FM ACADEMIA | HESHIMA KWA WANAWAKE | Official Version Video

  Рет қаралды 219,276

Injili

Injili

Күн бұрын

Пікірлер: 51
@christophermagafu6816
@christophermagafu6816 Ай бұрын
Hii nyimbo ni Kali sana!!! 2024 nimerudi kuiangalia
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 2 жыл бұрын
Mlioniboa kuibomoa hii Mungu anawaona!! Wenzio wimbo wetu wa Taifa huu utatupa kuringa na kujiamini balaa!!
@AndrewGingiMtampi-mj6oq
@AndrewGingiMtampi-mj6oq Жыл бұрын
Tunaimba mrudishe kundi hili lilikuwa tishioo balaaa sana mnajua sana president nyoshi much respect tunasubiria kitu kutoka kwa lengos vip
@focusbusili2984
@focusbusili2984 5 жыл бұрын
kama unaikubali kama mimi kama hiyo timu ya Taifa gonga like zakutosha
@monametsirobsonmononyane
@monametsirobsonmononyane Жыл бұрын
The rapper is like Bill Kalonji👑
@salmaothuman9762
@salmaothuman9762 5 жыл бұрын
Daah rudisheni hii team tena ilikuwa 🔥🔥🔥😍
@mossesjonathan5766
@mossesjonathan5766 5 жыл бұрын
I always respect this that's why i call it wimbo wa taifa naupenda sana huu wimbo jamaa walitisha sana aisee big up
@kasimukabuji3147
@kasimukabuji3147 2 жыл бұрын
Reo ninawakumbusheni mbali sana eti
@EsterMeshack-q8s
@EsterMeshack-q8s 2 күн бұрын
Haaa nando langu linaisha
@emanuelgwaliki8126
@emanuelgwaliki8126 5 жыл бұрын
Matatizo ya dunia siyawezi kamwe! Nimewaelewa sana
@SaidiIssa-kl5sp
@SaidiIssa-kl5sp Жыл бұрын
Wazee ngwasuma
@stellamasero2580
@stellamasero2580 5 жыл бұрын
Bado FM academia fans tuko
@eugenjohn9436
@eugenjohn9436 6 жыл бұрын
Mziki huu naukubali sana,,nikitaka kujifariji huwa nawaskiliza wataalam hawa.
@immatheboy7994
@immatheboy7994 2 жыл бұрын
mimi nikiwa safarin ndo ngoma zangu za safar hzo
@eliakimmelkizedeck2059
@eliakimmelkizedeck2059 4 ай бұрын
Grand respect Equipe Ngwasuma
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 Жыл бұрын
Nakushukuru Kwa kututetea wanawake mana ukioneka bar tu balaa Tena wahudu ndio wajinga kabisa wakimuona mwanamke hata kuja kumsikiliza pia hawaji , hajui UNAWEZA kumlipa hata yy mshahara wa mwaka mzima ,kumbe umeenda kutumia tu ha! Wanawake tunaweza
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 6 жыл бұрын
Nawapenda sana FM Academia
@Edomasawe-er5mw
@Edomasawe-er5mw 2 ай бұрын
Jose😢😢😢😢😢
@JohnsonBonphace
@JohnsonBonphace Жыл бұрын
Jezi ya yanga
@seifkabdallah7924
@seifkabdallah7924 5 жыл бұрын
itabaki juu hii nyimbo
@giftnassar3297
@giftnassar3297 5 жыл бұрын
King braise
@dicksonwanyama1689
@dicksonwanyama1689 2 жыл бұрын
Much respect the dream team 👊💪 2022 🇹🇿🔰💚
@allymophat9619
@allymophat9619 6 жыл бұрын
wazee wagwasuma mnatishaaa BG up sanaa
@paulinachipeta3641
@paulinachipeta3641 2 жыл бұрын
Mambo ya bendi ayo 🔥🔥🔥
@ngederemkatamkaachuwakineg5239
@ngederemkatamkaachuwakineg5239 5 жыл бұрын
Bado awajapata wapinzani
@ibrahimmakasi4690
@ibrahimmakasi4690 6 жыл бұрын
naikubaliii sana hii ngomaa
@leticiashaban4437
@leticiashaban4437 5 жыл бұрын
Salute
@elliudisimkoko5484
@elliudisimkoko5484 2 жыл бұрын
Nawana kubali
@salmaothman153
@salmaothman153 6 жыл бұрын
Hatari sana wazee wangwasuma 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@kakozikbonga569
@kakozikbonga569 Жыл бұрын
Nahipenda sana kweli kam alivyosema el shader unapiga km Christian bella
@Ernestmnwag
@Ernestmnwag 4 ай бұрын
Utengwe mda mkubwa wayimba hizi
@janethmarley7475
