Irene Uwoya avuruga mkutano baada ya kumwaga pesa mbele ya waandishi

  Рет қаралды 38,832

Bongo5

Bongo5

Күн бұрын

Пікірлер: 92
@clauschristopher4478
@clauschristopher4478 5 жыл бұрын
nitaendelea kuangalia series zang za mambele tu mwanzo mwishooo
@kwizerazainabu3804
@kwizerazainabu3804 5 жыл бұрын
Mashaallah Allah awawekey wepes
@Allymzaki
@Allymzaki 7 ай бұрын
Waandisha njaa Kali aiseeeee.
@dismassswai6760
@dismassswai6760 5 жыл бұрын
kuongea tu na waandishi wa habar mnakosea na kuvuruga mipango,,hizo movie sijui itakuaje
@alexmwita5426
@alexmwita5426 5 жыл бұрын
vurugu hili limeonyesha hali halisi ya maisha ya watanzania kwamba ni ngumu 😁😁
@limolimo4701
@limolimo4701 5 жыл бұрын
ukiwa nahela unakua na nyege hivyo jee ukiwa nanyege zenyewe sasa ndio mana filamu zenu zinaangaliwa na hausigeli 2
@FatimaRamadan-s4f
@FatimaRamadan-s4f 7 күн бұрын
❤❤❤
@hamadshen7696
@hamadshen7696 5 жыл бұрын
Duu,waandishi njaa zao zmefungwa turbo.
@mbodzebemasika7477
@mbodzebemasika7477 5 жыл бұрын
ona iii..anafuta zero anaandika O..wacha nione maneni ya kwambiwa episode 150
@bupemwaijumbaambokile6839
@bupemwaijumbaambokile6839 5 жыл бұрын
Yani zamani nilikupendaga sana woya😍. Lakin ckuhizi sikupendi kama vyenye cpendi aja kubwa ya mtu mwingine😥😥😥😥pumbavu😩😩😩
@edwardsichilengwe2330
@edwardsichilengwe2330 5 жыл бұрын
Bupe mwaijumba Ambokile kwasababu kakunyima hela kawapa waandishi, acha roho mbaya tumwache papa Uwoya amwage noti
@bupemwaijumbaambokile6839
@bupemwaijumbaambokile6839 5 жыл бұрын
edward sichilengwe Hahahaaaa sooo hivo.apana yani amezidi kubaka watoto woya
@rosealoyce9143
@rosealoyce9143 5 жыл бұрын
Kweli maisha magumu sana aisee
@herielndosi9460
@herielndosi9460 5 жыл бұрын
Shame on her. No matter how rich you are, Don't split money like that.
@bethm6587
@bethm6587 5 жыл бұрын
Madharau
@victorsir-nga7708
@victorsir-nga7708 5 жыл бұрын
waandishi wa online wananjaaa sana ndo maana makanjanja wengi sana😂😂😂😂
@idrissajumakona5871
@idrissajumakona5871 5 жыл бұрын
mumejizalilisha wenyewe😛😛😛😝😝😜😜
@najmasalimsalim2741
@najmasalimsalim2741 5 жыл бұрын
Uwoya misifa tu nahana hata nyumba nanyi bongo movie mutafute mwalimu wakuwafunza nidhamu
@madamcolethaa641
@madamcolethaa641 5 жыл бұрын
Achazako nanikakudanganya
@elizabethdavid2270
@elizabethdavid2270 5 жыл бұрын
Irene kiboko hali ngumu etii hahahahahah
@namangamariam2629
@namangamariam2629 5 жыл бұрын
Nini mnapaniku sasa mmepewa pesa mnanuna angewatukana jee
@kwizerazainabu3804
@kwizerazainabu3804 5 жыл бұрын
😀😀😀😀😀irene
@tedymwandara5480
@tedymwandara5480 5 жыл бұрын
Kamera tupa okota pesa😂😂, hakuna cha kukosea waandishi mmeokota pesa afu mnaanza kulaumu, c mngeacha zizagae akimaliza kuzirusha nanyi ndio muokote.😅😅😅wabongo bwana
@joohandherworld8132
@joohandherworld8132 5 жыл бұрын
TedY Mwandara ati nini 😂😂😂😂
@victorsir-nga7708
@victorsir-nga7708 5 жыл бұрын
1:01 ka-stive kanamambo ya kizushi 😁😁😁😁😁😁😁
@silvabelmsuya7041
@silvabelmsuya7041 5 жыл бұрын
Waandishi wameonesha njaa hapo, so sad
@deusmallya7384
@deusmallya7384 5 жыл бұрын
Movie zenu mpaka zikubalike ni mwaka 1.4.9000
@j...876
@j...876 5 жыл бұрын
Kosa Hilo kweli, akuna pesa hapo!!
