Kiredio hapa sio Marekani, wabongo hawaelewi mambo ya pranks na practical jokes, kila mtu amevurugwa na jua ni kali sana. Jihadhari sana usije ukaumizwa vibaya bro😂
@SharifashabaniAbdallah12 күн бұрын
Hahaha huyo kaka kajua kumbutua duh kazi nyingne hz
@KhadijaKabunda6 ай бұрын
Ww kiledio utakuja umizwa MTU mwenyewe nguvu huna bado tunakupenda ujue ❤❤❤❤
@muzhokanta6 ай бұрын
Wallyahi mi ntakupiga kama mwizi TATIZO KIREDIO WE MSENGE UJUI MTU KWENYE CM YAKE ANAWEKA MAMBO MANGAPI KAMA MIMI SIMU YANGU NDO KILA KITU AIJARISHI INA THAMANI GANI ILA VITU VILIVYOBEBWA NI HATARI NTAKUUA SITOKUELEWA
@FadhilaIbrahim-wu6ve6 ай бұрын
Ni Bora ukamuuliza mtu kwanza kuliko kuamua kuivunja tuuu ata kama ni Mimi sitakuelewa kwakweli
@Moha-w9t6 ай бұрын
ni heri mtu umpige yeye au umuumize yeye anaweza akakufahamu, kuliko kuiharibu simu yake.
@FadhilaIbrahim-wu6ve6 ай бұрын
@@Moha-w9t af ety kirahisi rahisi tuu ni challenge
@abdulaisha41456 ай бұрын
Huyu NI ujinga unao Fanya simu ndio kila kitu cha mtu kwa maisha haya yakuunga unga kisha upije kwasababu wataka kunipa simu kubwa jee vile nilivyo visevu navipata vipi na ikiwa sijasev kwa account ya email ama sina back up weeeh nakuacha flat hapo chini nasimu naenda nayo pole baaadae
@Moha-w9t6 ай бұрын
@@abdulaisha4145 samahani wewe uko coast au?
@LULUEZEKIA2 ай бұрын
Ila kaz yako kiredio unasacrifise sana maisha yako
@PrincessHellen-pg1oy5 ай бұрын
😂 huyo dada wa mwisho kanifurahisha eti simu siachi 😂😂😂 yule mimi namweza
@gloryoisso37966 ай бұрын
Jamn kiredio pole ❤❤❤
@meryorotha6716 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 kiredio watakuja kukua jamani em tuache kiredio wetu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂, masikn kiredio mpk uluma😂😂 utakuj uumizwe watu wana stress zao🤣🤣🤣🤣
@EdithaManyus5 ай бұрын
Jamaniii kiredio ww
@Suadduas6 ай бұрын
Jamani mbn kiredio wetu 😢 hila pole
@AkyooMamad6 ай бұрын
Mmh Leo sijafurahia😢nimehuzunika sana kwnn wampige kiredio Sasa na wanafaham Kaz yake
@fhnchjk51956 ай бұрын
Pole Sanaa kiredio❤❤ndio kazi
@edgercyprian9646 ай бұрын
Daaah yaani we kiradio una masihara sana ipo siku wataku vunja kiuno huwezi jua simu ya mtu ametunza vitu gani humo kwenye mafiri kua makini kwenye internew zingine
@NaifinMohamed6 ай бұрын
Yani mm huyo wamwisho Yani ni mm mijanadume isohela ndio Ina misafura najichukulia cim huko na likileta mbogo tunaachana😂😂😂😂
@KhadijaMasoud-m6u6 ай бұрын
😂😂😂😂Malaya huyo mwanaume km mm cku hiyo hiyo naachana nae
@jescabihemo88266 ай бұрын
Mpaka wakuvunje tuko pamoja na ww😂😂
@salmazwallo59206 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣ataa mm ngefanyaa hinyo mnamraum bure 2 alikuwa hajui
@LovenesJohn-d9x6 ай бұрын
pole jaman😢
@RichardKinvunvu-qn1or6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂we mtu hana simu aliipata kwa bahati afu we unaleta ugai gai lazima uchezee kichapo
@ayoublupande30076 ай бұрын
Hahaha 😂 kwahiyo kumbe muoga hivi huyu jamaa haha 😂 nimecheka san ndo changa moto ya kz ulo chagua hahaha 😂😊
@Yassmulunga6 ай бұрын
