INATISHA! BINTI BARKE ALIYEUAWA GESTI na KUDAIWA KUTOLEWA FIGO ZOTE, UKWELI KAMILI NI HUU...

  Рет қаралды 228,244

Global TV  Online

Global TV Online

2 жыл бұрын

INATISHA! BINTI BARKE ALIYEUAWA GESTI, AKATOLEWA FIGO ZOTE, UKWELI KAMILI NI HUU...
Siku chache baada ya kusambaa kwa picha za binti Barck Pesa mkazi wa Ilala jijini Dar anayedaiwa kuuawa kinyama katika nyumba ya wageni, Global TV imezungumza na ndugu marehemu ambao wamesimulia tukio zima.
Taarifa za awali zilieleza kuwa, Barke alikutwa amefariki kwenye moja ya nyumba za wageni maeneo ya Tabata- Barakauda jijini Dar baada ya kutoweka siku kadhaa bila kuonekana.
Ilielezwa kuwa, siku ya tukio Desemba 31,2021, marehemu alikwenda kwenye kwenye Ukumbi wa Kitambaa Cheupe akiwa na rafiki yake wakawa wanakula starehe.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 267
@estermathias8354
@estermathias8354 2 жыл бұрын
Yesu nifunike kwà damu yako mm pekee siwez kujilinda Linda family yangu wazaz wangu ndugu zangu amen 😢 inauma sn jmn huyo rafiki yake ahojiwe hayo maelezo hayaelewek
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 2 жыл бұрын
Kwani wewe yesu ndio unamnisha nimungu au, mana hapo ungeanza na mungu Kisha yesu hivi unajua yesu pia anamtegemea mungu au hujui hilo
@aprilking8250
@aprilking8250 2 жыл бұрын
@@hadijamagufuli2661 ukimwita Mungu kwa jina la Yesu utapata msaada mana jina mungu ina miungu mingi
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 2 жыл бұрын
@@aprilking8250 hongera
@scholamatogolo3493
@scholamatogolo3493 2 жыл бұрын
Kitendo cha kwenda chooni na kurudi usimkute mwenzio je?? Kumtafta kwa sm ....uongo mtupu.
@bobg611
@bobg611 11 ай бұрын
​@@hadijamagufuli2661ngumu kwako kuelewa mambo ya billiards ila wewe unasoma quran!!!
@fantsonmpango7502
@fantsonmpango7502 2 жыл бұрын
2021&2022 ni miaka ya hatari sana kwa watu kufa kiholela, tulioko hai tuzidi kumuomba Mungu atulinde na atuepushe na kifo, Amin
@hamzaswaibu9470
@hamzaswaibu9470 2 жыл бұрын
Kufa tutakufa ila Kumuomba Mungu atupe mwisho mwema
@bahatihassan5413
@bahatihassan5413 2 жыл бұрын
Kifo hakiepukiki sema tumuombe Allah atupe khatma njema sio kuepuka kufa
@zainabukayanda3965
@zainabukayanda3965 2 жыл бұрын
Ameen
@neemajginene7524
@neemajginene7524 2 жыл бұрын
Hajafa kiholela hakina anae kuwa anaenda kufa alafu aende
@mishikikoti2948
@mishikikoti2948 2 жыл бұрын
Kufa kipo pale pale sema mungu atuepushe na vifo vya kustaajabisha..