@jafarimzelu1626
@jafarimzelu1626 5 жыл бұрын
Waaaandishiiii njaaaa aooooooooooooooooo
@prettyveronica5951
@prettyveronica5951 5 жыл бұрын
Njaa mbayaa
@simulizi2632
@simulizi2632 5 жыл бұрын
na kikao kimeishia hapo na uwenyekiti sijui ubalozi hamna tena. Maana kama kaharibu kikao cha kuitangaza ataweza kweli kuwa kiongozi hahahaha. Bongo kazi ipo
@hamadiayossy190
@hamadiayossy190 Жыл бұрын
Huyo mwingine anachooonga kisa kakosa ela,angepata hapo wala asingechonga,
@rashidngwawile9062
@rashidngwawile9062 5 жыл бұрын
Johariiiii mume muona lakini
@bonitatembonitate257
@bonitatembonitate257 5 жыл бұрын
Mimi nimekuona tena yupo karibu kabixa hapo na mkemwenzie chuchu
@husnangapu502
@husnangapu502 5 жыл бұрын
Zamani kwny kaole kulikuwa na wazee wa nidham kina Bi mwenda lkn siku hizi mmmm
@edwardsichilengwe2330
@edwardsichilengwe2330 5 жыл бұрын
yuda mwnyw alimsaliti mwana wa adam kwa hivyo vipande vya msimbazi, sembuse hao wadaku 😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬
@idrissajumakona5871
@idrissajumakona5871 5 жыл бұрын
Ackuzalilisheni vp...c mungeziwacha....hamna lolote
@drchinamodi6373
@drchinamodi6373 5 жыл бұрын
hahahahahhaahhahaha daaaah uwoya banaaaaa
@frankdaniel9813
@frankdaniel9813 5 жыл бұрын
Apo kuna jitu limekusanya ata 40
@rashidngwawile9062
@rashidngwawile9062 5 жыл бұрын
Pesa mwena Haramu jamani duuuuuuuu
@hafidhchoi3186
@hafidhchoi3186 5 жыл бұрын
Ulimbukeni Wa vicent uwez kuwatupia watu Pesa kiungwana kw mwenye kuelewa maisha
@bonitatembonitate257
@bonitatembonitate257 5 жыл бұрын
Yaan kuna kitu najiuliza cjapata majibu,hivi hapo mkoxefu aliyetupa pesa au waokotaji?
@mwigakatumpula2175
@mwigakatumpula2175 5 жыл бұрын
Pesa isikie tu yaani waandishi wa habari wamegeuzwa machokolaaa!!! Kwa kurushiwa pesa duh money power!
@MsemajiMkuuwaSerikali
@MsemajiMkuuwaSerikali 5 жыл бұрын
broo hapo hakuna waandishi wa habari pale kulikuwa na cheap Labour wa wamiliki wa Blogs na other Social Media,waandishi wa habari wako kwenye Tradition Media,huko ndiyo wako wenye abc za uandishi wa habari wameenda shule na mpka kuna PHD za taaluma hiyo.katika kundi hilo naamini hakuna hata mwenye Diploma ya Journalism,hapo ni suala la vipaji kufuatia teknolojia ambayo sasa kila mtu ni mwandishi wa habari (Citizen Journalism),hakuna Editorial,hakuna Ethics hakuna News Pillar..ujinga kabisaa.
@mwigakatumpula2175
@mwigakatumpula2175 5 жыл бұрын
@@MsemajiMkuuwaSerikali hiyo kweli maana kwa MTU aliepitia taaluma ya uandishi hawezi Fanya ivyo lkn nafikili tyr itakuwa fundisho kwa wamiliki wa hizo blogs kuajili watu wenye uweredi mzuri ,pamoja sana kiongozi!!
