ITAKULIZA! ALIYEKUWA MFANYAKAZI BENKI APEWA KESI ya KUMBAKA HOUSE GIRL, APOKONYWA MALI ZOTE na MKEWE

  Рет қаралды 64,712

Global TV  Online

Global TV Online

Жыл бұрын

ITAKULIZA! ALIYEKUWA MFANYAKAZI BENKI APEWA KESI ya KUMBAKA HOUSE GIRL, APOKONYWA MALI ZOTE na MKEWE...
Simulizi ya kusikitisha ya Mohamed Kipa mfanyakazi wa benki aliyesingiziwa kesi ya kumbaka mfanyakazi wake wa ndani mkewe kuchukua mali zote alizokuwa anamiliki...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 406
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ0bE75nzavlm
@shebbymusic6224
@shebbymusic6224 Жыл бұрын
Habar
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Жыл бұрын
@@shebbymusic6224 N nzur
@agnesssimon3976
@agnesssimon3976 Жыл бұрын
Mahakama zetu zinatuumiza Kila Leo jamani hizi haki zetu yutapewa na nani?
@agnesssimon3976
@agnesssimon3976 Жыл бұрын
Mungu lazima akulipie HAPA duniani
@OmarKhan-oz7om
@OmarKhan-oz7om 3 ай бұрын
À11q​@@ayshamahariq6665
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 3 ай бұрын
Mungu atakulipia Dua ya Madhlum hujibiwa kwa haraka lakini kwa haraka urudi kwenye Dini yako kwa imani. Mnafanya mchezo kuoa na kubadilisha Dini. Fanyeni michezo yenu yote msicheze na Dini.
@mngwalijuma597
@mngwalijuma597 2 ай бұрын
Rudi kwa mungu wako uliyoyafanya ndio.mungu anakulipa umeacha dini yko ya haki umesaliti kwa ajili ya mapenzi kwa tubu kws mungu wako akusamehe yote yatakua sw kwa uwezo wa allaah hukuwa na imani ya dini yako ya Uislam Pole san kakasngu
@princematumbo
@princematumbo 2 ай бұрын
Hata hastahili pole mshenzi huyu
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 24 күн бұрын
Eti dini ya haki khaaa😂😂😂 hv kuna dini ya haki Zaid y Imani yako ww na Mungu wako
@user-xh7xf2ki3r
@user-xh7xf2ki3r 3 ай бұрын
😭😭😭 Subhana Allah baba umeniliza sana mali ulochuma wewe leo zinakutesa pole sana kwa dhati ya moyo
@deliriousgentleman7369
@deliriousgentleman7369 Жыл бұрын
Mshitakie kwa Mwenyezi Mungu. Ataku tetea
@marthashenenga9076
@marthashenenga9076 Жыл бұрын
Mungu akusaidie baba angu uyo mwanamke aliyezaliwa na mwanamke muachie Mungu Sali moabidhi Mungu Kila kitu. Utakuja kumshuhudia na wale mashahidi wa uwongo wote utawashuudia amini ilo. Kwa Mungu haki zote zimeifadhiwa baba.
@zuwaynamussa5629
@zuwaynamussa5629 3 ай бұрын
Sijawah kumuona baba angu sijawah feel ulebupondo wa baba ila hii stor ya huyu mzee imeniliza sana wallah
@azizaaziza7996
@azizaaziza7996 Жыл бұрын
Mungu atamlipa hapa duniani
@zayumar2955
@zayumar2955 2 ай бұрын
Ila mapenz yakiisha jmniiiiiiiiii 💔😢😢 Pole sana Mzee ukwel wako anaujua Mwenye enz Mungu ila tu nikwambie dunian kupata haki ni ngumu mtegemee Mungu tu mali ni kitu cha kupita tu Bora uhai wako
@shanifesto9037
@shanifesto9037 Жыл бұрын
Pole sana babangu,,mwenyezi mungu anajibu kwa wakati na malipo yake ni hapa hapa dunianj,,mungu atakusaidia ,,utapata haki yako,,dahh so sad kwa kweli
@jumanesaidi7635
@jumanesaidi7635 3 ай бұрын
Masikini mama Tz, nimeumia sana. Wanao tumeshafika hapo! Ziko wapi zile sifa zako za amani na utulivu, ambavyo ni asili, na jadi yako? Uko wapi moyo unaweza kuvumilia dhuluma, na ukatili kama huu, na bado tukabaki ndugu, kama ulivyotulea?
