Nampenda huyu Dada, Isha kwa makali ya utunzi na uimbaji. Kiburudisho Cha kuenzi na kudhamaniwa. Tunazidi kupata burudani ya kipekee. Mashaallah. Dr. Ogeto International
@rynnnink17962 жыл бұрын
2022 still enjoying your music Isha mashauzi 👌
@ogetoj62453 жыл бұрын
Isha Mashauzi ni Jike La Simba, Malkia wa taarabu na tisho kubwa kwa waimbaji wenzake. Ni moto wa kuotea mbali. Anatukuna roho zetu na utamu wa kipekee. Nani kama wewe, Bibie!! Dr. Ogeto International
@chichi19433 жыл бұрын
Bahati haimfanyi mwendawazimu kuwa na busara ! Upoo
@JuhudiHassan5 ай бұрын
Kweli kabisa
@surusuru1994 Жыл бұрын
Isha rudi kw gem ,💓🔥🔥
@ogetoj62453 жыл бұрын
Mashauzi ni Malkia wa taarabu origi. Swadakta!!
@swahilifoodtz64463 жыл бұрын
Hii ndo hirikua taharabu jamani toka 2016 hadi 2021
@alexbulali66126 ай бұрын
Likes za 2024 wapi
@mtoromteketa92224 жыл бұрын
2021 keep going
@ZakiaKigoda4 ай бұрын
Isha umekua kimywa toa vitu basi jike la simba
@neemakisaka25143 жыл бұрын
Mwanafunzi wa alhaj mzee yusufu
@richardjuma77084 жыл бұрын
Msanii wangu bora kwa upande wa Taalabu
@FatumaChikumbi24 күн бұрын
Maisha nakuishi kwa kujifunza
@neemaramadhan Жыл бұрын
jike la simba wakwanza wewe mpaka kumi ni wewe
@ntwangaisaya94244 жыл бұрын
Viewer 2020🔥🔥
@ogetoj62453 жыл бұрын
Ogopa , ogopa! Nakwambia yaja makubwa kutoka kwa Isha. Namtolea kofia ya ujazili kwa vyovyote vile. Hakuzaliwa nayo, Wala kumeza vya haramu. Tema mara Moja kama ni uadui. Dr. Ogeto International
@ogetoj62453 жыл бұрын
Moyo wasononeka . Wapi sherehe ya Krismas 2021 ya Dada Isha??? Naomba mwelekeo kuzidi mipangilio kabambe. Dr. Ogeto International
@annajuma35923 жыл бұрын
Safi saanaaa
@happybello46357 ай бұрын
Kipenzi changuuuuu
@ogetoj62453 жыл бұрын
Twambie sherehe ya Isha krisimas itafanyika wapi, mwaka huu 2021. Nadhamani kuhudhuria. Dr. Ogeto International
@mounaearthman24498 жыл бұрын
safii tu sana bi Isha mashauzi, lete raha
@rahtraht1076 жыл бұрын
Safi sana b Aisha retee rahaa
@wazalendokids28883 жыл бұрын
kila kitu tik tik... keep it burning mamaa
@ZainabuShabani-u7p6 ай бұрын
Nyimbo zako zinanitia guvu sana nikisikiliza kwali mwanamke kujiamini
@JaphetShija-yh2xn10 ай бұрын
Ngoma hii iliachiwa mwaka gani
@hancyibrahim61973 жыл бұрын
Nomaa
@delphinechrisemunguponyawa46153 жыл бұрын
Ongera dada isha kwakazi Yako nzuri
@tiffahtiffahbaaby82393 жыл бұрын
Yetu yashawashina mmebaki kuhenya ha ha haaaaa
@fatmarashidi83536 жыл бұрын
Nimechok kusujudia viwav jesh
@alynyungwi67474 жыл бұрын
hahahahaha upo vzr bst
@neynahdequeen98284 жыл бұрын
Na ww mpk usujudie inahusu😍👀👀🖕
@alynyungwi67474 жыл бұрын
🤣🤣🤣💪💪 kilaa hatua dua maraa hii
@mashampulu57803 жыл бұрын
nakupendaje 😘
@fainunimatekenya10472 жыл бұрын
Mama lamamaaa
@reubenmuhanji3252 жыл бұрын
Hi
@aminaseiph12183 жыл бұрын
Isha unajua bhana
@halimamchopa50906 жыл бұрын
viwavi jeshi
@leilaleila47995 жыл бұрын
Pambeeeeeeeeeeeee2
@fredykomba61355 жыл бұрын
Maneno ameyatupa!!!!!
@hadijahanafi72063 жыл бұрын
L
@fridashekiao58934 жыл бұрын
Thanks
@lumulimendullo18159 жыл бұрын
kiboko yao na cc watoto wa kino tuna say no yako itabaki kuwa 1
@sawamosawamo45618 жыл бұрын
dada isha safi sana
@fatumakimwesi54676 жыл бұрын
Lumuli Mendullo pambe
@neynahdequeen98284 жыл бұрын
Sanaaaaaaaaaaaaa
@jeniphamsemo50484 жыл бұрын
Maneno kuntu
@susanmkumbo84424 жыл бұрын
Weeee
@lucyjonath47793 жыл бұрын
Msani Wang Mimi
@ogetoj62453 жыл бұрын
Bila shaka ni wewe TU kwa mkondo wa utangulizi wa taarabu kemukemu. Nani Jike La Simba Tena? Tafakari hayo. Ni Dada Isha tu. Dr. Ogeto International
@tabumbojenaombanamba77132 жыл бұрын
Nambauloimba namdogo wako sikumbuki lakini ulikuwa dukani kama kakutembelea ukampa soda sikumbuki uaitwaje naomba naupenda sana