FM Academia | Dunia Kigeugeu | Official Version Video

  Рет қаралды 420,484

Injili

Injili

Күн бұрын

Buy it from iTunes: itunes.apple.c...
Listen and Share Gospel Song "Dunia Kigeugeu" by FM Academia. SUBSCRIBE Injili For Best African Gospel Songs | bit.ly/InjiliAf...
#LISTEN | #LOVE | #SHARE
Enjoy & stay connected with us!!
Visit InjiliAfrica channel for more Gospel Songs: / injiliafrica
Like us on Facebook: / injiliafrica
Follow us on Twitter: / injiliafrica
Stream music free at our official Website: www.mziiki.com

Пікірлер: 116
@HusseinRamadhan-z5b
@HusseinRamadhan-z5b Ай бұрын
Kama bado unakubali hii ngoma mpaka Leo 2024 gonga like tujuane
@Namaniibrahim7
@Namaniibrahim7 7 ай бұрын
2024 nasikiliza muziki mzur toka kwa wazee wa pamba
@EmmanuelMgata-q4o
@EmmanuelMgata-q4o 5 ай бұрын
team 2024 ☺
@focusbusili2984
@focusbusili2984 6 жыл бұрын
tusaidiane ndugu jamaniee tulikuja mtupu mali tumezikuta hapo duniaaanieee kama unakubali dunia ni ya mora gonga like
@PaulBashindike
@PaulBashindike 11 ай бұрын
Dunia kigeugeu ni kweli.
@BedaShayo
@BedaShayo 4 ай бұрын
Amini
@neemadavid3371
@neemadavid3371 15 күн бұрын
2025🙏🏽these songs raised me
@ngederemkatamkaachuwakineg5239
@ngederemkatamkaachuwakineg5239 5 жыл бұрын
Nyimbo kama izi unashangaa mwenz unapita hakuna media ata moja umeupiga
@SalmaKassim-om7dl
@SalmaKassim-om7dl 11 ай бұрын
Oona wanavyoomba barabarani si mapenzi yao aliyekupa wewe ndio kawanyima wao alio wanyima wao ndio amekupa wewe ridhiki mafungu saba dunia duara
@jacklinfidelis5224
@jacklinfidelis5224 Жыл бұрын
Dunia inabadilika now kila mtu ana bend yake live eti patcho yake ndo inajaa sana jina Fm academic hilo hilo nyoshi yake kawaida sana jose mara ndo haina watu hata dah
@francisphilipo5749
@francisphilipo5749 Жыл бұрын
Ni uroho wa madaraka wangeibakisha fm academia
@MosesSaganga
@MosesSaganga 25 күн бұрын
Hivi ni kweli kwamba nyimbo kama hizi mmeshindwa kuzitunga Tena?? KIDONGOLOLO MUZURI SANA😂😂😂😂
@smartshoes2876
@smartshoes2876 5 жыл бұрын
Tusaidiane jamani katika shida na raha pia,tulikuja tupu mali tumezikuta hapa duniani big up fm academia
@smartshoes2876
@smartshoes2876 5 жыл бұрын
Aliyekupa wewe ndiye kawanyima wao,riziki mafungu saba dunia dwara.asante sana
@MaximeMasinga
@MaximeMasinga 4 ай бұрын
❤❤❤sala ya bwana wamepita nayo 💪💪💪💪
@chazkoillah2652
@chazkoillah2652 5 жыл бұрын
Mmepoteleaga wap gem gumu ama vip Rudin aisee
@AliJabir-xi4em
@AliJabir-xi4em 5 жыл бұрын
Andika bogoss musica
@AliJabir-xi4em
@AliJabir-xi4em 5 жыл бұрын
Andika bogoss musica
@trueexplorer894
@trueexplorer894 Ай бұрын
Kuanzia hapo 8:33 pana utamu wake balaa. Guitarist pokea maua yako
@simonnyambuge4241
@simonnyambuge4241 5 жыл бұрын
Watakuja wote lakini kwa ngoma hiii sarutiii akuna kama hiii miaka 1000
@josephgomalo41
@josephgomalo41 2 жыл бұрын
Tafadhalini jamani mniambie Kitokololo yuko wapi sasa? Huyu jamaa alikuwa anatisha! Kila nitaka kuacha bia.. nilikuwa narudia sababu yake!