@rayahamisi118
@rayahamisi118 Жыл бұрын
😢😢😢malipo duniani atalipwa tu uyo mwanamke kwa njia yoyote
@salehrajab8341
@salehrajab8341 Жыл бұрын
Ifike wakati tuwe tunautambua uwepo wa mungu ktk maishayetu ili tusipate ujasir wakunyanyasa watu jmn hiidunia niajabu sana
@user-xh7xf2ki3r
@user-xh7xf2ki3r 3 ай бұрын
😢 Subhana Allah pole sana baba Allah atakulipia kwa hili dhulma alokufanyia huyo mwanamke mpumbavu sana
@eastafricaqualitychickenfa9916
@eastafricaqualitychickenfa9916 Жыл бұрын
Mungu atalipa chozi la Mnyonge halipotei bure Ila mzee kosa kumkabizi mali Asimamie mwanamke
@sein.208
@sein.208 Жыл бұрын
Subhana Allah Astaghafirullah Pole sana baba Allah ni mjuzi zaidi haki yako haitapotea
@suleabdullah2247
@suleabdullah2247 Жыл бұрын
Kama hawajafa wote hao dhulmati watalipwa mmoja baada ya mmoja.Hizi ndizo mahakama zetu na watoa haki wanaotegemewa,pepo ya Mungu nahisi haitakua na hawa watu wanaoitwa watoa haki. Vuta subra Mzee Mungu halali utauona mwisho wewe amka kila usiku wa manane kilio hicho kibadilishe kuwa ibada mlilie Mungu atakujibu kwa namna bora
@azizacherepa3979
@azizacherepa3979 Жыл бұрын
Imeniuzunisha sana jamani pole sana baba yangu Mungu akutie nguvu ww mama kua na huruma vitu vya kupita hivyo
@bokaiddi2961
@bokaiddi2961 Жыл бұрын
Pole sana mze wangu changamoto za wanawake zimekuwa nyingi sana ila inauma sana da😭😭
@fikirinimahamudu6488
@fikirinimahamudu6488 Жыл бұрын
Sheria Iko wap inakanyagwakanyagwa tu tutaishi wapi ss kama mahaka hazitoi haki?? Pole Sana Mzee wangu mm ushauri wangu kashtaki msikitini kwaidadi ya misikiti utayojaghaaliwa kutoa taarifa ifanyike Dua ya wengi hakika mwenyezi mungu ndie mjuzi 😢😢 naamini lolote laweza kutokea jema kwako wabillah twaufiq
@djumakadege659
@djumakadege659 3 ай бұрын
Mzee ulikosea kosa kubwa sana la kubadilisha dini ! Hayo yote yanayo kukuta ni kwa sababu ya kubadili DINI. Fanya shime kurudi kwenye dini yako. Koran haikucha kitu kwa hao manaswara. Umeyataka mwenyewe kwa hiyo basi usimuombe msaada Raisi wala mtu yeyote. Muombe sana MwenyeziMungu peke yake . MwenyeziMungu akunusuru inshaallah.
@alfoncejohn2104
@alfoncejohn2104 2 ай бұрын
Mawazo yako tu
@evelynlehnard3928
@evelynlehnard3928 2 ай бұрын
Dini hizi mbili ni utumwa wa akili..ni wengi wamepitia mambo mazito zaidi na hakuwa wamehusika na dini yeyote..wengini wako kwa dini zao wamefata kikamilifu na bado wamekuwa au wako kwenye mapito mazito sana. Hebu waafrika tujinasue kutoka kwa utumwa. Utumwa ulianza na waarabu halafu wakafata wazungu na moaka leo hatujiulizi kwanini sisi tunafata dini za watu ambao walikuja watukuta kwetu tukiwa tunamjua Mungu. Pili hakuna bara lingine duniani ambayo inaafata dini ya kuletewa. TULILOGWA NA NANI SISI ??
@user-jn7tr8ei5n
@user-jn7tr8ei5n 2 ай бұрын
We kama huna unalo liwaza nibora upite tuu
@dennishyera5448
@dennishyera5448 3 ай бұрын
Hatari sana, Kumbe ni kweli watu husema, raia wa kawaida usioe polisi, utajuta. Baba ukiweza hama usiishi nae jirani anajambo huyo. Mungu awe nawe.Glory be to God.
