Watanzania Imani yenu ipelekeni kwa Mungu mwenyewe.Acheni kuamini wanadamu.Mungu pekee ndie msikiaji wa sala zetu sio mwanadamu😢😢😢
@joycenose23565 ай бұрын
Duh cha ajabu sasa waumini wameandaman hakika watu wangu wanaangamia Kwa kukosa marifa😢😢😢 shuka Mungu uokoe ulimwengu😢😢😢
@MatandiMatandi5 ай бұрын
Mm huyo simlau ila ninawarahumu ninyi akaina mama,munapenda sana maisha rahisi.Matapeli siku hizi ni wengi sana.Na waote wapo kwenye makanisa.Mubadilike.Poleni sana.
@rweumbizalugaimukamu49055 ай бұрын
Tuliibiwa milioni 3 kwa kiboko ya wachawi, Asante serikali kwa kufunga hili kanisa.
@msalikemedia5 ай бұрын
😢Heeeee!!
@K-go1qj5 ай бұрын
Mnapesa za kuchezea
@agnesjohn93825 ай бұрын
@@K-go1qj😂😂😂 kwa kweli
@Njeriii5365 ай бұрын
Mkome kabisa mmezidi kufuate miujiza.
@Africasafarichannel5 ай бұрын
Mkome
@Allen-e2q5 ай бұрын
Tatizo mumepandwa na kuaminishwa kuwa nabii ndiye anaponya hamuamini kuwa Mungu ndiyo anaponya mumepigwa pesa basi tulizeni komwe Mungu ndiye anaponya na kufufua siyo kiboko ya wachawi wala nabii yeyote hawezi kufufua wala kuponya mwenye ukimwi 😊😊😊
@wanguwangu345 ай бұрын
Safi sana maana hiyo ndiyo faida ya kutotaka kusoma Biblia yaani humjui Mungu hivyo Kila unaposikia Ngoma unakimbilia, mliende wenyewe hivyo msilalamike.
@nassornurdin12905 ай бұрын
Umeongea point
@winniebundala69875 ай бұрын
Kabisa kilimpeleka nn? Mbona huko kwa waganga wanaenda wanaliwa pesa hwaji kulalamika mtandaon? Huyu mama anamayatizo ko ubongo.
@emanuelmonari13004 ай бұрын
Hizi ni nyakati za mwisho tubuni jameni,mkimbilie Bwana YESU
@MiriamSumari-z5m5 ай бұрын
Mungu yupo na awezi kuruhusu neno lake kufanyiwa bihashara mungu yupo kazini mungu ni mmoja tu chini ya jua na juu mbinguni yupo mmoja ameanza huyu watafata na wengine mungu aziakiwi
@EnockBuhumbi5 ай бұрын
Acha huyu Dada anyooshe au alikua Dem wake Nini et tv
@peterboaz35925 ай бұрын
Kwa kweli hapa hayupo Mungu. Mama haidanganyi hata kidogo. Mungu anatuambia kuwa " watu wangu wanaangaika kwa kukosa maarifa" huyu mama wa pili muongo muongo mkubwa huyu atakuwa Kuni kule kwa Mungu.
@christophermsekena6165 ай бұрын
Mungu amewapa Roho Mtakatifu ili muitambue sauti yake Yesu halisi.... tatizo mnapenda shortcuts acha kiwalambe
@HusnaSharifu5 ай бұрын
Nilijaribu kujiunganisha na madhabahu yake nikafunuliwa kila kitu
@ColethaMerick5 ай бұрын
Na kishawalamba 😅
@eminenceboy83865 ай бұрын
@@HusnaSharifudadeq😂
@ericrukamba68025 ай бұрын
Wajinga waliwao😂😂😂😂
@olivernyange23495 ай бұрын
Anawafundisha uchawi waumini wake
@geoffreymagessa2895 ай бұрын
Si ulienda mwenyewe!. Hakuna haja ya kulalamika. Umeikataa 'Kweli' [yaani Neno la Mungu], na ukaukubali 'Uwongo'. Tatizo lenu mnataka njia za Mkato, hamtaki kujifunza jinsi ya kumtumainia Mungu na Kumwomba yeye bali mnataka mafanikio ya harakaharaka kwa kuwaendea waganga wa kienyeji ambao ktk nyakati hizi za mwisho na za hatari, wamejigeuza kuwa manabii, zaidi sana wa uwongo na lengo kubwa la wasaidizi hawa wa ibilisi, ni kuwadanganya wengi waiache njia ya kweli apate kuwaangamiza.