.maskini kiredio😂😂😂🙌... Huyo jamaa alivyoskia i phone akapata amani ya moyo... Ila kiredio issue kama izo uwe na watu wa kukucover sio unaenda wewe na kichwa chako kama tofali... Ila kiredio ulivyojishushaaaa, kama piriton ikiyoexpire..eti oya leta simu hiyo chap chap...nakojoaaaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌ungekamuliwa mavi leo😂😂
@aminaabdalla-uo9zq6 ай бұрын
Nilishasem kiredio aekew ulinzi hatak
@Yassmulunga6 ай бұрын
@@aminaabdalla-uo9zq watu wanamashida yao mjin hapa anaenda kuwazingua nyieeeeee😂😂😂🙌
@aminaabdalla-uo9zq6 ай бұрын
@@Yassmulunga acha kimrambe
@nasraemmanuel6 ай бұрын
Pole sana mdg wng 😢
@surusuru19946 ай бұрын
Pole jmn😂❤
@Jacklinejohn76 ай бұрын
Pole mwaya ila uyo kaka alo kupiga nime mpenda 😂😂😂
@loner_wolf6 ай бұрын
Mmmh mmepanga acheni ungese
@bakariomari24omar216 ай бұрын
Watakuuwa😂😂😂😂
@bdvc71076 ай бұрын
Pole ajari kazin
@madinarobert49446 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂yamemukuta mwenzenu
@GervasWillson6 ай бұрын
Kiredio watakuuwa ndugu yangu sema usiwaze nakutafutia ticher kutoka japani
@sophiarajab54766 ай бұрын
Kiredio watakuua mbwa wewe.😂😂
@PaulCharles-ox9pg6 ай бұрын
Pole 😢😢😢
@emmanuelmchomvu26766 ай бұрын
Nimeweka mikeka yngu y Hela alfu unavunja simu hta Mimi nakupiga mitama...😅😅😅
@JescaKaaya-k7w6 ай бұрын
Pole kiredio mwaya utafutaji wa maokoto changamoto hazikosekan
@LucyCornery6 ай бұрын
Yan kiredio ayo yoote ni kutafuta ela ugali....wadada wenzangu wanaume wanatafuta pesa kwa tabu mweee😂😂😂😂😂
@VivecCarol3 ай бұрын
Hela uitafute kwa tabu ule kwa tabu.. teknolojia imerahisisha maisha
@FaridaKizenga6 ай бұрын
Pole kiledio😢😢
@ODINAMABADA5 ай бұрын
Ukisikia kazini Kuna kazi ndo Ivi 😅😅😅
@ImaeImae-p3v6 ай бұрын
Pole sana😂😂😂😂 daah had huluma jamn
@DavidMbwilo-qk1bz6 ай бұрын
Watakuua mbwa wew 😂😂😂
@Zubaiba6 ай бұрын
Mmmh sijapenda kabisa
@PhinerJulius6 ай бұрын
Uwe makini na aina za challenge unazo chagua. Tunakupenda
@yousifyousif-p7f5 ай бұрын
Tupo pamoja na wewe mpaka wakuuwe😂
@KhadijaMasoud-m6u6 ай бұрын
Pole kiredio ila ww hukomi😂😂😂😂
@vailetdaniel6 ай бұрын
Pole mway ndo kweny utaftaji
@zabibubashiri30346 ай бұрын
Kazi hatari sanaaa
@MagrethNkhambi6 ай бұрын
Duuh pole dugu yangu uwe unatoa taarifa watakuja kukuua bwana tukose udaku kitaa
@SelemaniEmail6 ай бұрын
Kiredio alikuw Kam anataka kulia ivi😅😅😅
@KhadijaMasoud-m6u6 ай бұрын
Namm naomba cm
@zahraabdul96526 ай бұрын
Kiredio mwanangu fresh 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤🎉
@rahelfeleshi53686 ай бұрын
Pole kiredio
@ZainabuKakozi6 ай бұрын
😢😢maskini mkaka wa watu 😅😅uwe unatoa taarifa we nae
Tuko pamoja na ww mpk wakuuwe kiredio 😂😂😂pole beib ndo kaz
@SalhaLuge6 ай бұрын
Walah watakuuwa😅
@MonaMbalike6 ай бұрын
Kumbe mnakutana na changamoto jaman
@Meck-Nyoni6 ай бұрын
First to comment.. piga like apa kama unamkubali kiredio
@BensonAtero6 ай бұрын
😊Pole sana bro
@paulhema57136 ай бұрын
Hujui kua watu wanahasira na ww...unavunja mahusiano Yao na simu zao unavunja 😂😂😂😂😂😂😂
@rosemilingi78606 ай бұрын
Kwakweli
@samwelimoshi56146 ай бұрын
Just maigizo
@AngelMbaga6 ай бұрын
Yaan huyo Dada jamani dah pole, mkaka hana adabu anatukana.