@asiasalim9323
@asiasalim9323 Жыл бұрын
Subhana ALLAH, Pole Sana kakangu ALLAH atakulipia, ila mwanamke mwenzangu ubabe hauna nafasi katika hii dunia yataja kukutokea puan hayo
@sawackoswald9322
@sawackoswald9322 Жыл бұрын
Hata juzi mwezi huu April tarehe 27 kunajamaa amefanyiwa ivi ivi na mwanamke Polisi wa pale Songea mjini nanipolisi pia sijui hizi Mali za hii Dunia zitawapeleka wapi Hawa watu WP wajitafakari sana Jamani jamani Mungu wa Mbinguni anawaona tafuteni ya Mungu hii dunia mtaaviacha vyote chini ya ulimwengu
@allyfutto8763
@allyfutto8763 3 ай бұрын
Duh mateso Pole sana kaka Hongera kwa ustamhimirivu MashaAllah.
@martinlema4192
@martinlema4192 2 ай бұрын
Pole sana! Nguvu za giza zipo, pole sana. Jitahidi ufanye maombi!
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 Жыл бұрын
Uwiiii leo umenifundisha kitu kumbe kuoa hao watu ni hatari.😢😢😢😢eeeeh jamani yaani MUNGU ASIMAME MWANADAMU ASIPATE NGUVU.
@maryikambo6155
@maryikambo6155 Жыл бұрын
Pole kaka Mungu si kiziwi na wala hana upendeleo na haonei mtu. Ila anatwambia adui yako mwombee, maana kwa kufanya hivyo unampalia makaa ya moto kichwani.
@OnesmoDenis
@OnesmoDenis 3 ай бұрын
Kumbuken dunia tunapita tu namali siyo zetu vyote ni maua ya mwenyezi mungu nass anatutumia tu kuvitafuta na kupendezesha dunia yake pea anaweza kuvichukua akiamua hivyo we mama uszan utajir unaolilia niwa muhimu kuliko ubinadam
@aminakawawa5800
@aminakawawa5800 Жыл бұрын
Mwanamke ana roho mbaya dah 😢😢
@user-fh7wu8vx1y
@user-fh7wu8vx1y 2 ай бұрын
Mrudie mungu wako Umemkosea ALLAH
@princematumbo
@princematumbo 2 ай бұрын
Anastahili kabisa yalomfika, mshenzi sana
@bupemwakihaba-lj2fb
@bupemwakihaba-lj2fb 2 ай бұрын
Pole baba mungu yupo hivyo ni vitu vya duniani vyote tutaviacha,,mungu wako yupo
@yasintajohn1189
@yasintajohn1189 Жыл бұрын
Jaman Sisi wanawake tufike Mahal tubadilike jaman sad kwakwel .... huko uliko Mungu ana kuona
@verryinyas5065
@verryinyas5065 Жыл бұрын
Mungu n mwaminifu pole sana baba Mungu yupo amesikia kilio chako serikal itakusaidia pia huku tulioguswa tunakuombea kila kitu kutakuwa Sawa Mungu n mwaminifu na Ndio maaan kila kesi hakupati anavyotaka yeye uwee dah uyo mama atapata alichokivuna Mungu yupo haki ya Mungu naapa utapata haki yako 🤲🙏
@elizabethismile6827
@elizabethismile6827 Жыл бұрын
Magu angkuepoo jmnii ungeskia naomba uyu baba asikilizwe 😢 uwiii kun watu wanakuag Yan kam vile hawan moyo kabsa uwiii maskinii jasho lako linakuangamiza🙌🙌
@humphreymkony8915
@humphreymkony8915 Жыл бұрын
Hili ni fundisho kwa vijana wa kiume ambao hamjaoa: ogopeni kuoa Wanawake ma Polisi. Hawa wanafaa waolewe na ma Polisi wanaume.
