No video

JUMA NATURE: POMBE IMESABABISHA NIMESHINDWA GAME ''INANIUMA SANA''

  Рет қаралды 166,637

Wasafi Media

Wasafi Media

5 жыл бұрын

JUMA NATURE: POMBE IMESABABISHA NIMESHINDWA GAME ''INANIUMA SANA''

Пікірлер: 111
@linkreuben5804
@linkreuben5804 5 жыл бұрын
Watangazaji kuweni creative, Nature anawakimbiza!
@ngasikajoel9576
@ngasikajoel9576 11 ай бұрын
Always Nature yuko really kitambo watangazaji mnamzingua tu hapo
@dadyshunaydah5802
@dadyshunaydah5802 5 жыл бұрын
Kama na ww umemuona KIROBOTO macho Yameiva kwa TUNGI jua kua tupo pamoja🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎼🎼
@kigendihassan630
@kigendihassan630 5 жыл бұрын
Tatizo mnaingiliana sana kwenye maswali, mngekuwa mnasubili swali linajibiwa kwanza, maana swali lililopandishwa juu swali, wala halikuwa na ulazima wa kuulizwa kwa wakatihuo.
@pacifiquerema2347
@pacifiquerema2347 5 жыл бұрын
Wafunzwe na Millard ayo
@hatwabiswalehe262
@hatwabiswalehe262 5 жыл бұрын
Hawa wanazingua xna,mtu hajajib swali,fala mwingne anauliza swali,hovyo kabisa
@bensonmwita574
@bensonmwita574 5 жыл бұрын
Kabisa
@newforcejv9721
@newforcejv9721 5 жыл бұрын
Kpnd nkizuri ila mkipungua wakabak wawili ktapendeza zaidi walionielewa like twende pamoja Maana maswali kama walev nawao
@mbawalakamkanda7711
@mbawalakamkanda7711 5 жыл бұрын
Safi sana
@esnestotadeunete2104
@esnestotadeunete2104 Жыл бұрын
napenda sana miziki ya nature uku mozambique
@billalphilip5776
@billalphilip5776 5 жыл бұрын
I like this guy...vibes zake ziko true....nkikudanganya ntakuwa mchawi😂😂😂
@malickkasuga4805
@malickkasuga4805 5 жыл бұрын
Daaaaah vijana hawana heshima kwa legendary nature
@ayubumpate4080
@ayubumpate4080 5 жыл бұрын
Ila nn studio nzuri, kipindi kizuri ki2 kimoja mnachokwama nyinyi hamna mpangilio mzur wa maswali yenu cjui ndo underdog igeni mfano wa wenzenu clouds tuongee Ukweli jamaa wapo juu xana kuhusu mpangilio wa maswali ok but hata mbuyu ulianza kama mchicha so tunawapa muda najua hamtotuanguxha mashabiki wenu 🙏
@ezradaniel4613
@ezradaniel4613 5 жыл бұрын
Kwel nature hata show ya wasaf festival ya kwanza diamond alipangiwa mwisho alivyopanda watu walikuwa wameshachoka,,,walikuwa hawana vibe kabsaaaa
@deusmallya5347
@deusmallya5347 2 жыл бұрын
Watangaxaji mnizingua pangilien maswali Big up nature
@patrickkilonzo6498
@patrickkilonzo6498 5 жыл бұрын
aaah Juma Nature baana unaniangusha punguza pombe boss aah mambo gani haya
@kadaawizaa5588
@kadaawizaa5588 3 жыл бұрын
Acheni kumchora nature
@hassankihonde1275
@hassankihonde1275 5 жыл бұрын
Kama umemuona huyo dada hapo pembeni akichezea simu tu kama network oparator gonga like
@salumabdallah6680
@salumabdallah6680 5 жыл бұрын
Hassan Kihonde 🤣🤣
@mirajihazard2117
@mirajihazard2117 5 жыл бұрын
anachukuwa mshahara wa bure
@hassankihonde1275
@hassankihonde1275 5 жыл бұрын
@@mirajihazard2117 umeonaeee
@nassoromangi3597
@nassoromangi3597 5 жыл бұрын
juma nature tumekumc sana blaza,ww mkali tu nature,dondosha Ngoma la mwaka 2019
@jacksonlukubah3956
@jacksonlukubah3956 4 жыл бұрын
Gavamenti......!!!!