@mamaahmad8615
@mamaahmad8615 2 жыл бұрын
Wadogo zangu wanangu chonde chonde usiende kulala gest na mtu usiye mjuwa siku hizi watu wamekuwa makatili sana dada huyu mzur aliye muuwa apate laana maisha yake yote poleeni familia 😭😭😭😭😭😭
@doreenkareem5817
@doreenkareem5817 2 жыл бұрын
huyo akuenda kulala ila jamaa aliye kuwa naye alimuekea madawa
@jaklinifaustini4259
@jaklinifaustini4259 2 жыл бұрын
Kwl😢
@salmaalrawahy3326
@salmaalrawahy3326 2 жыл бұрын
@@doreenkareem5817 ni umalaya huyo na zinaaaa Sasa mtu ana mtu wake inakuaje awe na mwanamme mwengn
@salmaalrawahy3326
@salmaalrawahy3326 2 жыл бұрын
@@jaklinifaustini4259 tamaaa ya pesa ndio imemponza mwanamme na mwanamke
@jamilakelota6588
@jamilakelota6588 2 жыл бұрын
Tuliobaki wote hatujui tutakufaje Mungu tunakuomba utupe mwisho mwema More than pain pumzika kwa amani Barke🥱😭😭😭
@faridaahmad9838
@faridaahmad9838 2 жыл бұрын
Amin🤲🤲🤲
@moonaamli6835
@moonaamli6835 2 жыл бұрын
lnalillaah wainaillaah rajiun Wadogo zangu hali sasaivi imekua ngumu watu wana roho mbaya sana tupunguze kudanga
@aminakipande5645
@aminakipande5645 2 жыл бұрын
🤣🤣
@rosemarysulle9288
@rosemarysulle9288 2 жыл бұрын
Kwakweli kudanga siyo ishu tena siku hiz unakufa😅😅😅😅
@zayanazayana5353
@zayanazayana5353 2 жыл бұрын
Ujana usizidi mipaka maisha bl khofu ya Mungu ni hatari kuna watu wabaya zaidi ya wanyama tuishi kw maadili yanayompendeza Mungu tutaepukana na mengi
@daliaabdullah5756
@daliaabdullah5756 2 жыл бұрын
Safi kabisa ujumbe mzuri
@sadakhamis1261
@sadakhamis1261 2 жыл бұрын
Ujumbe mzuri mashallah
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 2 жыл бұрын
DUNIA HII, UNAWEZA KUWA UMEKAA MWENYEWE UNACHEKA NA KILA MTU, *KUMBE KUNA MTU ANAPANGA KUKUUA*
@mishymorgani5828
@mishymorgani5828 2 жыл бұрын
Yani sasa hivi hata ukiskia baby anakuita gest ,unahisi ndoyale yale kutolewa figo🤣🤣🤣🤣
@mahmoodalghefeili5370
@mahmoodalghefeili5370 2 жыл бұрын
@@mishymorgani5828 kwakweli
@finemichael2435
@finemichael2435 2 жыл бұрын
Na kweli bhn 💔😢🚮
@nancyg8664
@nancyg8664 2 жыл бұрын
@@mishymorgani5828 😂😂🥺
@fathiyaali6171
@fathiyaali6171 2 жыл бұрын
Ni kweli
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 2 жыл бұрын
Aiseeh dunia imekwisha Mungu tusaidie sana tuweni na hofu ya Mungu kwani hata ww unayeuwa iko cku utakufa pia ni muda tu ukifika. RIP Barke
@monicaemmanuel1807
@monicaemmanuel1807 2 жыл бұрын
Mungu umjalie mwisho mwema pumzika kwa aman Dada yetu
@mozespaul7138
@mozespaul7138 2 жыл бұрын
Jamani inawezekana aje,MTU,kuua,gesti,,anamchinja MTU,, anatoka,nawahudumu wasijue?kwakweli, niuzembe wahali yajuu sana,mwenyezi MUNGU,awaumbue hawa wauwaji,popote walipo,nawasipate Amani,popote walipo,damu yamt haiendi bure,,poleni sana ndugu najanaa!!
@ashashaban6484
@ashashaban6484 2 жыл бұрын
Poleni sana mungu akamhifadhi sehemu nzuri inshallah
@shamijuma7259
@shamijuma7259 2 жыл бұрын
Kumbe mamaake ashafariki ndomaana utafutaji wenu ulikuwa mzito,mama ni mama asingeweza kukaa chini kuona mwanae sikumbili apatikani wala amuoni,tuwe na mioyo yakutafutana usipomuona nduguyako sikumbili ni nyingi hizo hata kwa simu mjuliane hali,na nyie waandishi mkienda msibani mjitande mitandio vichwa wazi kama nyoka
@thebosslady9001
@thebosslady9001 2 жыл бұрын
Kweli hlf mbaya zaidi ni huyo best yake kwann hajasema km alienda na mwenzie yy alipoenda choon hajamkuta huyo rafiki yake sio mtu mzur
@shamijuma7259
@shamijuma7259 2 жыл бұрын