@d15355
@d15355 Жыл бұрын
kwanza ukitaaka stress oa hao askari kwani si mkeo peke yake hadi mabosi zake watakulia maana kule ni amri tu hawakataagi
@yohanakananika3586
@yohanakananika3586 2 ай бұрын
​@@d15355hamnakitu kama hicho hakuna amri kwenye mambo hayo
@aliferuzi1537
@aliferuzi1537 3 ай бұрын
Pole Sana bro ndio maisha ila muombe mungu Nina hakika hski HAIPOTEI RUDI ktk Imani ya dini ULIOKUWA MWANZO nnina hakika kazi itakua ngumu kwake
@saleemadhiyabalkhatri7800
@saleemadhiyabalkhatri7800 Жыл бұрын
Kaka hakiyako iko tu haitapotea mungu atasimama nawewe daima dhulma haidumu itamtesa tu
@OmanOman-hr2nq
@OmanOman-hr2nq Жыл бұрын
p0resana baba
@evalineemmanuel8178
@evalineemmanuel8178 3 ай бұрын
pole sana baba Mungu atamuhukumu hapa hapa duniani namachozi yako hayatapotea
@victoriakiwanuka5428
@victoriakiwanuka5428 Жыл бұрын
Pole sana baba Mungu atamlaani
@bahatijanvier6357
@bahatijanvier6357 Жыл бұрын
Pole sana mzee, ukikosea kuoa ndio hivo Wanaume tujifunze.....
@nassorowaziri3076
@nassorowaziri3076 Жыл бұрын
Pole Sana Kaka Mungu atakufuta machozi yako na pia tuko wengi wenye matatizo kama yako
@user-ju4mi1qx5b
@user-ju4mi1qx5b 3 ай бұрын
Hatusikii sauti iko juu sana ya mziki
@Moshiarusha360
@Moshiarusha360 2 ай бұрын
Wapo wanawake wengi wananyanyasa wanaume ,wanaume wamedhuliwa wamenyangajywa watoto na hawana pakukimbilia
@mchelekwanza
@mchelekwanza Жыл бұрын
Pole sana baba
@tausishabani263
@tausishabani263 Жыл бұрын
Pole baba malipo Ni hapa hapa duniani kwa mungu Ni hesabu tu muombe mungu na umlilie atamlipa
@skjjsj1889
@skjjsj1889 10 ай бұрын
Hapa duniani tunapita Mwachie mungu huyo mwanamke yatamkuta dhuruma mbaya mwanamke kaudhu mkavu kweli kweli
@zayumar2955
@zayumar2955 2 ай бұрын
Yaniii utadhan hajazaa nae😢😢
@imagepower3641
@imagepower3641 Жыл бұрын
Pole mzee mwenzetu, ulikuwa unaishi na jini mtu
@HellenKerubo-mo9vh
@HellenKerubo-mo9vh Жыл бұрын
Hoo I'm so so sorry but it seems that the man is old than the wife , but mey God be with you
@zuhuramussa3996
@zuhuramussa3996 Жыл бұрын
Pole sana kaka Mungu atakusaidia
@princesschii4090
@princesschii4090 Жыл бұрын
Dah inahuzunisha sana....
@dominickjohn1128
@dominickjohn1128 Жыл бұрын
Kama ni kumuua ungeshamuua siku nyingi sana lakn Mungu ana makusudi umefanya la maana kujitenga naye!!wanaume tunapitia mengi sana lkn hakuna wakisikiliza wanawake wamepewa nafasi ya kusikilizwa kuliko kitu chochote
@gloriamsaki9109
@gloriamsaki9109 Жыл бұрын
Pole Sana.wanaume mkipata fedha fanyeni mambo yenu wenyewe.Wanawake wamezoea kutawaliwa na kumilikiwa.mwanamke anapenda kutumia vya mwanaume Ila akiwa na uwezo kuliko mwanaume lazima amnyanyase
@judicalosika7642
@judicalosika7642 Жыл бұрын
Eh!! Ni kweli kabisa dadangu
@zuleyvendor6577
@zuleyvendor6577 Жыл бұрын
Aisee ndio mana unaambiwa fear woman
@jobmaclean5382
@jobmaclean5382 Жыл бұрын
Pole sana
@zainabubalama8869
@zainabubalama8869 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi upate haki zako.huyo mkeo na Mamba mla Watu
@janetchinga695
@janetchinga695 Жыл бұрын
Usilie kaka mungu atakusaidia uyo nishetani mukumbwa sio muntu na atataja kilakitu alichokifanya pole sana
@aminaabdalla9949
@aminaabdalla9949 Жыл бұрын
Hayo machozi unayotoa yatalipa baba mueke mungu mbele 😭😭😭😭
@maryamudunga1094
@maryamudunga1094 Жыл бұрын
Subhanallah wanaume muagaliaga wanawake wakuowa tatizo mnafagamia wanawake
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
Mnafanana wote..wanaume tuko wakati mgumu..kuoa mwanamke wa kufaa mama watoto ni game of chance.. nafasi kubwa za utawala TZ mnazo, bado mnadai upendeleo.. Nampa pole huyu shujaa..ndiyo,ni ushujaa kutoka hadharani kueleza hayo
@leonardbrown181
@leonardbrown181 Жыл бұрын
Dah! Wanawake!!!
