No video

Interview: Alikiba ' Mimi na Ben Pol sio marafiki na hatutaniani'

  Рет қаралды 186,081

Millard Ayo

Millard Ayo

8 жыл бұрын

Mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba alikutana na Millard Ayo kwenye Exclusive Interview na Mtangazaji Millard Ayo kuzungumzia mafanikio yake kwa mwaka 2015, maneno ya Ben Pol kusema anapewa nafasi asiyostahili na mengine.

Пікірлер: 206
@saidachitechi6677
@saidachitechi6677 8 жыл бұрын
thank sana ali kiba .Nitaendelea kutazama songs zako na video zako.but uko powa sana ali kiba.I wish will make it better .keep it up ali kiba.Your dance will support you to get more comments .but your is anice.I wish all successful to your work so that you can be make better in the world.
@laurentmagazi1204
@laurentmagazi1204 8 жыл бұрын
unajua bro millardayo 4 my side bongo ww ni mtangazaji bora sana mungu akupe uhai 2 tufaidi ufanisi wako
@amalelmi9956
@amalelmi9956 8 жыл бұрын
Hata km asingelikua star sisi tungelimpenda hivohivo cz hanaga mambo mengi kiba muacheni ajipe raha mwenyewe pia kila mtu ako huru kushabikia msanii amtakae.
@yaelyahir3626
@yaelyahir3626 3 жыл бұрын
You prolly dont care but if you're bored like me during the covid times you can stream pretty much all the latest movies on InstaFlixxer. Have been watching with my girlfriend for the last couple of weeks xD
@orionjaxton7638
@orionjaxton7638 3 жыл бұрын
@Yael Yahir definitely, have been watching on InstaFlixxer for since november myself :)
@pollylazmartins9690
@pollylazmartins9690 8 жыл бұрын
kiba wangu huyu😘😘😘😘
@abigailkighombe1960
@abigailkighombe1960 8 жыл бұрын
ukweli hutiwa pingu ili uongo uzidi kuenea wasanii wengi bongo walitolewa na Alikiba sasa ajab mnapagawa na mfumo wa waabudu sanamu alikiba is for real
@faudhiabilal9154
@faudhiabilal9154 8 жыл бұрын
kama anaringa muacheni ndo tunachompendea, there must be a difference between a legend and the others... how cute Alikiba is.....we need to support our own
@halimamwasura3463
@halimamwasura3463 8 жыл бұрын
good kiba💪💪💪😍
@magufulitz6847
@magufulitz6847 8 жыл бұрын
Big up Alikiba, pasua twende.
@sebajohn7108
@sebajohn7108 7 жыл бұрын
Wanyooshe king kiba
@omarmwinyi6484
@omarmwinyi6484 8 жыл бұрын
open n wise thanks Millard gud job
@juliethmunuo4250
@juliethmunuo4250 8 жыл бұрын
ahsante millad kwa kumleta kipenz cha watu
@edwardtrigga5701
@edwardtrigga5701 8 жыл бұрын
+Julieth Munuo sema kipenzi chako si chawatu
@frankwarioba7813
@frankwarioba7813 5 жыл бұрын
Alikiba is the King of Bongo music
@manawaaporinary9635
@manawaaporinary9635 5 жыл бұрын
Time diamond hapa
@ProchesJulius
@ProchesJulius 8 жыл бұрын
Imefikia time our celebs wafundishwe communication skills. Upo kwa Interview regardless ya Radio au TV then unatumia simu sio kitu kizuri kwa hali ya kawaida kwenye conversation. Wanasanii wanapohojiwa I am certain kuwa wanajua kwamba interview itarushwa online. Kwa uwelewa wangu mdogo Naamini Ayo Tv ni itnernational na watu mbali mbali wanaangalia Interview hii hata sasa nje ya Inchi. Imagine wanakuchukuliaje kwenye Interview una-swipe simu yako ya mkononi? Kioo cha jamii ni sifa na heshima kubwa sana kwenye Inchi yoyote duniani. Itendeeni haki.