@josephgatunzi1670
@josephgatunzi1670 5 жыл бұрын
Dingi yuko sawa kidogo, Mtoto ...
@geoffreymdede7678
@geoffreymdede7678 5 жыл бұрын
Jonijo we ntangazaji mzuri sana ila upo na maboya awo na wew unaonekana boya tu hmna format ya kipindi
@jacobmwalituke8981
@jacobmwalituke8981 5 жыл бұрын
Hamjajipanga,mnauliza maswali.meengi kwa wakati mmoja mpaka hamueleweki
@tozzaalexandar4905
@tozzaalexandar4905 5 жыл бұрын
Vyema nature sahihi kabisa
@kebumtanza5119
@kebumtanza5119 5 жыл бұрын
Eti nature kafanana na lukole kuanzia juma, Rasta mpka sura alisikika mlevi mmoja uko mtoroni
@shabbyofficial_
@shabbyofficial_ 5 жыл бұрын
😂😂😂😂
@kassidpandu9806
@kassidpandu9806 4 жыл бұрын
Nyio bado na utoto mnao pia
@abuyabally5086
@abuyabally5086 4 жыл бұрын
naona juma neture kama anafanana na mbwana samatta je una ubinamu nae hahhaa
@fababindawood8363
@fababindawood8363 5 жыл бұрын
Yupo sawa angalia kijana anavyochezea gar kwa drift hatar #fabaonline
@mbarakasaidi8243
@mbarakasaidi8243 2 жыл бұрын
awa watangazaji makuma
@damianmachilutv1167
@damianmachilutv1167 5 жыл бұрын
Kubeli ileeee, we mwanhalie vizuri
@mgeyo6464
@mgeyo6464 5 жыл бұрын
GONGAAAAAA MEZAAAAAA NAMNA VIPI VIPIIIIIIIIII NI VIMPROOOOO😀😀😀
@JohnLauMusic
@JohnLauMusic 5 жыл бұрын
Respect nature
@fredyndumbalo9817
@fredyndumbalo9817 5 жыл бұрын
Juma nature bado una uwezo wa kuimba acha pombe daimondy ana tatizo na MTU mungu atamtumia kukurudisha tena kwenye gemu
@emanueltemba5438
@emanueltemba5438 5 жыл бұрын
Juma nature Anapenda Ugali
@SUZIBALE_OG
@SUZIBALE_OG 5 жыл бұрын
Mnazingua maboya nyie mjue mnamuhoji nani muwe na heshima
@kassimjuma8713
@kassimjuma8713 5 жыл бұрын
GONGA MEEEZAAAAA
@toney..
@toney.. Жыл бұрын
Hapo ugoro uko on point 😂😂
@ikupamwaisoba7379
@ikupamwaisoba7379 5 жыл бұрын
Nature nakukubali mno bado uko juu kuliko hawa wanajifanya wanaimba cku hizi.
