siku jamani
@rahmaabdulla4949
@rahmaabdulla4949 2 жыл бұрын
Jamani kwani hamuoni kama anamafua yana msumbua. Nakila mmoja anajua mafua yanavo sumbua vumilieni tu tena jamani
@jackmacha6057
@jackmacha6057 2 жыл бұрын
@@janeschurmanns7364 kichef chef KWA ww hujawai kuwa na mafua au ushamba
@fredymbilinyi6323
@fredymbilinyi6323 2 жыл бұрын
Aliponea nyu mba ya walokole na jambazi kukamatwa hapo yesu anaweza,njoon kwayesu,
@salimuibrahimu3950
@salimuibrahimu3950 2 жыл бұрын
Kweli kabisa
@josephjohnmagesa8256
@josephjohnmagesa8256 2 жыл бұрын
Amini
@farajagordon4724
@farajagordon4724 2 жыл бұрын
Amina
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 жыл бұрын
KWANI YESU ANAKAA MTAA GANI NA MIMI NIJE.
@fatumamuya283
@fatumamuya283 2 жыл бұрын
@@salimmalaka256 yani wewe 😂😂🤣🤣
@maxcharles5436
@maxcharles5436 2 жыл бұрын
Ksl kuna baraaaa
@mwanaishamande8880
@mwanaishamande8880 2 жыл бұрын
Dada mama jasiri ile mbaya
@tithombeya5779
@tithombeya5779 Жыл бұрын
Jaman majambazi ivi hamna huruma eti
@Juls7ur
@Juls7ur 2 жыл бұрын
the story is unbelievable. uongo tupu. fiction fiction fiction. kwani hiyo place hakuna police.
@jacquelinembowe3214
@jacquelinembowe3214 2 жыл бұрын
Waha wabishiiiiiii Sasa si ungetoa begi
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Pole sana brother 😔
@missmoona4497
@missmoona4497 2 жыл бұрын
Pole kwa majanga, lkn unaongea vibaya kweli hususan waha wanaongea kaa cherehan maneno wanayabebesha🙌🙌🙌😬😬😬😬kusikiliza had uvivu+ mafua🙌🙌🙌
@ameenaameena1224
@ameenaameena1224 2 жыл бұрын
Jamani wewe kama Mimi huku mwisho nilichobatika tu ni milioni Tena na nimepata mke ananijali
@noxlosingida2369
@noxlosingida2369 2 жыл бұрын
@@ameenaameena1224 😆 🤣 😂
@yusuphhugugu9759
@yusuphhugugu9759 2 жыл бұрын
Afadhari yenu ninyi wenye kujuwa kiswahili fasaha. ......wanaharamu ninyi mnaoshindwa kujuwa utofaut wa lafudhi na kujiona wakamilifu kumbe madangaji t.....
@elizabethbusigara4568
@elizabethbusigara4568 2 жыл бұрын
😂😂alafu anavuta na mafua ,,
@jacquelineadrian6436
@jacquelineadrian6436 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣hapo kwenye mafua
@monikakimath3810
@monikakimath3810 2 жыл бұрын
Huuu ujinga umerudi;r.I.p magu
@sophiamirambo9656
@sophiamirambo9656 2 жыл бұрын
Ndio mjifunze kujiweka sawa biashara na ulinzi majirani wanatokaga tangia lini??
@listerlujiso6009
@listerlujiso6009 2 жыл бұрын
Nawe jmn usiku unaona watu huwaelewi kwanini unasimama kwa nje kuwachunguza?
@mishigwan6598
@mishigwan6598 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@rosemarygaudence5075
@rosemarygaudence5075 2 жыл бұрын
Angeingiza ata begi ndani kwanza
@khadijakdj8640
@khadijakdj8640 2 жыл бұрын
Kwakweli ulikuwa na uwoga kweli mtu mmoja wenzake wamekaa nigemfinyanga bala na unavyosema lisasi alitoki🤣🤣
@asiasalum6735
@asiasalum6735 2 жыл бұрын
Lakini kuwa makimi sana hawa watu hawa hawana maana wasije kukurudia tena
@martinmaryogo3676
@martinmaryogo3676 2 жыл бұрын
nmeguduna kuna haja kubwa ya kumpata mwanamke walau mwenye ujasili, maan hapo wengne akisikia tu lisasi anajifungia na kujikojolea ndan mwoga kama nini,
@maryamalli9090
@maryamalli9090 2 жыл бұрын
Hayajakukuta ndugu sikulaumu
@florahthamson133
@florahthamson133 2 жыл бұрын
yesu ni mzuri ❤❤❤❤❤❤
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 2 жыл бұрын
Waha Kwa kuongea mko Sawa,ndio maana hata ubishi mnauweza,
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 2 жыл бұрын
Kwenda huko muone 🤣🤣
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 2 жыл бұрын
@@shakilamasoud2983 umeonaee habari ndio hiyo
@user-vb3sy6oe2y
@user-vb3sy6oe2y 3 ай бұрын
Maandaliziyote yakukuokowa YalifanywanaBABA MUNGUMWENYEWEhakukiwanaujanjawowoteule Kwahiyo BWANA ASIFIWE
@tattoobobby3103
@tattoobobby3103 2 жыл бұрын
Babu Kigoma saiv kama south Chicago babu ni robbery na shaba tu
@heritier5119
@heritier5119 2 жыл бұрын
Alishindwa kuona dalili mapema tangu anafatilia ajastukia
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 2 жыл бұрын
Pole Sana bro ila Waha waga ni wachafu kinoma Yani
@msaysha5886
@msaysha5886 2 жыл бұрын
🤣🤣Kumbe hata wewe umeliona anavyo vuta makamasi 🤣🤣
@mwajabually2407
@mwajabually2407 2 жыл бұрын
😆😆😆😆😆
@sarahkinyashi6213
@sarahkinyashi6213 2 ай бұрын
Mpaka umepata mafua?
@irenewile
@irenewile 2 жыл бұрын
Majirani jamani khaaa ,,
@saimonijonas4356
@saimonijonas4356 2 жыл бұрын
Yaani huo mtaa sio kabisa.Nimeumia sana.
@emmysfitnessandforex9403
@emmysfitnessandforex9403 2 жыл бұрын
M pesa funga saa 12 acha tamaa
@khadijakdj8640
@khadijakdj8640 2 жыл бұрын
Sasa wote umo ndani mkashindwa kumkamata
@zaidyabdalah3691
@zaidyabdalah3691 Жыл бұрын
Hao hawakuwa majambazi sawasawa ni wadokozi tu.
@rehemanyoni9494
@rehemanyoni9494 2 жыл бұрын
Ulikuwa na shilingi ngapi we we mpaka unauz roho
@sabahiali6021
@sabahiali6021 2 жыл бұрын
Hata tabora ivo ivo jamani
@safiyasafiya5014
@safiyasafiya5014 2 жыл бұрын
Pole lakini usivute uchafu ukameza huuuf
@mwajabually2407
@mwajabually2407 2 жыл бұрын
😆😆😆😆😆😆😆
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 53 МЛН
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 8 МЛН
Happy 4th of July 😂
00:12
Alyssa's Ways
Рет қаралды 70 МЛН
Preparing for war against China, Russia and North Korea | 60 Minutes Australia
26:06
60 Minutes Australia
Рет қаралды 2,3 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 53 МЛН