@@thebosslady9001 kuna kitu hapo huyo naye angekamatwa akatoe ushahidi haiwezekani mwenzako kaondoka ujui kaenda wapi unampigia cm siku mbili umpati umekaa kimya tu utoi taharifa
@thebosslady9001
@thebosslady9001 2 жыл бұрын
@@shamijuma7259me pia ndio nimekaa nimejiuliza sana hivi naondoka na mwenzangu naenda nae bar natoka kurud hayupo tuseme hajauliza hata walikopo karibu yao jmn hawa watu wameondokaje hfl pia km alienda choon haiwezekan aende na simu au pochi lazma amuachie mwenzie ndio tunavyofanya sio Bure amekula njama kingine kwann mpk asubuh hapat hajajishugulisha kuiyambia family au yy kumtafuta au kutoa taarifa polis na kwammiliki wa bar sio buree na yy anazijua hizo njama au yy ndio jambaz mkuu alieenda kumuangamiza mwenzie alidhan rafiki kumbee nyokaaa
@shamijuma7259
@shamijuma7259 2 жыл бұрын
@@thebosslady9001 inatisha sana cha msingi tuwe makini sana na marafiki sio kilamtu mwema kwako ndo kama hayo
@jumakalukule5312
@jumakalukule5312 2 жыл бұрын
Poleni sana wafiwa m/mungu msamehe kwa makosa yake
@kellyngogo3319
@kellyngogo3319 2 жыл бұрын
Mimi naamini huyu rafiki ni suspect wa kwanza na wafanyakazi wa guest
@zenaobadiah4158
@zenaobadiah4158 2 жыл бұрын
Umenena vyema Kaka sababu km ukichunguza Sana eti from no where eti aende chooni alafu anarud mwenzie hayupo daaah something went wrong mm Nina wasiwasi
@mrskaboma9292
@mrskaboma9292 2 жыл бұрын
inalilah wainna ilayh rajighuna Allah amsamehe 😭😭😭😭😭
@twocountrieslady6307
@twocountrieslady6307 2 жыл бұрын
Mwenyezimungu atuepushe na maaswia atupe mwisho mwema
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 2 жыл бұрын
Rest in peace poleni sana familia
@TeamKRX
@TeamKRX 2 жыл бұрын
Inalilah waina ilaih rajiun daah alimuuwaje sasa hao Wa gest figo itakuwa wamemtoa hospital Ila bar yeye mwanamke Wa Kislam jamani baar anafanya Nini mwenyezi mungu amsamehe makosa yake p
@ole_larusai587
@ole_larusai587 2 жыл бұрын
Kumbe kafia guest! Basi sawa
@mozasaid3869
@mozasaid3869 2 жыл бұрын
Inna lillahi wainna ilahi rajiuun Poleni sana wafiwa kwa msiba
@aminaabdallah7702
@aminaabdallah7702 2 жыл бұрын
Kuna Mambo yajambu sasa hivi TZ Kuna Nini ? watz amkeni waume wanazika ma binti yao wengine wanchinja sasa ma binti wanatokea mafigo ?unyama gani ? sirikali naulinzi nausalama wanchi amkeni TZ inabadilika zamani kulikua namampambano yamajambazi nawezi sasa nimakatili ambao wako kama wanyama bila uwoga wala huruma yaubinadamu ?
@safiayussuf9308
@safiayussuf9308 2 жыл бұрын
Watu makatili sn. Allah atawalipa hapa hapa. Duniyani walio mdhulumu nafsi yke Ameen
@abdallahamiry5512
@abdallahamiry5512 2 жыл бұрын
Polen xans
@tatubadi9010
@tatubadi9010 2 жыл бұрын
Subhannallah... Hali inazid kutisha ee mwenyezimungu tusaidie..
@mariammwendakazungu5783
@mariammwendakazungu5783 2 жыл бұрын
Huyo rafiki yake ashikwe km alimuona huyo mwanamume lzm awe anamjua juu marafiki lzm waambiane n hiyo gest kwan hakuna camera au mtu akiingia hatoi kitambulisho au tz mko vp mungu atamlipia msiba wake hawatakaa salama
@coazoneone1174
@coazoneone1174 2 жыл бұрын
usiwe na mawazo mafupi kiasi hicho unamshika kisa uliona marehemu akiwa na mwanaume? unauhakika anamjua au alishawahi kumuona? upelelezi ufanyike kitaalamu sio kukamata tu mtu sasa ukimkamata ukamuweka ndani akawa haendi kazini akafukuzwa kazi kisha mkagundua hausiki utalipia mda wake aliopoteza na kazi zake na mipango yake?