@FaySamora
@FaySamora 2 ай бұрын
Mmmh kuacha bia tena😂😂
@sabrihaji362
@sabrihaji362 6 ай бұрын
Jamani wee acha kijiji cha makumbusho ina mana fm academia imekufa ngwasuma haipo tena
@AlfredMatemu
@AlfredMatemu 2 ай бұрын
Wamegawanyika kila mtu kivyake
@Katherine-w4p
@Katherine-w4p 10 ай бұрын
Enzi hizo mango twanga makumbusho ngwasuma weeeh tulikua tunazulula jmn mweeh mala akudo
@CatherineMwakibinga-gi1kp
@CatherineMwakibinga-gi1kp 7 ай бұрын
😂😂umenikumbusha mbali dah,, nilikuwa naishi mwananyamala enzi hizo mzunguko ulikuwa mango makumbusho na msasani beach Akudo😂😂😂
@sabrihaji362
@sabrihaji362 6 ай бұрын
Haichuji hii ngoma
@rajabumustapha4673
@rajabumustapha4673 2 жыл бұрын
Ningoma isiyochuja miaka nenda miaka ludi respect fm kademya
@sabrihaji362
@sabrihaji362 6 ай бұрын
Yani kwa kweli dunia kigeu geu I Enzi zile wee acha tu
@smartshoes2876
@smartshoes2876 5 жыл бұрын
Binadamu tuwe na roho ya huruma mwenzio anapopatwa na matatizo,wewe hufurahia na kicheko juu yake.asante fm
@neemadanford8815
@neemadanford8815 6 жыл бұрын
timu ya taifa fm academia wazee wa ngwasuma nawapenda sana
@furahakayange1162
@furahakayange1162 2 жыл бұрын
Enzi hizooo, nyimbo zilikuwa na mafudisho kisawasawa
@benardzephania7728
@benardzephania7728 5 жыл бұрын
Hill ndo ngwasuma LA kufa MTU .NON STOP. HAWA NI WATAALAM WA JUKWAA TZ HAKUNA MWINGINE
@francisphilipo5749
@francisphilipo5749 Жыл бұрын
2023 mpaka Sasa ipo huu
@jonathanmnken4423
@jonathanmnken4423 6 жыл бұрын
Leo kwako kesho kwangu!! Nikiwa kwny mambo yngu maj apo nackilza ngoma kama iziiii
@festodismas3218
@festodismas3218 6 жыл бұрын
The first one to.review in 2019
@ramadhanimadoweka6458
@ramadhanimadoweka6458 7 жыл бұрын
Fm academia watapiga nyimbo nzuri sana kama ilivyo Otilia. Lkn huu wimbo hawatafikia viwango vyake. Daaah! Jamaa wanajua sana hawa. Hii album nasalute kwao
@salummuhija4435
@salummuhija4435 6 жыл бұрын
Ramadhani Madoweka hata Mimi nasemaga hivyohivyo aisee! Kwa wastani album yote ya dunia kigeugeu ni tamu sana sijui kama itajiludia tena kwakweli.
@zachariamasanja1670
@zachariamasanja1670 5 жыл бұрын
Kweli kabisa huu wimbo ni funika bovu
@smartshoes2876
@smartshoes2876 5 жыл бұрын
Binadamu nasi tupendane kwa nini wenye pesi kuwanyanyasa wasiokuwa nazo,umasikini siyo kilema nimajaliwa ya mungu.asante sana fm
@fikirinyangasi7973
@fikirinyangasi7973 5 жыл бұрын
Fm ngoma hii ndo mlipiga asee
@daud405
@daud405 2 жыл бұрын
duh wimbo unanikumbusha mbali san dar miaka hiyo kipindi cha Kikwete
@ahmadsaid1099
@ahmadsaid1099 2 жыл бұрын
Jamani ivi kweli ngoma izi Zitarudi kweli da we achaa Tu
@saidmabanga388
@saidmabanga388 10 ай бұрын
2005
@iamnormal8648
@iamnormal8648 3 ай бұрын
6:32 Pa kubadili gia
@benfordmwakasaka6130
@benfordmwakasaka6130 5 жыл бұрын
Hatar hiyooo
@fatmachambotanzania9379
@fatmachambotanzania9379 5 жыл бұрын
Kwel Dunia kigeugeu
@vicetech2920
@vicetech2920 Жыл бұрын
Arafat alikua moto wa kuotea mbali kwenye Solo.Sijui yuko wapi hizi. Naye Kipokololo alikua balaa.
@AlphonceDonart
@AlphonceDonart Жыл бұрын
Ninyi nimbwa hapa mjin Goma tamu vibayaaaa😂😂😂
@NurdinGodigodi
@NurdinGodigodi 11 ай бұрын
fresh jumbe
@revocatuscristian590
@revocatuscristian590 7 жыл бұрын
Hakuna kama nyie hapa mjini.
