KIBOKO YA WACHAWI AFUNGULIWA KANISA | WALIOMSEMA VIBAYA AWAITA NI WACHAWI

  Рет қаралды 16,019

MADORA TV

MADORA TV

Күн бұрын

Ni dhahiri kabisa Kiboko ya wachawi kakumbuka shuka kukiwa kumekucha kwa aina ya mafundisho aliyokua akiyafundisha kanisani kwake Buza Moja kati ya kauli zinazomhukumu hata Leo wachungaji, mitume,Manabii,maaskofu wamenyamaza kimya huku minong'ono ya baadhi ikisikika kwa mbali kulingana na kauli zake chafu ya kukejeli makanisa mengine na kuyaita Vibanda
"Mwache atetewe na kanisa Catholic sisi wachungaji wa Vibanda tuko bize na Vibanda vyetu alinukuliwa mtumishi mmoja .
"Alisema Hana mpango wa maombi ya kufunga ni kujichosha tu yeye anazo mbinu je hizo mbinu zimeshindwa kumsaidia alizungumza Mchungaji ambaye hakutaka jina lake litambulike
Mpaka Sasa kiboko ya wachawi na familia yake wanasubiri majibu ya ombi lao kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Пікірлер: 193
@femidayahaya9293
@femidayahaya9293 Ай бұрын
uwiiiiiiii kama ni kwel bro anarudi aiseee nimefurah sana...asante saaaaaana mama samia najua umehucka pakubwa kwenye hili ana kwel wee ni mama yetu na ce niwatoto wako tu love tz
@annagidion7817
@annagidion7817 Ай бұрын
Bado waongo hawa
@annagidion7817
@annagidion7817 Ай бұрын
Endelea kuomba one day yes
@goodluckstephanmasige3450
@goodluckstephanmasige3450 Ай бұрын
Tatizo matumizi ya akili kwenu waumini nikidogo sana, mnaangamia kwa kukosa maarifa.
@femidayahaya9293
@femidayahaya9293 Ай бұрын
huna.adabu mbele za baba na mama yako mzazi
@LevinaModesti
@LevinaModesti Ай бұрын
Dah baba,karibu kazi ya Mungu haiwezi kwenda bila pesa lazima tutoe sadaka shukran mafungu ya kumi kwa kwenda mbele Mchungaji wetu Kiboko ya,watching hoyeeeeeee
@user-xo1zh8bb1l
@user-xo1zh8bb1l Ай бұрын
Amna kazi apa we unamsikilizaje huyo ni wakala wa shetani huyo angalia usije ukapotea
@UpendoMwaluko-g7d
@UpendoMwaluko-g7d Ай бұрын
Asante Mungu baraka za Mungu zikuandame.ulinzi wa Mungu utawale maisha yako.
@brigithanyangaleni6903
@brigithanyangaleni6903 Ай бұрын
Ashukuriwe Mungu
@HawaOman
@HawaOman 18 күн бұрын
Mama yetu tunakushuru rsis wetu naviongoze wetu ahsante mungu wabariki sana ameeen maua kwaviongozewetu🎉🎉🎉🎉
@doreengomes3489
@doreengomes3489 25 күн бұрын
Hongera sana!