@maryamudunga1094
@maryamudunga1094 Жыл бұрын
@@josephlorri431 we usitujumuishe kwenye ujinga kwahiyo unataka kusema tz hakuna wanawake tulokuwa natabia nzuri
@Pedeshee01
@Pedeshee01 Жыл бұрын
@@maryamudunga1094 njoo nikuoe ila mpaka boksa zangu nitaandika majina ya ndugu zangu
@user-ew4qf9ud4v
@user-ew4qf9ud4v 2 ай бұрын
​@@Pedeshee01. Hufai kuoa kaa mwenyewe uoe alafu akili inaishi na nduhuzo kaa na ndugu zako inayosha
@amiribakari2528
@amiribakari2528 Жыл бұрын
Kaka endelea kuomba mungu..iko siku utayasahau hayo.maana mungu wa sasa iv ni kijana..pole sana ndio maana wengine wanauwa
@user-up2kg1wm9p
@user-up2kg1wm9p 3 ай бұрын
Polee Sanaaa kaka mpakachozi limenitoka naomba serekali kuu imsaidiee huyu baba
@abbtsa3060
@abbtsa3060 Жыл бұрын
Pole mzee hao ni wanawake na umefanya makosa sana kumwamini huyo mwanamke
@bashirbaruan3969
@bashirbaruan3969 Жыл бұрын
Huyu mwanamke ni zaidi ya ibilisi aise, Hana utu wala khofu ya mungu hata kidogo mungu amlipe anachostahili hapa hapa Dunia kwanza
@sizalyimo8468
@sizalyimo8468 2 ай бұрын
Duu Pole sana kaka kipa nimefanya kazi na wewe delina na kiasi mapito yako nayafamu Pole kaka yangu nimelia sana
@joanesasalavaleriano9980
@joanesasalavaleriano9980 Жыл бұрын
Dah pole sana baba yangu , hila wewe ungekua Kama babayangu tungeenda kumkata shingo kwa mganga tu NDIO sul🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇲🇿🇲🇿
@brendangabriel1643
@brendangabriel1643 Жыл бұрын
Bw. Kipa, kama nyumba za Dodoma na Morogoro zipo upande wako, basi muachie cho chote anachogombea. Ishi kwa kutegemea hizo nyumba 2. Mali ni ya dunia hii, haitamsaidia, ina machozi ya kweli. Muombe Mungu akupe uzima tu na uhame msionane na hilo jambazi. Muachie hiyo mali, wala haitafika saa 12, utakuwa umepata matokeo. Narudia tena muachie hiyo HAKI yako aimeze iwe ndoano kooni.
@johnsonbagambi1908
@johnsonbagambi1908 Жыл бұрын
Pole sana mzee
@jonaspatrick2871
@jonaspatrick2871 Жыл бұрын
Nimepitia mengi sana na hawa wanawake ndio maana sitaki hata kusikia kitu kinachoitwa ndoa, Mungu anisamehe na namshukuru kwa kunipatia watoto hiyo tosha kabisa kwangu. Kwa kizazi hiki ndoa ni ngumu sana.