@barakakambi1469
@barakakambi1469 5 жыл бұрын
Hii show yenu c mbaya lakin hamna mpangilio wa maswali ...mnagongana maswali huyu anasema hichi yu kile hata mnamchanganya MTU hajui aanze na nan kumjibu... Kueni na mpangilio wa maana katika maswali yenu... Outer 254
@mwambietv7614
@mwambietv7614 5 жыл бұрын
Njoo Mbeya kapunga mbarali usangu tena Nature
@nassorbinfundi1196
@nassorbinfundi1196 2 жыл бұрын
Uyo ndo j kibra wa tont ajatokaga mbwinderee
@sekundemaster460
@sekundemaster460 5 жыл бұрын
sasa maswali gan mnamuuliza nature ...mnamzalilisha maswali ya kidwanzi hayo mbn mnazingua nature sela alafu mnamcholesha
@alhajimbaga4062
@alhajimbaga4062 5 жыл бұрын
Sir juma nature koroboto kibali Sana kamanda lejendary
@ngalawekikohingalawekikohi4768
@ngalawekikohingalawekikohi4768 5 жыл бұрын
Msiridie tena Intaviw za hv nitawadelete mala moja hamjui Kumuuliza mtu maswali sasa mnajua nikwann yuko kmya
@jerrystephen9454
@jerrystephen9454 4 жыл бұрын
Ila jamani walevi wana sura zao broh juma hiyo sura inaulakini
@bjaymaster3942
@bjaymaster3942 5 жыл бұрын
nakubali at
@zubeiramlanzi2480
@zubeiramlanzi2480 Жыл бұрын
Huyu mjinga Kwa ndum ni noumer kinoumer yani
@georgesamwelchacha7680
@georgesamwelchacha7680 5 жыл бұрын
#jonijoo Tutafutie mpoki na kingwendu #BABAKOO
@mohammedothuman5974
@mohammedothuman5974 5 жыл бұрын
Punguza pombee MJOMBA nature Yaani sauti hamna kabisa
@khalifawapili1799
@khalifawapili1799 4 жыл бұрын
Mapokopoko manjali maugariii
@greenboyhaskai
@greenboyhaskai 4 жыл бұрын
Kwani Joni Joh huezi fanya hii show peke yako? Angalieni LilOmmy anavyopanga show
@hundamaniamania872
@hundamaniamania872 5 жыл бұрын
Kifaa hiki noma
@isaakalmas6870
@isaakalmas6870 5 жыл бұрын
Yaani hivo mnavofanya siyo interview ila mnapiga soga hapo, tunahitaji kumsikia kwann yupo kimya, anajipangaje, nini hapendi nini anapenda. Yaani hapo vichwa vyote mmeuliza swali moja tuuuuu kwa kanuni za interview zingine zote soga tuu
@chipmunks6113
@chipmunks6113 4 жыл бұрын
hayo una taka kuskia ww wengine hzo fujo ndio tuna zipenda usi force watu wa ige maisha lazma uje na kitu chako personal ww kama umezoea kuiga maisha usi force chama kubwa lifate akili yako ndogo
@thomasmwambe4372
@thomasmwambe4372 4 жыл бұрын
Ndio tatizo la kuiga ilooo
@mohammedothuman5974
@mohammedothuman5974 5 жыл бұрын
Nature punguza pombee
@khamismasaai5307
@khamismasaai5307 5 жыл бұрын
Mwaanza kuzuga na headline ya habari yenu.