@janethmarley7475 5 жыл бұрын
2019❣️
@JuniorMwakajila
@JuniorMwakajila 7 ай бұрын
Lozimhando
@samwelsaguda9251
@samwelsaguda9251 8 жыл бұрын
pamoja sana wazee wa ngwasuma. big up kwenu
@yusuphbalali9037
@yusuphbalali9037 6 жыл бұрын
Samwel Saguda balaaaah!
@edithnguruwe9421
@edithnguruwe9421 8 жыл бұрын
Mnatisha Aiseee
@rweyemamurweyongeza4879
@rweyemamurweyongeza4879 6 жыл бұрын
Diamond amonaiz
@CatherineMwakibinga-gi1kp
@CatherineMwakibinga-gi1kp 5 ай бұрын
❤❤
@mosesfriday606
@mosesfriday606 6 жыл бұрын
kitamboooo
@miriamdavis3893
@miriamdavis3893 Жыл бұрын
💪💪💪💪
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 жыл бұрын
Pacho kumbe ana imba
@danielcharles8249
@danielcharles8249 Жыл бұрын
Eeh pacho amekuja hapa nchini akiwa muimbaji kabla ya kujua kama anakipaji pia cha uigizaji
@elliudisimkoko5484
@elliudisimkoko5484 Жыл бұрын
Hapo 33
@janethatanass4574
@janethatanass4574 6 жыл бұрын
pmj san
@silakeleti1245
@silakeleti1245 6 жыл бұрын
Nkmmmnimmkmmmu. .. ... moo kt ink knoll
@lilyg2134
@lilyg2134 8 ай бұрын
Hebu badilisha hilo jina la channel na utoe hyo pcha ya msalaba!!! Usituaibishe pls! Content unazo post na hilo jina haviendani!!! Nonsense
@danstanpanga8490
@danstanpanga8490 2 ай бұрын
Hapo ndo penyewe na wimbo una ujumbe muhimu tusiwahukumu watu wanaoelimisha jamii bora hata kumtaja Mungu huku kuliko ukiwa Kanisani unawaza yale mabaya
@lilyg2134
@lilyg2134 2 ай бұрын
@@danstanpanga8490 we koma.. how is this a gospel song, akili zako ziko sawa? wanaelimisha jamii kwa hvyo vitovu nje au nn...usimchanganye Mungu na huu ushetani
@danstanpanga8490
@danstanpanga8490 2 ай бұрын
@@lilyg2134 Hahahahaaaaaaaa wapi weeee Mungu ndo anajua tulivyo ndani mwetu
@lilyg2134
@lilyg2134 2 ай бұрын
@@danstanpanga8490 we bwata tu ndo utajua kwanini Musa aliambiwa na Mungu awaambie waisrael wafue nguo zao wawe safi kabla ya kwemnda mlimani pake,,,au ndo utajua kwanini tunaenda madhabahuni na nguo za adabu...kma huko kanisani kwenu watu wanamuabudu Mungu uchi eti sababu Mungu anaangalia moyo basi sio Mungu wetu Yahweh na uache kujumuisha mambo
FM Academia | Dunia Kigeugeu | Official Version Video
11:27
Twanga Pepeta - Password.wmv
13:01
MightyLumber
Рет қаралды 68 М.
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 53 МЛН
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 105 МЛН
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 8 МЛН
Creative Justice at the Checkout: Bananas and Eggs Showdown #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 35 МЛН
Yegwe Anyamba  - Dr  Tee (Official Video)
5:10
Dr. Tee (Samuel Purpose)
Рет қаралды 288 М.
FM Academia - Dunia kigeugeu.DAT
11:49
manezra2003
Рет қаралды 225 М.
Loi-Koffi Olomide
5:37
Koko W
Рет қаралды 10 МЛН
MAESTRO KING KIKI | KITAMBAA CHEUPE
7:09
SIMU. Tv
Рет қаралды 101 М.
Dotnata (live) - Official Audio
24:17
FM ACADEMIA
Рет қаралды 3,8 М.
ELIMU YA MJINGA-BANZA STONE
8:29
HABARI JAMII TANZANIA
Рет қаралды 742 М.
FM ACADEMIA | VUTA NI KUVUTE | Official HD Video
14:05
Injili
Рет қаралды 180 М.
FM Academia - Heshima Kwa Wanawake (Respect To Women).wmv
11:29
MightyLumber
Рет қаралды 74 М.
FM Academia | Acha Tamaa | Full Video Song
8:45
Injili
Рет қаралды 151 М.
FM ACADEMIA | JASMIN | Official Video HD
11:07
Injili
Рет қаралды 39 М.
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 53 МЛН