jamani hii haiishi hamu mpaka sasa .2024 bado inamata huu ujumbe na shukrani kwa mama zetu haiishi hamu hii nyimbo wallah Isha uliimba sana pongezi kwako my sister ❤❤❤❤❤❤
@ttss37124 жыл бұрын
Mama hakosei mwn Nani km mama Hakuna respect kwa mama wote
@saidaegwaga1978 Жыл бұрын
Yani dada ulijua kinipatia,kwakweli Kila siku ninawaombea sana mama zetu wanakazi kubwa,mungu naomba unitunzie mama zetu walio hai na waliotangulia naomba uwapokee,nawapenda akina mama wote na mimi ni kiwemo❤
@Maua-s6t11 ай бұрын
Mama hakuna kama mama
@zawadikipingu11704 жыл бұрын
Nakupenda MAma yangu nyimbo niliyomtuzia mama yangu siku yakuolewa chozi lilinitoka ilove sweet mommy Wang 💕💕💕💕💕💕❤❤
@lucywanjiru54518 жыл бұрын
santa isha mama sio kiatu wala nguo mama yuwapaswa kutuzwa na kupewa heshima nakupenda mamangu popote ulipo insha Allah najua nitakuja tuonane n.a. kumiss mamangu
@ashurashabani29675 жыл бұрын
Nimeupenda sana hongera sana mpendwa
@assaifdecoration55124 жыл бұрын
Love you mom wangu
@ZaitunShaban-vr2vi4 ай бұрын
Naupenda sana huu wimbo....isha umejua kupangilia... Allah akulinde
@rehemadongo15704 жыл бұрын
Ninakupenda sanaa mama yanguuu,,,,,mama sio nguo wala sio kiatuuu 'na mwenzio mkaazimanaaaaaa,,,,,,daaah live long My mummy
@kessynurutajiri49404 жыл бұрын
Wimbo huu hauchiji, uko vizuri . Isha shikamoo.
@twahaally35624 жыл бұрын
R.I.P my mama hii no kwa ajili yako mama yangu kipenzi
@sadeyahmady31393 жыл бұрын
Wallah Hii nyimb kila nikisikiliza nalia tyu mungu niwekee mama yang
@swabrakaisary89605 жыл бұрын
Nakupendaaa maamaa menqi umenifanyiaa kwakwelii mpk napiaa hiii nyimbo Kali mnoo
@mariamsalim84134 жыл бұрын
Nina mpenda mama yangu Sana ninamjali,ninamhurimia ninani Kama mama hakuna Kama mama duniani Kama siyeye usingekua duniani 💝💝💝💝💝💖💖😍😍😍😍😍😍❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🧡💖💖😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😍😍😍😍
@tumainkassanga41593 жыл бұрын
Nakupenda sana kipenzi changu mama yangu
@mariamsalim84132 жыл бұрын
Wasio watunza akina Mama hawana maana ninakupenda mom 😍😍😍😍😍😍
@maftahgerald48724 жыл бұрын
rip mama miaka ya nyuma tulikuwa tunaisikiliza wote hii nyimbo leo naisiklza mwenyew nakupenda sana mama
@arjainahabeidy78273 жыл бұрын
Pole dear
@hadijaabdul87653 жыл бұрын
Pole mamy
@OmanOman-ky2oo2 жыл бұрын
Pole my
@bakalsalum30112 жыл бұрын
Naupenda sana huu wimbo nikiusikia muda wote nalia nampenda sana mama yangu mungu akuweke nakupenda pia da isha nyimbo zako nzuli
Nasikiliza mwanzo hadi mwisho Lovely more all mothers 😘😘😘😘😘😘😘😘
@rehemadongo15704 жыл бұрын
Wapekeee mungu alieumba dunia wapili ni mama yangu