@thebosslady9001
@thebosslady9001 2 жыл бұрын
Ndio ashikwe Kuna kitu anajua kwann hajaiyambia familia km yy ndio alienda nae bar alipoenda choon kurud hajamkuta lazma waswas ungekuwepo angetoa taarifa kwenye family rafiki yake sio mtu mwema kiukwel
@mariammwendakazungu5783
@mariammwendakazungu5783 2 жыл бұрын
@@thebosslady9001 umeonaee
@nasrafadhili8941
@nasrafadhili8941 2 жыл бұрын
Mama samia zungumza kitu kwaukali juu yamauaji Tanzania mbn unanyamaza mambo yanaendelea natulishasahau HV vitu
@aminandola8797
@aminandola8797 2 жыл бұрын
Kabisa mama yetu sema kitu basi mbona uko kimya jmn toka mwaka uanze ni mauaji tu kaaah
@fathmaoman1186
@fathmaoman1186 2 жыл бұрын
Innalillah wainnaillah raj'uun
@happynesslamecky8268
@happynesslamecky8268 2 жыл бұрын
Dah watu wamekua na roho mbaya
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 жыл бұрын
Jamn dad wawt mzuri Mashallah damu yako haitaend bure rest easy
@enterenter1921
@enterenter1921 2 жыл бұрын
Sana💔💔
@fidesbernard4835
@fidesbernard4835 2 жыл бұрын
Huyo binti rafiki yake achunguzwe zaidi
@kellyngogo3319
@kellyngogo3319 2 жыл бұрын
Nashangaa police wamekaa kimya huyo rafiki ni suspect wa kwanza
@selemaniselemani2863
@selemaniselemani2863 2 жыл бұрын
Innalilah wainailah rajiuun allah amuhufadhi
@paulinacherement2534
@paulinacherement2534 2 жыл бұрын
Innalillah wainna ilaih rajiun
@asiaamohd4077
@asiaamohd4077 2 жыл бұрын
Mungu atustiri ila kufia gets wanawake tuwe makini
@esterderiki6505
@esterderiki6505 2 жыл бұрын
Jamani wanawake wenzangu kwahaya matukio tujifunze kitu
@shopalareen4303
@shopalareen4303 2 жыл бұрын
Tuwe na hofu ya mungu
@rajabmohammed234
@rajabmohammed234 2 жыл бұрын
Yaonekana mlikuwa amuishi km ndugu mlikuwa mnaishi km geto, haiwezekan ndan y wiki 1 naa mtu hajaonekana hauna wasi wasi kisa upo bize kwl?angekuwa mama yako ungekuwa bize?Jamani tupendane km pangekuwa n upendo w dhati asingekaa muda wote mochwar,Barkhe Allah Akupe Kaul Thabit In-shaa-llah.
@kababaamohamedy8619
@kababaamohamedy8619 2 жыл бұрын
Pole sana wafiwa
@petermchomvu1317
@petermchomvu1317 2 жыл бұрын
Poleni ndugu na jamaa Kwa msiba uliowatokea mungu awe pamoja nae
@wanyalugendo4776
@wanyalugendo4776 2 жыл бұрын
Tatzo Kuna mambo hayajawekwa wazi gest inaitwaje? Alingia nanan?
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 2 жыл бұрын
wangeweka wazi😥😥😥😥
@AishaAisha-rh1fc
@AishaAisha-rh1fc 2 жыл бұрын
Uyo dada ni wale wadada Machungudoa kazi yao ni kudanga kwaiyo kuweka jina la gest sio laisi maana maisha yao wame ya weka leani wenyewe. ..... wazazi msiache kutuonya watoto wenu Dunia sasaivi ime badirika Allah Amsamehe
@AishaAisha-rh1fc
@AishaAisha-rh1fc 2 жыл бұрын
@Mrs Inziani Na Maanisha wauza mwili au sehemu za mwili ili wapate kujikimu kimaisha (machangudoa) iyo kuweka jina la gest ni kuaribu biashara ya mtu selikari sio wajinga tulia utaona kwanza yule alisema katolewa viungo vya ndani ya mwili yule atajua hajui
@aminahussein1224
@aminahussein1224 2 жыл бұрын
Inalillah wainailahi rajiuna, this is absolutely heartbreaking, may her beautiful soul rest in perfect peace.
@abdallahabubakar5410
@abdallahabubakar5410 2 жыл бұрын
Akitokea mwanaume anataka Kiowa wanaanza kumchunguza wakigundua kwamba hana nyumba wala gari wanaletavikwazo rundo kazi kwenu
@mishymorgani5828
@mishymorgani5828 2 жыл бұрын
Jamani yani watu nilio soma nao wote wanafia gest, huyu dada nimesoma nae Biafra jamani😭😭
@benardmapuga8370
@benardmapuga8370 2 жыл бұрын
Morgan mbn unatutisha wanafiaje wote guest?
