Inspector Haroun afunguka jinsi bifu yake na Juma Nature ilivyoanza na walivyokutanishwa na P-Funk

  Рет қаралды 31,405

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 75
@paschaelmushumbusi1423
@paschaelmushumbusi1423 2 жыл бұрын
Skywizzy tumechill na sky tunamsikilizia Mzee WA mapokopoko manjali ohoooohooooo👏👏👏👏
@tumsifumbowe7954
@tumsifumbowe7954 Жыл бұрын
Nakukubali sana babu ngoma zako zinanifanya nakumbuka geto langu la arusha ngarenaro kwa mzee lekine
@shukrankalugo1472
@shukrankalugo1472 4 жыл бұрын
Watoto wa juzi hawamjui huyu mwamba, huu ni motoooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@danielmatemu9698
@danielmatemu9698 Жыл бұрын
Nje nje nje ndani, popote kambi iwapo weka Maskani Nje nje nje ndani, kama ipo ipo tu kitu kimianiiiii Hatari sana huyu mwamba Inspector Haroun. Respect sana. tuliosikilizia hizi enzi hizo tulienjoy sana mziki OG wa bongofleva
@MathematicsInTZ
@MathematicsInTZ Жыл бұрын
😋😋😋😋 interview kali sana
@Teshville
@Teshville 2 жыл бұрын
Mad respect Inspector Harun 🇰🇪🇰🇪
@nelmisana919
@nelmisana919 2 жыл бұрын
Mzee wa Busara Remix Moja kati ya nyimbo kali sana mpka leo ila verse ya babu ilikua moto sana
@BarakaWaya
@BarakaWaya 4 жыл бұрын
Inspector namuheshimu milele one of the best ever . Asali wa Moyo na Mzee wa Busara remix ni nyimbo bora za bongofleva za wakati zote
@binsururu
@binsururu 4 жыл бұрын
One among the Best Artists of all the time in Tz💪💪💪
@rosemaira6690
@rosemaira6690 2 жыл бұрын
Genius mmoja aka BABU...
@stepheng9765
@stepheng9765 Жыл бұрын
Inspector Haruni The legend🔥🔥🔥
@tumsifumbowe7954
@tumsifumbowe7954 Жыл бұрын
Respect sana inspector Aaron
@onionpeeling5822
@onionpeeling5822 4 жыл бұрын
Legend ... the goat
@kindness.3968
@kindness.3968 4 жыл бұрын
He is so Intelligent. Wow!!
@MrishoMohamed-ey5zf
@MrishoMohamed-ey5zf Жыл бұрын
Nimerudia hii interview mara kumi na tano nikiwa ughaibuni lakin naona kama nipo TMK maadishi matatu sina kukupa Babu ila mungu akubariki sana
@georgedaniel4962
@georgedaniel4962 4 жыл бұрын
Du nakukubali sana haroon huna nyodo,big up sana
@teacherchundu4062
@teacherchundu4062 4 жыл бұрын
Inspector Haroun is the humbled person highly respectable and well mannered. I once met him when he visited our office in Bree street, Johannesburg CBD.
@Crokfarm_Hse
@Crokfarm_Hse 2 жыл бұрын
Nimeipenda hii interview.
@avand4237
@avand4237 4 жыл бұрын
Hatari sana mzee wa busara
@cosmasthomas9164
@cosmasthomas9164 4 жыл бұрын
"kwenye mengi kuna mengi,umoja ni nguvu"wise expression
@albertpike6208
@albertpike6208 2 жыл бұрын
Inspector nakukubali jibaba Hiyo ngoma ni ya kitambo lakini unachana ni kama uli perform juzi tu. Mzee wa busara one of my favorite song ever in bongo flava
@saleheadamu3625
@saleheadamu3625 2 жыл бұрын
Heshima sana kwako mzee wa busara.