@saidachitechi6677
@saidachitechi6677 8 жыл бұрын
thank sana Ayo millard kwa habari hiyo.
@alibanks9609
@alibanks9609 8 жыл бұрын
cha msingi sio eti ungalie Alikiba kamfollow nani istagram ama ana maringo au flani akipost hichi istagram na yeye anapost kile hilo sio muhimu ktk maisha yko kumchunguza mwengine coz haulipwi na mtu yyte kimbelembele chako...mwisho wakwisha jamaa anapiga hela na kazi yke swali ni je ''wewe unaingiza ngapi kwa siku'' ama utaishi ivo kuchunguza maisha ya wenzako. style up
@hocylaseko7843
@hocylaseko7843 8 жыл бұрын
umeongea yani mijitu mingine haijielewi kwani kakuambia umfollow mfyuuuu yani hawajui kama wengine wanaingiza hela wao wapo bzy wanaangalia Ali kiba kamfollow nani yani muwe mnajielewaaaa
@cintoo2556
@cintoo2556 8 жыл бұрын
Good speech
@josephgeorge1903
@josephgeorge1903 5 жыл бұрын
King the one rock star piga kazi mjamaa kila mtu na lifestyle yake mapozi ni style y mtu avyo kuwa
@mamlee8167
@mamlee8167 8 жыл бұрын
lol he was so confident ,thats good
@safihabiba6284
@safihabiba6284 8 жыл бұрын
keep it up king kiba
@alankimaro4464
@alankimaro4464 4 жыл бұрын
Mwanamuziki mwenye heshima Zake.big up brother
@mezamzambarakafrand616
@mezamzambarakafrand616 7 жыл бұрын
kila unachofanya kinapenya nakupenda zan kiba
@amosmataiga4603
@amosmataiga4603 8 жыл бұрын
Wow...
@nestonyamwelu6428
@nestonyamwelu6428 7 жыл бұрын
Nyie wote kuma kumbe alikiba alingi hiyo ndyo ongea yake kuma nyie uyu ndye king mfarume wabongo akuna chadomo walakuma nan
@deboramrema2861
@deboramrema2861 5 жыл бұрын
Safi sana king usiwe na kiyongo utafika mbali
@saidikobossa7489
@saidikobossa7489 8 жыл бұрын
"Nimekuta missed call yake lakini sikuwa na time ya kumpigia".....whaaaar!
@josephchristian1927
@josephchristian1927 6 жыл бұрын
Lakini icho nikitu cha kawaida tu mbona?akaendeleya kusema kwamba Aka mpigia ata pokeya.ali ni mtoto muzuri sana,nyinyi ambawo mna utofauti na yeye ,njo hamumu elewe,ila sisi tuna mu elewa tu saana.
@ellyjohn4043
@ellyjohn4043 8 жыл бұрын
Millard ayo nakukubali sana ukiwa unamuhoji msanii huyo ninaempenda sana ukimtoa Ay anafata ally kiba napenda sana ukiwa unadodosa mambo muhimu kutoka kwa ally kiba hongera kaka Millard ayo ally kiba hapa kazi tu na sio majungu
@magdalenemuna684
@magdalenemuna684 8 жыл бұрын
MWANA NAIPENDA MILELE....BIG UP ALI KIBA AND MILLARD KIP THAT ENERGY GOD BLESS U..
@salmaanfareed2818
@salmaanfareed2818 8 жыл бұрын
Gud job
@amanijulius8398
@amanijulius8398 8 жыл бұрын
Acha ushamba Alikiba.....unaringa sana broo kapate tuition kwa SIMBA#Diamond platnumz
@athumanifundi4488
@athumanifundi4488 8 жыл бұрын
Gud gud #kingkiba
@evarisaernest8048
@evarisaernest8048 6 жыл бұрын
Good king Kiba
@RAVincentOfficial
@RAVincentOfficial 8 жыл бұрын
asante sana ayotv . interview nzuri sana. Wanasema eti ana maringo ahah. kizuri do uaga watu wanakuongelea vibaya tu.
