IPI DINI YA KWELI,YA MUNGU,NA YA MANABII

  Рет қаралды 19,529

BIBLIA NURU YA DUNIA

BIBLIA NURU YA DUNIA

Күн бұрын

Пікірлер: 125
@margaretmargaret5744
@margaretmargaret5744 2 жыл бұрын
May God see you through this great challenges from Muslims ☪️sir Ndacha
@thxzbst49cnh80
@thxzbst49cnh80 6 жыл бұрын
Mungu awazidishie maisha mema marefu watumishi
@wanjerijoseph6223
@wanjerijoseph6223 5 жыл бұрын
jibu swali waislamu, Allah wawaislamu ni njini kwann niseme ivo mim nafanya kazi na warabu wenye kuanzisha wislam na wanataka uwe mshirika wao kwa nguvu ukikataa unafutwa kazi, ama unapewa, elufu kumi pesa ya Saudi hiyo ikifika kenya ni elufu mia tatu na ya saudi ni 10,000 thausnti riyal hiyo ni dini ua ni ujawi karibuni kwa yesu yeye kwake kuna kila kitu, mbarikiwe sana wakristo wesangu, ln jesus name AMEN
@muslihmohd9420
@muslihmohd9420 4 жыл бұрын
Wewe unasema nini wewe ata hueleweki
@muslihmohd9420
@muslihmohd9420 4 жыл бұрын
Kwaiyo wewe unafanya kazi za waarabu na kukulazimisha kwao usilimu ili ufanye kazi ndio mungu wetu amekuwa jini.?we mbona una matope sio akili izo,sasa apo mungu anakuwaje jini kwa hoja iyo.
@muslihmohd9420
@muslihmohd9420 4 жыл бұрын
We utakuwa na mtatizo ya akili sio bure maana mtu mwenyew akili timamu hawezi kusema upuuzi uwo
@chachamwita8350
@chachamwita8350 6 жыл бұрын
Wakristo mnabishana na watu waliopewa kitabu na shetani
@rskiabdala4868
@rskiabdala4868 6 жыл бұрын
Chacha Mwita tupe aya iliosema kuw qur-an ni maneno ya shetani
@charoharry7038
@charoharry7038 6 жыл бұрын
Waandishi ambao walikuwa maswahaba wa Muhammad waliongozwa na shetani wakiandika
@financialloan9818
@financialloan9818 6 жыл бұрын
@@rskiabdala4868 sasa ww unataka kusema Qran imetoka wp?wkt uyo Mohammed ajachaguliwa na mungu kapewa unabii na shetani toa aya ya kua Mohammed alichaguliwa na mungu.maana manabii woteeee walichaguliwa na mungu
@rubbenndege4379
@rubbenndege4379 5 жыл бұрын
We acha tu
@papawaparazi341
@papawaparazi341 5 жыл бұрын
@@financialloan9818 hawawezi kapewa na adui wa malaika jibrii yani Gabriel ambaye ndiye alileta ujumbe kwa Mariam aliye mzaa Yesu
@financialloan9818
@financialloan9818 6 жыл бұрын
Amna Anae weza shinda ukishindana na wakristo ata Dora ya Leo duniani ni mkiristo so waislam lzm mjue yesu ndo njia kama amtaki someni Qran Mohammed akuchagulia na mungu
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 4 жыл бұрын
Yesu ndo jibu tu
@ernestjohn7606
@ernestjohn7606 6 жыл бұрын
safi muchungaji
@hoziaissai3768
@hoziaissai3768 3 жыл бұрын
yaan labada waarab walishindwa kukop maneno kwenye biblia biblia ndo yakwanza nimtiha
@janenjenga5639
@janenjenga5639 5 жыл бұрын
Ndini ni nzuri nikuwasaindiya wajane na yatima.kwa Yesu hakuna njia mkato kama mathehebu mengine
@janek9103
@janek9103 6 жыл бұрын
Nitasima na Yesu ambaye ndiye jia na haki.dini inanifikisha tu kabulini
@salimalmahrizi395
@salimalmahrizi395 5 жыл бұрын
NJIA NI NINI? NA DINI ni NINI? ukifata njia ndio umefata dini ?wewe ukifa utazikwa mbinguni ?au kaburini.sometimes you have to understand what you write.