@mosesbarnaba78515 ай бұрын
Safi
@aminaabdulrahman51845 ай бұрын
Acha ujinga ww KWANI ww hujawah kosea kwanza kakopa wengi sana
@YefthaKornelio4 ай бұрын
Kweli tatizo hawataki kusoma biblia muujiza utokao kwa Mungu haununuliwi
@SamsonJohn-mo7en5 ай бұрын
Hao ndio wachungaji walioko hapa Congo,bado kuna watu hapo wanajifanya ndio wana uchungu na hilo kanisa la kishetani, mpaka fimbo wanazuiwa hapa Congo fimbo inauzwa mpaka laki moja kwa kila mtu mmoja poleni sana
@jareengeorge54785 ай бұрын
Poleni sana.huo wote niumasikini.hukuti tajiri akiangaika.Mungu atusamehe tunamkosea sana.
@solomondanny-15075 ай бұрын
Utapeli mtupu. Mtahukumiwa kwa upumbavu wenu enyi matapeli.
@martinajoel36665 ай бұрын
Watanzania wenzenunawkashifu acha Mungu awonyeshe,fungi la kumi hamtoi shetani ale wapi👍👍👍
@RukiaSalum-n4m5 ай бұрын
Mmenunuliwa kwa damu ya samani sana ya yesu mtahukumiwa acheni mahangaiko mje kwa yesu
@josephmbogela4155 ай бұрын
We mama unaesema Roma kuna michango uliona wapi huko Roma wanauza maji kwa 2000/=. watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
@josephmbogela4155 ай бұрын
Serikali ifike mahali iwatoze kodi manabii wote wanauza mafuta, maji n.k kwa waumini hiyo ni biashara sio kueneza neno la Mungu. Roma, KKKT, SDA, TAG, BAPTIST, ANGLICAN, EAGT ndo makanisa ya kuabudi yanayofuata misingi ya kristo.
@EmmanuelNyinyigwa-m1o5 ай бұрын
Huyo nabii Yuko vizuli Sana. Mezidi kupenda miujiza ya kuona
@EsterMtalo5 ай бұрын
Mmekimbia CATHOLIC Kwa mafundisho ujinga mnayolishwa huko. Imani ya kikatoliki ni ya watu wanaojielewa.
@adamsengo18695 ай бұрын
Hiyo dini mnayo abudu Sanamu la yesu pale mbele😂 eti ukiungama unaenda kutubu kwa binadamu mwenzako eti ndiye akusamehe!! UNAJIELEWA KWELI WEWE?!!!😂😂😂😂😂
@EsterMtalo5 ай бұрын
@@adamsengo1869 ndo maana nikasema mapuguani hayawezi kuelewa katoliki. Mambo ya sanamu tunayaelewa kuliko mnavyofikiri ninyi. Nendeni mkatapeliwe. Proud to be catholic.
@alzawahirabdallah22995 ай бұрын
Etiwakatoli mnajielewa nyie si mnakunywa pombe kanisani na huyo mnaye mwita baba mtakatifu karuhusu ushoga na mnaabudu sanamu nyie
@richardbatajili73915 ай бұрын
Katoliki kunamafundisho gani au ya sala za Maria?