@DukeScana
@DukeScana 23 күн бұрын
Tunamshukulu mungu kwa kutuludishia nabii wetu❤
@DamasjoachimPetro
@DamasjoachimPetro Ай бұрын
Mungu ibariki jamuhuri ya Muungano wa Tanzania bariki Nabii wetu Kiboko ya wachawi na huduma yake, asante Mama Samia Suluhu Hassan, Mungu akubariki saanaaaaaaaaaa
@HawaOman
@HawaOman 16 күн бұрын
.akirudi nitatoa milio kwa kazi ya mungu
@DamasjoachimPetro
@DamasjoachimPetro Ай бұрын
Karibu sanasana Mtumishi wa Mungu
@nassibumauriddy
@nassibumauriddy 19 күн бұрын
Nampenda sanaa ❤️❤️ aje atuokowe
@HawaOman
@HawaOman 18 күн бұрын
Wachawii eeee kazi kwenu
@josephphilimon-h7d
@josephphilimon-h7d Ай бұрын
Rasi waw nyongee haki mungu akulindee nakupendaa mama samia ❤❤❤❤❤
@DamasjoachimPetro
@DamasjoachimPetro Ай бұрын
Safi sana Jina la Bwana Yes litukuzwe
@Haji-yr9db
@Haji-yr9db Ай бұрын
Tunakusubiri mtumishi wetu mungu akutangulie
@HawaOman
@HawaOman 18 күн бұрын
Mama kwa hiii kura niyakoo mam umetufurahisha sana mama
@CatherineLukwesaLukwesa
@CatherineLukwesaLukwesa Ай бұрын
Asante mama samia nitakupigia kula mala mia
@evaelieza
@evaelieza Ай бұрын
Naeenda nahela natoa maana nimeona uponyaji kwake❤❤❤❤
@ZulfaCheupe
@ZulfaCheupe Ай бұрын
Mungu atamsaidia tu mradi alikuw anasaidia waja wa mungu atawasaidia
@AshoreAa
@AshoreAa Ай бұрын
Mungu ni mwema atakuja tu watu wameathirika vibaya niaje kweli
@josephphilimon-h7d
@josephphilimon-h7d Ай бұрын
Mama samia nakupenda lahis wetu haki mwenyenz mungu akulind❤❤❤❤❤❤
@SalimaMohamed-j4q
@SalimaMohamed-j4q Ай бұрын
Mungu atafungua njia tunazidi kukuombea baba mpendwa urudi tz uendelee kutusaidia .... Tunakuombea kwa mungu akutunze ,Skype afya njema Kila iitwapo leo. Tunakupenda baba ww no mtu muhim Sana katika Maisha yetu na unaishi kwenye mioyo yetu.
@TheresiaSteven-bq6ze
@TheresiaSteven-bq6ze Ай бұрын
Karibuuu baba nimefurahi sanaa❤❤
@Jeanpaulsumbu2024
@Jeanpaulsumbu2024 Ай бұрын
Mungu asifiwe
@HawaOman
@HawaOman 18 күн бұрын
Tunawanjwa jaman
@MeshersHashrun
@MeshersHashrun Ай бұрын
Mungu mwema tunampenda xana ❤❤❤
@ElizabethMtuka
@ElizabethMtuka Ай бұрын
Hata leo Mungu anatenda, kwa wote tunaye muamini kristo Yesu
@HadijaIlanga
@HadijaIlanga Ай бұрын
Karibu sana baba mjengoni kwako tupo pamoja
@josephphilimon-h7d
@josephphilimon-h7d Ай бұрын
Mungu akulindee kiboko wetu pasta dominic
@SabrinaMohammed-r1t
@SabrinaMohammed-r1t Ай бұрын
Baba tunakusubiriiiii sanaaaa baba tunakupendaaaa sanaaaaa
@LevinaModesti
@LevinaModesti Ай бұрын
Karibu muchungaji wetu tumekumis sana
@CastoFighter
@CastoFighter 27 күн бұрын
Yaani nampenda sana acha arud atuokoe
@annagidion7817
@annagidion7817 Ай бұрын
Acheni kupotisha jamiii kanisa halijafunguliwa wala baba yetu hakumpigia mwambdishi simu ni uongo tu wa kumchafua Mtumishi wa Mungu
@AnnoyedBooks-kn5pm
@AnnoyedBooks-kn5pm Ай бұрын
Amina kiboko ya warogi
@MankaMasawe-k9e
@MankaMasawe-k9e Ай бұрын
baba tunateseka. Sananawachawi sana
@josephphilimon-h7d
@josephphilimon-h7d Ай бұрын
Mama samia mikumi tena
@rebecaally8768
@rebecaally8768 Ай бұрын
Nimefulahiii sana
@user-zx8jv8nx2r
@user-zx8jv8nx2r Ай бұрын
Mama samia tunashukul sana nitakupigia kula
@renathamgeni3869
@renathamgeni3869 Ай бұрын
Amina bwana
@magekimei4676
@magekimei4676 Ай бұрын