@salimalmahrizi395
@salimalmahrizi395 5 жыл бұрын
Muhammad hawezi bishana na wapumbafu yeye ni Rahma kwa Walimwengu hasemi ila amefunuliwa Wahyi,
@myself4128
@myself4128 6 жыл бұрын
Sasa waislamu mnasikitisha! Kwani dini inapeleka mtu mbinguni ama ni mtu anakwenda kwa kuwa mcha Mungu??Yesu ndiye njia na jibu la shida zenu! Mtume wenu aliwapoteza sababu alisema yeye wa mwisho sasa Yesu akirudi ndio mtaona viroja vya diniyenu!
@muslihmohd9420
@muslihmohd9420 4 жыл бұрын
Huwezi kuwa mcha mungu kama huna dini kwasababu mungu ameweka utaratibu maalum ya kumuabudu Na kumfikia yeye,huwezi kuwa mcha mungu kwa kuywa pombe na kuimba kanisani ayo ni mambo ya bar sio kwenye nyumba ya ibada,kama hamna dini uzima wa milele huna we njoo tu kwa uislamu tunakupokea ndugu yangu
@salimalmahrizi395
@salimalmahrizi395 5 жыл бұрын
Matendo Ya Mitume 7:37 Neno: Bibilia Takatifu (SNT)37 “Huyu Musa ndiye aliyewaambia wana wa Israeli, ‘Mungu atawateulia nabii kutoka miongoni mwa ndugu zenu kama alivyoni teua mimi.’ wapi imetaja kanisa usipoteze watu Ndacha
@rafoursamiol5244
@rafoursamiol5244 5 жыл бұрын
Soma hadi 38
@salimalmahrizi395
@salimalmahrizi395 5 жыл бұрын
37Mose ndiye aliyewaambia watu wa Israeli: Mungu atawateulieni nabii kama mimi kutoka katika ndugu zenu ninyi wenyewe. 38Wakati watu wa Israeli walipokutana pamoja kule jangwani, Mose ndiye aliyekuwako huko pamoja nao. Alikuwa huko pamoja na babu zetu na yule malaika aliyeongea naye mlimani Sinai; ndiye aliyekabidhiwa yale maneno yaletayo uzima atupe sisisasa kuna fundisho gani hapo?
@davisrotich116
@davisrotich116 5 жыл бұрын
Safi sana
@jamesomuya2771
@jamesomuya2771 6 жыл бұрын
plz anyone anisaidie na number ya huyu mkristo hodari
@hoziaissai3768
@hoziaissai3768 3 жыл бұрын
biblia Nuru ya dunia
@salimalmahrizi395
@salimalmahrizi395 5 жыл бұрын
Yesu alibatizwa kwa dhambi gani? na yeye ni Mungu kwa Imani yako.Mungu anadhambi?nijibu haya maswali.nijue kama unaelimu au shabiki tu.
@nancynafula5477
@nancynafula5477 6 жыл бұрын
hky natamani kuwa muislam Hw can I do
@جانيتكينيا
@جانيتكينيا 6 жыл бұрын
Nancy Nafula go the way is open i will never try coz i believe in Jesus christ ot religeous am in Saudia what my eyes see let be
@zenassylvester125
@zenassylvester125 6 жыл бұрын
Kua muislam upotee mtafute Yesu kristo upate uzima
@nancynafula5477
@nancynafula5477 6 жыл бұрын
+Clack Bonny so nibaki tu kwa yesu.. sawa bonny nimekupata nguku yangu.
