Wimbo wenu nimeupenda saana mpumbavu asema hakuna mungu mmechenza vizulisauti mmepanga vizuli mungu awabaliki sana mi akani natikisa mguu taratibu kwa sauti chini ya redio
@Neemahenery21 күн бұрын
waoooo jamani raha sana
@DICKSONHARUNMACHODO10 күн бұрын
Yalumbwe mponyi
@RaymondwilliamKimasi-c3tАй бұрын
Yalumbwe chibitilila
@MaryamDaud-h2b4 ай бұрын
Nyimbo naipenda sana hii haijawa pita siku nisiisikilize❤❤❤
@sikitumganga-uf2so2 ай бұрын
Unadowload vipi ndugu zikufuta kuno na nazifafta sana ntazaje myangu
@sikitumganga-uf2so2 ай бұрын
Au naomba unitumie whatsapp
@MaryamDaud-h2b2 ай бұрын
@@sikitumganga-uf2so huwa naisikilizia KZbin dear kudownload inakataa