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 жыл бұрын
Pole sana
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 жыл бұрын
Pole angalia naww usije fia guest
@halimahamiss3044
@halimahamiss3044 2 жыл бұрын
Mtihani
@gabbyhenrgy1157
@gabbyhenrgy1157 2 жыл бұрын
Uwe makini labda muuaji yumo darasa hilo hilo
@abuushumeisa9816
@abuushumeisa9816 2 жыл бұрын
Mtihani sana huuu jameni stareh gharama
@felistersmejumaa5188
@felistersmejumaa5188 2 жыл бұрын
So sad 😢😢😢
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 2 жыл бұрын
2021 2022 tuombe mungu naona Maisha yanaenda kombo Tuombe Allah atupe kher🙏🙏🙏
@mariyamurajabu6886
@mariyamurajabu6886 2 жыл бұрын
Poleni sana wafiwa mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kingumu
@subirajohn728
@subirajohn728 2 жыл бұрын
R.i.p Barke!
@mamacaroline6046
@mamacaroline6046 2 жыл бұрын
Moyo wa mtu kichaka.Wanaume wengine wanakuja na madawa ya kulevya mwisho wa cku wanakutenda. Mungu ndiye ajuaye mateso aliyoyapata huyo dada mpaka umauti kuupata
@michaelkapaya5996
@michaelkapaya5996 2 жыл бұрын
Rafiki yake huenda atakua ana info zaid
@pericykiko6198
@pericykiko6198 2 жыл бұрын
Yule wa kwanza kupiga cm ndie aliemuua aliejifanya kuna biashara wanataka kufanya alikua anawapa taatifa kiujanja
@mudirama8114
@mudirama8114 2 жыл бұрын
Ndio nlikuwa nafikiria alitaka tu kujua kama taarifa wanazo.
@waziriomar1414
@waziriomar1414 2 жыл бұрын
Wanyama wakali wanauwa binadam na binadam wanauwa binadam dah so sad 😭😭😭
@rehemaabinelynyagawa2878
@rehemaabinelynyagawa2878 2 жыл бұрын
Kulala na kuamka ni neema jamani😢 kila kukicha vifo Mungu atuhurumie peke yetu hatuwezi😭
@maryjonh311
@maryjonh311 2 жыл бұрын
Huu mwaka.mbona.umeanza.kwa kasi ya Mauwaji sana😢😢
@kellyngogo3319
@kellyngogo3319 2 жыл бұрын
Mngemuhoji huyo rafiki si wengine
@maringomarietha1522
@maringomarietha1522 2 жыл бұрын
huyo shoga ake nae ahojiwe haiwezekani alikaa kimya wakati walikuwa wote no no no🤔
@zainabcosmas6961
@zainabcosmas6961 2 жыл бұрын
Poleni Sana wazazi ndugu jamaa na marafiki
@asiamohd5516
@asiamohd5516 2 жыл бұрын
Gest!! No comment.
@hamidauhuru813
@hamidauhuru813 2 жыл бұрын
Badilisheni hicho kichwa cha habari global, ndugu wamekanusha kuhusu kutolewa figo . Allah amrehemu Inshallah
@maimunashaban9538
@maimunashaban9538 2 жыл бұрын
Mtiani sana
@sintaibra355
@sintaibra355 2 жыл бұрын
Jamani 😭😭😭😭
@nasorobangara2924
@nasorobangara2924 2 жыл бұрын
Itakueje mbele za Mungu kama kafia gesiti poleni lakini
@shopalareen4303
@shopalareen4303 2 жыл бұрын
Kwa kweli mtihani lkn mungu amsamehe makosa yake
@najmaulaya8819
@najmaulaya8819 2 жыл бұрын
Kadhirumiwa nafsi yake Allah mjuzi zaid
@jayjay4313
@jayjay4313 2 жыл бұрын
Hhm, mtu asepe na mtu usiyemfahamu bila kukuaga. Mtoto sawa ila sio mtu mzima. Utata huo, huyo jamaa alitumia masaa sita chooni mpaka akaona asepebna mtu asiyemjua.
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
Inabidi huko guest ndio waeleze alikwenda na nani?.Au aliwekewa madawa yakamzidi Mungu ampumzishe kwa Amani
@jayjay4313
@jayjay4313 2 жыл бұрын
@@leokamil6284 watanzania tunaamini wazee wa upelelezi wapo kazini. Wengine yetu ni kumuombea apumzike kwa amani. Maana hatujui yetu yatakuwaje.
