Mtoto wa Geti Kali ni moja kati ya nyimbo bora za Bongo Flava kuwahi kufanyika. Inspector Haroun anatukumbushia alivyouandika wimbo huo na kumwelezea msichana huyu aliyemchanganya kweli kweli #ChillnaSky
Пікірлер: 28
@rahemaally2744 жыл бұрын
Story nzuri za ujana nimefurahi kusikiliza🇬🇧from Newcastle
@siloege79973 жыл бұрын
Katika wasanii wanaoweza kumbukumbu innsp haroun yuko vzr na anajiereza vzr namkubari sana babuu
@jameswanyama85214 жыл бұрын
Inspector Salute kwako..you are my all time favourite artist.. One love.
@jumahilali23092 жыл бұрын
Legend
@nobodyfromnowhere18884 жыл бұрын
Mr Skywalker. Kazi nzuri sana unawakilisha tasnia yako kwa kiwango cha hali ya juu. Hongera sana. Nb: Naomba uweke # au namna ya kuonyesha clip ipi inafuatia clip ipi. 🙏
@nobodyfromnowhere18884 жыл бұрын
Asante .
@israelczengoli69624 жыл бұрын
Good job sky...keep it up. Inspekta mkaaaaaaali. Big up
😀 Kweli laini za simu zilikuwa bei kinoma😀 now mpka bure 😂
@stepheng9765 Жыл бұрын
Inspector haroun babu is a good story teller,Legend for sure
@mollohankabonde35933 ай бұрын
Interview nzuri LAKINI INTERVIEWER AMEZINGUA HAKUMUONGOZA VIZURI INSPECTOR HAKUNA DETAILS ZA MWAKA GANI KUNDI LIMEANZA, LINI AMETOA SINGLE YA KWANZA, MASHINDANO YA FREE STYLE YALIFANYIKA LINI, amezingua sana hapo kwa kweli.
@fadhilikigwama3896 Жыл бұрын
Mwambie inspector atuletee video ya mtoto wa geti kali
@jirac14569 ай бұрын
Yani kama anavyozungumza ndivyo anavyoimba. Napenda sana mtindo wake. Anatoka Uswahilini kama mimi. Yani yale aliopitia nayaelewa kabisa maana sote wa mitaa ya vichochoro tumeyapitia. Kutoka Bakarani Mombasa.
@ajbakari76210 ай бұрын
Exclusive interview, big up bro
@beberurafiki35343 жыл бұрын
Haikuwa buzz, ni mobitel.
@janerouhassanjanerou7933 Жыл бұрын
Ilianza buzz kabla ya mibitel
@rehemashafi48094 жыл бұрын
Hahahaha eti ndondo jamn maisha aya kweli watu tunatoka mbali sana
@iddykivu050 Жыл бұрын
Bonge moja la interview
@youngnoyn41194 жыл бұрын
mmakonde ajifunz kwa wakubwa jinsi wanavyo heshimu walio watoa