@immahfred2127
@immahfred2127 6 жыл бұрын
Nyoshi El Sadaat .., on fire enzi hizo standard six
@handenitakuru6696
@handenitakuru6696 2 жыл бұрын
Pamoja na pacho mwamba
@nyabisemaro2095
@nyabisemaro2095 7 жыл бұрын
Kweli dunia kigeugeu Binadamu Tupendane Tusaidianee tusibaguane
@emmanueljudas4522
@emmanueljudas4522 Жыл бұрын
wazee wa ngwasuma .. wazee wa bling bling
@NadiMgudule
@NadiMgudule Жыл бұрын
Wap wazee ngwasuma jaman?
@aidanmagovela6407
@aidanmagovela6407 2 жыл бұрын
Wimbo wa kumtoa nyoka pangoni.... Big up...
@Zumdrivingschool
@Zumdrivingschool 3 ай бұрын
🎉
@yohanasamwel1000
@yohanasamwel1000 9 ай бұрын
Wapewe mauwa Yao hongereni sana
@francisphilipo5749
@francisphilipo5749 Жыл бұрын
Unakuta ndug Yako ni tajiri ana pesa za kutoa kwenye harambee makanisani kwenye maarusi anatoa ma milioni lakini kumsaidia ndug hataki pesa ni mapambo ya Dunia TU hatuzikwi nazo
@shynerchronic5020
@shynerchronic5020 5 жыл бұрын
Nipo hapa 2020
@yahyajarufu5893
@yahyajarufu5893 2 жыл бұрын
Kitokololo on 🔥🔥
@josephgomalo41
@josephgomalo41 2 жыл бұрын
Hivi Kitokololo yuko wapi hivi sasa?
@johnobedi6720
@johnobedi6720 Жыл бұрын
.....mmojawapo wa wanamuziki hawa, alipata shida ya "kuchenguka" aingiapo jukwaani....!....Yuko wapi na Kwa sasa anaendeleaje....!?
@hurumagideon173
@hurumagideon173 Жыл бұрын
Shairi lilitulia snaa hili
@fatmasuleiman3885
@fatmasuleiman3885 Жыл бұрын
Hii band ilikuwa tishio bongo sijui kwanini ilisambaratika.
@sophialarsen1285
@sophialarsen1285 Жыл бұрын
Wivu wa sisi nywele Ngumu😢😢
@Bama959
@Bama959 11 ай бұрын
Fitina za wa bongo
@Thanksgod-cu
@Thanksgod-cu Жыл бұрын
Mtu atusaidie nyo
@Brian_Green_
@Brian_Green_ 7 жыл бұрын
Gwasuma la kufa mtu na si la kitoto.
@ibrahimmwanza6162
@ibrahimmwanza6162 9 ай бұрын
Noma
@godfreymushi5125
@godfreymushi5125 6 жыл бұрын
H ni hatr kuliko zote
@bakaripatson9136
@bakaripatson9136 6 жыл бұрын
Hii ni balaaa zaidi ya balaaa
@samsonbinkulwa733
@samsonbinkulwa733 2 жыл бұрын
Makini Sana
@wistonlee2750
@wistonlee2750 10 ай бұрын
Hawatakuja piga kama hii.
@tehillamusic
@tehillamusic 2 жыл бұрын
Swahili Rhumba,congratulations Fm Academia
@dickkwangula7947
@dickkwangula7947 7 жыл бұрын
big up
@norahludara113
@norahludara113 6 жыл бұрын
Akuna kama ngwasuma
@davidzacharia2373
@davidzacharia2373 Жыл бұрын
Daaah bendi yangu
@amaniamanikimbe2557
@amaniamanikimbe2557 6 жыл бұрын
Naikubali sanahii
@guidoibada1861
@guidoibada1861 2 жыл бұрын
Huu wimbo kama umetoka leo
@innocentmushi3036
@innocentmushi3036 2 жыл бұрын
June 2022, Aisee nimemiss sana hizi bendi. Bashite ndio aliziua baada ya kutaka bar zote zifungwe saa 9.