@zenassylvester125
@zenassylvester125 6 жыл бұрын
Nancy Nafula we kaa kwa Yesu utaona faida zake
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 6 жыл бұрын
Nancy Nafula visit a nearby mosque u will b told the way forward.
@thethreekingstheawadh7979
@thethreekingstheawadh7979 6 жыл бұрын
Wakristo hapa hawana kitu. Badala ya kuleta hoja za wazi wazi wanatoa mifano au kulinganisha maneno au kuzunguka zunguka. Mimi naona Waislamu ndio wenye hoja za wazi wazi maneno straight forward. Aya za wazi za kueleweka. Hawana hata haya wanacheka hovyo na aya za ukweli za Quran hawazielewi maskini huu ni msiba kwao
@financialloan9818
@financialloan9818 6 жыл бұрын
Sijui nikujibu nn maana akili zko fupi sana
@festokiraryo.6107
@festokiraryo.6107 5 жыл бұрын
Huoni zinasomwa haya we mwehu
@muslihmohd9420
@muslihmohd9420 4 жыл бұрын
@@festokiraryo.6107 Hhhmmm wakristo kazi wanachekeshwa tu mwalimu wao akishindwa kutetea hoja,hawana hoja za kueleweka,kazi yao wanaeka viraka tu ukiwauliza wapi ukiristo ni dini badala watoe aya wanaanza kuzunguka mara oooohh sijui yesu ni njia na njia in dini sasa ilo andiko la ukiristo halipo inasema ni yesu sasa iyo dini inatok wapi
@muslihmohd9420
@muslihmohd9420 4 жыл бұрын
Tafteni dini wakristo mtaenda kuchomwa bure ooohhhooo
@hoziaissai3768
@hoziaissai3768 3 жыл бұрын
waislam vichwa vigumu kweli kalogen 2 huko ngoja twende na njia ya yesu Kama maandiko yasemavyo waislam mtachomwa xana moto Iman zenu zipo kwenye mavaz lakn moyon majini 2 na ukandamizaj msubilin yesu and siku ya mwisho atawaambia manabii wauongo nanyie msubilin mtume mkaroge vichwa vigumu jaman
@augustinokaguotv2245
@augustinokaguotv2245 6 жыл бұрын
Uislamu siyo dini ni unyenyekevu ukristo ni dini kwasababu yesu alisema mtu haji kwa baba ila kwa njia ya mimi kwasababu neno dini kwenye kamusi ya kiswahili ni njia kwahiyo ukristo ni dini siyo uislamu neno islam ni unyenyekevu kama hamjui kiswahili mkalale msikitini
@legrandmsangi9789
@legrandmsangi9789 5 жыл бұрын
Augustino kaguo TV lete andko yesu aliingia kanisani ili tujue kam kwel alikuw mkristo. kasome 4:16 luka utajua yesu alikuw anaabudia watu
@silaswilliammakashi3227
@silaswilliammakashi3227 5 жыл бұрын
Kuingia kwa Yesu kwenye sinagogi haimanishi ndo kawa muislam ukisema kuabudi Yesu aliabudia hata kwanye milima na jangwani halafu kaa ukijua neno sinagogi maana yake ni misikiti ya kiyahudi sio ya kiarabu halafu neno sinagogi ni lugha ya kiyahudi sema kiarabu kilichukua hilo neno na kulitumia
@legrandmsangi9789
@legrandmsangi9789 5 жыл бұрын
toa andiko tuthibitishe yesu hakua muislamu
@festokiraryo.6107
@festokiraryo.6107 5 жыл бұрын
Safi sana dini ni njia ya mungu,waelimishe majuha
@festokiraryo.6107
@festokiraryo.6107 5 жыл бұрын
@@legrandmsangi9789 hahaaa OK na mtume Paulo alisali ndani ya sinagogi je alikua ni muislam? Hakuna nabii alisema sinagogi ni msikiti, ni tafsiri ya mapadre wachache kwa lengo LA kuwavuta ninyi waislam muiamini biblia
@muslihmohd9420
@muslihmohd9420 4 жыл бұрын
Manabii wote walikuwa wakristo...!!!???? Toa andiko Ndacha wacha kupoteza kondoo wa mungu kwa kutetea ugali wako utaenda kuchomwa bure...
