Yes safi kabisa injili iendelee, kemea wote hao, kikosi chenu ndicho pekee tunachokielewa na kukitambua huko tanzania tunajivunia sana
@obedimunguachiza8434Ай бұрын
Muda wao unakuja tena unakuja kwa mwendo kasi Yesu Kristo kamwe hatawaacha wahuni kulisumbua kanisa la Bwana Mungu wetu barikiwe sana mtumishi wa Mungu usichoke kutenda mema utavuna kwa wakati wake usipo zimia moyo.
@raphaeledson2002Ай бұрын
Amina baba
@DavidMatataАй бұрын
Dah!Huyu jamaa kauzu wa nguvu,dah Tena anajiita yeye mtume... Sawasawa mtumishi wa Lord Jesus muelimishe huyo mtume wa makafara.. Jehovah akubariki 🙏 kwa Jina la Lord Jesus 🙏.