@chishakosaidi1541
@chishakosaidi1541 2 жыл бұрын
dah kila mtu anamna alivyopangiwa kifo chake.mungu ampokee kwa aman dada huyu
@naimamohamed2412
@naimamohamed2412 2 жыл бұрын
Daah ina uma sana 😭😭 jaman tuna elekea wap
@annajustin1945
@annajustin1945 2 жыл бұрын
Jamani na huyo Rafiki yake..hamjui huyo mwanaume? Na alivyorudi msalani hakumpigia Rafiki yake ajue ameelekea wapi? Na je baada ya hapo alichukua hatua gani?
@karimhamisi4627
@karimhamisi4627 2 жыл бұрын
Kwao Ni normal life udangaji
@ramadhanjuma610
@ramadhanjuma610 2 жыл бұрын
Allah awaongoze dada zetu wakiisilamu Kwani wengi mtihani Wanakufa haliyakua wapo vby sana hawana stala Allah tufanye tuwe Waisilamu kamili Amina insha Allah
@anwarambar6141
@anwarambar6141 2 жыл бұрын
أمين
@adammwita3150
@adammwita3150 2 жыл бұрын
Sisi sote hatujui ni Mungu na mtenda na mtendewa ndo wanafahamu kuna nini nyuma ya pazia. MUNGU ATUSAIDIE SANA TUISHI KATIKA MSTARI NYOOFU.
@heyumi2340
@heyumi2340 2 жыл бұрын
Wanawake tulieni majumban kama Wanawake kujirusha majumba ya starehe punguzen tuwe na hofu ya mungu omba husnill khatima
@mimahmimah1595
@mimahmimah1595 2 жыл бұрын
Wallahy ni mtihani imagin wazaz wanajiskiaje kuambiwa mtoto kauwawa gest wanawake tutulie majumbani tujistiri tupunguze mambo Yaso na faida kwetu
@shopalareen4303
@shopalareen4303 2 жыл бұрын
Akiamungu hatuna hofu ya mungu tumeadaika na Dunia tumesahau kma kuna kufa
@anwarambar6141
@anwarambar6141 2 жыл бұрын
sio wapunguze mambo ya starehe, ni waache kabisa starehe za kumuasi Allah,
@hahmadhabibu2076
@hahmadhabibu2076 2 жыл бұрын
mbona tz kuna kesi nyingi za vifo?? tz government need to work on this coz this is a major problem in tz society
@mariamubachu8531
@mariamubachu8531 2 жыл бұрын
Poleni jmn inauma sn😭😭😭😭😭
@angelinasamweli7024
@angelinasamweli7024 2 жыл бұрын
Lkn huyu rafiki alikuyekuwa ametoka nae kula bata huenda ukweli alikuwa anaujua. Kuna hatari sana kuwaamini marafiki kupita kawaida
@mwajabually5321
@mwajabually5321 Ай бұрын
yaan
@deusrobart8181
@deusrobart8181 2 жыл бұрын
Naleo tena 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@mohamedasham4128
@mohamedasham4128 2 жыл бұрын
tamaa hizi
@damasmathei2305
@damasmathei2305 Жыл бұрын
Mungu atusaidie tukipatacho turizike nacho wapendwa Dunia imeisha starehe garama
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 2 жыл бұрын
Poleni wafiwa
@mariamsaid4064
@mariamsaid4064 2 жыл бұрын
Inalillah wainalillah laa juuni
@yohanaandrew336
@yohanaandrew336 2 жыл бұрын
Muhusika mkuu ni huyo rafiki yake anaujua mchezo huo
@amanchatila7607
@amanchatila7607 2 жыл бұрын
poleni sana wafiwa ila dada zangu mkiwa na wanaume chumbani ondoeni mawazo yakuwasachi wa naume kuwaibia kifo ni fumbo kubwa lakini ukweli anaujua mungu huwenda alichukuliwa kwa mapenzi lakini kufika chumbani akataka kumuibia ndio sababu au alishamchukua siku za nyuma akamuibia sasa dada akawa amemsahau kwa hiyo jamaa kaja kuliiza kisasi chakuibiwa hela zake
@duduvule8124
@duduvule8124 2 жыл бұрын
Wewe inabidi utafute huenda ukawasaidia polisi kwa maelezo zaid
@mwajabually5321
@mwajabually5321 Ай бұрын
hahaha
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 Жыл бұрын
Akamatweer uyo rafikiee aliekuwa NAE. Aelezeee SANA. Na amuonyeshe uyo baba aliekuwa naoooo
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 2 жыл бұрын