Mungu ni mwema
@rebecaally8768
@rebecaally8768 Ай бұрын
Nitaeda nampenda sana
@HawaOman
@HawaOman 16 күн бұрын
Raising wetu tunakuomba mama mtumishe wa mungu arudi mama watoto wako tunakuomba
@malkiavalente4736
@malkiavalente4736 Ай бұрын
Kama ni kweli namshukuru Mungu, namtafuta sana
@LayHasan-b7w
@LayHasan-b7w Ай бұрын
asante mungu baba kuludiiii jamaniiii tupateeeee kaziiiiiii watuu tumepooooza
@JosephTherathini
@JosephTherathini Ай бұрын
Mmm mambo gan
@ZuzuTz
@ZuzuTz Ай бұрын
❤🎉Asante
@josephphilimon-h7d
@josephphilimon-h7d Ай бұрын
Mama yetu samia hangali langi wala wewe watokanchi gani kweli tuna lahisi wetu mama samia haki mwenyenzi mungu akulindee na kilaa bayaa
@SemeniOmari
@SemeniOmari Ай бұрын
Amiiinaaaa bb rudiiii
@ElizabethElizer
@ElizabethElizer Ай бұрын
Aludi Tena jaman mim binafs nampenda sana uyu nabii
@MakanyaHome-th2xn
@MakanyaHome-th2xn Ай бұрын
Aliyeitwa na Mungu huduma ni Bure Sasa kiboko yawechawi du simuelewi
@JOSEHUMADUKA
@JOSEHUMADUKA Ай бұрын
Sisi tunamuamini acha kuroga
@mdendamono3311
@mdendamono3311 Ай бұрын
Tunakupenda baba yetu
@josephphilimon-h7d
@josephphilimon-h7d Ай бұрын
Mama samia lahisi wangu wew kweli ni mama
@DamasjoachimPetro
@DamasjoachimPetro Ай бұрын
Ninarsha sana, nilikuwa kama kinda la ndege limeachwa na mamaye
@user-kq9lb7bd8l
@user-kq9lb7bd8l Ай бұрын
Kweli KIBOKO anakuja 🙏🙏🙏 akuna utapeli ila wivu ndiyo imezidi
@HawaOman
@HawaOman 16 күн бұрын
Nikila sehemu watoa hela
@RehemaKulaba
@RehemaKulaba Ай бұрын
Niko tayari
@zabibusaidi1404
@zabibusaidi1404 Ай бұрын
Lazima arudi mjipange wachawi wapigweeee
@JOSEHUMADUKA
@JOSEHUMADUKA Ай бұрын
Mama samia kumi mingine
@eliamanimfinanga3957
@eliamanimfinanga3957 Ай бұрын
Baba tuna busybodies kwa hamu mungu akupe kibali urudi mama hawa wachawi wana anza kutamba
@JOSEHUMADUKA
@JOSEHUMADUKA Ай бұрын
Mama Samia wetu miaka kumi mingine tunakupa tunakupenda sana maana baba yetu nabii kiboko ya wachawi alikuwa msada mkubwa sana kwetu sisi watu wahari ya chini anatusaidia chakula tunakupa na watoto Hana roho mbaya baba yetu
@StevenJoseph-ff6tv
@StevenJoseph-ff6tv 21 күн бұрын
Haya yote nikwa Sababu anafanya kweli, Mkienda Kwa waganga mnazotozwa mbona amlalamiki?. Acheni roho Mbaya mnaosema Hivyo akuwaita Kama ni tapeli kaeni kwenye kanisa mlikozaliwa(Kama selikali ndo imeliona Hilo acheni ifanye kazi yake) Ata biblia inakwambia siku hizo manabii wa ukweli na Uongo watakuwa wengi msiwa amini.Watanzania tuache mambo Hayo fata dini Yako Kwa Imani,Hii ni kama vilabu vya mpira unachagua mwenyewe wakikufunga tulia🥱🥱
@annagidion7817
@annagidion7817 Ай бұрын
Msimchafue baba yetu akirudi titatoa milioni zaidi ya kumi kusapoti huduma ya MUNGU na ya baba yetu kiboko
@MankaMasawe-k9e
@MankaMasawe-k9e Ай бұрын
afazali jamani
@HawaOman
@HawaOman 17 күн бұрын
Maana wengine wanamakosa mkubwa Lakin wanafanya ibada
@josephphilimon-h7d
@josephphilimon-h7d Ай бұрын
Mama samia mikumitena
@HawaOman
@HawaOman 16 күн бұрын
Jamani dalii wetu akirudi tutapika pilau ya mgumu
@RehemaKulaba
@RehemaKulaba Ай бұрын
Rudi baba ninakuamini sana
@ElizabethElizer
@ElizabethElizer Ай бұрын
Tena tunaenda kwalaha zetu
@HawaOman
@HawaOman 17 күн бұрын
Kwali tumipona engine sana nawengini wamefufuka sasa mnatakanini