@alzawahirabdallah22995 ай бұрын
@@richardbatajili7391 yapo yale maria mama wa mungu utoombe sisi wakosefi hapo umepiga goti unazungumza na sanamu
@drtheresiakaruhanga35435 ай бұрын
we mama umenisikitisha, pamoja na kuvaa kitenge kinachoonyesha imani yako iliyoimara duniani, unadanganywa na wahuni?mponywe kwa jina la Yesu.
@Mussa-t1q5 ай бұрын
Yule si mganga wa kienyeji, anayetibu ni Mungu. Kama imani yako ni haba hupati muujiza.
@InnocentLeopard-vz4cf5 ай бұрын
Mnapenda baraka kabla kuishi maisha ya kumpenda mungu
@JacklineJohnson-q9k5 ай бұрын
Huyu mama ni mkatoriki na amevaa kitenge Cha Mt Agustino kama sijakosea Sasa huko ulienda kufanya Nini mama wakati kanisa lako limejaa muujiza ya Yesu wa Ekaristi ni kweli watu wangu mnaangamia kwa kukosa maarifa
@aminaabdulrahman51845 ай бұрын
Mmmh hujapatikana shukuru Mungu mie alichukua laki nane
@annadaniel76935 ай бұрын
kwa manabii na mitume wanaenda hadi waislamu hata kwa mwamposa wanaenda dini zote wakiamini watapona na kutatuliwa shida zao
@aminamalilo66054 ай бұрын
@@annadaniel7693huwezi kuwa muumin wa kweli uende Imani nyingine kuombewa maana yake Mungu wako humuamini hao Waislam wanaoenda huko ni wale wavivu wa kufanya Ibada ya kweli na kujiombea mimj hata niwe ndo natokwa roho sitoenda kuombewa na Imani nyingine😂😂
@rahabmausli41835 ай бұрын
👍Ni kweli kabisa Hata Mimi Nilitoa Million Moja Na Nusu Nahata Sasa hakuna kitu kimefanyika Mama Asema ukweli 👍
@Hussein-gx4qu5 ай бұрын
Wewe ni wakiume au wakike kwa maana wanawake ndio akili Yao ndogo
@BarakaBosco-dz1zx5 ай бұрын
Iyo ela ukipelek mazabahu ya kwel ungesaidik we unapelek uko saf san pelek na kwamwampos
@CastoryKapinga-nb7ht5 ай бұрын
SHIDA YENU MNAWADHARAU WATUMISH WA MUNGU AMBAO MNAWAONA WQPO WAPO HAWAELEWEKI ,MNAKIMBILIA KWA HAWA BAADHI YA MANABII FEKI HAWA
@mcback43845 ай бұрын
@@BarakaBosco-dz1zxkupona tatizo lako ni Imani yako na sio pesa zako, utamuhonga Mungu kiasi gani akusaidie? Acheni akili finyu
@SifaelMpagike-gt1gz5 ай бұрын
Mtatapeliwa sana kama hamsomi maandiko.. maana mnapenda sana miujiza.
@FrolaAndrea-r5f5 ай бұрын
Ww unae comment sisi ndio tunamatatizo hujawahi kupata tatizo la kukuumiza haswa uuguliwe na mwanao mh unatapatapa tu mwambie mungu akuendelezee uzima 2 nafamilia yako
@amanmalima9405 ай бұрын
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
@eliurumamalisa47005 ай бұрын
Afungiwe kabisa
@rukiamadati3365 ай бұрын
Uwii Mungu naomba tunusuru🙏🏾🙌
@nadiatanzania5 ай бұрын
Najiulizaga huwa mwapotezwa faham au mm hata waningize wapi Mungu wangu aliye hai hamnipotoshi never Eva in Jesus name 🙏
@expert58985 ай бұрын
Hao akili hawana kabisa, na wengi walikimbiaga umande
@IbahimAmru5 ай бұрын
Bora nibaki na mungu wangu na yesu wangu 😂😂😂😂😂
@jacobkabura55135 ай бұрын
Mama pole sana, hujajua kama hao nimataperi???