@zainabumaulidi10306 ай бұрын
😂😂😂😂😂Na bado
@nancyg86646 ай бұрын
😂😂😂kiukweli kupasua simu amekosea, watu wanakumbukumbu zao wamezitunza ndomana ata tukinunua simu mpya hatutupi za zamani. Pole mwaya kipigo imepata na simu umempa
@veroEdson5 ай бұрын
Jinsi alivyo tupa sim 😂😂
@aishamwenda-m6k6 ай бұрын
Nimecheka 😅😅 ila kiredio utatutoa mbavu zetu jamani
@DoreenOmmy-gw3op6 ай бұрын
😂😂😂😂😂 jmn uwiii nakufa mm
@jaroggalatimore94906 ай бұрын
Changamoto za kawaida hizo
@NaifinMohamed6 ай бұрын
Ajali kazini😂😂😂😂😂😂
@AminaMohamed-j9o6 ай бұрын
Ahahhahahahahah kiredio umekua kama mwanafunzi umeniacha hoi
@ZamdaAlly-d6n6 ай бұрын
Ila kiredio kuwa makini utakuja kuumia nakukubali sana
@Oman-p8x6 ай бұрын
Pole kire dio
@Officialsamiahassan6 ай бұрын
H😅😅😅😅😅😅😅 eti wakina kevoo unawajua vzur ww
@ummuhkhalfan55423 ай бұрын
Mm nakushauri bora ungechagua kazi ya kupatanisha watu,at least ungenivunia thawabu kwa mungu wako lakini hii kazi unayofanya na mwenzio mr uky aisee mnabeba dhimma kubwa mbele ya mungu, Fitna ilolala isiamshwe Wamsambaratisha,mtu na mtu wake,wakuta pengine wenyewe wana malengo ya,ndoa Wewe wawachonganisha alafu et samahan, Au wamchonganisha rafiki na rafiki alafu et samahan,sa ndo nini, Bora ungejikita,kwenyekupatanisha kutakusaidia hata ukitangulia mbele ya haki
@Dareaziz6 ай бұрын
Kiredio n mpole,Sana
@hashimrweabula96 ай бұрын
Tayariii ushapimwa sutiii ahaaaaaaa h
@JustinMarcus-h7w6 ай бұрын
Kiledio acha kazi iyo watu watakupasua😂😂
@julianagowele91636 ай бұрын
Pole sana KIREDIO
@rehemamgata2246 ай бұрын
Uhhh❤
@Mulha-b4u6 ай бұрын
Amepatikana kiredio htr na nusu
@Mrszizo-d7tАй бұрын
Kiredio umezidi uchonganishi
@aminaabdalla-uo9zq6 ай бұрын
😂😂😂kumb huw watak pigwa kusudi😂😂ata me nakurmbea mawe kiredii
@CastrbBizzo6 ай бұрын
Aiseee sema kiredio unajitoa sana maana ulivo ivunja iyo cm uku unamsogelea nikajua uwakika unazichapa 😢