@ShabaniMgoli3 ай бұрын
Namkumbuka sana mama mwenyezi mungu akuondolee adhabu
@jacquelineissah53743 жыл бұрын
Nakuombea na ninakupenda sanaa Mama yangu 🥰🥰🙏🙏 na wale waliotangulia💔💔😪😪 Mungu awape Pumziko jema na kuwapunguzia adhabu ya kaburi
@OmanOman-ky2oo2 жыл бұрын
Ameen
@nunuunassor9444 жыл бұрын
No one like mama allah akupe maradh mema rest in peace my mom love kama umielewa hii ngoma gonga like hapa
@mwajumasonga18354 жыл бұрын
Wimbo huuu naupenda Sana maalum kwa wa mama wote, haswa sisi tusiojaaliwa neema ya kuwa nao leo unatugusa mpaka naumia
@fatumantirampeba81862 жыл бұрын
Nikweli
@mumbua0042 жыл бұрын
Pongezi mamangu mzazi nakupenda sana mamangu mpenzi
@bimkubwasaid46733 жыл бұрын
Nakupnda xna mama yng najuwa hkn zaid yko MAMA yng Allah akup maisha maref ktk hii dunia
@allackymohamedy97127 жыл бұрын
daaah kazi nzuri sana queen of the best melod
@ramadigidigi19884 жыл бұрын
Allahamdulilah anasematuwe wote hadi siku ya qiama
@minzajoji71964 жыл бұрын
Mama siyo kiatu mama siyo mtandio kusema tutaazimiana nakupenda sana mama ang huko uliko nawishi ungekuwepo mama ang 2020 hii mung azid kukuifazi Vema mama ang nakumis sana mm😭😭😭😭😭😭😭
@anithachalres86124 жыл бұрын
San tu akuna kama mama jamn
@gracenyangero25306 жыл бұрын
Nyimbo niipendayo Sana hongera mashauzi Dada angu kwa wimbo huu
@sofiasofia88864 жыл бұрын
Nani kama mama santa mashauzi patamu hapa 👌
@dadaasha36383 жыл бұрын
Yani huu wimbo kila nikiuusikiliza machozi yanitoka ,nakuombea mumy angu kipenzi mwenyezi mungu akupunguzie azabu ya kabuli
@OmanOman-ky2oo2 жыл бұрын
Ameen
@LailaLaila-fr3xl4 жыл бұрын
Wimb mzur san nakupend san dd isha mungu akujalie kher kwenye Maisha yetu atup riski na afya njem akujaze hekima na busara
@estarkapinga61263 жыл бұрын
Amna ane fanana 💞💞 na mama nakupend Sana mama angu Isha mungu akuweke pole Sanaa muombee mamaako
@happyemmanuel48803 жыл бұрын
Nisingekuwa dunian Kama s wewe mama
@Jemahjampa Жыл бұрын
Rip to my mom I wish ungekuwepo ningekuwa mbali
@marymaina75313 жыл бұрын
Nyimbo tamu na ujumbe wa maana na mzito!!!!asante maulana kwa kunipa mamangu mzazi!!!!mama ndo mungu wako wa pili!!!!mtii mama na umuheshimu utapata barka kwa wingi toka kwa Allah. Thanks mom for giving birth to mi my sweet lvly mom rose muthoni mwangi wife to Paul maina ng'ang'a my dad!!!nitawadhamini milele hadi nitakapoondoka toka hii duniani kwa mapenzi na wakati wa mwenyezi mungu!!!!rest in peace my mom n my dad still in my heart,mind n soul !!!thanks to God for giving mi such wonderful parents n thanks for the yrs that I spent with each one of them!!!!