@josephkaveya42845 ай бұрын
Wajinga ndiyo waliwao pumbafu
@josephkaveya42845 ай бұрын
Nani alikuambia Hilo ni kanisa
@dianajohnson72685 ай бұрын
Ila hii dunia bwana , Kikubwa serikari imemjua haraka , na sis jaman hata kama ndio shid ndio kuamini binadamu mwenzio hivo kuliko Mungu😢
@christinalawrence74935 ай бұрын
Watu wangu wanaangamia Kwa kukosa maarifa,jmn kumbukeni hili neno kwenye bibilia lipo Wokovu syo pesa
@suleymandachi7825 ай бұрын
Kama akili zenyewe ni pungufu maarifa watatoa wapi
@PeterMahona-zd3oz5 ай бұрын
Wewe Dada wadanye siwajitambu waende. Kuwaletea hawajitambui wanadamu hawamjui mungu wao komaa mama
@miriamamiri6415 ай бұрын
Amekuja kutafuta pesa huyo tapeli mkubwa na uchawi wake tena akamatwe mwizi huyo
@leokamil62845 ай бұрын
Wote Mwamposa na wengine ni maokoto tu 😢
@DativaMbowe5 ай бұрын
@@leokamil6284 bg point
@SadamSarita-t7z5 ай бұрын
Uyo arud kwao mjinga huyo Bora angekua mtz
@Leeeeeeee-965 ай бұрын
@@leokamil6284mwamposa alikutapeli nini acha unafiki mwamposa anagusa watu bure unaropoka tyu bitu usivyo vijua
@olivernyange23495 ай бұрын
Angefungwa na kurudisha pesa zote aise Magufuli uishi huko uliko
@doreenmsafari29455 ай бұрын
Ilikuwa mwatapeliwa jamani mungu asaidie watu wake 🥺🥺🥺 mungu atupe macho ya kiroho
@simonMollel-rr3gb5 ай бұрын
Heri kutubu dhambi na kuziacha.hakuna muujiza mkubwa kama mtu kushinda dhambi ndipo MUNGU akutokee mwenyewe sio kuweka imani kwa mtu poleni watu wa kyalla
@hopechaul135 ай бұрын
Mnyonge mnyongeni HAKI YAKE MPENI JAMANI
@hamzakimaro37645 ай бұрын
shida wengi wa wakiristo wamepoteza imani ya kwamba mungu ana uwezo wa kutenda!!ili upate mali ,watoto,na mengineyo eti lazima upate kwa muujiza!!!
@K-go1qj5 ай бұрын
Umenena kweli
@sarahasekile38645 ай бұрын
@@K-go1qjkweli tumezoea miujiza ya haraka bila kuamini mungu wetu anaweza
@SADICKITHOMAS5 ай бұрын
Ni kweli watu wamemsahau Mungu
@sarahgaula22205 ай бұрын
Huko Kwa manabii Hadi waislam washatekwa wengi
@mcback43845 ай бұрын
Ukichunguza vizuri ni waislamu ndio wengi huko
@jessicaanania63265 ай бұрын
Daah huruma sana jaman uyu mwizi asifunguliwe Tena hamna Cha kurekebisha kanuni Wala nn...😢
@stonenestory5 ай бұрын
Kiboko ya wachawi nimongo sana watu tusipo piga magoti na kumrudia mungu tukawamini wanadam tutateseka sana
@HopenessPaul5 ай бұрын
Ungepigwa hata million kumi kihelehele kimezidi wabongo daaa!!! Mnatia huruma aisee.....
@HamisiAbdallah-vu7fz5 ай бұрын
❤ndio mjue SASA hao matapeli
@AllyMwinyi-rx8gr5 ай бұрын
Alhamdulillah najidai nadini yangu ya kiislam
@PatriciaFelix-hx9wc5 ай бұрын
Ni kweli Jamani kuna dada akitoa laki na kutibiwa m 2
@K-go1qj5 ай бұрын
Alipona?