@rezeekybeiby1519
@rezeekybeiby1519 5 жыл бұрын
Yaaaaaaap apo umesema my watasema mchana ila usiku watalala Tu👏👏👏
@ellyjohn4043
@ellyjohn4043 8 жыл бұрын
yani ally kiba anastahili kufanya mziki wa Africa tz kutamburika duniani kwa7bu anau wezo mkubwa hata marekani anaweza ishi nakufanya mziki wao pia
@bobybreezy2734
@bobybreezy2734 4 жыл бұрын
king lini utatoa ngoma na msanii wa mbele
@curryxoxo8309
@curryxoxo8309 8 жыл бұрын
King kiba
@mussamasunga7459
@mussamasunga7459 6 жыл бұрын
pamoja sana alike
@luckyfatty5280
@luckyfatty5280 8 жыл бұрын
penda sanaa kiba Muaah
@sophyeakee1976
@sophyeakee1976 8 жыл бұрын
❤️
@mwanaz3110
@mwanaz3110 8 жыл бұрын
Kweli kaka Kiba acha mapozi kidoogo!!!!ila we ni mkali
@marthamusoma1082
@marthamusoma1082 8 жыл бұрын
upuuuzi pyeee mashauzi mengi maswali na majibu tofauti
@yohanamasalia2625
@yohanamasalia2625 7 жыл бұрын
dude LA msanini Ali nakuelewa sana
@amininyaungo4328
@amininyaungo4328 8 жыл бұрын
safi alikiba
@deucstin9718
@deucstin9718 7 жыл бұрын
gd
@antidiusrwehumbiza3960
@antidiusrwehumbiza3960 8 жыл бұрын
Millard bring salama jabir one day bhana
@alikiba1527
@alikiba1527 8 жыл бұрын
+#millard_Ayo thanks for the good interview between ww na alikiba,, keep working naku support ww pia coz every true stories ni za kwako siziaamini media nyingine ispokua ww tu,, na habari zote ni nzuri kwako ww,, ila umejiahidi sana na una kipaji kubwa,,so swali kwako ni je hizo maswali unayo waauliza wasanii kama vile diamond na alikiba je ni mafans wako ambao ndio ss ndio tunakupa uwaaulize wasanii au ni zako mwenyewe hizo maswali unayo waauliza,,,, please bro millard ayo if u see my comment ni reply coz i wanna know,,,, thanks @millard_ayo
@abbydabby783
@abbydabby783 8 жыл бұрын
millard ayo hawezi ku reply hio comment yako aambayo haina maana, millard yupo bussy hana shidaya kureply wala kusoma hi uchafu wako,,,,TEAM #DIAMOND_PLUTNUM TEAM KIBAKULI MPOOOOOOOOO!!!!!?
@lenaliz8037
@lenaliz8037 8 жыл бұрын
Great Interview.
@luningazanzibar2886
@luningazanzibar2886 8 жыл бұрын
+Abby Dabby Kweli ndio punguani wa akili kabisa yani unafanya vitu kama hauna akili, kwenye hito timu diamond we unacheza namba ngapi?
@machibyasaid1397
@machibyasaid1397 8 жыл бұрын
+Luninga Zanzibar anacheza namba ya mamaako
@sunguriyoallalla6763
@sunguriyoallalla6763 8 жыл бұрын
Luninga Zanzibar
@user-ge4tl8pi3o
@user-ge4tl8pi3o 8 жыл бұрын
Why you wering sunglasses??
@fridakato9183
@fridakato9183 8 жыл бұрын
Pride is killing you kijana, that is not you, l mean that is not totally you.