Ila tupunguze maneno makali tumuachie Mungu na police
@mweusiasili8345
@mweusiasili8345 2 жыл бұрын
Pisi kali sana dah mtihan kweli 😢
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 2 жыл бұрын
Hamna hata aibu mtu haonekani zaidi ya wiki 2 mmekaa kimya hamumtafuti kiufupi tuseme ni mdangaji maana mwenzie ndo kasema walikuwa wanakunywa na alijua mwenzie kapata kichwa na akaenda zake home kawaida
@sabrinasabrina8395
@sabrinasabrina8395 2 жыл бұрын
Yani MTU haonekan wansindwa kwenda hata kwake kumuangalia Yani nikama wanajua utaratibu wake ndio wakapotezea
@Zainab-sq1tc
@Zainab-sq1tc 2 жыл бұрын
Ndy inaonekana hvyo
@rosemalik8122
@rosemalik8122 2 жыл бұрын
@@sabrinasabrina8395 ndo ivo uyo alikua na kazi yake anayoijua yeye
@shamijuma7259
@shamijuma7259 2 жыл бұрын
Itakuwa hivyo,kwa kawaida mtu ambaye huna mambo hayo ukipotea masaa matano tu nyumbani watu wanakutafuta wanajua sio tabia yako
@geraldtarimo2550
@geraldtarimo2550 2 жыл бұрын
Huyo rafiki anahusika
@johnrwekiza7140
@johnrwekiza7140 2 жыл бұрын
Anaweza asihusike kwan rafik alivorud akumkuta aliona labda ameishia na kichwa
@olivajoseph1776
@olivajoseph1776 2 жыл бұрын
Alikuwa Cute yani sura tu inaonyesha alikuwa napesa. Mungu huyu
@wilsonwafulachebokati4933
@wilsonwafulachebokati4933 2 жыл бұрын
Hi ndio dawa ya Malaya we mwana mke Una wanaume zaidi ya 5 na bado hazabu ya kaburi inamngoja usizini zinaaa
@wilsonwafulachebokati4933
@wilsonwafulachebokati4933 2 жыл бұрын
Haramu
@wilsonwafulachebokati4933
@wilsonwafulachebokati4933 2 жыл бұрын
Tena haibu gesti
@maisaalawy4512
@maisaalawy4512 2 жыл бұрын
Mi naona mauaji yamezidi tumrudie mungu atuondolee huyu shetani
@mwanahamisseif5506
@mwanahamisseif5506 2 жыл бұрын
Inaman uyo rafiki ake alikua choon masaa mmmh kuna tatizo apo asiwe uyo rafiki anajua kila kitu
@enterenter1921
@enterenter1921 2 жыл бұрын
Innalilla wainna Illayh rajiunah,, binafsi nasema hivi polis wampe kibano huyo rafiki yake atasema ukweli waende hata kwa makampuni yasim wafatilie number yake mwishoni mwasiku hizo aliwasiliana nanani?? Daa mdada mzuri amedhulumiwa nafsi yake
@immaculateakilimali7220
@immaculateakilimali7220 2 жыл бұрын
Yani kweli kabisa,unaendaje tu chooni usimkute mwenzako,then umemtafuta humpati hata usitoe taarifa Kwa ndugu zake,kweli kuna mpango hapa,ndo ile unaambiwa kikulacho ki nguoni mwako,polisi wakimbana Huyu mbona atasema tu ukweli wote,na pia wafuatilie mawasiliano yake ya simu,unaweza kuta alikuwa anawasiliana na hilo njemba,mbona ukweli utajulikana tu.
@enterenter1921
@enterenter1921 2 жыл бұрын
@@immaculateakilimali7220 pale pale baada yakumkosa nahapatikn kwasim kwann asiseme yaan masiku yamepita ndoanasema hapana kwanza huyu ndio wakwanza akaisaidie polis
@asha.mwambamwamba1774
@asha.mwambamwamba1774 2 жыл бұрын
Mdada mzuriii
@Expedito2512
@Expedito2512 2 жыл бұрын
Suala siyo uzuri jamani. Suala ni binadamu amefariki
@hansboy1443
@hansboy1443 2 жыл бұрын
Uzuli sio. inshu. Kila mtu atakufa. Tu. Anakufa malaika na viumbe wote sembuse binadamu sema tuu tuombe mwisho mwema
@pendomariki6562
@pendomariki6562 2 жыл бұрын
Mim nawasih wanaosema kafia gest aibu huwez kujua kafikaje pale tumwachien Mungu
@aminaabdallah7702
@aminaabdallah7702 2 жыл бұрын
Sasa huo binti hakumtabua huo mwanaume alikua na yéyé marehemu ?