@AverinaShirati5 ай бұрын
@@K-go1qjthubutu
@K-go1qj5 ай бұрын
@@AverinaShirati sasa mtu unapigwaje wakati kupitia maandiko unapona bure
@cecilendayishimiye85485 ай бұрын
M'y God .Mungu atusamehe kweli
@Faraja-wj5mo5 ай бұрын
4:48 yaan Kwa huyu siendi hata Kwa dawa😂😂
@WiliamMatondo5 ай бұрын
Huwiiii😂😂😂😂 jamani nalia miee imeandikwa watu wangu mnaangamia kwa kukoswa malifa
@kaoretosha66685 ай бұрын
Watu wanaamini kwenye miujiza na sio Mungu Mwenyezi. Utapeli unaendelea.....Kimara, Kawe na kwengineko....matangazo kama kawa....
@annamussa1855 ай бұрын
Aende kwao Congo akafungue kanisa
@KibwanaOmar-dh2sh5 ай бұрын
Hata huyo atakuja kuwatapeli ndiyo haohao manabii wauongo mtadanganywa mwisho utapeli.
@SadamSarita-t7z5 ай бұрын
Aende kwao marako huyo
@SADICKITHOMAS5 ай бұрын
Dah yani wanafanya nchi yetu ni yakupigia pesa afu ukute keshapiga zaidi ya bilioni kadhaa za watz
@African5115 ай бұрын
Mungu anawashangaa sana kwa kukosa maarifa aiseee
@mariammganga58265 ай бұрын
Mama acha uongo unatakiwa kumpokea Yesu awe bwana na mwokozi wa maisha yako amelaaniwa amtegemee mwadamu. MUNGU adhiakiw apandacho mtu ndicho avunacho huyo mcongo alichokipanda ndo kakivuna, hongera serekali kwa kumfungia
@siamuchunguzi5 ай бұрын
Mariam, huyo mama kadanganya nini? Au na wewe ni mfuasi?
@rehemamusa57275 ай бұрын
😂
@sharifajuma99455 ай бұрын
Naona shemasi wa kanisa unatetea ugali🤣😂
@Bless-sk8uv5 ай бұрын
😂😂 ila wew umetuweza, unatuchanganya
@RahmaAwadh-ul9yu5 ай бұрын
Hawa si ndio wale anaowapanga kutoa ushuhuda hamna kitu hapo
@HappyEquestrianHelmet-iw5co5 ай бұрын
Mh ,mungu nisamehe had watenda kazi wa kiboko wanatamaa na dharau
Someni maandiko mpate kuwatambua watumishi halali wa mungu, tatizo wabongo mnapenda miujiza na mafanikio hamtafuti ufalme wa mungu, na shetani kwakuwa anajua kwamba watu mnashida hii Sasa Hy njia ndo anatumia
@AllaudinMeghji5 ай бұрын
Yaani mama unamuamini kweli huyo shalobalo😂😂😂
@AfricaQueen5 ай бұрын
🤣😂🤣🤝chezea mwisho wa kiama ndio huu yaani nimeshangaa kuona huyu dada maskini nae kaingia kwenye hii Drama ya hawa matapeli inasikitisha sana 😭😭😭
@naturelle10975 ай бұрын
Alafu anashabikia
@ngimbakuyi32504 ай бұрын
Mungu tupe maarifa
@Umsuleym43785 ай бұрын
Tatizo lenu mnapenda kuabudu watu. muabuduni mungu mungu anakusikia popote pale ulipo kwanini upitishe shida zako kwa kiumbe mwenyewe ana shida na utapeli ulio jaa
@YohanaRichard-e6p5 ай бұрын
Huu ni wakati ambao kumekuwa na ukame wa neno la mungu alie hai hivyo wana damu tusipo mtafuta mungu wa kweli tutaishia kuwa mateka wa shetani na kuwa vipofu kiro na kupungukiwa na maarifa ya mungu, maana hatumuombi mungu utakatifu ila tunashida na utajiri wa ulimwengu huu usio kitu(yakini) hata muumba aliye juu ya yote anastaajabu tunavyo mdhihaki kwa kugeukia miungu watu wale ambao ni waganga wa weenyeji wa ulimwengu huu ambao wana tumia mwavuli wa dini kula pesa za masikini.