@alexsnama9450
@alexsnama9450 5 жыл бұрын
Mutangaza abari nakuomba unisaidie kufikisha ujumbe wangu niombeye nina talent nxuri ya kucheza movis nakuomba kama kigosi atanisikia munitafute 968 98560781 nipo muscat lakini mimi muburundi
@opiumtaavi4966
@opiumtaavi4966 5 жыл бұрын
bongo amna mastar kunawapenda sifa na mandez ndio maana hamna movie ya kibongo Egypt wala South Africa
@MsemajiMkuuwaSerikali
@MsemajiMkuuwaSerikali 5 жыл бұрын
Kwanza Bongo hakuna mastaa ila wapo Celebrities,nani unaweza kumuweka kwenye level za akina Denzel Washinton,Jack Chan,Jet Lee,Jason Straham na wengine kama hao?..wana mashauzi yasiyo kuwa na tija,hawana stori kazi yao kuiga na kukopi stori za wengine...mimi sijawahi na sitakuja kuangalia hizo wanazodai movie hioz ni video tu.
@biashaallyally3701
@biashaallyally3701 5 жыл бұрын
Ndo mashariti yake atafanyaje jamani mwacheni hii ni ndunia tu amakweli hela shikamooooooo
@MsemajiMkuuwaSerikali
@MsemajiMkuuwaSerikali 5 жыл бұрын
hahahahahahhaaaa
@jacklinamani7519
@jacklinamani7519 5 жыл бұрын
Pesa zote hizo pengne hata mfanya kaz wako wandan unampa 20000. Lakin huku kwenye kamera unajifanya una hela
@jafarimzelu1626
@jafarimzelu1626 5 жыл бұрын
WAAAANDISHII NJAAAA AOOOOOOO MNAJITIA AIBU JAMANI KAMA AMULIPW MH
@lilyanmongi1946
@lilyanmongi1946 5 жыл бұрын
Jamani ni macho yangu au? Kawadhalilisha vp na wandashi wenyewe wameacha kazi na kukimbilia kuokota hela?
@teychriss3248
@teychriss3248 5 жыл бұрын
Ombeni haya mambo yasiwakute jamani!muyaonege tu humuhumi!
@jacklinamani7519
@jacklinamani7519 5 жыл бұрын
Tukuone unapesa acha sifa Dada
@hassanjuma2688
@hassanjuma2688 5 жыл бұрын
TANZANIA KUNA NINI AWAMU HII..EVERYDAY STUPID THINGS LIKE THIS
@naimanurdin2846
@naimanurdin2846 5 жыл бұрын
😂😂😂😂Iyo ndo pesa dadekii
@godsonnkini5579
@godsonnkini5579 5 жыл бұрын
xut mvae nyooo tuxhonee
@mustafagaula3166
@mustafagaula3166 5 жыл бұрын
Steve Nyerere, hiyo mtu wako mkanye.........! Tunakuamini na tunakuelewa mzee. Lkn kwa hili huyo dada yako kakuvunjia heshima.
@idrissajumakona5871
@idrissajumakona5871 5 жыл бұрын
Uhakika😃😃😃
@allykhatibu2359
@allykhatibu2359 5 жыл бұрын
Mh waandishi njaa.
@kamgomoli3650
@kamgomoli3650 5 жыл бұрын
Njaaa mbaya jamani daah!! Bora yako cameraman uliekomaa kurekodi wenzako wakijidhalilisha
@onlinemovie8580
@onlinemovie8580 5 жыл бұрын
Elfukumi inakufanya unaharibu kitu cha million tano kinacho fanya ulipwe kwa mwezi laki tano..ulishe familia Tz wht f**ckk
@jp1780
@jp1780 5 жыл бұрын
boe_bryn tv ndo tabia zetu hizo sisi wa africa inabidi tubadilike
@meshackalex124
@meshackalex124 5 жыл бұрын
Ilo jamaa senge kweli eti unatuzalilisha chezea pesa we we kama utakia acha wenzako wanaokota😂😂😂😂😂😂😂😂
@abc-en3em
@abc-en3em 5 жыл бұрын
Aiseee 😂
@britonngale6644
@britonngale6644 5 жыл бұрын
Pesa ni ishu nyingine mjue
@estarwakidunda6817
@estarwakidunda6817 5 жыл бұрын
Uzalendo kwanza
@ashuramiriam6034
@ashuramiriam6034 5 жыл бұрын
Njaa mbaya
@edwardsichilengwe2330
@edwardsichilengwe2330 5 жыл бұрын
Ashura miriam hata mimi ningeokota
@josephsebastian9211
@josephsebastian9211 5 жыл бұрын
Sasa muzimu unavuta sigara boLa masela
@rehemasaid6876
@rehemasaid6876 5 жыл бұрын
Tujipange kuona mnavaa uchi na si vinginevyo yaan kama ndo nishawaona vile
@yodenntulo8798
@yodenntulo8798 5 жыл бұрын
Waandishi wameambiwa wavae suti na wenyewe watavaa nusu uchi vilevile,au uchi kabisa?