@aminaramadhani1005
@aminaramadhani1005 Ай бұрын
Tunakuombea baba urudi
@HawaOman
@HawaOman 17 күн бұрын
tutatoa hata milioni
@Katelephone
@Katelephone Ай бұрын
Bora arudi
@josephphilimon-h7d
@josephphilimon-h7d Ай бұрын
Jamani mungu mkubwaa
@bernadndalimo3866
@bernadndalimo3866 Ай бұрын
yani kanisa likifunguliwa nitamshukulu mungu
@josephphilimon-h7d
@josephphilimon-h7d Ай бұрын
Kanzi hiendelehee
@user-ft7wl4uu5t
@user-ft7wl4uu5t Ай бұрын
Mimi nitaenda na nitafurahi sana
@joshuayohana7880
@joshuayohana7880 Ай бұрын
Tena itangazwe tukampokee na pasa tutatoa tu mbona kwa waganga tunapeleka zahid ya hyo
@annagidion7817
@annagidion7817 Ай бұрын
Tumempenda wenyewe Mtuachie pesa ni zetu mtuache
@evamsuya8869
@evamsuya8869 Ай бұрын
Mimi nitaenda sana tu mwamba tunamgoja
@josephphilimon-h7d
@josephphilimon-h7d Ай бұрын
Tunakuomba kabisaa hachana nao kaka mwalabu
@maureenlilykiwia1515
@maureenlilykiwia1515 Ай бұрын
Hivi vi media na taarifa uchwara kha
@josephkisinza6243
@josephkisinza6243 Ай бұрын
Njoo.uuwewachawi. wanatutesasana
@HawaOman
@HawaOman 16 күн бұрын
Wala sitapeli
@josephphilimon-h7d
@josephphilimon-h7d Ай бұрын
Watanzania tuacheni majungu tufanyee kanzi
@user-uo4ui9zu6y
@user-uo4ui9zu6y Ай бұрын
Wewe usije Tanzania 🇹🇿 shauri yako ... injili yako ibaki huko Congo ukija hakika siku zako zitahesabika....
@HawaOman
@HawaOman 16 күн бұрын
Wangaga wamekula hela zetu nyengi sana macheni are mbona sisi hatu lalamiki
@josephphilimon-h7d
@josephphilimon-h7d Ай бұрын
Wew mtangazaji hacha kushabikiya ujingaa
@FiggeDavidi
@FiggeDavidi Ай бұрын
Rudi tu baba mm nakuamini sana
@HelenaAlhamis
@HelenaAlhamis 14 күн бұрын
Achen uzuxh mbona mnanunua udongo ambao hata shamba upo hamtapeliwi huko
@zabibusaidi1404
@zabibusaidi1404 Ай бұрын
Mm niko tayari hata kukesha
@josephkisinza6243
@josephkisinza6243 Ай бұрын
Karobu baba
@HawaOman
@HawaOman 16 күн бұрын
Jamani siku akija tutakubeba
@MwajabuMaunea
@MwajabuMaunea Ай бұрын
Tumefurahi saaa
@HawaOman
@HawaOman 16 күн бұрын
Wakimrudisha kura sote za mama
@AzizaHamiss-z6c
@AzizaHamiss-z6c Ай бұрын
Oooooo jamani siamini nikweli analudi mn tumemmisi mwaaaaaaa
@josephphilimon-h7d
@josephphilimon-h7d Ай бұрын
Tuna kupendaa mama yetu samia wachaw mama samia mikumitena
@josephphilimon-h7d
@josephphilimon-h7d Ай бұрын
Tunamshukul mung
@mercyfifi1957
@mercyfifi1957 Ай бұрын
Hakuna kibaya alichofanya Hata Yesu alipigwa mawe ila tunaamini Mungu atatenda kwa wakati
@HawaOman
@HawaOman 16 күн бұрын
Wew kama humtaki baking huku huku mpumbavu sana
@tinnabernard3538
@tinnabernard3538 Ай бұрын
Ni bora arudi maana
KIBOKO YA WACHAWI KALAANIWA EV PASCHAL CASSIAN
39:08
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 78 М.
Men Vs Women Survive The Wilderness For $500,000
31:48
MrBeast
Рет қаралды 95 МЛН
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 15 МЛН
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 19 МЛН
RASMI, TANZANIA IMEREJEA GIZANI KITAIFA NA KIMATAIFA
27:22
SK Media Online TV
Рет қаралды 849
UTASHANGAA MISUKULE 100 YAFUNGULIWA NA MGANGA INATISHA
11:49
SUNSET TZ
Рет қаралды 207 М.
Men Vs Women Survive The Wilderness For $500,000
31:48
MrBeast
Рет қаралды 95 МЛН