@annamushiaminaaa43675 ай бұрын
Ni kweliii nilifika nikarudi bila kuhudumiwa sikuwa na hela na nikahisi ni matapeli tu
Shida watu atujiulizi Mimi kwamtazamo wangu uyo nabii si wakweli bali ni nabii changa la macho kupoteza watu wa mungu badala ya kufata njiya saii wao wanafata miujiza ambayo si kweli
Acheni kufuata miujiza akina mama mtapotea na mungu hatawasamehe.!
@MusokeDios5 ай бұрын
Kwani unalqzimishwa si ulitoa mwenyewe,mimi huyo mtumishi simjui but namtetea watu mnaenda wenyewe hakulazimishi mbona kwawaganga mnaenda mnatoa hadi ng"ombe na hamsemi mfyuuuuuu zenu,
@samweli79855 ай бұрын
Wewe unauelewa wakiMungu, ndugu, hata Mimi naungana nawewe kumtetea. Wamwache maana kunawatu wanafaidika na wanakombolewa
@DeogratiusAndrew-zi7zv5 ай бұрын
Huyu mama katumwa kumchafulia mtumishi wa Mungu, na kwani walimuita ,mbona hospital wanaenda nawanatoa hawaponi lakini huko kwa watumishi mnawatukana kweli, kunasiku wanayo yapanda yatawarudia wote
@samweli79855 ай бұрын
Hawa wanao frahia niwachawi, ndiyo maana wanafrahia
@leoncebenjamin81075 ай бұрын
Watu wangu wanaangamia kwakukoswa maarifa.Njoo kwa yesu
@jamesswai65835 ай бұрын
Pigweni ela. Sikio la kufa halisikii dawa.
@firegun94435 ай бұрын
Acha wapigwe mana hawaelew waumini wa siku hzi Tatzo watu wanaenda makanisani baada ya njaa kuwakamata na Si kwa ajir ya mwenyez mungu, mtauza vijumba na mtauwa biashara zenu kwa upuuz wa mathehebu ya ajabu ajabu lila kukicha
@SalumuKomba5 ай бұрын
Mnaangamia kwa kukosa maarifa😢
@MukamusoniHawa-cj2yc5 ай бұрын
Proud to be muslim✌️
@AmusedForestBridge-zo6ox5 ай бұрын
Arudi kwao kongo kwa haraka iwezekanavyo
@julianajeremiah43535 ай бұрын
Kazi kweli mtafuteni Mungu maadaaamu anapatikana
@shomaryabdul68625 ай бұрын
Namkubali sana hananja Japo Simklisto....Uwa anasemaga ukweli hamsikii
@NaomiAgreey5 ай бұрын
Ulilazimishwa kutoa umetumwa ww, acha hayo ,usimsemee mtumishi wa mungu vibaya,
@davisjuma58875 ай бұрын
duh wanawake wanapenda sanaa muujiza kwakweli
@fredrickmathias64785 ай бұрын
Ila mama zetu nyie nanyi miyeyusho sana,Mungu atusamehe sana ase
@alzawahirabdallah22995 ай бұрын
Tatizo hajui maandiko mnafata kila mnalo ambiwa lazima muibiwe 😅😅😅😅😅
@PeterMahona-zd3oz5 ай бұрын
Mkome mkiambiwa. hamsiki. Pambaneni mnazo. Mjitahidi kusoma BIIBuLIA. Hamtaki mnapenda. miujiza kuliko mungu koma hivyohivyo
@hopechaul135 ай бұрын
Sio kweli jaman dooooo😢😢😢😢😢😢
@DebbyJerry-ch4fn5 ай бұрын
Akina mama tunatangatanga na unabii Mungu atuponye na kutuokoa, kutangatanga nako ni uzinzi 😢😢
@MasanjaZabron-y1v5 ай бұрын
Dash polesana mama angu jina la mungu wanalitu mia kama biashala
@AlfonceGwambiyeBilantanye5 ай бұрын
Mungu wa mbinguni awarehemu, watendao hayo, warejeee wakaihubili kweli ya Injili isiyogoshiwa. WATANZANIA, tujue "hakuna jina jingine litupasalo kuokolewa kwalo Isipokuwa jina la YESU PEKEE, wala siyo mafuta,maji,udongo,udi au uchamfu mwingineo" huo ni SAWA NA UGANGA TU, KUJIITA WATUMISHI KUMBE MBWA MWITU MATAPELI, MAMLAKA YA USAJIRI WA MAKANISA NA HUDUMA ZOTE ZA KIDINI TANZANIA CHUNGUZENI VEMA MADHEHEBU HAYA, MENGI NI WIZI MTUPU. WANATUMIA JINA LA YESU KUFANIKISHA MAMBO YAO, TANZANIA TUWE MACHO HIZI NI SIKU ZA MWISHO.