@latriciah01augustino67
@latriciah01augustino67 4 жыл бұрын
Watoto wa kizazi iki hawewez elewa enzi izoo💃💃
@najatomania4596
@najatomania4596 4 жыл бұрын
Tumekumiss Sana Especta Haroon
@godfreyosalechuwa1734
@godfreyosalechuwa1734 4 жыл бұрын
Bado tuna kuitaji mzee baba
@kennethbahebenginilla1657
@kennethbahebenginilla1657 4 жыл бұрын
Inspekta unaongea pointi sana nakukubali sana,hongera kwa miaka 20 ndani ya ndoa,haujui utamu wa ndoa usiwape mabinti doa,hakuna mwaka wa shetani,hii ndio life ya uswazi,mtoto wa geti kali,mzee wa busara nk
@kibeginiblue7188
@kibeginiblue7188 2 жыл бұрын
Big up SKY
@kibasamohamedi8029
@kibasamohamedi8029 4 жыл бұрын
Pamoja Sana, nje ndani naielewa
@muddylikwena128
@muddylikwena128 Ай бұрын
Nikisikilizaga interview za Babu na kibla na enjoy sana na vimaneno vyao vya kitaa
@saladaniel9274
@saladaniel9274 4 жыл бұрын
Inspecta nakupenda sana Uko mcheshi Cku niliokaa na ww pale bar totoz Na afande Robert
@malaletungu7397
@malaletungu7397 4 жыл бұрын
Awesome!
@rehemashafi4809
@rehemashafi4809 4 жыл бұрын
Mziki wazamani ulikuwa mzuri bwana Dah ajirudii tena
@clausemsemwa297
@clausemsemwa297 4 жыл бұрын
Kijana wa mfano......sio visanii vyetu vya Leo kutwa kujisifu ngono....huyu muugwana anazungumzia ndoa
@bonny1087
@bonny1087 4 жыл бұрын
Oke kaka
@kibeginiblue7188
@kibeginiblue7188 2 жыл бұрын
Nilikuwa namkubari Sana enzi zake
@emmanuelnjelekela6299
@emmanuelnjelekela6299 4 жыл бұрын
Kichwa Haroon big up
@sanurahyusuph6149
@sanurahyusuph6149 4 жыл бұрын
Nice babu
@nelsonpaul4618
@nelsonpaul4618 2 жыл бұрын
Inspector haupingiki noma sanaaaaaa!!!!
@othumanlorenzo260
@othumanlorenzo260 4 жыл бұрын
Inspetka yuko composed sana sana.......anaongea vyema Sana
@wilibrodiadrian8021
@wilibrodiadrian8021 2 жыл бұрын
mziki mzuri utabaki mzuri miaka yote
@marronemletimleti5000
@marronemletimleti5000 Жыл бұрын
❤❤❤❤
@tebogolucia6889
@tebogolucia6889 4 жыл бұрын
Safi sn tulia na asali wako moyo kaka salut
@gabrielmoses6860
@gabrielmoses6860 4 жыл бұрын
Mwamba nakukubali sana
@ericknkonya5682
@ericknkonya5682 3 жыл бұрын
Natamani kama ungeenda background making of the music. entry point yangu iwe from the producer side the way they make the beats etc. Unaweza check with the old tracks mfano mzee wa busara au hata kucheck the latest hits hivi
@slayingtee6044
@slayingtee6044 4 жыл бұрын
Hata mimi nasopport kipindi cha mapishi na inspector
@jirac1456
@jirac1456 4 жыл бұрын
Inspekta amekita. Heko kutoka Mombasa Kenya. Huyu hawezekeki.
