No video

ISAYA 61 "ROHO YA BWANA MUNGU I JUU YANGU" Bible Inspirational Verses by Frank Masembo

  Рет қаралды 1,047

MASEMBO GOSPEL LIBRARY

MASEMBO GOSPEL LIBRARY

Жыл бұрын

ISAYA 61
"ROHO YA BWANA MUNGU I JUU YANGU"
Bible Inspirational Verses
Frank Masembo
#isaya61
#isaiah61
#isaiah
1 Roho ya Bwana MUNGU i juu yangu; kwa sababu Bwana amenitia mafuta niwahubiri wanyenyekevu habari njema; amenituma ili kuwaganga waliovunjika moyo, kuwatangazia mateka uhuru wao, na hao waliofungwa habari za kufunguliwa kwao.
2 Kutangaza mwaka wa Bwana uliokubaliwa, na siku ya kisasi cha Mungu wetu; kuwafariji wote waliao;
3 kuwaagizia hao waliao katika Sayuni, wapewe taji ya maua badala ya majivu, mafuta ya furaha badala ya maombolezo, vazi la sifa badala ya roho nzito; wapate kuitwa miti ya haki, iliyopandwa na Bwana, ili atukuzwe.
4 Nao watajenga mahali pa kale palipoharibiwa, watapainua mahali palipokuwa ukiwa zamani, watatengeneza miji iliyoharibiwa, mahali palipoachwa kizazi baada ya kizazi.
5 Na wageni watasimama na kulisha makundi yenu, na watu wa kabila nyingine watakuwa wakulima wenu, na watunzaji wa mizabibu yenu.
6 Bali ninyi mtaitwa makuhani wa Bwana; watu watawaiteni wahudumu wa Mungu wetu; mtakula utajiri wa mataifa, na kujisifia utukufu wao.
7 Badala ya aibu yenu mtapata maradufu, na badala ya fedheha wataifurahia sehemu yao; basi katika nchi yao watamiliki maradufu; furaha yao itakuwa ya milele.
8 Maana mimi, Bwana, naipenda hukumu ya haki, nauchukia wivi na uovu; nami nitawalipa malipo katika kweli, nitaagana nao agano la milele.
9 Na kizazi chao kitajulikana katika mataifa, na uzao wao katika kabila za watu; wote wawaonao watakiri ya kuwa wao ni kizazi kilichobarikiwa na Bwana.
10 Nitafurahi sana katika Bwana, nafsi yangu itashangilia katika Mungu wangu; maana amenivika mavazi ya wokovu, amenifunika vazi la haki, kama bwana arusi ajipambavyo kwa
kilemba cha maua, na kama bibi arusi ajipambavyo kwa vyombo vya dhahabu.
11 Maana kama nchi itoavyo machipuko yake, na kama bustani ioteshavyo vitu vilivyopandwa ndani yake; ndivyo Bwana MUNGU atakavyootesha haki na sifa mbele ya mataifa yote.

Пікірлер: 4
@AgnessEustace
@AgnessEustace Ай бұрын
Amina
@deborahyusuf4179
@deborahyusuf4179 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@masembogospellibrary
@masembogospellibrary Жыл бұрын
waoooh. Asante Sana kwa sapoti yako. Mungu akubariki na akupe haja ya moyo wako
@user-un2td1no5f
@user-un2td1no5f 3 ай бұрын
Ameeeeen ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Yohana 11 "YESU AMFUFUA LAZARO" ▪️▪️ by Frank Masembo
8:07
MASEMBO GOSPEL LIBRARY
Рет қаралды 4,9 М.
Пройди игру и получи 5 чупа-чупсов (2024)
00:49
Екатерина Ковалева
Рет қаралды 2 МЛН
Вы чего бл….🤣🤣🙏🏽🙏🏽🙏🏽
00:18
JIFUNZE KEY G NA Mwl Masembo
10:33
MASEMBO GOSPEL LIBRARY
Рет қаралды 10 М.
KISA CHA KUSISIMUA CHA NABII YONA
45:10
Pastor Lazaro Samwel Kilala
Рет қаралды 4,8 М.
This Bible Story Of Judges 19 Will Leave You SHOCKED AND Speechless!
15:31
Dr.Ipyana - NAWEZAJE KUNYAMAZA//NAMNA HII SIJAONA
15:41
Dr Ipyana
Рет қаралды 379 М.
4 BIBLE VERSES that CHANGED My Whole LIFE | 4 POWERFUL VERSES
11:27
Lion of Judah
Рет қаралды 2 МЛН
ZABURI 35 "Ee BWANA UTETE NAO WANAOTETA NAMI" (#Psalms35)
4:33
MASEMBO GOSPEL LIBRARY
Рет қаралды 4,2 М.
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Israel Mbonyi
Рет қаралды 24 МЛН