@emmyanold93065 ай бұрын
Huyo mama anasema vitu tofauti na waumini wa kanisa hilo kama kasema kitu ambacho hakipo hatubu ,
@urickpeter5 ай бұрын
Kazi ya mjinga kuumia, Kiboko ya wachawi oyeeeeh😂😂😂😂
@merrynancesimon15625 ай бұрын
Sasa yote ni yanini 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢aisee Mungu atusaidie
@AnnaJoseph-m8s5 ай бұрын
Mnapenda sana shotikati,muujiza mkubwa ni jina la yesu pekee ndio muujiza wa kwanza
@lulundossy72135 ай бұрын
Biblia inasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa Mungu atusaidie kwa kweli
@roseafrael755 ай бұрын
Tatizo watu wanapenda miujiza sana,,huu ni zaidi ya utapeli na tusipofumbua macho ya rohoni pesa zetu zitachukuliwa sana na hawa manabii wa uongo.
@AmaniMrema-i3i5 ай бұрын
Wewe mama umevaa kibegi hujielewi
@marthamasue40095 ай бұрын
Safi sanaaa! Ndio ukome kabisaaaa
@ramadhanmaulid40885 ай бұрын
Alhamdulillah kwa neema ya uislam
@PendoEliamani5 ай бұрын
Jaman watanzania mtazameni mungu,shida yenu mnapenda shortkut acha kiwalambee
@JihaadIsmail5 ай бұрын
Muombeni mungu acheni ujinga mtaibiwa kila siku
@margaretmandia88675 ай бұрын
Mama mtafute Mungu umjue sana. Soma sana neno umjue Mungu acheni shortcut za maisha.
@esterMahenge5 ай бұрын
Siku wahi mwamini uyo kiumbe na amini rohoo mtakatifu yupo ndani yangu🙏🏻
@samweli79855 ай бұрын
@@esterMahenge hongera kwahillo
@samweli79855 ай бұрын
Nikama unajuwa lakini hujui
@Elybwayz5 ай бұрын
Kalibuni katika Uislamu akuna upuuzi uwo dini iliyo ya sawa bila mizungusha❤
@sarahasekile38645 ай бұрын
aliesema ukristo sio dini ni nani,ila watu wanatumia vibaya kupitia dini.hao ni manabii wa uongo hasta kwenye biblia imesema watakuepo
@mcback43845 ай бұрын
Wamejaa alshabab, bokoharam, alkaida na watoa roho wengi hamna dini hapo
@MariaSundi-m9f5 ай бұрын
Hosea 4,6 watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa na bado watakuja wengine
@AsnatyGermano3 ай бұрын
Allah atusaidie sana
@antonykomba66315 ай бұрын
Hakuna mtu wa Mungu anaweza kufanikiwa Kama siyo mtoa zaka