@choba7101
@choba7101 6 жыл бұрын
Ama kweli " kusoma kuelewa kukesha urembo tu" Eti MTU akiesoma anaandika IPI dini kati ya dini ya mitume na mungu? Ama nyinyi mwanzo mwisho. Someni kwanza msipublish vitu tu? Kama hujuwi tofauti ya mungu na mitume nenda kasome kwanza.
@neemamohamedmaryakamaryaka4686
@neemamohamedmaryakamaryaka4686 6 жыл бұрын
Enyi wakristo acheni kupoteza watu ingieni katika uislam dini yamwenyezi mungu
@rafoursamiol5244
@rafoursamiol5244 5 жыл бұрын
Mmemsilimisha shetani ni ndg yenu bado mnahitaji na watu wngne wamfuate rafiki enu shetani??
@muslihmohd9420
@muslihmohd9420 4 жыл бұрын
@@rafoursamiol5244 unao ushahidi au uxhabiki tu soma temotheo1 1:18 Paulo anawapeleka watu kwa shetani wakafundishwe yeye atakuwa nani
@rafoursamiol5244
@rafoursamiol5244 4 жыл бұрын
@@muslihmohd9420 soma vzr andiko usikurupuke
@muslihmohd9420
@muslihmohd9420 4 жыл бұрын
@@rafoursamiol5244 wewe umelisoma
@papawaparazi341
@papawaparazi341 5 жыл бұрын
Yani waislamu wanakubali tu wapotea, tupe uhondo
@shadrackoberi8773
@shadrackoberi8773 5 жыл бұрын
Waislam mmepotea na dini ,kwan mnakiri yesu kuwa masii but mnapinga Njia na mafundisho yake
@salimalmahrizi395
@salimalmahrizi395 5 жыл бұрын
waislamu wanmfuata Yesu zaidi kuliko wewe.Wapi Yesu alisema yeye ni Mungu atachukua dhambi zako msalabani? wewe ufanye maovu halafu yeye aadhibiwe,biblia inasema kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe,sio mzigo wa begi au box au mitumba ni Dhambi zako .Waislamu wanasali msikitini Yesu alisali Sinagog ambayo ni Msikiti wa Kabila la Wayahudi.wewe unasali au husali kanisani,Yesu hakuingia Kanisani kabisaaaaa.wewe mafunzo yapi ya Yesu unafuata ?waislamu wanafunga saumu kila mwaka mwezi mmoja ,Yesu alifunga siku 40 wewe umewahi kufunga hata siku mmoja.Yesu alikuwa akisujudi wakati wa Ibada wewe ushawahi sujudu, wanaosujudi ni Waislamu tunampenda Yesu na tunamfuata ,Yesu ni Mtume wa Mungu kama mItume wengine,Wamekuja kufikisha Mafunzo ya Mwenyeezi Mungu
@legrandmsangi9789
@legrandmsangi9789 5 жыл бұрын
nashkuru huyo jamaa anaesoma maandiko amerud ktk uislamu. hakuna dini inaitw ukristo kw Mungu. hakuna neno ukristo ktk bibilia, hakuna andko ktk bibilia yesu alikuw mkristo na aliingia kanisani. bibilia inaukakasi zaid ya mara elfu. hakuna ushahid juu ya hyo dini ukristo. 3:19 quran bila shaka dini ya haki mbele ya Mungu ni uislamu. lete andko ktk bible linalosema ukristo ni dini ya Mungu. mm ntabatizwa
@silaswilliammakashi3227
@silaswilliammakashi3227 5 жыл бұрын
Ww ubatizwe usibatizwe utajua mwenyewe Yesu atakaporudi mara ya pili ndo utajua ni ipi iliyokuwa dini ya kweli
@bwegelanyakhaido3088
@bwegelanyakhaido3088 5 жыл бұрын