@jacobmwalituke8981
@jacobmwalituke8981 4 жыл бұрын
Hovyo sana
@lenjeevara3407
@lenjeevara3407 5 жыл бұрын
Pwaaaaaaaaaaa
@alicksitephan2966
@alicksitephan2966 3 жыл бұрын
Rapcha
@norbethekitosi5354
@norbethekitosi5354 5 жыл бұрын
Blood necha upo juuuu san
@dadyshunaydah5802
@dadyshunaydah5802 5 жыл бұрын
Oyo nyie WASAFI zingatieni kipengele cha kuuliza maswali mnauliza maswali kama walevi wa gongo nn maana Yake kueni serious 😒 bhana!!!!!!!!!! Ni MTAZAMO tu wanetu msijenge chuki🎙🎙🎙🎙🎙
@kilimohub580
@kilimohub580 5 жыл бұрын
Respect muhimu, mzaa mzaa mwingi apo. Unemployment in disguise
@everjekela3959
@everjekela3959 5 жыл бұрын
Lilliomy is best
@fubanjenjele521
@fubanjenjele521 5 жыл бұрын
Mapresenters bado dhaifu sn, mnaingiliana lkn mnasahau kumwachia msanii nafasi
@mickeykibabu6999
@mickeykibabu6999 4 жыл бұрын
Hakazeeki haka kajamaaa
@henrykishiwa6755
@henrykishiwa6755 5 жыл бұрын
Diamond fukuza wote hapo huna watangazaji, una vilaza
@manmacho6529
@manmacho6529 5 жыл бұрын
yan apo ni kuchoreshana tu watu wamefulia jaman mnataka mpaka waseme siri zao
@samirnaty8774
@samirnaty8774 5 жыл бұрын
Jonijo ulichouliza hukupata jibu sahihi
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 3 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌
@hassankihonde1275
@hassankihonde1275 5 жыл бұрын
Na ndio maana kila cku huaga nawaambia wadogo zangu wasanii sio kioo cha jamii kama inavyosemekana wanaunganisha unganisha tu mistari ili wapate hela zakufanyia umafia, na hata maandiko matakatifu ya Quran yameshasema kuwa moja miongoni mwa tabia ya za waimbaji ni uongo, kwa maana kwamba hata yale mazuri wanayoimba wao hawafati, wasanii ndio wanaongoza kwa umafia duniani, ukichunguza utagundua hilo
@goodboi9821
@goodboi9821 5 жыл бұрын
Sio kwamba nahate ila hii show ingebaki na host wawili Wengi ni makelele tu ata haina mvuto
@sammycharo8857
@sammycharo8857 5 жыл бұрын
Nguvu zakiume huletwa na mke
@mussakassim299
@mussakassim299 5 жыл бұрын
Diamond ulikosa watangazaji
@mauranamussa9722
@mauranamussa9722 5 жыл бұрын
kanyinyi
@rajabmwanansoga8430
@rajabmwanansoga8430 4 жыл бұрын
hiki kipindi watangazaji wote wanadandia dandia maswal mpaka kinabore
@deusernestbarnabas4691
@deusernestbarnabas4691 4 жыл бұрын
Nilifikili muntumia hakili kua katika bench hilo kumbe manazalau kama tajili yenu hamnahakili kabisa
@joegitonga9821
@joegitonga9821 5 жыл бұрын
These radio hosts lacks content. They focused more on the downsides of Their guests instead of seeking to know about his future plan. Feki sana..
@samouritoure3282
@samouritoure3282 5 жыл бұрын
I agree with you
@masharikijuma7078
@masharikijuma7078 4 жыл бұрын
Interview ya kishenzi, interviewers washenzi, maswali ya kishenzi... mnajaribu kumfumania LEGEND na maswali ya kijinga lakini bado apo imara ndo maana anawajibu bila wuoga wala kusitaa, NENDENI ZENU, HAMNA MPANGO!
@officialzalkey
@officialzalkey 5 жыл бұрын
yoooo
@patrokilgeofrey
@patrokilgeofrey 5 жыл бұрын
Ovyo tu maswali mnauliza bila mpangilio
@nasibumutabazi8721
@nasibumutabazi8721 5 жыл бұрын
Rais wa Tmk
@khamismachemba4020
@khamismachemba4020 5 жыл бұрын
Interview mbovuuu sn unauliza vitu vya kitoto PERSONAL kuliko kz
@barakakambi1469
@barakakambi1469 5 жыл бұрын
Tatizo wote ni watoto ... Hawana experience pia cdhan kama wako na producer pia ...its a pity wanapoteza maana halisi ya hicho kipindi
@kipigapasilisungu2581
@kipigapasilisungu2581 2 жыл бұрын
.