@azizayassin3623
@azizayassin3623 7 жыл бұрын
frida kato he is
@babycombo2635
@babycombo2635 8 жыл бұрын
kiba anavoice nzuriiiiii saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ila maringooo punguzaa mwe unaongea kwa mbwembwe
@cosmasmasawe9875
@cosmasmasawe9875 8 жыл бұрын
Huna following hata mmoja
@marcosjuma4990
@marcosjuma4990 8 жыл бұрын
it is hot
@khamismusa7626
@khamismusa7626 6 жыл бұрын
Acheni mambo na miziki sio issue ni umagharibi uwoo
@bilingikajeri6201
@bilingikajeri6201 8 жыл бұрын
Usife moyo mtu wangu kaza najua lazima wawepo maadui ndo ufanikiwe ila jazi yako nzuri sana
@ronaldomorata8528
@ronaldomorata8528 6 жыл бұрын
Jamaa linajiona hili
@ritamarley1958
@ritamarley1958 8 жыл бұрын
+Ali Kiba you have to try and drop that word "YAP" it doesn't suit you... you're cool, simple and down to earth guy..... but all in all I've gat much Love and support for you.
@pollylazmartins9690
@pollylazmartins9690 8 жыл бұрын
yap is a cool word too
@khalimaissa1602
@khalimaissa1602 8 жыл бұрын
mh
@jacqueli18
@jacqueli18 Жыл бұрын
Yaani Hadi wanaume wanacoment huyu anajiskia....mmmh Aya bwana jirekebishe
@papafikiri
@papafikiri 8 жыл бұрын
nifungulie ile interview ya Ben Pol naitamani sana niweze kutoa maoni yangu maana ameharibu sana yule mvuta ndimu
@sambotv8727
@sambotv8727 7 жыл бұрын
duuuu sio kwa mashauz ayo
@davidosward1419
@davidosward1419 7 жыл бұрын
aliiiiiiiiiiii
@madeeteapain7578
@madeeteapain7578 7 жыл бұрын
😅😅😅huyu jamaa...noma sana..nilimbuken.hajijui
@alankimaro4464
@alankimaro4464 4 жыл бұрын
Labda ww ni mlimbukeni
@Pembaboytz
@Pembaboytz 8 жыл бұрын
dah huyu jamaa ana mapozi sn, au ndo anajiskia
@azizayassin3623
@azizayassin3623 7 жыл бұрын
Khames Binseif ati n sugar haaahaaa
@Pembaboytz
@Pembaboytz 7 жыл бұрын
Ni sugar sio
@tusiipendeduniaduniasikutu4819
@tusiipendeduniaduniasikutu4819 6 жыл бұрын
Leo umeniudhi sana ati sina lafiki may be Abdul kiba
@rezeekybeiby1519
@rezeekybeiby1519 5 жыл бұрын
Ndio sinikakayake uyoo ndio Rafiki waukweli
@swalloonpoint2306
@swalloonpoint2306 8 жыл бұрын
alikiba ni msanii mkubwa na kazi zake nzuri na za kiafrika zaidi ila anazingua sehemu moja tu inshort ana mashauzi mengi sana yani sasa sijui ndo u-staa au nyodo au ulimbukeni.
@asimaismail5559
@asimaismail5559 8 жыл бұрын
hiyo ndio taabu ya ally kiba
@scottstv2340
@scottstv2340 5 жыл бұрын
skuzote mtu wawatu anaejielewa huwa anaishi kwa samani alio pewa nawatu nasi kuwanza kufatiria watu nayeye ata broo miladi ayoo nazani ilo ana lielewa sarut kwako king kiba yooooo yebaba
@mattklaus8807
@mattklaus8807 8 жыл бұрын
i dont know why some people call you "msanii mkubwa" you sing lika a lito child sing sunday school songz. NO OFFENCE.
@meshackmkaka4456
@meshackmkaka4456 6 жыл бұрын
nakkbali sana brother ali kiba
@ladymaureen508
@ladymaureen508 8 жыл бұрын
nice interview Millard gud job.