@mariammwendakazungu5783
@mariammwendakazungu5783 2 жыл бұрын
Hapo ss isiwe naye alikua anajua mbn aondoke amuache mwenzake pengine walimpulizia dawa mungu ndo ajuaye ukweli wote damu y mtu itawahangaisha sana
@heyumi2340
@heyumi2340 2 жыл бұрын
@@mariammwendakazungu5783 inamaana yy atakua anachunguza mwanaume wa mwenzio acheni kufitinisha c waenda baa kunywa na wanawake wana tabia ya kubadilisha wanaume kila aina
@AishaAisha-rh1fc
@AishaAisha-rh1fc 2 жыл бұрын
Malaya una wajua ww iyo kuingia chooni ilikua gea tu hapo alishajua mwenzie kapata kichwa kawapisha wa malizane hii ni hajari kazini tu na siku yake ime fika
@mariammwendakazungu5783
@mariammwendakazungu5783 2 жыл бұрын
@@AishaAisha-rh1fc mh malaya tena mungu atunusuru waja wake kweli km alikua akifanya hiyo kz ningumu kujumjua alotoka nae
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 2 жыл бұрын
polen wafiwa wote 😥😥😥😥
@kauryatechnical993
@kauryatechnical993 2 жыл бұрын
Ukidanga utadanganywa mungu amlaze maalapema peponi huyu DADA yaonekana ni ?????????
@charlesmyamba8531
@charlesmyamba8531 2 жыл бұрын
2022tutaona mengi San kma tuliyoshuhudua 2021 mwaka huu yashaanza Ila huko aliko barke mungu amlaze pema
@officialtaslima5409
@officialtaslima5409 2 жыл бұрын
Ila matukio yamezid sana jaman
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 2 жыл бұрын
Mtoto mzuri
@maikomahanji9411
@maikomahanji9411 2 жыл бұрын
😱😱😱
@robinrizone9129
@robinrizone9129 2 жыл бұрын
RIP
@aishachambo8663
@aishachambo8663 2 жыл бұрын
Kafa vibaya dah gest😭😭
@rhassanimkomwa
@rhassanimkomwa 2 жыл бұрын
unajua ww utamalizia wap safari yako
@aishachambo8663
@aishachambo8663 2 жыл бұрын
@@rhassanimkomwa Kwani nimesema namalizia wapi?
@shopalareen4303
@shopalareen4303 2 жыл бұрын
@@aishachambo8663 Kwa kweli mtihani kubwa tuwe na hofu ya mungu
@rosemalik8122
@rosemalik8122 2 жыл бұрын
@@rhassanimkomwa hajasema kwa ubaya ila anamsikitikia maana ameenda na kithibiti kwa mungu,,, ila mungu amsamehe
@aishachambo8663
@aishachambo8663 2 жыл бұрын
@@shopalareen4303 kabisa
@liliankessy1255
@liliankessy1255 2 жыл бұрын
Na wamiliki wa Bar na Guest wajitahidi kufunga camera jaman
@nadiaasedi5181
@nadiaasedi5181 2 жыл бұрын
Kapumzike kwa aman dada yang jaman nimeumia sana kiukweli binadamu wabaya sana kukatili uhai wa mwenzao
@omanphone3455
@omanphone3455 2 жыл бұрын
Nyie si MTU akiuliwa huwa wanaangaliakwenye macho yahuyomarlehem wanajua nani aliyefanyahivo ?
@omanphone3455
@omanphone3455 2 жыл бұрын
Tabata kumenuka majambazi sana
@frankmgunjimgunji9261
@frankmgunjimgunji9261 2 жыл бұрын
Kwann awamu hii ya sita inamatukio mabaya hv
@USDisdoomed
@USDisdoomed 2 жыл бұрын
Siwaende hpo guest waulizie waliokua nao hpo guest ama guest zavichochoroni afu kafariki au kauwawa
@fatumatandika5849
@fatumatandika5849 2 жыл бұрын
Innalillah wa innaillah rajiuun
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 13 МЛН
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 10 МЛН
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 8 МЛН
UNYAMA: MKE APIGWA RISASI NA KUUAWA KINYAMA MBELE YA MUMEWE  JIJINI DAR!
30:06
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 13 МЛН