@nelsonantonio5834
@nelsonantonio5834 4 жыл бұрын
Babuuu mzeee wa kijiweeee tmk ya wasanii wa kweli
@ericernest2099
@ericernest2099 4 жыл бұрын
Mzee wa Busara huyu huyu. Huyu huyuu
@bujsaudaselemani5562
@bujsaudaselemani5562 4 жыл бұрын
😍😍💪💪💪
@samtelah7578
@samtelah7578 4 жыл бұрын
Mzee wa busara bonge sana la ngoma aisee
@antarsangali4456
@antarsangali4456 3 жыл бұрын
Vijana up coming igeni maisha ya Nature na Inspector
@azizihamoudi8318
@azizihamoudi8318 4 жыл бұрын
Jamaa mkali 😂😂😂
@francissamson7594
@francissamson7594 4 жыл бұрын
Inspector haroon hatariii badowamoto,
@laylatali9203
@laylatali9203 2 жыл бұрын
Mmmh huyu jamaa nimiongoni ktk marapa wakali sana tz c mchezo
@albertgilbert1664
@albertgilbert1664 4 жыл бұрын
Moja Kati ya wasanii hataree
@mussamsonzwa5753
@mussamsonzwa5753 4 жыл бұрын
Safi sana ,ni miongoni mwa wanamusic mahiri sana
@josephmalimi5898
@josephmalimi5898 2 жыл бұрын
Babu mtu mbaya...mmoja kati ya marapa bora kutoka uswahili
@dc39139
@dc39139 4 жыл бұрын
Inspector tunakusubiri
@manungda9955
@manungda9955 4 жыл бұрын
2001 ulikuwa wapi
@ericknyanda8822
@ericknyanda8822 4 жыл бұрын
Iyo ndo old skul enzi izo gem ilikuwa tamu balaa
@OwBHM
@OwBHM 3 жыл бұрын
Na swali kwa Mr Inspector Oya katika watoto wako wote nanini ana kichwa computer kama wewe ataweza kufanya kazi iliyo fanya????
@aminahamisi2837
@aminahamisi2837 4 жыл бұрын
Bora umekuja na mada tofauti cio mahabati kila ck
@tonnyjames428
@tonnyjames428 4 жыл бұрын
Uko vixuri kamanda
@chemstry409
@chemstry409 3 жыл бұрын
Babuuuuuuuuuuuu......
@rafaelmwanyila6134
@rafaelmwanyila6134 4 жыл бұрын
Sky Walker,usisahau kurusha kipindi cha sitasahau kwa mtandaoo
@saladaniel9274
@saladaniel9274 4 жыл бұрын
Cay t tuko nae huku mwanagati
@abubakarihamissi4178
@abubakarihamissi4178 4 жыл бұрын
caz t yupo vizuri kiuchumi
@saladaniel9274
@saladaniel9274 4 жыл бұрын
Sanaa
@chemstry409
@chemstry409 3 жыл бұрын
I can't not see u man....
@petermulomi6984
@petermulomi6984 4 жыл бұрын
akuna mwakaa wa shetani
@faustinsirili3480
@faustinsirili3480 4 жыл бұрын
Mimi siyo kupika zipita miaka 20 sijawasha hatajiko. Mimi mwiraqw og kwa Mila yetu Kama kunakazi mwanaume hatakiwi kufanya nikupika kuendea mboga kuhemea Kuni kuteka maji hizo ni kazi za wanawake
@chrismamhenga2247
@chrismamhenga2247 2 жыл бұрын
Amekubali kulumagia ugali na kachumbari
@mashaboydesylver8278
@mashaboydesylver8278 4 жыл бұрын
Namkubal
@kipigapasilisungu2581
@kipigapasilisungu2581 2 жыл бұрын
.
БОЙКАЛАР| bayGUYS | 27 шығарылым
28:49
bayGUYS
Рет қаралды 1,1 МЛН
Counter-Strike 2 - Новый кс. Cтарый я
13:10
Marmok
Рет қаралды 2,8 МЛН
JUMA NATURE: POMBE IMESABABISHA NIMESHINDWA GAME ''INANIUMA SANA''
8:19
INSPECTOR HAROUN - Full Interview na Bongo Project
2:01:49
Bongo Project
Рет қаралды 959
BIG CHAWA FT INSPECTOR HAROUN NA MKEWE ''ASALI WA MOYO''
12:15
БОЙКАЛАР| bayGUYS | 27 шығарылым
28:49
bayGUYS
Рет қаралды 1,1 МЛН