@azizayassin3623
@azizayassin3623 7 жыл бұрын
kwani ame kuwa mkongo man haaaahaaa kwan tutakuweke kwa chaiiiii
@kombatgamer4823
@kombatgamer4823 8 жыл бұрын
vipi
@Jaggmado255
@Jaggmado255 8 жыл бұрын
eh bana eeh ayo mapozi duh
@marciakassimkassim9275
@marciakassimkassim9275 8 жыл бұрын
Ali napenda sana nyimbo zako...tatizo unaniudhi nakitu kimoja....kila ninapo angalia intervew zako nà za daimond...mi naona we unakuza bifu...au unaubinafsi wa maendelo...coz ulikataa kufanya colabo na Chibu nyimbo yako sa single boy.ulidhan Chibu anatafuta umaruhufu kupitia nyimbo yako...pili juz Chibu alipo eka picha Za tifa....nawe ukamua kueka zako na zawanao...yaan nikama ulikua umkomoa chibu..unaeil we unaaza wakat si tulishaanza mda mrefu...sipoa akii...plz kuwe naushindano kwenye game na simambo ya kijingi...malizene tofaut zenu..nyiiye waislam..kunaleo na kesho....muislam akikasrikuana na mwezake kwamda wasku tatu..jina lake uandkwa kwa mlango wa moto...kaz kwenu....big up kiba....napenda nyimbo zako....
@lindadamiani7436
@lindadamiani7436 8 жыл бұрын
kiba anakukubali but siyo kwakauli ya sina time yakumpigia
@kelvinantonny3476
@kelvinantonny3476 8 жыл бұрын
Hv we kiba umeifanyia nn bongo fleva mpaka unate kiasi hiko,, Alafu oohooo Diamond analinga,, huyu sasa Mr mashauzi ndo analinga,, kabisa kwenye media unasema eti nimeona missed call yake lkn sikuwa na muda wa kumpigia kweli afu unajiita msanii mkubwa,,,, you must learn something from others bro you are not big more than music industry Mr kiba,,,, jitahidi na wewe siku moja tukuone bet majungu majungu hayatakufikisha popote
@1salema1
@1salema1 8 жыл бұрын
jamaa anaringa kichizi.....
@fgjjgbnko4383
@fgjjgbnko4383 7 жыл бұрын
Kiba anaringa sana
@kinonative1752
@kinonative1752 8 жыл бұрын
sijawahi kuona msanii DUNIANI anafanya interview huku yupo busy na simu...
@RAVincentOfficial
@RAVincentOfficial 8 жыл бұрын
mbona milard ayo naye an simu ?
@samsonsesera8966
@samsonsesera8966 8 жыл бұрын
he who praises himself shall be humbled, and he who humbles himself shall be praised. kiba kazingua
@richkainga2004
@richkainga2004 6 жыл бұрын
Sana kiba mwanaaaaa
@justinkibonge8426
@justinkibonge8426 5 жыл бұрын
Mnamuonea kiba ndo ongea ake
@fatma2496
@fatma2496 8 жыл бұрын
Mimi nampenda kiba ila ananiuzi maringo mengi. Punguza kunata unaboa
@williamsbonifasi549
@williamsbonifasi549 8 жыл бұрын
No kweli fatma apunguzeeee
@user-qo4st8tj5v
@user-qo4st8tj5v 7 жыл бұрын
Na mm nimo kwawenye kuku miss
@kadhijafarah2487
@kadhijafarah2487 6 жыл бұрын
Fatma haboi anapendeza akiongea hivyo
@bahatimussacharlesmussango5678
@bahatimussacharlesmussango5678 6 жыл бұрын
Fatma WEWE humjui kiba ss Tuna mjua
@alainturatsinze3307
@alainturatsinze3307 8 жыл бұрын
hey brother, honestly you are the best between singers that I know in this earth, but you are not strong enough in interviews because you always trying to put some words in English which is not a good place to do that... thanks bro
@agathakatondo4630
@agathakatondo4630 8 жыл бұрын