silas william makashi yesu anakuja kutimiza vitu viwili cha kwanza kuwakana nyinyi mnaye mwita mungu Hali ya kuwa yeye si mungu na cha pili anakuja kuonja kifo kwasababu kila nafsi itaonja umauti nafsi ya Jesu haijaonjaa ndio anakuja kuonja na kuwakana
@salimalmahrizi395
@salimalmahrizi395 5 жыл бұрын
Matendo Ya Mitume 7:38 Neno: Bibilia Takatifu (SNT)38 Huyu Musa alikuwa katika kusanyiko la wana wa Israeli jangwani pamoja na baba zetu na yule malaika aliyezun gumza naye kwenye Mlima wa Sinai; akapokea maneno yaliyo hai ili atupatie.WAPI IMETAJA MUSA AMEINGIA KANISANI?Musipoteze watu kama Mashetani,
@festokiraryo.6107
@festokiraryo.6107 5 жыл бұрын
Acha uongo mahirizi Isome vizuri matendo ya mitume 7:37 mpaka 7.38 inasema 38 yeye ndie aliyekua katika kanisa jangwani pamoja na yule malaika. Hebu isome usipotoshe ukweli
@salimalmahrizi395
@salimalmahrizi395 5 жыл бұрын
kanisa maana yake ni mkusanyiko wa watu Sio nyumba ya Ibada ,hata kwenye mihadhara ni kanisani kwa hiyo hapo jangwani ni kusanyiko la watu Wanafanya ibada kwenye Sinagogi ,tafuta maana ya Sinagogi.
@festokiraryo.6107
@festokiraryo.6107 5 жыл бұрын
@@salimalmahrizi395 synagogue a building in which the Jews used for religious worship or instructions ni jengo linalotumiwa kwa kuabudu kwa dini ya kiyahudi na kwa maelekezo au mafundisho, hii ndio tafsiri sahihi,na wale walatini wanaita sinagoga na wagiriki wanaita synagogee,ni janja maaskofu kuwavuta waislam waiamin biblia,hiyo ni tafsiri siyo aya.na hao mayahudi mpaka Leo wanasali kwenye sinagogi na imani yao hawamkubali Muhammad na hawamkubali yesu au issa,wao wanamfuata nabii musa ndio mtume wao,na huko Israel kuna misikiti,makanisa na masinagogi,kwa hiyo mmedanganywa msikiti ni sinagogi hahaaaa ni tofauti.
@festokiraryo.6107
@festokiraryo.6107 5 жыл бұрын
@@salimalmahrizi395 hahaaaa ingia KZbin sasa hivi fungua clip ya Mazinge na mchungaji yahya, ya dakika 56, sasa wewe anzia dakika ya 38 isikilize vizuri hahaaaaaaaa. Soma hiyo.
@salimalmahrizi395
@salimalmahrizi395 5 жыл бұрын
clip ziko nyingi toa anuani ya muhadhara na kwanini nianzie dakika ya 38?
@mossesjovenari9457
@mossesjovenari9457 2 жыл бұрын
Hao waislam wasiojua hata haya za quran kwanini wasibatizwe tu wakaachana na vigugumizi? Maana hata hawaelewi
@thethreekingstheawadh7979
@thethreekingstheawadh7979 6 жыл бұрын
Islam is the truth religion of God. Quran tukufu inasema dini ya haki mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislam. Msomaji wa Kiislam tafadhali kazana sana na usiwe unasita sita katika usomaji wako shukran
@benjaminkabui7338
@benjaminkabui7338 5 жыл бұрын
Quran tukufu yasema hivyo...sio biblia..sasa wewe ilikuwa watarajia nini kwa quran siuongo tu..quran inamakosa ya ki historia science na kiteknologia...uongo mtupu lakin huwezi jua sababu wasoma hiyo quran tu!!