@asherymvena43843 жыл бұрын
Daa mama
@husseinmagulati61923 жыл бұрын
Rip my mummy nakupnd ck zote za maisha japo umetangulia mungu awapunguzie adhabu za kaburi mama zetu walio tangulia mbele za haki
@hawaosman43163 жыл бұрын
Allah amlaze mahali pema peponi
@salimambwani75204 жыл бұрын
2020 bado naisiliza nakupenda mamaangu mwenyeziii mungu awapee miaka mingi kina mama wote na wale walio tangulia mbele za akiii wapumzike kwa amani👋👋👋
@asifamwenga53103 жыл бұрын
Aminaaa
@hawaosman43163 жыл бұрын
Ameen thuma ameen ya Allah
@OmanOman-ky2oo2 жыл бұрын
Ameen
@salumallynannume67242 жыл бұрын
MashaAllah, kazi nzuri. Mama, mama, mama, Kisha baba. Allah mponye mama yangu kwa huruma zako yaaRabb
@حميورمضان6 жыл бұрын
Nyimbo nzur sana wallah haiishi hamu ata duh nakupenda my sister isha
R I P mama angu bd nakukumbuka na hh ndio nyimbo inayo nipa faraja
@fionnualakassim54713 жыл бұрын
Pole xana tuombee tu inshaAllah
@OmanOman-ky2oo2 жыл бұрын
Pole my
@stephaniejeremiah95662 жыл бұрын
Sitomdharau mama yangu ndio nguzo yangu ya kwanza Mungu nitakutunza mama kwa uzima na maradhi Eeh Mungu nitunzie mama yangu aishi miaka mingi zaidi maana bado namtegemea saanaaa
@issamanyenye67963 жыл бұрын
Nakupenda San mama angu nyimbo tamu Sana hii saf Sana isha kwautunzi mzur 2021
@ashaathuman14724 жыл бұрын
Wimbo mzuri mno tuwapende mama zetu
@fatmazullu49333 жыл бұрын
Leo ndo haswaaa siku maalum ya kumuimbia mama! Penda sana wewe mama Zullu wetu! Mungu akuweke miaka miaa kama mama yako! Inshallah
@AbrahamJulius-t8d7 ай бұрын
2024 still watching nani kama mama my best song
@saadamasoud83164 жыл бұрын
Nice dear nakupenda bure
@zaharastambuli19284 жыл бұрын
Mashaallah naipenda Sana hiyo nyimbo
@zulfandoile38764 жыл бұрын
2020 tunaosikiliza gonga like hapa
@sawasaid70154 жыл бұрын
Zulfa Ndoile moja m
@arafaissah88784 жыл бұрын
Love mama forever
@jafarimussa41323 жыл бұрын
Hongela Sana dada nimeiyelewa taaalab yenyemaana hongela Sana Dada yang u.
@munnawwary7574 жыл бұрын
Na mie wa twenty bd ipo juu
@sharifaashir41314 жыл бұрын
mama ni mama jmn 2020
@priscaleopard61114 жыл бұрын
Kabithaa
@denismartin49553 жыл бұрын
Hakuna kama mama kweli nyimbo nzulii sana
@SaidaSalehe-b5n3 ай бұрын
Nikisikilizaga hii nyimbo mchozi tu unanitoka.
@jolieemeranse83254 жыл бұрын
Nana kama mama ubarikiwe
@saza48374 жыл бұрын
Nakupenda mpaka naumwa
@reginakiponya64013 жыл бұрын
Nyimbo nzuli haiisha hamu kuitazama2021
@hassaniddi19333 жыл бұрын
Hakuna kama mama nampenda sana mama angu mungu mpe maisha marefu mama angu
@gbwile12573 жыл бұрын
Nan mwengn yuko hapa 2021 Hakuna kama mama wallah
@mariamkomanya39434 жыл бұрын
Jmn goma n bomba sanaa
@zainabumkanitenda56664 жыл бұрын
r I p mama nilikupenda ila mungu kumpenda zaidi
@hadijaabdul87653 жыл бұрын
Pole mamy
@OmanOman-ky2oo2 жыл бұрын
Pole my
@saidaamana47874 жыл бұрын
nani karma mama penda sana mama
@kabwelerywamwatumu50784 жыл бұрын
Jamani tuambizane goma hili litachuja ?2020 bado nalisikiliza kwa utulivuuu.
@azizayahaya17674 жыл бұрын
RIP mama ake isha 😢na mama angu
@sophiarashid51524 жыл бұрын
Poleni wote mliondookewa na mama nakupenda sana mama angu mie
@kimamybeautypoint96563 жыл бұрын
innalilah wainnalilah rajiun
@saudaabdallah84682 жыл бұрын
Nisingekuwa duniani kama si wewe mama na kubwa yako thamani itadumu daima
@bochotz67224 жыл бұрын
NiKo hapa 2020 alham dulillah nani Kama mam miss you mam aKe mim
@selinamagutu75383 жыл бұрын
wote tumezaliwa hakuna asie na mam
@kassimkassim63864 жыл бұрын
Tunaoendelea kuisikiliza 2020 gonga like
@marymaina75313 жыл бұрын
Tuko hadi 2021!!!!tumshukuru maulana mola muumba vyote,mwingi wa rehma na mwenye kurehemu!!!!sifa zote njema ni zake!!!!Mary (mariam) maina toka kenya254 embu county Dallas estate !!!!