millard baba kiba ukimwita tena kwenye maojiano mwambie kweli anajiona sana nani anashida yakuona simu yake
@cheupegmailcomHhcheupe
@cheupegmailcomHhcheupe 8 жыл бұрын
Agatha katondo umeona eeeeh
@mallibajuta5434
@mallibajuta5434 8 жыл бұрын
Nakukubali alikib
@masalaalwahaibi8093
@masalaalwahaibi8093 7 жыл бұрын
John
@florencefredrick7099
@florencefredrick7099 4 жыл бұрын
Mfalme na lundi magoma mpya
@uncleatvonlinenew29
@uncleatvonlinenew29 6 жыл бұрын
nakukubali
@victorjohn6929
@victorjohn6929 8 жыл бұрын
kiba bisho sana unaleta utozi hadi kwa mashabiki mixer mapozi kibao afu kingine jaribu kutunga nyimbo nyepesi za kuka mdomoni, nyimbo zako zina mashairi magumu dah
@wilhardanthony7318
@wilhardanthony7318 8 жыл бұрын
hahaa coment zinachekesha
@tandikafab805
@tandikafab805 8 жыл бұрын
ukipendwa ringa hahahahaah ringa baba
@banzijunior2807
@banzijunior2807 8 жыл бұрын
kiba unaringa sana kama kidoo mi sio team kiba tena mfyuuuu
@jeftajosiah40
@jeftajosiah40 6 жыл бұрын
Mnaosema kiba analinga kumanna zenu mnataka awake? Nakupenda kibaaaaaaa
@DavisTibbz
@DavisTibbz 8 жыл бұрын
mmmmmh.... jamani.
@shadowboy6314
@shadowboy6314 4 жыл бұрын
Aliokuwa anaimbaa kama ww ni k 2ga
@hawahamisi6237
@hawahamisi6237 8 жыл бұрын
Ally kiba ww unaringa sana jaman daah punguza maringo unakua kama chipukz
@athumanifundi4488
@athumanifundi4488 8 жыл бұрын
Duuuh #Hawa
@hamadombeevents2869
@hamadombeevents2869 8 жыл бұрын
kiukwel mtu mwenye hasiri ya roho mbaya awezi kufika mbali`ben pol mtu pouw xana kiba amezingua kashindwa kuukubal ukwel then akaleta chuki za chini chini
@MohamedAhmed-yn1lx
@MohamedAhmed-yn1lx 8 жыл бұрын
Nishaangalia interview nyingi sana za kiba nimenotice hana people skills hajui kuinteract na watu hajui kujenga hoja na tone yake tuu utajua amekasirika na aweka sana vitu rohoni inshort siomtu poa
@allymwarabu5984
@allymwarabu5984 3 жыл бұрын
Kibawew nimkali
@furahaplatnumz_jr1693
@furahaplatnumz_jr1693 8 жыл бұрын
kiba acha nyodo mziki wako mzuri nyodo duuuuh kumbuka haya maisha tu kuna leo kuna kesho jiangalie sana
@riscaoscar521
@riscaoscar521 7 жыл бұрын
huna
@cosmasmasawe9875
@cosmasmasawe9875 8 жыл бұрын
Nazani ni muda wa kujielewa kuwa yeye ni mssnii mkubwa Na watu wanashindwa kumuelewa kutokana na nyodo zakeeee Wenzake kama platnumz hana mambo hayooooo na wanampa sapot za kutosha nazani ni muda wa yeye ajirekebishe kwa nn yeye tu pia ajifunze kuongea na waandish waabari naamni #UTAMPENDA
@aloycedeusi2245
@aloycedeusi2245 7 жыл бұрын
Ww hamida Rashid acha bangi
Ali Kiba kajibu kwanini huwa haendi kwenye Tuzo
9:36
Millard Ayo
Рет қаралды 162 М.
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 50 МЛН
😳 Все русские уже знают итальянский?🇮🇹
00:15
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 10 МЛН
Maswali ya Ben Pol kwa Ali Kiba na haya ndiyo majibu ya Ali Kiba
4:32
RICH MAVOKO FT DIAMOND PLATNUMZ - KOKORO  ( OFFICIAL AUDIO )
3:17
Rich Mavoko
Рет қаралды 676 М.
Shilole alivyokuwa Muhudumu wa Hoteli na kumtongoza Ray
19:43
Millard Ayo
Рет қаралды 356 М.
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 50 МЛН