@festokiraryo.6107
@festokiraryo.6107 5 жыл бұрын
Uislam maana yake ni kujisalimisha kwa mungu hata sisi wakristo tumejisalimisha kwa mungu, kupitia njia ya mungu au dini kwa kiarabu ambayo ni kristo
@muslihmohd9420
@muslihmohd9420 4 жыл бұрын
@@benjaminkabui7338 bibilia ni uongo tu na katika bibilia mna makoxa zaid ya 18 katika Qur'an wamekaa watu wa dini zote kuangalia kuwa mna makosa mpaka leo hawajapata ata moj,ilo kosa unalosema wewe umelitolea wapi. Pia bibilia sio moja zipo nyingi na zote zipo tofauti mfano tu Bible ya king version ina vitabu 73 ila African Bible ina vitabu 66 sasa twambie ipi ipo sahihi kama bibilia ni maneno ya mungu...???
@muslihmohd9420
@muslihmohd9420 4 жыл бұрын
@@festokiraryo.6107 Kristo sio dini,kristo ni jina la mtu toa andiko kuwa ukiristo ni dini sio kristo
@festokiraryo.6107
@festokiraryo.6107 4 жыл бұрын
@@muslihmohd9420 we hujui kitu nini maana ya dini maana yake njia ya mwenyezi mungu, mimi ndimi njia na kweli na uzima iendayo kwa mungu.haya ni maneno ya yesu ndani ya biblia, dini ni neno la kiarabu kwa kiswahili maana yake njia ya mwenyezi mungu, na quran inakiri nabii isa ni saa ya kiama na ni njia iliyonyooka, na nyie waislam kila siku misikitini mnasema ewe mwenyezi mungu tuongoe njia iliyonyooka, wakristo wametajwa ndani ya quran kasome baqara 62 kama hausomi qurani mi nitakufundisha kasome al maida 82 uone mungu alivyowasifu manasara
@salimalmahrizi395
@salimalmahrizi395 5 жыл бұрын
utume wanapewa na Mungu huyo mwanamke amepewa na Mungu gani?Ndacha usipotoshe watu
@festokiraryo.6107
@festokiraryo.6107 5 жыл бұрын
Mahirizi soma vitabu
@muslihmohd9420
@muslihmohd9420 4 жыл бұрын
@@festokiraryo.6107 Hakuna kitabu kinasema mwanamke anaweza kuwa mtume hayo ni mambo ya wazungu kupinga wanaume kwanza wao wakasema"ladies first "
@mossesjovenari9457
@mossesjovenari9457 2 жыл бұрын
Hao waislam wasiojua hata haya za quran kwanini wasibatizwe tu wakaachana na vigugumizi? Maana hata hawaelewi
DINI YA KWELI YA  MANABII  NA MITUME NI IPI?
1:50:40
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 39 М.
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
MDAHALO KATI YA WAKRISTO NA WAISLAMU MUJINI KISUMU MADA MSALABA
56:27
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 49 М.
Nani wameahidiwa uzima ma milele kati ya wakristo na waisilamu
1:30:13
IFAHAMU KWELI
Рет қаралды 1,3 М.
YESU NI MUNGU WA KWELI HAPINGIKI
37:38
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 19 М.
Ipi dini ya kweli.ShkMazinge,Shk.Kinyogoli and Ustdh, Mwaipopo pt3
1:27:23
ALNUUR ISLAMIC DAAWAH CHANNEL
Рет қаралды 59 М.
MASWALI NA MAJIBU- NDACHA NAKURU
1:06:53
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 150 М.
majini ni ndugu za akina nani? waislamu au wakristo?
1:09:46
Bayan online daawa
Рет қаралды 7 М.
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.