@jacklinfidelis5224
@jacklinfidelis5224 Жыл бұрын
Zipo mbona patcho anapiga mbez anajaza balaa
@IsmailYusuf-nb9jt
@IsmailYusuf-nb9jt 4 ай бұрын
​@@jacklinfidelis5224mbezi maeneo gani
@yusuphchakanga3153
@yusuphchakanga3153 6 жыл бұрын
ngwasuma bahna! hatar
@adolambalilaki5925
@adolambalilaki5925 2 жыл бұрын
Ilikuwa si mchezo
@zawadiomar973
@zawadiomar973 6 жыл бұрын
2019🤔😍😍
@beninyojamestungaraza9190
@beninyojamestungaraza9190 2 жыл бұрын
2023 nipo hapa
@roydamorethanpainmgonja7248
@roydamorethanpainmgonja7248 6 жыл бұрын
fire🔥
@khamismussa3070
@khamismussa3070 8 ай бұрын
2024❤❤
@MelkiAlex
@MelkiAlex 9 ай бұрын
wapi wazeee wa gwasma
@athumankunambis9990
@athumankunambis9990 Жыл бұрын
Good music
@FettrshaAmani
@FettrshaAmani Жыл бұрын
Nataka kujiunga jamn nifanyaje kama kuna mtu Ana namb za kujiunga anipe jamn plz
@saidmabanga388
@saidmabanga388 Жыл бұрын
Ujiunge wapii ss
@charlesanselimo6658
@charlesanselimo6658 5 жыл бұрын
2020😊😍😍😍
@RodaTina
@RodaTina 9 ай бұрын
Wimbo ni Safi,lakini mafasi na miondoko sio ya kanisa,samahani
@ronnymubenesha7213
@ronnymubenesha7213 8 жыл бұрын
bangi kweli itauwa watu
@eliudsimkoko972
@eliudsimkoko972 6 жыл бұрын
nimewa kubar
@mahambamalick3742
@mahambamalick3742 5 жыл бұрын
It's High level album
@sharifa2274
@sharifa2274 7 жыл бұрын
Wazee wa ngwasuma bado wanapiga msasani clab au weacha
@lilianngowo8316
@lilianngowo8316 6 жыл бұрын
due nakumbuk mbali sanaa
@saidomary1510
@saidomary1510 6 жыл бұрын
kazkaz
@havijawaabdallah8026
@havijawaabdallah8026 6 жыл бұрын
2018??
@hamzamohamed8297
@hamzamohamed8297 6 жыл бұрын
2019
@daud405
@daud405 2 жыл бұрын
2022
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 6 жыл бұрын
Hili goma halichoshi
@hamzavedastus2506
@hamzavedastus2506 10 ай бұрын
100
@NeemaAsajile
@NeemaAsajile 9 күн бұрын
😅😅😅😅
@NeemaAsajile
@NeemaAsajile 9 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@jar-mariemanirakiza2321
@jar-mariemanirakiza2321 2 жыл бұрын
I wonder what happened to this group?
@kashindielennat9544
@kashindielennat9544 6 жыл бұрын
tume barurukiwa kipaji sisi ba congolais lakini amani atuna
@fadhilikaiza6069
@fadhilikaiza6069 2 жыл бұрын
Mm Eri, Cñ
@dickkwangula7947
@dickkwangula7947 7 жыл бұрын
big up
@evaristikobelo8443
@evaristikobelo8443 5 жыл бұрын
Inanikumba 208 nikitoka dar kwenda morogoro mgeta nasikiliza wimbohuu nikiwa nikipandi Milima y kidiwa
@MgayaNyika-hq1lj
@MgayaNyika-hq1lj Жыл бұрын
Nimeanza kuisikiliza south Africa ngoma hii,yaani soon mchezo❤❤😮😮
@chapaudindiudindi8804
@chapaudindiudindi8804 Жыл бұрын
Big up
FM ACADEMIA | HESHIMA KWA WANAWAKE | Official Version Video
11:29
Mwana DSM
12:31
African Stars Band - Topic
Рет қаралды 40 М.
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,8 МЛН
FM Academia | Anna | Official Video Song
11:00
Injili
Рет қаралды 221 М.
Bahati Bukuku - Waraka (Official Version Video)
12:54
Injili
Рет қаралды 6 МЛН
DUNIA KIGEUGEU
11:27
Nyoshi El Saadat Williams. - Topic
Рет қаралды 3,9 М.
ELIMU YA MJINGA-BANZA STONE
8:29
HABARI JAMII TANZANIA
Рет қаралды 818 М.
Muziki Asili Yake Wapi
5:34
Remmy Ongala - Topic
Рет қаралды 53 М.
FM ACADEMIA | VUTA NI KUVUTE | Official HD Video
14:05
Injili
Рет қаралды 187 М.
Dotnata (live) - Official Audio
24:17
FM ACADEMIA
Рет қаралды 7 М.
QARAKESEK - “REAL” | solo
3:22
QARAKESEK 🇰🇿
Рет қаралды 767 М.
Жандос Қаржаубай - Көзмоншағым
2:55
Kalifarniya- UAQYT (feat Qarakesek)
2:55
Kalifarniya
Рет қаралды 930 М.
Sivchik feat. Badabum - Бадаладушки (КЛИП 2022)
2:25
FLAGMANMUSIC ® | MUSIC COMPANY
Рет қаралды 5 МЛН