@tinyaanosiatha1118
@tinyaanosiatha1118 5 жыл бұрын
Hii ni kali wadishi wa habari wanagombania pesa? Jamani pesa ni sabuni ya roho. Lakini woya kafanya vibaya Angetoa kwa kila mmoja , siyo kumwanga kama mchele. Duu woya
@mashaelieazer6120
@mashaelieazer6120 5 жыл бұрын
Wapuzi wotee
@hawasaid8262
@hawasaid8262 5 жыл бұрын
Kwenyepesa ataniwemimi naokota
@edwardsichilengwe2330
@edwardsichilengwe2330 5 жыл бұрын
Hawa Said kabisa demu wangu hapo umeongea point sana
@drchinamodi6373
@drchinamodi6373 5 жыл бұрын
stive uko makini kakaaa hahahahha
@leonardmrope9528
@leonardmrope9528 5 жыл бұрын
Wivu tu Ameamua kutoa,,😁😁😁😁hela bwana😁😁😁mamae
@sophiajackson5001
@sophiajackson5001 5 жыл бұрын
shame on you waandishi wa habari yaani unathamini elf 10 kuliko kifaa ulichokishika cha gharama utafikiri hamjawahi kushika elf 10...mbonanajidharirisha nyie wanadnish?sidhani kama wangekuwa waandishi wa habari wakubwa tunaowajua wangefanya hivi......nawewe mwanamke mtupa pesa life haipo hivyo hata kama una pesa kiasi gani.....iga mgano dokta Mengi alivyokuwa MTU wa kujishusha.....bora upate akili kuliko mali
@abdallahmchange1370
@abdallahmchange1370 5 жыл бұрын
Hahahahaha
@khamisjuma4691
@khamisjuma4691 5 жыл бұрын
Nduguzagu naoba.m.sanda.wenu.ile.pesa.nyiekudu.ni.shiligi.gapi.siko.Tanzania miaka.ishirini.sasa.a.m. see.red.money how's much for dollars
@fainnamvungi4364
@fainnamvungi4364 5 жыл бұрын
elfu 10
@khamisjuma4691
@khamisjuma4691 5 жыл бұрын
@@fainnamvungi4364 okay five dollars USA naku.shukuru.nduguyagu.pesa i.na.ua
@fainnamvungi4364
@fainnamvungi4364 5 жыл бұрын
@@khamisjuma4691 hahahha kwel kaka nawe ufanye urud miaka yote hiyo kama unatumikia kifungo rud home uone kulivyo kimbia
@aishaabdallah5721
@aishaabdallah5721 5 жыл бұрын
She's supposed to be burned from acting
@khamisjuma4691
@khamisjuma4691 5 жыл бұрын
These wrong my.sister you don't have money me be hundreds dollars
Why no RONALDO?! 🤔⚽️
00:28
Celine Dept
Рет қаралды 98 МЛН
One day.. 🙌
00:33
Celine Dept
Рет қаралды 62 МЛН
LULU ATOA MACHOZI MAHAKAMANI, HUKUMU YAKE NOVEMBA 13
1:52
FRANCIS DANDE (Habari Mseto)
Рет қаралды 31 М.
Боксёра проверили
0:51
видосик
Рет қаралды 1,4 МЛН
Самые лучшие ТЕЛОХРАНИТЕЛИ! 👏
0:27
КиноСклад
Рет қаралды 1,9 МЛН