@stephenmaundu-ck2jk
@stephenmaundu-ck2jk Жыл бұрын
Hana roho mbaya tu
@AndrewShola-ts5lp
@AndrewShola-ts5lp Жыл бұрын
Kaka Kama umeniona vile,, yaan staki kuskia Wala kuambiwa,,,
@kassimally-zu3dz
@kassimally-zu3dz Жыл бұрын
Mungu atalimpa mzee wangu kua na aman pole sana
@namumlaki9838
@namumlaki9838 Жыл бұрын
Mwenyezi atakufanyia wepesi uyo mama akae akijua Dunia hii tunapita atapigwa na mungu mwenyewe siku isiyokuwa na jina
@sumayaishengoma4543
@sumayaishengoma4543 Жыл бұрын
Mungu ataingilia kati haki itapatikana inshallah
@faizaboubacar5064
@faizaboubacar5064 Жыл бұрын
Pole sana babu angu
@ireneassey2022
@ireneassey2022 Жыл бұрын
Pole baba Haki yako utaipata tu
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 Жыл бұрын
Siokila mwanamke anafaa kuwa mke watu wasio Jua wajifunze
@upendogreutert199
@upendogreutert199 Жыл бұрын
Asante Kama una ufahamu wa hili Broo 👍
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 Жыл бұрын
@@upendogreutert199 mzee analia kama mtoto mateso aliyo pitia
@judicalosika7642
@judicalosika7642 Жыл бұрын
Hakika wengine wanaoa LAANA WEZI MAJAMBAZI kabisa
@petercostakisoka
@petercostakisoka Жыл бұрын
Pole sana ulikosea kuoa mke mwenye tamaa mbaya sheria ifate aki
@GerladSimon-me3sc
@GerladSimon-me3sc 2 ай бұрын
Duuuuuh kunabaadhi yawatu nikatili sana. Mshukuru mungu uko hai kaambali nahuyo mwanamke
@stanleymhozi7590
@stanleymhozi7590 Жыл бұрын
Pole mzee
@fatuma5208
@fatuma5208 Жыл бұрын
Pole.sana.kaka
@shimbaalex8837
@shimbaalex8837 Жыл бұрын
Mzee una uvumilivu sana sana ni wanaume wachache sana wanaoweza kuvumilia hayo.Huyo mama hata kazini kwake ana matatizo
@agnessamma4669
@agnessamma4669 Жыл бұрын
Pole Sana Baba Mungu atakusimamia hayayote yatapita usiogope Mungu atkua upande wako Sheria duniani haki kwa Mungu
@mngwalijuma597
@mngwalijuma597 2 ай бұрын
Ulichokikosea jamaa yangu kwanza kumkana mungu.wako kuritadi ndio.chanzo cha mitihani yko kwa hiyo allaah amekulipa
@charlesmugisha6529
@charlesmugisha6529 2 ай бұрын
Uyo mama mwenyezi mungu ampe maradhi ambayo yatamfanya ajute kwa upumbavu na tamaa alizo zifanya Kama hatakufa vile?
@anosiata8242
@anosiata8242 Жыл бұрын
Jamani inauma pole sana kaka
@mwanaidimwinyi844
@mwanaidimwinyi844 Жыл бұрын
Dah Mungu wa mbinguni akupe nguvu baba huyo mama hakukupenda alipenda Mali zako inauma kwakweli hakika ni bora ukosee kujenga nyumba kuliko mke au mume Allah atujalie tukutanae na watu watakaotupenda kwa dhati
@maswamills3161
@maswamills3161 Жыл бұрын
Pole Sana baba
@skjjsj1889
@skjjsj1889 10 ай бұрын
Pole bb hilo chixi unalolitoa mungu atakulipia
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 Жыл бұрын
Pole sana mzee wangu inshallah Mungu atakufanyia wepesi utapata haki yako
@d15355
@d15355 Жыл бұрын
Allah hamfanyii wepesi wowote hapo ndio anauonesha yeye ni nani, yeye si alimkana sasa ndio anamwonesha kwa kuutoa ulinzi wake kwake na kumwacha aone uhalisia wake kuwa huko alikokimbilia ni kwenye zizi la simba na kilichokuwa kinamlinda siku zote ni ile dini yake ndio maana alipobadili tu dini na kumwoa shida ikaanzia hapo sababu ulinzi haupo teena yuko exposed to danger.
@zainabamri2421
@zainabamri2421 Жыл бұрын
Pole sana Kaka yangu. Allah atakulipia. Jasho la mtu haliendi bure. Najihusia na nakuhusia Dada Rehema uwe muungwana umezaa watoto ya huyo mumeo umembadilisha dini malipo yatakurudua kwa watoto wako. Msalie Mtume SAW. Muongope Mola wako. Mwachie nyumba na shamba. Mumeo asalimike ktk dunia. Laa mitihani mukubwa huu.
@anastaziamathias8861
@anastaziamathias8861 3 ай бұрын
​@@d15355Mungu ni mmoja huyo Allah ndiye Mungu dini NI njia Tu ya kumjua Mungu Acha wazimu Mungu atamsaidia Mali c kitu hapa duniani Mungu atampa vingine vingi zaidi ya alivyopoteza
@makambamohamed3632
@makambamohamed3632 Жыл бұрын
Pole brother hawa askari depo huwa wanaenda kufundishwa manyanyaso Kwa raia
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 Жыл бұрын
Ndiyo maana watu wa zamani walikuwa wanapeleleza kwanza familia unayoenda kuoa au kuolewa je wana utu?????