@hassansamata9696
@hassansamata9696 5 жыл бұрын
Una hata tatooo
@mcgeemwamba9303
@mcgeemwamba9303 2 жыл бұрын
Jamaa kabebwa na machela kisa tungi kzbin.info/www/bejne/j5bZqpecmNV8o5Y
@beatusmwabena6950
@beatusmwabena6950 4 жыл бұрын
Horrible presenters poor programme management
@mirajihazard2117
@mirajihazard2117 5 жыл бұрын
most of the horrible interview at the moment
@deusmauka9626
@deusmauka9626 4 жыл бұрын
Pombe inaharibu acha ubishi Juma ,acha pombe, piga kazi, pombe si maji. Ujinga tu huo.
@myself4128
@myself4128 5 жыл бұрын
Msanii kunywa na kulewa au kuvuta bangi na uzinifu haziwahusu sababu ni maisha yake nje ya muziki huo ni uswahili wa hali ya juu kuingiliana kimaisha isipokuwa unatakiwa ushauri na sio live kiivo nyuma ya pazia,tena msanii ana walezi marafiki na washauri ndio wanamuambia sio nyie kazi yenu kupayuka tuuu kwani nyie wazazi???
@alexanderbruno5048
@alexanderbruno5048 4 жыл бұрын
Uko sahihi
@Kimbururu
@Kimbururu 5 жыл бұрын
Masenge matangazaji ya bongo. Yanakurupuka. Maswali hayana hata mpangilio. Mtu anaongea wanamkatisha. Motherfuckers. Fucking rookies
@kilimohub580
@kilimohub580 5 жыл бұрын
Wazee , watu watatu afu bado maswali ya kijinga !!
@emableelias6691
@emableelias6691 5 жыл бұрын
Wasafi kila siku mmnaabiwa kitu kimoja tu harafu hamuelewi..mnashindwaje kupeana muda kwenye maswali..mnangiliana sana..harafu hamueleweki..mnatuchosha mapema tutaanza kuwapotezea... yaani ule mchujo wate wa watangazaji ndio mmetikana nyinyi ambao hamjielewi
@tumlakimwaitumule
@tumlakimwaitumule 5 жыл бұрын
punguzeni kuingilina wazee,mtaanza kuboa soon,kila mtu awe ana mwaswali yake ya msingi mapemaa,na muheshimiane kila mtu asikatize swali la mwenzie....
@jumakilua1715
@jumakilua1715 5 жыл бұрын
.
@mchabwajrmeso5369
@mchabwajrmeso5369 5 жыл бұрын
Yaani huwa naboreka na hichi kipindi kwa sababu hiyo kila MTU awe na nafasi ya kuuliza swali lake sio kuingilia swali la mwingine
@famitoissanawanda6295
@famitoissanawanda6295 4 жыл бұрын
Hongera kwa kuliona hilo kama wanapitia comments nahisi ujumbe huu utawachoma tuombe walione hili yani hawa kila mtu anataka awe bora kuliko mungine
@kofiianodi3326
@kofiianodi3326 4 жыл бұрын
Kabisa
@beatuslongino5666
@beatuslongino5666 5 жыл бұрын
watangazi wote wajinga tuu wanatafuta umaarufu,,,,ndo nyie maboya mnataka shindana na clouds kwa kuingiliana hovyo mnatakiwa pewa course aisee.
@mariamjumaswalehe635
@mariamjumaswalehe635 5 жыл бұрын
Ashajuma
Schoolboy Runaway в реальной жизни🤣@onLI_gAmeS
00:31
МишАня
Рет қаралды 1,4 МЛН
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 61 МЛН
Please Help Barry Choose His Real Son
00:23
Garri Creative
Рет қаралды 16 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 63 МЛН
JUMA NATURE ALIVYO MCHANA LIVE DIAMOND KUHUSU HARMONIZE
13:33
Mbengo Tv
Рет қаралды 162 М.
FIESTA MOROGORO 2012  - JUMA NATURE
16:54
Fiestaconcert
Рет қаралды 98 М.
Schoolboy Runaway в реальной жизни🤣@onLI_gAmeS
00:31
МишАня
Рет қаралды 1,4 МЛН