@user-ji3yb4lm7u
@user-ji3yb4lm7u Ай бұрын
Kaka kumbuka kosa ulilolifanya HAPO mwanzo umekosea MUNGU Rudi KWA MUNGU WAKO NA UMUOMBE MSAMAHA KWANI ULIMUACHA MUNGU WA KWELI UKAPOTEA NJIA SASA TUBU KWANZA KISHA ANZA UPYA KAMA NABII ADAMU ALIMWOMBA MSAMAHA MOLA MLEZI NA ALIMSAMEHE NAWE PIA ULIIFURAHISHA NAFSI HAYO MATOKEO
@amoonatnzani9834
@amoonatnzani9834 Жыл бұрын
Duuh Ndio maana yule mchezaji kila kitu kamuandika mamaake
@extramileage6881
@extramileage6881 Жыл бұрын
Ndyo maana hata m/mungu hakumpa hata uongozi mwanamke na akasema tuishi nao kwa akili jamani😭😭😭😭😭😭
@anastaziamathias8861
@anastaziamathias8861 3 ай бұрын
Huyo Rais wako NI mwanamume? Acha upumbavu mwanamke kapewa uwezo mkubwa mnooo ndo maana anabeba mimba anazaa na anamuongoza mwanae kuzungumza na kujua kila kitu
@saidakiwale9227
@saidakiwale9227 2 ай бұрын
Jamani Roho inauma sana
@thumnathumna5946
@thumnathumna5946 Жыл бұрын
Ninachokiamini ni sisi tutaishi duniani kwa muda mfipi sana..aridhi itakubana wewe mwanamke..dhurum ni mbaya sana.. aya machozi hayataenda bure utayalipia kama sio sasa elewa umepanda mbegu itakayokutafuna na kizazi chako..malipo ni apa duniani..🤲Mungu akulinde na akupe faraja...
@ashirawaziri3195
@ashirawaziri3195 Жыл бұрын
Pore sana baba jamani wewe mama kumbuka dunia duala hebu muhurumie huyu baba jamani na uzee wake huo
@alexnyigo8864
@alexnyigo8864 Жыл бұрын
Pole mzeewangu mwaminimungu
@user-xv1pj3wq5b
@user-xv1pj3wq5b 2 ай бұрын
Ndio myaone 😮mkiambiwa wananyanyasa wanaume mnawatetea imauma sana😮
@mwaserarashid5451
@mwaserarashid5451 Жыл бұрын
Binadamu hawana wema na hawajui hii dunia tunapita unamdhulumu mwenzio ujue Allah anakuangalia usijione wewe wajua sana malipo niapa apa Duniani ahera ni esabu
@sadakombo-li7yi
@sadakombo-li7yi 2 ай бұрын
Mama samia suluhu hasan nakuita ×3 tunakuomba kwa heshima yako na kwa upendo wa mungu umsaidie huyu baba kuweza kufanikiwa haki yake ipatikane ni mimi mkizimkazi mwezio by sada mohd
@collincarlos7433
@collincarlos7433 Жыл бұрын
Hakim Mungu...HAO WOOOOTE HAWATAKUSAIDIA KWA LOLOTE...TOKA TU KAANZE UPYAAAA...BIBLIA INASEMA TUISHI NAO KWA AKIL...UCWAAMIN KAMWE
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 3 ай бұрын
Pole kuoa afande
@ThomasErro-ec3ov
@ThomasErro-ec3ov Жыл бұрын
Pole sana baba, wanaume ndo tunapitia magumu
@MagdalenaMalaki-qr6hy
@MagdalenaMalaki-qr6hy Жыл бұрын
Pole sana baba MUNGU atakuacha
HISTORIA: RAIS Aliyekatwa Masikio Akiwa Hai, Na Yeye Aliwakata Wengine
18:44
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 33 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 10 МЛН
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 8 МЛН
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 18 МЛН
HISTORIA Ya IDD AMIN, Darasa La 4 Aliyetikisa Wazungu/NYERERE Akimtia Adabu
26:09
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 33 МЛН